CEO SIKIMBII TENA NITAVUMILIA SEHEMU YA 5 Acha niendelee kulia tena kwa sauti kubwaπ«π©π, maan nilivyokumbatiwa kwa nguvu pale siwez
Naseer akanitizama kwa huruma akanambia "hebu mpigie huyoo mpuuzi weka loud speaker, mimi ndio sababu ujue?", nikafanya kama nilivyoambiwa na Naseer nikampigia kisha nikaweka loud speaker, akapokea Kareem nakusema kwamba "hukuelewa mwanzo au huamini?" alisema huku nawasikia wenzake wanacheka "au huamini?" alizidi kuongea Kareem akampatia simu mama, mama akawa anaongea kwa hofu kama mtu alietoka kulia "mwanangu usije bora tufe lakin ubaki salama huyu sio binadam ni mnyama", niliskia mama akipigwa kofi akaambiwaa kam mtoto "kaa kimya we bi mkubwa" , akaendeleea Kareem kuongea "tena usije na huyo boya wako maan nitawaua wote maan nina hamu nae kafelisha michongo yangu mingi", afu akakata simu asee nilizidi kuchanganyikiwa wallahπ«π« nikazid kuliaππ Nasser alinituliza lakin wapi kiukweli nilikua nimechanganyikiwa Wallahβ¦
Naseer akanamby "basi sawa weee nenda, fata alichosema mimi ntakuja nyuma tena, nakukatia ticket ya ndege ili uwahi kufika ndani ya masaa manne uwe ushaingia Mwanza" nikakubali kwa kichwa akasema "mimi nipo nyuma sawa?"..
Basi kweli ikabidi tuanze safari ila tuliondoka pamoja japo hatukufika nyumbani pamoja nilifika nyumbani peke yangu Kareem alinipa location maan nilikuwa sipajui, nikafika kweli nikaikuta ile situation kiukweli nafsi iliniumaπ sana yani sikuwa na jinsi kwakweli Zaidi ya kuliaπ, nikaanza kumwambia "nipo tayari kufanya lolote kwa sasa ila waachie wazazi wangu hata ukitaka kuniuua niue mimi please usiwafanye chochote wazazi" niliongea huku nimepiga goti na machoziπ juu natia huruma kweli , Kareem akasema "nataka ulichompa yule boya wako maan haiwezekaniβ¦
nimekusubiri toka upo chuo afu unaenda kumpa yule boya wako ambae ulikutana nae kwa bahat nasibu", nikasema "lakin Kareem mimi sijafanya chochote na yule mwanaume unajua Kareem siwezi fanya kitu bila ndoaa", "sasa ili wazazi wako wapone inabidi ufanye hivyoo" , nililia sanaππ nikamwambia "nipo tayar kwa lolote" mama ashalia mpaka sauti imekata kabaki anatizama, baba nae yupo hoi kweli,akasema sawa akaanza kunivuta ananipeleka chumbani, mara tunasikia "subiri wewe" kugeuka ni Naseer jamanβ¦
Nilimuona kam mkombozi yani kama Merlin katokea jamn nilijikuta natabasamπ₯Ή wakati tupo kwenye hatari lakini sikujali hiloo, Kareem akacheka kwa dharau "leo umejileta mwenyew si ndy hhh ukadhan utanikimbia sio? hhh ushukuru ile siku ni mpenzi wangu alikusaidia ilaa usingetoka salama ", weee nilishangaaπ³π³ ina maan Kareem anahusika na lile tukio la utwekwaji wa Nasser? nilichoka upyaπ°, akatokea Naseer akasema "bora leo nimekujua sura halisi sasa utaniambia anaekutuma ni nani", Kareem akamwambia "ila kabla sijakuua nataka nikupe surprise, yako" akapiga makofi heeπ³ cha jabu anakuja, Ramla wee Naseer alionekana kuishiwa pawaπ° lakin hakuonesha kama ile imepenya, Ramla akasogea akamwambia Naseer "hellow baby nataka nikutambulishe kwa kaka angu yule ambae hujawahi muona alikua yupo Thailand ni huyoo hapo", afu akauliza kwa dharau "umeionaje?" yaan walivyokua wamepanga utafkiri walikua wanajua kwamba Naseer atakuja pale, ile ilipenyaβ¦
kwenyew jaman, kwanza hata mimi sikua naamini, akatokea Kareem akamuuliza dada ake amfanye nini Kareem, akatokea yule mwanamke mkosa hayaπ akamwambia "mhh kabla hujamuua huyo nataka umuue yule mwanamke ambae alimsaidia siku ile maan unaeza ukataka kumuua, akamsaidia tena" Kareem akainua risasi anataka kushoot mimi hapo nipo mbali kimawazo yani siko hapo najiona kabisa kam mfu alie hai, ile anashoot baba sijuii alitoaa wapi nguvu ya kuja kukinga risasi, wee ndy nikashtukaπ³β¦
Hatujakaaa sawa tunasikia milio ya gari za polis nje ikabid wakimbie, ambulance ilibidi ije haraka imchukue baba, ila kwa ile sehem aliokua amepigwa sijui kama angepona tulipelekwa bugando baba akapelekwa icu, tukiwa tupo hospitali Naseer akasema mama asiende nyumbni wala hospitali asibaki mtu walibaki mapolisi, na mama muda huo huo ilibidi apande gari aende musoma kwa dada ake akatuliza akili maan hakuwa sawa, akaambiwa litakalojir atapewa taarifa, Naseer akanambia pia sisi tisuende nyumbani sio salama kwa sababu wale watu hawajakamatwa kivyovyote watatufata tu, akasema hotel yake ipo Mwanza hivyo twende pale hotelin akasema, hamna mtu kulala peke yake , ilibidi tukae chumba kimoja, kwa sababu tulikua hatuaamini juu ya usalama wetu kabisa, hata hivyoo nilikua najiamin kwasababu nimekaa na Naseer nyumba moja na hajawahi nionesha tabia mbaya kwakweli, tukawa tumekaa room moja , sasa ikabidi nikaoge nikawa nimevaa kijitaulo hapo Naseer alikuwa katoka nje kidogo kurudi akanikuta nimelala tuβ¦
Nimejifunika shuka, akawa kaingia bafun kaoga akawa kavaa yale mabath coat yale ya kufunga akaja kitandani, hakuna aliekua amelala kila mtu anawaza ya kwake, ulipita muda, naskia kam mtu Analiaπ pembeni yangu, jaman ukimuona mkaka Analia jua yamemfika, ikabidi niinuke kwanza na hivi nilisoma physcology kwahyo naelewa mtu akiwa Analia inabidi umkumbatieπ , kwahyo nikamkumbatia Naseer, mhh nikajikuta nimeyaamsha yasio nihusu weweeπ³, mwamba akanikamatilia vizuri akanipa juiceπ flani hivii, sijawahi pewa wewe nilihisi tofauti kabisa sijawahi yaan ππβ¦
ITAENDELEAβ¦β¦..
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
