Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
18 Oct 2025
263 views
VYOTE NDANI GONGA94
*MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π Chapter 12 "Jina gani hilo nikutafutiee ?"Saraaah Alisemaa huku akimsogeleaa Jordan Na Laptop
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
yake Mkononi.
"Naombaa Jinaa" Saraah Alisema.
Lkn Jordan Alikuwaa na hasira Lkn Alipotezea tuu.
"Jinaa Ni Rashid Kephain" Jordan Alisemaa.
Saraah kwa haraka sanaa alimgeukiaa Jordan na kumuangaliaa sanaa kwa suraa ya ukali kdg.
Jordan Alilitambuaa hilo jambo.
"Je unamfahamu uyo mtu"Jordan Alisemaa.
Swali hilo lilimtiaa kicheko Saraah na kusemaa
"Naitwaa Saraah Rashid Kephain" Ayaa sitaki usumbufu na uachee kujitafutisha majina ya watu"
Jordan aliogopaa sanaaa Ikn upnde wa Saraah lilikuwa jamb la kawaida kbsa maan alifahm ni matani ya Jordan tu.
Jordan alichukua simu yake na kwendaa njee na kumpigiaa Jay.
""Yes Hellow"" Jay Alisemaa.
""Jay Rashid Kephain ni babaake na Saraah"
Jordan Alisemaa.
"" What ?? Nini ??"Jay Alisemaa
Jordan Aliamuaa kumweleza kilaa kitu Jay. wawili hawa mpk waaliishiwaa pouse kbsaa.
""Nahisi hiyoo ndio sababu Ya madam Linda kumchukiaa Saraaah"kili kuwa ni kitu ambacho hawakutegemeaa kbsa.
Baada ya masaaa mawili Mr.Poul anaonekanaa kwendaa ofisini kuonana na Mr Jordan.
"Boss Jordan za kwakoo jmn mdaa umeendaa sanaa tumebakiza siku chache tupate wageni wetu sasa Mr poul Alisemaa.
Jordan Alitabasamu sanaa na kumuomeshaa kukubali kwake kwa kutikisaa kichwaa "Usijali
kbsa nakumbukaa pia Ikn watu wote wanatakiwaa kujiandaa vizuri na tuandaee saree ya kuvaa kbsaa I neee All Of Us To Be Smart
"Jordan alisemaa kwa furahaa kbsaa na kumsisitizaa kwambaa saree zitavaliwaa kulinganaa na vitengoo vyotee yaan kamaa ww kamaa upo kitengo cha ukurungezi utavaa yako.
Mr Poul alitabasamu kwa ukubwa zaidi maan alielewaa tuu kwambaa Jordan anahitaji sare mojaa na Saraah.
Jordan Akasemaa kwamba "Watu wa humu
ofisini watavaaa sare ambayo nitaichagua mm "ulizingatie kabsaa watu hao ni Sarah Mr poul na yeye Jordan.
Siku ziliendaa na siku ilifikaa wageni walikuwaa wengii sanaa kamaa kawaida usiye mpendaa au
kumtaakaa kafikaa asee hahhaa duuh
Kamati ya mapokezi inafanyaa kazi yakee watu
wanapokelewaa vizurii.
Madam Linda na Narshaa wanafikaa mahali palee lkn usiyemtakaa awe koswaa jamboo lake.
Madam Lindaa :Mdaa ndoo huu natakaa plan hii itimie bilaa kukosewaa.
Narshaa: Hahah ucjl kbsa wachaa wajionee.
Mpango wao ni kwambaa Hapo walipo wapo na
madawa ya kulevyaa ambayo yanatakiwaa kuchanganywa kweny wine ya saraah ili Saraah alewe aharibu Tukio iloo ukizingatia Saraah hajawah kbsaa.
Ayaaa mdaa unaendaa Wagawa wine wanapogawaa wine ya Saraah ipo pale pale na Saraah anapokeaa winee ile ilee
Vp itakuwejee atakunywaa na baada ya kunywa atalewaa vp itakuwaje hahaah m sifahamu
Itaendelea....
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MIMI SIKUACHIπ₯° 19 MPAKA 20
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fat...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. ...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona j...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
*MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π Chapter 12 "Jina gani hilo nikutafutiee ?"Saraaah Alisemaa huku akimsogeleaa Jordan Na Laptop
yake Mkononi.
"Naombaa Jinaa" Saraah Alisema.
Lkn Jordan Alikuwaa na hasira Lkn Alipotezea tuu.
"Jinaa Ni Rashid Kephain" Jordan Alisemaa.
Saraah kwa haraka sanaa alimgeukiaa Jordan na kumuangaliaa sanaa kwa suraa ya ukali kdg.
Jordan Alilitambuaa hilo jambo.
"Je unamfahamu uyo mtu"Jordan Alisemaa.
Swali hilo lilimtiaa kicheko Saraah na kusemaa
"Naitwaa Saraah Rashid Kephain" Ayaa sitaki usumbufu na uachee kujitafutisha majina ya watu"
Jordan aliogopaa sanaaa Ikn upnde wa Saraah lilikuwa jamb la kawaida kbsa maan alifahm ni matani ya Jordan tu.
Jordan alichukua simu yake na kwendaa njee na kumpigiaa Jay.
""Yes Hellow"" Jay Alisemaa.
""Jay Rashid Kephain ni babaake na Saraah"
Jordan Alisemaa.
"" What ?? Nini ??"Jay Alisemaa
Jordan Aliamuaa kumweleza kilaa...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mtamu-toka-utotoni-sikuachi-chapter-12-jina-gani-hilo-nikutafutiee-saraaah-alisemaa-huku-akimsogelea
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mtamu-toka-utotoni-sikuachi-chapter
MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π Chapter 14&15 Wawili hawa walichukua Garii Lao na Kwenda Nyumbani Wanapofikaa Nyumbn wanaonekana wakipiga leo story
MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π Chapter 13 Mda unaenda Wine zinaanza kugawiwaa na Wine Ya Saraah Ipo pale Pale Saraah
*MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π Chapter 17 "Hahahaha kumbe sikujua kama hataa Madam Lindaa Na Wewe utanisalitii Sasa Naombaa
MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π Chapter 7 Baadaa ya Narshaa kukutanaa na kofii la Jordan, Jordan Anaondokaa na kumuachaa akiwaa
MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π Chapter 9 Baadaa ya Saraah kupewaa matibabu yale yaliyokuwa chini na usimamizi wa Dr Abdulh, Dr Abdulh Anaamuaa Kumfata Saraah Katika kile Chumbaa
*MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π Chapter 18 Mida Ya Asubuhi Mr Mask Anaonekana Kuwafatiliaa Kina Madam Linda Saraah Na Jordan. Leo.Mr Mask Anaonekanaa Kutembea
MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π Chapter 8 Jordan kwa maraa nyingn anamuonaa Saraah tena akiwa amefumbuaa macho