Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU sehemu ya 38 na 39
Gonga94 · Stories

MY WANGU sehemu ya 38 na 39

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Ila hakunifata na wala hakutuma mtu mwngine. Kiukweli kwa hii siku mawazo yalikuwa ni juu yake tu.nilijitahidi kusoma lakini hakuna ata kimoja ambacho nilikiangua . Moyo unauma . Kuna mda chozi linatoka..nikimuona tu naumia. Mpaka yust alinambia hapana farida unakosea mno . Ebu kaza moyo aya . Ebu fanya aya mambo yameisha bwana. Poza moyo wako . Mie nikasema sawa . Basi sikuwa sawa tu . Heee mda wa mchana kilikuwa ni kipindi cha madame zahara. Nakwambia alikuja kwa mbwe mbwe. Tena tumb mbele yani kajitunisha kunionesha kwamba mimba anayo na anatamba nayo. Basi akafundisha nakwambia . Et oooh umu darasani kwen kuna joto sana sio kama kwenye gari la mlige kuna ac kali mpka rahaaaa. Alafu anafanya kuniangalia uku anacheka. Alijiongelesha sana .kiukweli somo lake ndo sikumsikiliza ata kidogo. Alipomaliza uyo akaondoka zake. Aseeee nijitu kuanzisha masomo shuleni.

Basi bwana mda wa kutoka mie na yust taratibu tukaaamza kuelekea nyumbani . Yani sikuwa sawa. Yusta ndo alikuwa ananipa moyo. Alinambia sikia shusha moyo wako. Shusha akili yako na kubali matokea shogaa. Wewe sio wa kuanza kufanyiwa ushenzi na uyo baba. Ata mm mbona alonitoa bikra sio nliekuwa nae leo. Sometime kuna watu wanapita tu katika maisha yetu na ayo ndio mapenzi . Yanakuwa na changamoto zake nyingi. Ebu fungua moyo wako farida. Achana na mlig. Alisema hivyo najikuta moyo unauma naanza kulia aseeee mapenzi . Kwa ule mda skuwa na hamu nayo. Na nilivyo mdogo . Wao ni wakubwaa bado nahisi kama nilikuwa na kihere here.na mwenyewr ndo najitoa .nikiangalia mwenzangu mpaka.ana mimba. Basi zilipita siku 4 Sikutaka kabisa kuongea na mlige yani skuwa natkaa kabisa . Mala ananitumia uyu. Mala.anakuja uyu. Ila hamuwezi amni ata yeye alipungua. Nikawa namuona ata hana rahaa. Akawa hachapi chapi. Wala matangazo haji kutoa.ni watakuja kina sir tupa tu tunaruhisiwa hivyo.

Kesho yake . Asubuh sana nilijiandaa kwenda shule sasa. Nikavaaa vizuri nikachukua begi langu taratibu nikaanza kuelekea kwa kina yust .yani ata sijafika kwa kina yust mitaa ya kati. Nashngaa nakuta gali ya mlig. Mh nikawa najiwazia hii si gali ya mlige ama sio. Ata sijajibu vizur akashuka bwana..et kaja kuningojea mtaani. Mie nikasimama. Akaja mpka nilipo. Et naomba tuongeee kwenye gari farida. Nikamuuliza we unaona mm mshamba wa gari sana . Sababu baba yangu ana gari ama nn. Mh mlig akabaki kimya kwanza. Nikamwambia mm sina shida kabisa ya kupanda kwenye uo uchafu wako ambao kila mwanamke anapanda anavyotaka. Mlige akasema naelewa una hasira sana faridah ila nishakupa week.3 hazijapoa mama. Utaniua farida utaniua. Naomba tuongee na tuliweke sawa . Farida unashindwa kuelewa tu nakupenda sana . Nakupemda mno farida

Mimi sio mnafiki farida. Ntakubali kosa tu. Ni kweli nimekosea .ni kwrli nilikuwa na cheat na zahar ni kweli mma yangu..ni kweli ile mimba ni yangu. Lakini sifurahiii kabisa nikiwa nae. Simpendi mimi zai. Ni tamaa tu za wanaume farid. Nisamehe mama yangu sitarudia nimekosea farida nakupenda. Et akanipigisha na magoti . Ni chini kabisa. Aalafu kuna lile dongo jekundu. Nikamuuliza umeshamaliza. Akambia siwezi kumaliza faridah mpka mm na ww tutakapoelewana tena. Nikamuuliza unahisi sitongozwi una hisi nna ziki sana ya wanaume .labda nikwambia haijawahi kupita siku sijatongozwa . Ni vile niliamua kuwa na ww tu na sio kwamba ww ni wa. Maana asana. Kama nilikuamini na nikakupenda na nikakusikiliza kwa kila kitu na ukaja ukanilipa aya. Na ulivyo huna aya unasema kabisa et nisamehe nilikusaliti . Sasa utakula malipo y usaliti wako.

Mlig sikutaki na sikupendi tena . Naomba ubaki mwalimu wangu . Na naomba ukae mbali na mm nisije kukuzalilisha..nyie uyu bab alikuwa hajui kama. Mm naongea hivi. Si alikuwa ananiita cha upole.
Sasa ndo nilimuonesha kuwa mm sio mpole. Et anataka kunishika mkono. Nikamwambia nishike nakuitia mwizi hii asubuh wanakijiji wakunyoshe mshamba mmoja ww. Yani na iki kigari chako unazani utanibabaisha mimi labda mimi sio farida Mlig alibaki kaganda ata haaamini kama yale maneno mie ndo nimeyaongea. Ase nilikuwa na hasira na uyu baba. Yani nilikuwa na hasira nae mnooo. Mi nikamuacha pale .ata yust sikumpitia tena moja kwa moja nikaenda shule. Na hii siku wala sikumuona shule naonaa alienda kwake mana kwanza nguo zake zilichafuka wakati anajiombesha msamaha pale. Na mimi ndo sikuwa na habri nae kabisaa. Khaaa ananiletea ustar. Ila bado sikuwa sawa kabisaaaaa. Basi mda wa saa 5 Tukaenda kantini kula tukaagiza bagia tukawa tunakula taratibu.

Uku tunaongea . Atleast leo nilivyo mpa vichambo yule baba. Nikapata amani. Basi nakula.sambusaa heee madame zahara kaja. Akanmbia yani we binti ww. Nakuchukia sana yani www ndo wa kumfanya mlige anatanitafutia sababu za kuniamisha shule eeeh . We mtoto mchawi eeeh. Mie kimya. Yustaa kasema alafu ww madame unamuonea sana faridah sababu ni mpole. Eeeh. Sasa hizo si kesi zako ww na mlige. Yeye anahusikaje. Eeeh yeye anahusikaje. Wewe si bwna ako mlige. Mpaka umembebea mimba ya leo mnatka kuamishana vp. Madame zahara aksema ww unanijibuje ntakuwasha makofi. Yusta akasema thubutu ebu jalibu nikuzalishe apa. We unazani mm kama farida eehhhh. Uhu ni moto mwengine. Alafu uyo mlige hakuitwa kuja kwa faridah. Alikuja mwenyewe na mpumbu yake akamtongoza sawaaa. Nikasema yusta ebu muache mbona namuweza uyu. Nikamwambia kwanza uyo bwana ako leo alinipigia magoti anaomba msamaha habari iyo unayo? Anajiliza kama mtoto mdogo . Anautaka utamu . Itakuwa kuma yako haimvutiii. Yangu tamu ndo anaing'ang'ania. Alafu sasa kanikuta mtoto wa kisukuma sina mda nae tena. Nimekuachia aya mtulize bwana ako aache kuniangaikia na kunitumia watu. Madam zai akasema nyoo mpumbavu ww. Kwa kuma gani iyo inayonuka mkojo ata kuosha ujui. Nikasema sasa bwana ako alikuwa anataka kuilamba mda wote. Nikamkatalia ananuna habari unayo?

Madame zahara akanipiga kibao. Heee yusta akataka kumludishia et.nikamshika mkono nimamwambia muache anatafuta sababu ya kutoka mimba yake. Alafu mm simtoi na simpigi ata . Ila namuachie abaki na iyo mimba mana ndo ina mpa chance ata ya kuongea na mlige ila sasa mtulize bwana. Kisha nikamwmabia yusta twende class. Na yeye akanaki hajiamini. Mie nikainuka na yusta . Tukabeba sambusa zetu awoo daradani . Tukawaacha wanafunzi wanamshangaaa ..na mihasira yake. Tumefika daradasani yusta akasema doooh umenifurahisaha ww. Nikaanza kucheka .akanmbia ila umejua kunichezea binti ww . Yani kashangaa ata haamini. Alafu kama mligell anataka kumuamisha basi mlig hampendi uyu. Itakuwa alijipeleka akatimbwa tu. Mie sikutaka ata kujua habari zao.nikamwabia shoga achana nao washamba awaa na mambo yao nasie tuendelee na story zetu. Basi kweli tukawa busy na mambo yetu.

Basi ilipita siku 3 tena madam zai ana hamu na mimi. Akinion ananinyali tu uyo anapita mie kimya. Uyo mlige sasa anavyokuja darasani kwetu mala ooh nimekuja kuwasalimia wanafunzi wangu. Mie kimya sina ata habari nae. Alafu sasa mpaka yusta alimgwaya yani wote hatukuwa na mda nae. Akiingia tunajifanya tuko busy .basi nanaingalia kwa huruma .mie njifanya sina mda nae kabisaaaa. Yani niko busy kweli kweli na mambo yangu. Basi naona madame zahara alienda kuwasimulie madamwengine jamani . Nilikuwa nachambwa na kila madamess. Yani kila madame hanipendi . Ni wananipiga mafumbo kweli kweli. Mi nikaona bwana yatapita aya kwanza bado miezi 5namaliza kidato nitapumzika zangu tu nyumbani wala hakuna shida.


💗💗💗💗💗💗💗💗💗

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU sehemu ya 38 na 39

Ila hakunifata na wala hakutuma mtu mwngine. Kiukweli kwa hii siku mawazo yalikuwa ni juu yake tu.nilijitahidi kusoma lakini hakuna ata kimoja ambacho nilikiangua . Moyo unauma . Kuna mda chozi linatoka..nikimuona tu naumia. Mpaka yust alinambia hapana farida unakosea mno . Ebu kaza moyo aya . Ebu fanya aya mambo yameisha bwana. Poza moyo wako . Mie nikasema sawa . Basi sikuwa sawa tu . Heee mda wa mchana kilikuwa ni kipindi cha madame zahara. Nakwambia alikuja kwa mbwe mbwe. Tena tumb mbele yani kajitunisha kunionesha kwamba mimba anayo na anatamba nayo. Basi akafundisha nakwambia . Et oooh...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-38-na-39

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

934
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

210
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

194
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

190
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

187
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

178
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

133
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

118
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

116
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest