MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π Chapter 9 Baadaa ya Saraah kupewaa matibabu yale yaliyokuwa chini na usimamizi wa Dr Abdulh, Dr Abdulh Anaamuaa Kumfata Saraah Katika kile Chumbaa
"Saraaah mm nakupendaa sanaa mm ndiye rafiki wa utotoni mwako Saraah nakuombaa sanaa ukubali upendo wangu maana nakupendaa sanaa Saraah "Dr Abdulh Alisemaa huku akisubirii jibu kutokaa kwa Saraah..
Saraah Mahali alipokuwa amekaa Kwa mbali kidogo Jordan anaoneka akiwa amesimama njee ya gari huku anaongeaa na simu Saraah alimuonaa na kitikisaa kichwaa.
"Saraah Saraah ivi mm naongea wewe uko busy na kuangaliaa mambo yako Dr Abdulh Alisemaa huku akiwaa na hasira saanaa
Saraah kwa jicho la hurumaa alimuangalia Dr. Abdulh Na kumwambiaa ivil yawezekana Abdulh wa zamn na wasasa wakatofautina tabiaa, ilaa hapana sijasemaa kitu naombaa nipumzikee sipo sawaa kabisa mwili wangu unaumaa sanaa.
Dr Abdulh anaishiwaa neno na kutokaa ndani. yaa chumbaa kilee anapofikaa njee anakutanaa na Jordan Kaka mtanashart sanaa ambay alikuwa akimsubirii njee.
"Mr Fake vp mrembo wangu anaendeleaje" Jordan alisemaa huku akitoa tabasamu la kejell kwaa Dr Abdulh.
'Yupo salama Ikn amepumzikaa ivi unahis utaweza kumchukuaa Saraah mikononi mwangu m ndiye Abdulh anaenipendaa tokaa utotoni na sio wewe "Dr Abdulh alimjibu huku akiwa na tabasamuu kubwaa kbsa.
Wawili hawaa waliishiaa kuchekana kwaa dharauu sanaa na wote kuondokaaa sehemu ilee.
Matibabu ya ABDULH yaliendeleaa kamaa kawaaidaa Ikn mdaa mwingi yalifanyikaa akiwaa na Dr Abdulh,kwa mdaa uwo wote bado waliokuwaa pamojaa bado Saraah hakuweza kumkubaliaaa.
Ni Baada Ya Mwezi Mmojaa.
Saraah anaoneknaa akiwa anatokaa hospitali na Afyaa yake njemaaa kbsa.
"Ni muda sasaa wa kurudi kazini tenaa "Saraah Alisema huku akiwaa nafurahaaa sanaaa.
Mda huo huo, Nasraa Pamoja na Madam Lindaaa wapo wamekaa katikaa Bar kubwaa apo Sarvaana Arushaa.
Narshaa anasemaa Taarifaa zimefikaa Saraah ametokaa Hospitalin leo, kwasasa sijui Jordan Anampango gani tenaa na Saraa".
Madam Lindaa anaamuaa kutabasamuu sanaa. "Huu ndio mdaa wako sahihi sasaa Narsha chamgamkiaaa fulsaa Madam Lindaa Alijibuu.
Saraah anaonekanaa kurudii pale nyumbn alipokuwa anaishi na Jordan Anapofunguaa mlango tu anakutanaa na Jordan ambay ameevaal vizurii kamaa kuna mahali anakwendaa.
'Ooh sawa karibu ndani mm naondokaa nawah kazin tutakutanaa badaee" Jordan Alisemaa.
Sarah bilaa kujibu lolote kwanza aliwazaa moyoni akisema Hii sio kawaida kbsaa ya Jordan kuna nn mmmh ilaa hayaanihusu" Saraah alimkubaliaa Jordan kwaa kusemaa 'sawaa ntaanzaa kazi keshoo".
Jordan alitokaa njee na kuwashaa garii lake huku akitabasamuu tuu na kutingishaa kichwaaa.
Saraah akiwa mulee ndani anapokea simu ya wazazi wake waliopo kule marekani. "Mom Daddy nmewamiss sanaa natamn kuwaa na nyinyi mdaa huu. Saraah alisemaa huku akiwa na tabasamu kubwaa sanaa.
"Nasi piaa tumekumiss natamn uwaahi kurud nyumbani Wazazi Wa Saraah walijibuu. Mazumgumzoo hayoo yaliendelea kbsa na walimuombaa Saraah kujijali kwa afyaa aliyonayoo.
Upande wa Airport Jordan anaonekana kumuagaa Jay ambaye kwa maongezi yake anaonekaa kbsa kuwaa anamsaidiaaa Jordan "Yote haya Yanafanyikaa lkn bado kunasirii nzito ambayo haijulikani hapaa nawazaa ni kwann madam Lindaaa afiche ukweli juu yako Jordan na ni kwann mpk sasa hamtaki Saraaah anamkubali sanaa Narsha ni kwann ??" Jay anamwambia Jordan huku akiwa Airport kurudi Jijini Dar alipotokea. Jordan alijibu kwa tabasamu na kusemaa "Ni
ajabu kweli ilaa usijalii yote hayaa yatakuwaa wazii kamaa tukipamban kujuaa ukweli unarudi dar kwaa ajili ya kufuatilia kwahiy pambanaa huku ntaakaa na Saraah kwa akili najuaal ataumiaa mwanzoni namnaa ntakavyokuwaa kwake ila yote na fanyaa ili tuu kumsaidiaa yeye." 'Hahaha Pambana kaka piaa mtamu wako tokaa. utotoni usije muachaa "Jay Alisemaa huku akimuagaa Jordan.
Safari ya Jay ilikuwaa inaanzaa baadaa ya masaaa machache Na Jordan Anarudi Ofisine kwake.
Sasa Story Yenyew inaanziaa hapaa maan kilaa kitu kitaendaa kufahamikaaa na ukweli wote utakuwaa wazil kwaa maana Jordan katiaaa. Niaa Tayr ya Kumpataa Saraa huku akisaidiwaa. na Jay usisahau Na upande wa Narshaa, Madam Lindaa na Dr Abdulh wanaonekanaa wote kupambnaa piaaa maaana hakunaa wa kushidwaa.
Upande wa Saraah nae ni muda wake wa kufahamu nani ni Abdulh wake wa zamn au atakubalii kuwa potezaa wotee kuwapataa wotee au kupataa mmojaa katii yaoo ambay atakuwaa wa kwelii.
Hahaha Game ndo linaanzaaa ivoo tukutanee
katikaa sehemu ya kumii ili kufahamu zaidiii Itakuwajeee weweeeeh karibu kweny sehemu ya kumi...
Itaendelea....
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi