MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π Chapter 10 "Hahahaha Pambanaa Kaka pia huyo ndo mtamu wako tokaa utotoni. "Jay
machache
Asubuhi Nyingine Kupambazukaaa Jordan akiwa ofisinee anapoingiaa mtandaonli anakutana na habari ambayo kwake haikuwaa
ngeni
JESHI LA POLISI LINATANGAZA VITA KALI JUU YA WAAUZA MADAWA WA KULEVYA NA VIKUNDI MBALI MBALI VYA UVUNJAJI
SHERIA. Habari yasemaa ivyo
"Narshaa hataki kbsaa kuachnaa na hayaa mambo na sijui ni kwann ilaa kilaa mtu akipandacho ukipataa Jordan Alisemaa kwa
nguvu
Lkn ghaflaa alisikiaa mtu akipigaa makofii huku akiingiaa ofisini kwake hakuwaa mwingnee alikuwaani The Queen Narshaa.
"Woow your most welcome" Jordan Alisemaa.
huku akitoa tabasamu lakee la kejeli. "Nice Thanks Too My Handsome Alijibuu Narsha huku akitabasamu sanaa.
"Nipo hapa kibiashara "Narshaa Alisemaaa huku akimwangaliaa Jordan, "Nakusikilizaa Madam Jordam Alijibu huku
akitikisaa kichwa
"Nahitaji tushirikiane katikaa uuuzaji madawa ya kulevyaΓ€ maan madam Lindaa ni
mmoja wetu pia kwahiy karb sana tupigee pesaa Narshaa Alisemaa huku akiwaa anasubiria majibu kutokaa kwaa Jordan. Jordan anaonekana kushtuka kiasi baadaa ya kusikia madan Lindaa Yaan Mamaake Mlezi
Anashirikiana nao pia. "Madam Lindaa ameingiaa humu kwasababu ya
ushauril wakoo lkn mm sitaingiaa kwasababu ya
ushaun wa mtu yyot sipo tayar kufanyaa biasharaa za ajabu kiasi hichoo Jordan Alisemaa kwa ukalii sanaa na akiwaa anasisitizaa na kumaanishaa piaa "Hahahahh sawaa hulazimishwii Jordan
"Narshaa Alijibuu huku akisimama na kugeukaa
laondoke
"Farnyaa yote kumbukaa tu maishaa yako yapo hatarini maana polise wanakutafutaa na kukuandamaaa Madam. The Killer Jordan Alisemaaa huku akimuoneshaa njaa Narshaa kwa isharaa ya mikono akimtakaa aondokee
zake. Narshaa hapo ndipo aliposhstukaas maaana hakuonaa ilee taarifaaa Ikn anaonekanaa
akijipaa moyoo wa kutokuogopaa maana anadhaminiwa na watu wa kubwaa kutokaa nje na ndanii ya nchi, Narsha Aliishiaa nakwendaa
zakee na Gari lake uko njee.
Jordan piaa anarudii kukaa kwenye kitii baada ya kuhakikishaa Narshaa anaondokaaaa
Mdaaa haukupitaa mwing hataaa Jordan Analetewaa baruaa na mfanyakazi wakee wa karibu wa kiume. Mr Poul iyo baruaa inahusu nn?" Jordan
Aliulizaa "Usijali Boss Jordan hiyoo ni baruaa inayohusuu kazi baada ya wiki mbili kutakuwaa na wageni
wakubwaa kutokaa nchi mbali mbali watakao
kujaa kutalii nchini mwetu Ikn wataapokelewaa kwanza hapaa then wataendelea na safarn zad Mr Poul Alisema.
Jordan Alifurahi sanaa maana campany yao Inapataa wageni ndani ya miezi mitano ya kwanzaa "Basi sawaa maandalizi yote naombaa
yafanyikee kama kunachangamoto tapatikana
basi niambie sawaa Alisema Jordan, "Sawaa boss mm piaa nmefurahi sanaa lkn kuna.
kitu ambacho Director Lindaa inaonekanaa kukifichaa sanaa je na ww unakifahamu Mr
Poul Alisemaa. Jordan Alishtukaaa na akasemaa kwa uharakaa "Hapanaa ilaa kamaa unafahamu kitu naombaa
uniambiee
"Usijali ntakwambiaa ilaa ni mpaka ntakapo kuwaa na uhakikaa nacho lakini kuna mambo tu Lindaa hayafanyi Vizuri kabsaa. "Mr Poul Alisema
Mr Poul Alitokaa Ofisin na kwendaa zakee Dakikaa hazikuendaa sanaa Jordan Alipokea
simu kutokaa kwa Jay
"Hey Jordan kazi yangu inaanzaa mdaa sio
mrefu ww plaaa kuwa mwangalifu maana maadui macho yao yapo kwako "Jay Alisemaa Jordan Alimjibu kwa kumhakikishiaa kwambaa
yeye atapamina na kujilinda pia waliongeaa. machachee na simu ilikatwaaa
Saraaah anaonekanaa kuingiaa Ofisini akiwaa amepigaaa pambaa zakee kalii plus uzurli wakee
na tabiaa yake njemaa watu wengi walimpenda. buree
Anapofikaa ofisini anakutanaa na Jordan Ikn
Jordan anaishiaa kumsalimiaa tu bila kuumuulizaa chcht jambo hilo linamshangaza tenaa Saraah lakn anapotezeas plaah.
Mdaa unaendaa Saraah akiwa ofisini na Jordan
anapokeaaa simu ambayo inanambaa ngenil bilan kujalii anawekaa loud speaker maana
alikuwa na kazi anafanyaaa "Hellow, Karibu Naongeaa na Nan "Saraah
Alisemas "Hellow Too My Love Doctor Abdulh Apaa Za Kwako Mammy "De Abdulh
Saraa baada kusikiaa vilee alikataa simu kwa uharakaa sanaa maan alikuwaa na Jordan Jordan alimkataa jicho moja yaaan Answer Eye
huku akitabasamu kwa dharau
Mbo umekataa simu au unaniogopaa ayaa mm na tokaa njee ongeaa na simu yako Jordan Alisema huku Akitokaa Njee "Mmh haa hasa hapanaa rude tuu sio ya
muhimu "Saraah Alisemaa akiwaa na wogaa
sana maana anafanhamu kbsaa Jordan
anampendaa lakn alikuwa ameshachelewa. maan Jordan alikuwaa ameshashuka ghorofani
juu had sehem ya chini.. Saraah anashidwaa afany kipi inabid ampigie Daktari Abdulh,Simu haikail mdaa inapokelewas.
Ivil Abdulh wa zamn na wa sasa wanaweza
tofautinaa kitabia (thii ni kwa maraa ya pili anamuulizaa ivoo tenaaa*)Saaraah Aliserna
Abdul alisema "Mmmh kwan kunaubayas wwt. tuachanee na hayoo Saraah amekumiss sanaa
kipenzi changu" Saraah kwa hasiraa alimfyonzaa Abdulh kweny
simu na kumwambiaa "Ukionaa nipo kimyaa mbele yako usijipe kichwaa sawa Mm sikupendii
maan sikuamini"Sarah baada ya kusemaa hayo alikataa simuu
Saraah alijilaumu sana kuweka loudspeaker maan anajuaa kbsa Jordan Akupendaa
Mdaa unaendaa na ni masaaa ya usiku.
Saraah Na Jordan wakiwaa wanapataa chakulaa
mezani Saraah anaonekana kuwaa na kitu
anachotaka kumwambiaa Jordan. "Jordan naomba tuongee kitu Saraah Alisemaa. "Mda wa kula sio wa kuongeaa na nikimalizaa hapaa ni mdaa wa kulala na mdaa wa kulala sio mdaa wa kuongeaa Jordan Alimjibu Saraah huku akilaa harakaa na kusimamaa na
kuelekeaa chumbni mwakee.
"Duah Mbn Jordan Kawa ivii daaaah sijui kunaa nn au ni hasira tuu za kupokeaa ilee
simu Saraah Alisemaa Kwa sauti ya chini un Jordan Alimsikiaa vizuri tu na akajisemeaa moyoni mwake "Hakuna kitu kama ichoo ilaa sitalo tu kuwa karb na ww mpk pale utakapo
fahamu Abdulh wa Kweli Ni yupi usichukiee
Mdoll wangu Saraaah akijisikiaa vibayaa maan hakupataa atajibu sahihi ham yak ya kulaa lishaa na alikwendaa kulalaa.
Midaa ya saa 6. Usiku Jay anaonekaa kuingiaa katikaa nyumbaa ya Madam Lindaa huku akiwaa amevaa mask na kuhakikishaa hataoneka na
mlinzi wa palee na hataa wafany kazi wa palee
Jay anaingia nakufikia chumbaa chaa Cameraa ambapo anafika na kuzima Cctv Cameraa Zotee
Ananyatiaa huku akielekeaa chumbani mwa madam Lindaa Anapofikaa anafungua mlango kwa kutumia kifaa maalumu na Anafanikiwa na kuingiaa ndani Anapofikaa anawashaa torch
yake ndogo nakuanzaa kukaguaa anapokagusa
kweny makabati anakutanaas na mafile mengi ya miakaa ya zmn sana zikiwemo hati mbali mbali na nyarakaa piaa.
"Mmh mbn hapaa kuna mamboo mengi hivii ilaa hayanthus ngoj nitafut kilichoniletas "Jay Alijisemea Moyoni
Akiangalkaa huku na kulee droo mojaa ambyo
ipo chini kbsa alipofunguaa alikutanaa na
documents nyingi sanaa ambazo ni kama
makubaliano ambayoo inaonekana kama madam Lindaa hakulidhikaa nayo maana alikuwa ameeandikas maneno ya kashfuu sana anamuaa kuzipigaa pichaa lkn jinaa ambalo lilikuwa limeandikwa pale Rashid Kephain na
Mrs Rashid Kephain. Mmmh Jay Anashidwa
kuelewaa kbsa hao watu nikinanani anapozidi
kupekuwa pekua anakutanaa na Taarifaa za
Mtoto Abdulh Ramadhani ambazo zimefatana na karatasii za makubaliano ya kifedhaa "Hizi fedha na uhakikaa ndo ambazo zilitumikaa Kipindi kilee Kumpataa Abdulh "Jay Alisema Lakini anapozidii kupekuwa anakutanaa na
karatasii zinazohusuu mauuaji yaa Mkuu wa
kituo cha kadogoo wa miaka ilee.
"Maauaji ?? Ivi inaamaanisha madam Lindaa Alifanya mauuaji na ni kwann afanyee Ivyoo Jay Alisemaa huku akikutanaa na karatasi nyingnee Inayoelezeaa tukio zimaa ilibidii apigee pichaa
karatasi zotee ili akasomee vizuri nyumbni
kwake anapomaliziaaa kurudishaa kilaa kitu
sawaa ghaflaa anasikiaa mlango unafunguliwaa
na mtu mwinginee aliyekuwa na mask pla
anaoneknaa kuingiaa palee na kuchukuaa document zotee ambazo zikuwaa kwenye drow
ya chini Mara siku ya yule Mask Man inalita tenaa na anapokes
"Ndio boss nmemalizaa naelekeaa kuzichoma ucji hapanaa mfanyaa kazi wako ata mmojaa
aliyeniona yule mask Man Alisema na
kusimama ili aondokee lkn alihis kama mahali apo kuna mtu, Jay alikuwa amejifichaa chini ya meza na uwo uwoo mdaa yulee mask Man Anashikaa kisuu huku akisogeaa mahali palee
Je mask Man Atamuonaa au Jay Atajifichajee maana Mask Man anakujaa na kisuu chakee mkononii Hahahah Jee Itakuwaje........
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi