Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU sehemu ya 40
Gonga94 · Stories

MY WANGU sehemu ya 40

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nyieee mlige hakuamini ukapita mwez atuongei .tena bola ya mm nilianza kupona na moyo ukawa unatulia. Na ata nyumban nikawa na raha na nikaludi katika hali yangu ha kawaidi. Nyie yye kila siku ndo anazidi kuwa mojaa. Yani mpaka yusta alinambia wr unajua mlig anakonda sana . Ama ana matatizo ya kifamlia au mapenzi yako ndo yanamtesa. Nikasema matataizo ya kifamilia itakuwa . Sikuwa na habari nae mie.

Basi siku iyo nipo class. Akaja kunifata sir tupa . Et samahani faridah njooo. Asa mie sir tupa mshikaji wangu tu. Wala sikuona shida nikanyanyuka basi sir tupa akanmbia nifate. Mie nikamfata. Na kweli tukaenda mpaka muembeni nikakuta kuna viti 4 Akanmbia kaa apa.mie nikakaa . Kisha na sir tupa akakaa. Hee mala namuona mligna yeye anakuja kaisha yani mpaka anapepeseka . Kaja nae kakaa .nikajua mh kumbe anataka kumuongelea uyu mpumbavu. Sir tupa akanmbia faridah mwanangu. Unamuomuona mshikaji hali yake. Si unamuona. Utamuua yaishe basi . Yaishe plssss. Unajua farida wanaume tuna tamaa sana. Wanaume tunacheat na kusaliti sana. Lakini haimanishi hatuwapendi tulionao. Farida ni kweli jamaa kakosea. Na uyu ni mkubwa kwako lakini haimanishi hakosei anakosea .na anapokosea anaomba msamha. hakuna lisiloisha farida fungua moyo. Apo mlige kabaki kimya anaingalia kwa huruma mno

Mie nikamuuliza sir tupa hili ndo uliloniitia apa. Mlig akasema farrida tuyaongee mama angu nakupenda sana . Nakuhitaji sana. Nna malengo na ww. Mm bila ya ww faridah siwez . Nimekosea faridah nisamehe plsss nakupenda mama yangu. Sir tupa akasema faridah acha hizo ona mtu mzima analalamika kwa ajili yako. Farida utalaniwa . Sio sawa bwana ebu msamehe jamana. Madam zai ashobo nyingi sana tu. Wala jama hamtaki na atahudumia mtoto wake tu. Na muda sio mrefu ana hama apa. Ebu tuliza hasira alafu msamehe jamaa.kwani humpendi mlig ww. Mbona ata ww unampenda sana. Ebu msijitese bwana sameaneni yaishe yanaongeleka aya faridaah .nimamuuliza sir tupa umemaliza . Sir tupa akasema sikiliza..... ata hajaongea kitu mie nikanyanyuka zangu. Nikaanza kurudi darasani. Eeh nashangaa mlige kanikimbilia kanishika mkono. Machozi yanamtoka.et ooh farifa anmbie nifanye nn nambie mke wangu. Nimekuzoea sana farida. Nikamwambia labda uachane na mm na ufate maisha yako.kisha nikamputa mkono uyo nikaingia darasani.

Aseee po ndo ukawa mwanzo wa tupa kuanza kunibembeleza nimsamehe mlige. Ila sikutaka nilikaza kweli kwrli. Kuwa simtaki yani simtaki tu sfanye maisha yake. Basi ikawa hivyo mapaka ikakata week 3. Apo nna bifu na madam kweli kwrli. Sijuh na wao walikuwa wanamtaka mlige sijuh ni bifu tu . Ata sikuwa nawaelewa yani basi tu. Siku iyo sasa tunaludi shule nipo na yusta. Mh nikasimamaisha na mkaka mmoja yupo na kidato cha nne anaitwa hali . Nyieee uyu kaka nae alikuwa ananifatilia sana ila sikuwahi kuwa na mda nae kabisa. Ata mda wa kumsikiliza mie sikuwa nampa.

Basi nikamwambiaeeh unataka nn. Akanmbia faridah mbona hivi lakini. Unajua kila siku nakueleza nakupenda sana . Nakuhitaji sana faridah mi nakupenda mama . Ebu nipe nafasi kidogo tu nikuoneshe kuwa nakupenda.basi mie nikajikuta tu nimetabasamu . Niamwambia aya bwana mie now nna harka naludi nyumbani ayo mengine tutaongea kesho.kisha wala sikuendelea kuongea nae. Nikaondoka zangu na shogaa. Basi kesho yake nakumbuka nipo class nikaletea barua na mtoto wa kidato cha kwnza. Mh mie nikaifungua ila barua nikawa naisoma uku shoga yangu yusta yupo pembeni . Mh ile barua iliandikwa " nimefurah sana jana kupata nafasi ata ya kuongea na ww. Mana siku zote ata kunisikiliza hutaki. Lakini jana ata nimekushika mkono wako. Farida we ni mwanamke mzuri sana. Unanichanganya kila nnapokuona naomba sana leo tukiruhusiwa tuongee. Unanichanganya sana mama asa kasura chako na shepu lako" wala hakuandika jina ila ilikuwa inatoka kwa hassani nikajikuta nacheka tu. Kheee nikaanza kuikunja ile barua ata sijamaliza kuikunja ikavutwa .mh nikastuka nacheki ni madam mmoja anaitwa lissa . Uyu madam ni boya kinoma .nikajua nimeisha

Heee madam akasema yani ww mimi nimeingia darasan naongea ww unaangalia hii karatasi mpaka unacheka ina nn hiii. Heeer akaifungua akaanza kuisoma nyiee. Akasema dooh kumbe ndo mana una dharau ushaanza mapenzi eeh. Nyie yule madam akanichapa bakora kalibia tano Pale pale.kisha kanmbia njooo. Heeee et nakupeleka kwa mkuu mshenzi mkubwa . Utaenda kumtaja mpumbavu mwenzio kwa mkuuuu. Nyieee nikaona uku ndo kinaenda kuumana kabisaa. Basi uyu akanikwida mpaka kwa mligee. Tukamkuta mlige ofisini anachezea pc. Alivyotuona akashngaa akasema madame vp kumekuajee. Madame akasema yani mwalimu uyu mtoto hana adabu kabisa.mimi nafundisha yeye yupo Bus anasoma vibarua mpka ancheka .na vibarua vya wanaume. Mh mlige akasema iko wapi iyo barua . Madame massa akampa ile barua mlige akaisoma kisha akasema massa muache uyu we nenda. Nyie massa alivyotoka tu. Mlig akavuta fimbo kama 3 nene na nzuri. Mnajua uyu baba alishaacha kunipiga mda sana. Ila hii siku akachukua fimboa aknmbia nyoosha mikono. Nikanyoosha akanza kunichapa kwa nguvu na kwa hasira. Na mm hii siku wala sikulia wala sikumuonesha uoga nilikaza kweli kweli. Alinipiga jamani yani alinipiga mpka namuona yeye ndo analia. Akaniacha kisha akakaa kwenye kiti akatoa kitamba analia kabisaaa. Yani ile kwa sauti japo ni ya chini. Nyie heeeeeee

Maoni

You're not logged in


Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU sehemu ya 40


Nyieee mlige hakuamini ukapita mwez atuongei .tena bola ya mm nilianza kupona na moyo ukawa unatulia. Na ata nyumban nikawa na raha na nikaludi katika hali yangu ha kawaidi. Nyie yye kila siku ndo anazidi kuwa mojaa. Yani mpaka yusta alinambia wr unajua mlig anakonda sana . Ama ana matatizo ya kifamlia au mapenzi yako ndo yanamtesa. Nikasema matataizo ya kifamilia itakuwa . Sikuwa na habari nae mie.

Basi siku iyo nipo class. Akaja kunifata sir tupa . Et samahani faridah njooo. Asa mie sir tupa mshikaji wangu tu. Wala sikuona shida nikanyanyuka basi sir tupa akanmbia nifate. Mie nikamfata....

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-40

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

932
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

208
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

194
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

190
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

187
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

178
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

131
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

118
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

112
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest