Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 37*  Mama Kingston bwana alikuja shituka nikiwa nimeshakabidhiwa lile jumba la ghorofa
Gonga94 · Stories

*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 37* Mama Kingston bwana alikuja shituka nikiwa nimeshakabidhiwa lile jumba la ghorofa

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
hapo njiro 🤗🤗si akaanza kunisaka kuwa natembea na baba Kingston🥳

Bahati nzuri lile jumba nilikabidhiwa hatimiliki zote na kwenye hati kuliandikwa majina ya twins wangu🥰🥰..

Zile hatimiliki nilimpa mama akaenda nazo kijijini🥳🥳🥳sie tukabaki kwenye liapatiment tunakula maisha😂😂

Mama Kingston alianza kunisaka na maaskari hataki niende ofisini kwenye kampuni yao na akawa anataka niondoke kwenye lile jumba walilopewa wajukuu zake..

Kumbuka hapo hajawai kuwaona watoto ye kakomalia watoto ni wa mume wake mimi natembea na mme wake na mme wake ameanza kunihonga mali alizochuma naye nyiee😟😟

Nilichafuliwa jina vibaya mnoo😰😰😰niliacha kwenda kwenye ile kampuni yao baba akaniambia hapa Arusha siyo salama tena..

Naweza nikafa kabla Kingston hajajitokeza na huyu mama akakusumbua..hapa cha kufanya tuuze hiyo nyumba tutafute nyumba Dar ukaishi huko na watoto kwa amani..

Nilimkubalia mzee lakini weee lile jumba liliniuma😩😩😩baba aliniambia nisijali atahakikisha huko Dar nimepata nyumba nzuri zaidi kuliko hata ile ya Arusha..

Nyumba ilipigwa mnada muda huo huko Dar kukaanza kutafutwa nyumba ingine ili nihamie huko...

Nyumba ya arusha iliuzwa kimya kimya bila mama kujua baada ya hapo tukaendelea kubakia mpaka pale nyumba itakapo patikana Dar es salaam..

Baba Kingston alimtuma yule kijana rafiki yake huyu kaka anaaminiwa sana na mzee nayeye ndo anayejua siri nyingi za mzee🤗

Huyo ndo alikwenda kututafutia nyumba Dar es salaam namshukuru Mungu nyumba ilipatikana ya kununua

ikakaguliwa ikafanyiwa finishing niliyoitaka mimi baada ya hapo rasmi tukaondoka Arusha mimi na wanangu pamoja na Dada wa kazi tukahamia Dar es salaam..

Ilikuwa mara yangu ya kwanza kufika Dar es salaam 😂😂🥰nilikaa nikazoea mazingira mzee akaniambia niangalie sasa biashara ambayo ninaweza kuiendesha huko Dar..

Nilimuomba anipe muda wa kufikiria🤗🤗mwenzenu mimi sijasoma niliwaza sana biashara ambayo ninaweza kuimudu nikaona wacha nifungue restaurant🥳🥳..

Restaurant fulani hivi la kibabe litakalokuwa na menu za kila aina..

Nilimshirikisha mzee akasema hiyo ni nzuri sana maana watu kila siku lazima wale🤝❤️..

Yule yule kijana mtunza siri za mzee akatumwa aje kunitafutia eneo zuri kwa ajili ya hiyo biashara..

Eneo lilipatikana likaanza kufanyiwa ukarabati🥰🥰baada ya eneo kukamilika tukaanza kutafuta wapishi...

My wenu nikawa Boss😂😂😂et namimi nikaanza kuwafanyia watu interview waliokuja kuomba kazi kwenye mgahawa wangu nyieee🤣🤣🤣🙌🙌

Maisha ya Dar niliyafurahia sana kwa sababu huku ndiko nilikokuja kukutana na Kingston kwa mara nyingine...

Ilikuwajeee??...

Itaendeleaaaaaaa

Full 1000
WhatsApp 0742133100
Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 37* Mama Kingston bwana alikuja shituka nikiwa nimeshakabidhiwa lile jumba la ghorofa

hapo njiro 🤗🤗si akaanza kunisaka kuwa natembea na baba Kingston🥳

Bahati nzuri lile jumba nilikabidhiwa hatimiliki zote na kwenye hati kuliandikwa majina ya twins wangu🥰🥰..

Zile hatimiliki nilimpa mama akaenda nazo kijijini🥳🥳🥳sie tukabaki kwenye liapatiment tunakula maisha😂😂

Mama Kingston alianza kunisaka na maaskari hataki niende ofisini kwenye kampuni yao na akawa anataka niondoke kwenye lile jumba walilopewa wajukuu zake..

Kumbuka hapo hajawai kuwaona watoto ye kakomalia watoto ni wa mume wake mimi natembea na mme wake na mme wake ameanza kunihonga mali alizochuma naye nyiee😟😟

Nilichafuliwa jina vibaya mnoo😰😰😰niliacha kwenda kwenye ile kampuni yao baba akaniambia hapa Arusha siyo salama tena..

Naweza nikafa kabla Kingston...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmm-daddy-nikikupa-utaniowa-kweli-season-two-sehemu-ya-37-mama-kingston-bwana-alikuja-shituka-nikiw

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mmmm-daddy-nikikupa-utaniowa-kweli-season-two-sehemu-ya
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 35*  Baada ya mama kufika mjini nilimpigia baba Kingston
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 35* Baada ya mama kufika mjini nilimpigia baba Kingston
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 38*  Basi bwana siku hiyo ya ufunguzi wa restaurant yangu wateja walifurika mpaka wengine walikosa nafasi wakaondoka🥳..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 38* Basi bwana siku hiyo ya ufunguzi wa restaurant yangu wateja walifurika mpaka wengine walikosa nafasi wakaondoka🥳..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 39*  Baada ya kuiandika hiyo barua pale mwishoni nikaweka kanamba kangu ka simu🙈🙈🙈
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 39* Baada ya kuiandika hiyo barua pale mwishoni nikaweka kanamba kangu ka simu🙈🙈🙈
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO*   *SEHEMU YA 33*  Baada ya kutuma tu msg Baba alinipigia🥰🥰🥰akanijulia hali kisha akaniuliza niliko nikamwambia...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 33* Baada ya kutuma tu msg Baba alinipigia🥰🥰🥰akanijulia hali kisha akaniuliza niliko nikamwambia...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO*      *SEHEMU YA 40*  Mipango niliyokuwa nayo ni kumuondoa Kingston mikononi mwa lulu aje tulee watoto..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 40* Mipango niliyokuwa nayo ni kumuondoa Kingston mikononi mwa lulu aje tulee watoto..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO*     *SEHEMU YA 28*  Siku hiyo Kingston alioga akajiandaa akaondoka pale nyumbani aliniachia pesa kiasi fulani kwa ajili ya...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 28* Siku hiyo Kingston alioga akajiandaa akaondoka pale nyumbani aliniachia pesa kiasi fulani kwa ajili ya...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO*  *SEHEMU YA 31*  Nilifika getini kwao Kingston palikuwa kimya sana ilikuwa ni jioni saa 11 kuelekea saa 12🤗🤗..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 31* Nilifika getini kwao Kingston palikuwa kimya sana ilikuwa ni jioni saa 11 kuelekea saa 12🤗🤗..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 34*  Nilipiga simu ya mama  ikaita na kupokelewa🥹🥹🥹
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 34* Nilipiga simu ya mama ikaita na kupokelewa🥹🥹🥹
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 32*  How??... inawezekanaje?.. wazazi walinihoji hawakuamini ilibidi nianze kuwasimulia kila kitu..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 32* How??... inawezekanaje?.. wazazi walinihoji hawakuamini ilibidi nianze kuwasimulia kila kitu..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 30*  Zilipita kama week moja hivi Tristan akanifuata akaniambia kazi imepataikana na kwa kipindi chote hicho yeye ndo alikuwa anatuhudumia...

*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 27*  Baada ya kumuomba Kingston abaki na mimi usiku ule alinikatalia akaniambia
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 27* Baada ya kumuomba Kingston abaki na mimi usiku ule alinikatalia akaniambia
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26*  Nilishikwa na hofu nyingi moyoni lakini nikaweka imani nilifika nyumbani kwetu salama salmin..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26* Nilishikwa na hofu nyingi moyoni lakini nikaweka imani nilifika nyumbani kwetu salama salmin..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 29*  Nilishangaa kumuona Dada na lile rundo la pesa nikamuuliza mbona umeomba pesa nyingi hivo???..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 29* Nilishangaa kumuona Dada na lile rundo la pesa nikamuuliza mbona umeomba pesa nyingi hivo???..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 24*  Weee niliogopaa😂😂😂sijui anataka kusema nini Mungu wangu😔😔..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 24* Weee niliogopaa😂😂😂sijui anataka kusema nini Mungu wangu😔😔..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO*     *SEHEMU YA 23*  Tulienda kwenye hospital moja hivi iliyoko nje kidogo  ya jiji la Arusha..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 23* Tulienda kwenye hospital moja hivi iliyoko nje kidogo ya jiji la Arusha..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 22*  Nilimwambia sawa nitafanya hivyo... alinitakia usiku mwema kisha akaondoka zake..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 22* Nilimwambia sawa nitafanya hivyo... alinitakia usiku mwema kisha akaondoka zake..
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67

597
MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65

MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65

545
MY WANGU❤️ sehemu ya 68

MY WANGU❤️ sehemu ya 68

376
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘

374
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20

323
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13

55
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11

41
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8

37

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

10.99K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.79K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.65K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.43K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.4K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.26K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.25K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.23K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.14K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❤️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on 🤷‍♂️ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

Sasa wakati uo nimeenda nikaja kufunguliwa mlango na Kendrick, na ilikuwa inaonekana nyumbani walibaki wao wawili tu na wafanya kazi, Alivonifungulia mlango mie nikapita moja Kwa moja mpaka ndani sikutaka...

MY WANGU❤️ sehemu ya 63 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 63
@majario LIVE

Basi bwna tumefika nyumbani . Mama akaja akasema eeh baba jamani pole kwa usumbufu wote. Mlige akasema usijali mma kuwa na amani kabisa mma akauliza shida nn wamesema.....

*REALLY LOVE  💕💕💕* *1-5* Post Mpya
*REALLY LOVE 💕💕💕* *1-5*
@majario LIVE

*SEHEMU YA KWANZA* """""babee amka basi unachelewa kazini"""" sauti hiyo ya msichana catherine akimuamsha mpenzi wake ambaye alikuwa amelala """""ah babe nimechoka"""" mpenzi wake huyo aitwae seven alijibu kiuchovu sana...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 16 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Nikawa Sina budi kukubali nilivokumbuka ndoto ya Jana nikaogopa asije Freeman akafa kwasababu yangu Mimi, nilivokubali yule baba alifurahi akataka Hadi kunibeba ingawa alikuwa Hana nguvu akaniambia twende sasa na...

MY WANGU❤️ sehemu ya 61 na 62 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 61 na 62
@majario LIVE

Basi zai ndo wa kwanza akanambia we mbona umevimba macho ulikuwa unalia.nikasema.ndio kuna mtu kamwmabia kaka kuwa mimk.natembea na zayd ule mda nimekuja kukufata ww. Prisca akasema hao ni...

MY WANGU❤️ sehemu ya 59 na 60 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 59 na 60
@majario LIVE

Nikasema.achana nae bwana wala hana cha maan . Mi nimemwambia tu kuwa simtaki na asinifatilie mana atakuja kuniletea matatizo. Basi shoga akanambia sawa. Basi mie nikawa busy na mambo ya...

MY WANGU❤️ sehemu ya 58 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 58
@majario LIVE

Mh zayd. Akasogea mpka nilipokaaa na yeye akavuta kiti akakaa karibu yangu. Ila uzuri tu ili darasa lilikuwa halina ata. Mtu. Akanambia eeh , ina maana faridah hukusikia salamu yangu....

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest