VYOTE NDANI GONGA94
MAHABA YA MZOA TAKA 24 ππ
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Niliumizwa kwa taarifa nilizozisikia za Damian kurudi kwenye kazi yake ya uzoa taka japo nilipanga kumsahau kwa wakati huo kutokana na kile kilichotokea.
Mwezi mmoja ulipita pasipo kuonana na Mzoa taka na mambo kwangu yalianza kubadirika kwani mwili wangu ulikuwa ukiniwasha na kila mda nilikuwa nikitamani kufanya mapenzi, kila nilichokuwa nikikifanya kilikuwa hakiende kabisa kutokana na nyege kunisumbua.
"Hii sasa shida nyingine sijui nifanyeje tu hapa" niliongea nikiwa mwenyewe baada ya hamu za kufanya mapenzi kunishika.
Na kama kungekuwa na mwanaume yoyote yule karibu yangu asingepata shida ya kunikuna siku hiyo.
Mda wote mikono yangu ilikuwa ikishika matiti yangu ili kupunguza hamu lakini bado haikusaidia, nilitamani mpaka kwenda kununua uume wa bandia ili unisaidia kutuliza hisia nilizokuwa nazo lakini napo niliona itakuwa hatari kwangu kwani lazima ningekuwa addicted na huenda nisingetamani tena kuwa na mwanaume kwenye maisha yangu kama ilivyowaaathiri baadhi ya wanawake.
"Hapa nimtafute mzoa taka tu hamna namna japo alinikosea" niliongea mwenyewe na kuchukua simu yangu kwa ajili ya kumpigia mzoa taka.
Nilipiga lakini kwa bahati mbaya simu ilikuwa haipatikani kwa wakati huo. Sikuwa na njia nyingine zaidi ya kutulia na siku hiyo ilipita.
Siku iliyofata kwakuwa ilikuwa ni siku ya kazi nilienda kazini na kidogo ilisaidia kupunguza hamu za kuwaza minyanduo.
Siku hiyo mida ya mchana nikiwa ofisini mimi pamoja na wafanyakazi wenzangu, tulisikia sauti za mtu akigombezwa na mlinzi hivyo baadhi yetu tunaopenda umbea na mimi nikiwemo tuliamua kutoka kwa ajili ya kwenda kuangalia mtu aliyekuwa akigombezwa ni nani.
Macho yangu hayakuamini kumuona mzoa taka akigombezwa na mlinzi.
"Nani kakupa ruhusa ya kuja kwenye ofisi za watu nakuanza kuzoa taka..!?" Mlinzi alimuuliza na upande wangu moyo ulikuwa ukienda mbio maana ni jana tu nimetoka kumuwaza alafu leo namuona akiwa kwenye mazingira ninayofanyia kazi. sikutaka kuingilia zaidi ya kuondoka na kurudi kwenye ofisi yangu.
Nilifika na kukaa kwenye kiti huku nafsi nyingine ikiniambia kuwa bado namhitaji mzoa taka kwa wakati huo.
Siku hiyo ilikuwa ni siku ya matukio kiupande wangu na sitaisahau nikiwa bado namtafakari mzoa taka mama yangu alinipigia simu.
"Hello mama" niliipokea nakuongea.
"Irene, jumamosi kutakuwa na kikao nyumbani hivyo panga ratiba zako vizuri na uje nyumbani siku hiyo" mama aliongea na mimi nilimjibu kuwa nitajitahidi ili niwepo japo nilikuwa sifahamu ni kikao cha nini.
Pia niliamua kumtafuta dada nakumuuliza kama amepewa taarifa nilizopatiwa mimi lakini aliniambia kuwa hana taarifa zozote zile.
Sikutaka kuendelea kuumiza kichwa kwa kile nilichoambiwa na mama zaidi ya kuendelea na kazi zangu na baada ya mda aliingia mfanyakazi mwenzangu.
"Vip hali ya huko nje!?" nilimuuliza nikitaka kujua kilichomtokea Mzoa taka.
"Huyu mlinzi anaroho mbaya huyu, yani kaamua kabisa kumdhalilisha mwanaume wa watu!?" mfanyakazi mwenzangu aliongea na mimi sikutaka kuona akiendelea kuongea sana zaidi ya kumuuliza kile kilichotokea.
Aliniambia kuwa mzoa taka aliondoka ila akiwa amedhalilishwa vya kutosha na hali ile ilizidi kunikosesha amani kabisa.
Mda wa kazi ulipoisha nilikuwa na kazi ya kumtafuta mzoa taka na bahati nzuri nilifanikiwa kuelekezwa sehemu aliyokuwa akiishi na moja kwa moja nilienda mpaka kwake alipokuwa akikaa.
Nilifika na kusikitishwa na mazingira ya chumba alichokuwa akiishi mzoa taka.
"Irene umeijia nini nyumbani kwangu!?" Mzoa taka aliniuliza na alionekana hajafurahishwa na ujio wangu.
"Mbona unahasira hivyo Damian!! naomba tukae tuyamalize na kumbuka wewe ndiye uliyenikosea mimi" niliongea nikimkumbusha kuwa yeye ndiye chanzo cha yote.
"Yote sawa ata kama mimi nilikosea lakini mimi sikuwa na ujaja ata kama ungekuwa wewe ni mwanaume Irene, yani mwanamke alikuja dukani kwangu na kukaa huku akinipa mitego ya kila aina kwanza alianza kupanua mapaja yake na ndani alikuwa hajavaa chupi yoyote ile hivyo nilijikuta nikimtamani na kuamua kumtongoza" Mzoa taka aliongea na kuzidi kujitetea.
Kwakuwa nilikuwa nimeshaujua ukweli sikutaka kujali kuhusu kujitetea kwake kwani mda huo mawazo yalikuwa yakiwaza kunyanduliwa tu maana mwili ulikuwa ukiniwashwa hivyo niliamua kumwambia mzoa taka.
"Basi twende nyumbani Damian" niliongea na Damian hakutaka kukataa alibeba nguo zake na tukaongozana wote mpaka nyumbani.
Ile tunafika nje ya nyumba yangu tulikuta gari ya Alex ikiwa imepaki.........ITAENDELEA.
Alex nae ππππ alitusumbua mno yule mwanaume sehemu ijayo ina majibu zaidi.
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mahaba-ya-mzoa-taka

