Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU sehemu ya 36 & 37
Gonga94 · Stories

MY WANGU sehemu ya 36 & 37

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Nilitoka njee nikiwa na hasira sana na machozi yakinishuka . Uku moyo unauma sana . Asee naona mlig ananifata. Eti simama please simama. Tuongeee farid nyie niligeuka na kibao.

Sitaki kukumbuka ata zile nguvu nilizipata wapi .Yani nilimpiga kibao cha maana. Mlige akashika shavu ata haamini. Akasema faridah please nisikilizeeee. Yani hajaongea lolote nikamtandika kibao cha pili.

Nyiee hii siku nilichafukwa mno. Mnajua uyu baba kanipita umri mnooo. Ila nilimuona kam mtoto. Nilikuwa na hasira sana. Niliumia sana .kiukweli nilimwambia mligi. Kuanzia leo mm na ww basi. Mligi akasema hapana sio kweli we nipige tu unavyotaka ila nataka tuelewana nakupenda farida ntakuelezea mengine mke wangu please . Mi sikutaka kumsikiliza nilimsukuma kw nguvu mpaka akaanguka chini

Kisha mimi sikugeuka tena nyuma nilikimbia sana kuelekea nyumbani nililia mnoo uko njiani . Moyo uliuma. Jamni niliumia moja kwa moja mi nilienda kwa kina yusta kwanza mana nilihisi namuhitaji kwa uo mda .nilimkuta nje kwao anaosha vyombo. Yani nilifika nikajibwaaga chini nikaanza kulia kwa nguvu. Tena kwa kwikwi mpaka natetemeka . Nyie yust alishanga akaniuliza farida vp .umefiwa kwani. Nikasema yust simtaki mlig. Simpendi na namchukia sana . Simtaki mimi ata kumsikia .nililia nyie yusta akiniinua kwa akuniburuza akainiingiza chumbani kwake. Nililia jamani . Mpaka yusta anambia taratibu basi utajiumiza kwani shida nn. Nilimwambia mlige mlige alikuwa ananidanganyaaa. Nyie nilimuelezea yista kwa kulia na nikiwa na mchungu sana moyoni yani nilikuwa nalia mnooo. Yust akasema yani uyu mlige kumbe ana date kweli na zahara na mimba ni yake. Nikasema ndio ni kweli kabisa

Mnajua ata yust alinionea huruma sana. Mana anaelewa kabisa ni kwa kiasi gani mm nampenda mlige. Yani yust anaelewa sana .ni kwa jinsi gani nampenda yule baba. Mapenzi yanauma sana. Nililia sana😭😭😭😭. Nikisema sitamini kuwa nae tena .namuona ni mwanaume muongo na. Asiyekuwa na msimamo. Mana mm na mlige tuna kama miez 6 tupo katika mahusiano. Alafu yule madame alisema mimba yake ni ya miezi 3.Nikajua kabisa kuwa mlig kanisaliti apa kati. Na wala sio mm nimewaingilia katika mahusiano yao. Niuliumia sana ila yust alinituliza sana ila kiukweli sikuwa sawa .jioni ilibidi niondoke tu. Mana nilijua mama yake yust ataludi na akinikuta katika hali ile itakuwa sio sawa. na yista akanisindikiza mpka kwetu.

Ase nilivyofika nyumbani nilijikaza mama asijue ila mama aliponiona alinliza shida nn mbona kama haupo sawa..Nikasema hamna mama mbona nipo powa tu . Ila wapi nyie . Niliingia chumbani kwngu nililia kweli kweli mpaka pressure jlikanipanda. Na pumu ikaja nikawa napumua kwa shida mnoo. Nyie kumfumania mwanaume au mwanamke unayempenda kunauma mnoo. .yani mpaka.kupumua kulikata.mama aliponiona alichanganikiwa. Akamuita mzee .bibie mimi nikabebwa mpka hospitali. Yani ile kufika tu .niliekewa dripu tatu za maji Apo apo. Nyiee nilibanwa aseee yani mlige alijua kunikomesha a. Wazazi waliangika na mimi pale siku nzima.na nikalazwa kabisa. Nikaja kutolewa kesho yake j pili jioni kabisaa. Ase bado sikuwa saw kabisa. Mpaka amma alisema mh hii homa kweli imekukamata mwanangu kesho nitampigia simu mwalimu wako mligi kumpa taarifa. Nyie nikamwambia mama ukimpigie mlige mwambie sipo nyumbani . Mana hapendi uteseke wakati upo nyumbani labda uwe hospital na ulazwe . Nilisema hivyo ili uyo mlige asije akaja kutaka kuniona apa nyumbani.

Basi bwana kma masihara shoga yenu sikuenda shule homa bado ilinikamata mno nikawa naendelea nayoo. Ila sasa jioni yusta ndio alikuja kuniona akanisalimia pale . Bado alikuwa sawa nilikuwa mnyonge mno. Akanmbia pole sana shoga. Ila lazima upige moyo konde na maisha yaende. Faridah ww ni mzuri sana . Yani ww ni mzuri aswaa una sura .una shepu na tabia nzuri huwezi kukosa mwanaume. Kama yeye anakuona cha nn wapo kina fahidi mwanajiuliza watakupata lini. Nikasema sawa bwana..akanmbia sikia mlige kaniita leo ofsini kwake..et ohhhh kwa nn shoga yako hajaj shule.
Wala.sijambakisha nimemchamba apo apo. Nimemwambia ukweli.nimemuacha ofisini mimacho kodo. Nimemwambia kabisa sababu ya ulichomfanyia kapata na homa..nikasema yan yust mimi simtaki tena yule mwanaume simtaki kabisa ni muuaji kabisa. Yani simtaki kabis kwenye maisha yangu. Apo naongea uku nalia . Basi yust akaanza kunibembeleza akanmbia bassi nyamaza haitajiyokea tena hii kuwa na amani. Basi nikatulia na jioni akaludi kwao.ila sasa usiku mzima nalia tuu
Yani kila nikikumbuka mahaba ya mlige mwenzenu nabaki kulia japo kimya kimya yani silalai nakula kwa tabu na kulia ndo sana.mama anshangaa kila nikiamka.naamka na homa..na sikuenda shule week 3Homa haishuki kabisa mapka mama akawa anachanganikiwa.

Basi baada ya week 1 . Ndo kidogo nikaona moyo umepoa . Yan apo na yust ndio alikuwa ananipa maneno ya furaha. Na alishanambia ntapata tu mwanume mwengine mzuri tu na tutapendana . So nikaona acha nisome bwana mapenz yashanishinda nisije nikaalibu na shule. Basi juma tatu ya iyo wiki ndo nikajikokote nikampitia yusta ila nilikuwa nimekonda sana .week 3 nilibaki kama mti yote mapenzi. Basi hii siku sasa ndo nikaingia shule ila kiukweli mi binafsi nilishajizatiti kuwa simtaki tena uyu mlig ..namuachia tu na mtu wake wazae. mpka washatiana mimba asa mimi nna nini. Akaa wala.sina . Sio siri nilionana na mlige uso kwa uso. Ila mlige ndio alikwepesha macho kunitazama .mi sikujali na wala sikumfatilia na mda wa darasani mi nikaingia zangu darasani. Yani ile tunaingia tu darasani. Kaja mwanafunzi anambia farida anakuita sir mlige ofisini kwake. Nikasema kamwambie faridah kasema hataki na ukome kumjua kama ulivyokoma katika zima la mama yako. Nyiee nilikuwa nna hasira nae kisha anakuja kuniita nini. nikaona yule mwanafunzi kama anagwaya kwenda kumwambia Nikamwambia unangoja nn ebu nenda kamwambie mlige hivyo. Mwambie ayo maneno kayasema faridah basi kale katoto kakaenda kwa mkuu. Sasa sijuh alimwambia aje laa. Sijuh kabisaa.

💗💗💗💗💗💗💗💗💗

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU sehemu ya 36 & 37

Nilitoka njee nikiwa na hasira sana na machozi yakinishuka . Uku moyo unauma sana . Asee naona mlig ananifata. Eti simama please simama. Tuongeee farid nyie niligeuka na kibao.

Sitaki kukumbuka ata zile nguvu nilizipata wapi .Yani nilimpiga kibao cha maana. Mlige akashika shavu ata haamini. Akasema faridah please nisikilizeeee. Yani hajaongea lolote nikamtandika kibao cha pili.

Nyiee hii siku nilichafukwa mno. Mnajua uyu baba kanipita umri mnooo. Ila nilimuona kam mtoto. Nilikuwa na hasira sana. Niliumia sana .kiukweli nilimwambia mligi. Kuanzia leo mm na ww basi. Mligi akasema hapana sio kweli we nipige tu unavyotaka ila nataka...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-36-37

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

949
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

211
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

198
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

192
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

190
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

184
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

136
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

136
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

120
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest