Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 13  Hyo siku ilipita na Lecturer hakuja alinambia tu hakupata muda na kesho
Gonga94 ยท Stories

*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 13 Hyo siku ilipita na Lecturer hakuja alinambia tu hakupata muda na kesho

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
yake alikuja akapiga hodi akafunguliwa na mama yangu, mam alimkaribisha kisha akaja kuniita nikatoka sebleni nikamkuta amejitulia zake sebuleni amekaaa kwenye mkeka maan hatukuwa hata na makochi, aliinua macho akanitizama jinsi nilivyoumia maana nilitoka nimefunga khanga na t-shirt lenye mikono mifupi, kwahyo kuna sehemu za miguuni zilikuwa zinaaonekana na sehemu za huku mikononi pia zilikuwa zinaonekana ukijumlisha na rangi yangu hivyoo makovu ni rahisi kuonekana, nilisogea karibu yake nikakaa pembeni yake, mama nae akatuacha akatoka nje

"Pole Asmy, kwa yaliokukuta sawa mpenzi wangu?" Nilitabasamu tu sikumjibu alinisogelea akanikiss kwenye paji la uso "Unateseka sana au nikuoee nikutoee kwenye haya mateso?" Aliongea kana kwamba anataniaa maan aliniuliza utasema vile tunavyowadanganyaga watoto ety kula twende mjini? Nilitabasam tu na mimi nikajifanya natania na mimi nikakubali tena niliongea kwa madeko "ndio baba angu, bora tu niolewe na wewe nitoke humu mama yangu ananitesa" niliongeaa kwa madeko kweli huku namtizama ila moyoni nilikiwa nahisi ni ananitania tuu "Basi sawa ngoja nimalize haya mambo ya kipindi huko chuo nikafanye mambo mengine afu nakuoaa sasa, ila natoa mahari kabisa na barua inakuja kesho" nilitoaa macho wewe mimi nikajua ananitania jamani kumbe yuko serious "Heee! Wewe upo serious,?" Ilibidi na mimi nikaze macho sasa maana niliona kabisa hii issue ni serious hamna jokes

"Ndio kwani kuna tatizo si umekubali mwenyewe kipenzi changu?, mimi natoa kabisa barua mwezi wa 11 nitakuwa siko busy tena sawa mamy? Ujue wewe mimi nikisema nikuoe sasa hivi nitakuwa sipo huru na wewe tena kipenzi changu, nataka tuenjoy mimi na wewe, mimi sio muongo wala sikupangi is truee"alisema hayo huku ananipapasa usoni mwangu maana muda huo nilikuwa nimemuegemeaa kwenye bega lake nilizidi kushangaa jamani "kwahyo unanikubali licha ya kwamba nina scandal chafu?" Alinitizama kwa upole huyu mkaka jamani na jinsi alivyo na macho mazuri "usijali mimi nakuoa wewe, sioi scandal zako, nimekupenda wewe mwenyew na sio scandal zako sawa binti wa kiarabu?" Alinizid kunilainisha kwa maneno yake nikaona yes mwanaume huyu hapa jamani na jinsi anaongea taratibu nikajikuta hadi naanza imagine ett nimeolewa na mambo yatakayo kuwa yanatokea humo ndani nikiwa kama mke wa lecturer ila hzi akili jamani hapana

"Unawaza nini mke wangu kipenzi?, da mashavu wangu amenifurahisha sana kwenye hili kha huyu mkaka nilikuwa natamani nimkumbatiee duuh! Jamani mama yake kaweza kam kijana ndio nilijikuta tu nacheka maan huyuu hakukosea kuzaa mtu kama huyu hongera kwa Mama mkwe jamani maaana hapa kamaliza kila mkaka anapenda huyu afu anajielewaa bado ni mzurii

"Ngoja nikaongee na mama nje afu nakuja nikupeleke hospital afu kuna sehemu nakupeleka sawa mke wangu" akanichumu kwnye paji la uso na kutoka nje kwenda kuongea
Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 13 Hyo siku ilipita na Lecturer hakuja alinambia tu hakupata muda na kesho

yake alikuja akapiga hodi akafunguliwa na mama yangu, mam alimkaribisha kisha akaja kuniita nikatoka sebleni nikamkuta amejitulia zake sebuleni amekaaa kwenye mkeka maan hatukuwa hata na makochi, aliinua macho akanitizama jinsi nilivyoumia maana nilitoka nimefunga khanga na t-shirt lenye mikono mifupi, kwahyo kuna sehemu za miguuni zilikuwa zinaaonekana na sehemu za huku mikononi pia zilikuwa zinaonekana ukijumlisha na rangi yangu hivyoo makovu ni rahisi kuonekana, nilisogea karibu yake nikakaa pembeni yake, mama nae akatuacha akatoka nje

"Pole Asmy, kwa yaliokukuta sawa mpenzi wangu?" Nilitabasamu tu sikumjibu alinisogelea akanikiss kwenye paji la uso "Unateseka sana au nikuoee nikutoee kwenye haya mateso?"...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/lecturer-nikikupa-hutoninanii-chapter-13-hyo-siku-ilipita-na-lecturer-hakuja-alinambia-tu-hakupata-m

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi lecturer-nikikupa-hutoninanii-chapter
 *LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII*      *Chapter 14&15*  Alitoka nje na kuniacha mimi ndani nipo najichekea chekea
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* *Chapter 14&15* Alitoka nje na kuniacha mimi ndani nipo najichekea chekea
LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII   Chapter 17  Nilikuja kuzinduka najiona nipo hospitali tayri
LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII Chapter 17 Nilikuja kuzinduka najiona nipo hospitali tayri
LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII Chapter 18  mtihani mkubwa sana ambao hata wewe kuusolve
LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII Chapter 18 mtihani mkubwa sana ambao hata wewe kuusolve
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 8  Nilililegeaa mara kumi yake jamani huyu mkaka hapana anajua bwana kwa kujua tu anajua
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 8 Nilililegeaa mara kumi yake jamani huyu mkaka hapana anajua bwana kwa kujua tu anajua
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 12  Niliingia ndani, mama alikuwa ananisubiri kwa hamu kweli maana
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 12 Niliingia ndani, mama alikuwa ananisubiri kwa hamu kweli maana
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 10  Tuliachana na lecturer yeye alielekeaa officine na mimi nilielekeaa class
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 10 Tuliachana na lecturer yeye alielekeaa officine na mimi nilielekeaa class
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 7  "Ndio nakupendaa, na nipo tayari kuthibitisha hiloo kwako, msichana wa kiarabu
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 7 "Ndio nakupendaa, na nipo tayari kuthibitisha hiloo kwako, msichana wa kiarabu
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 9  Nililala mpaka asubuhi, ila niliwahi kuamka mimi wa kwanza kuliko lecturer, nilikaa nikaanza
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 9 Nililala mpaka asubuhi, ila niliwahi kuamka mimi wa kwanza kuliko lecturer, nilikaa nikaanza
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.48K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.56K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.11K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.04K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.99K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest