Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU sehemu ya 41 na 42
Gonga94 · Stories

MY WANGU sehemu ya 41 na 42

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Yani nilimuangalia kwa hasira na sikut jali. kweli kanidunda yani mpaka mkono nahisi umekufa ganzi alafu alikuwa ananipiga kwa hasira sana. Yani kwa hasira mnoo. Ila nilikaza ata chozi langu akuliona ila analia yeye. Akanmbia unafanya hivi kuniumiza sio. Umeanza na wanaume sio. Nambie farida umeanza kuwa na wanaume wengine . Hunitki tena mimi mama . Nambie faridah. Mi sikumjibu kabisa nikanyamaza kimya. Akanmbia uyo mtoto wa kiume ni nani. Nakuuliza wewe ni nani. Nikamunaglia kwa dharau nikampandisha nikamshusha kisha nikasema na mm simjuh uyo mwanaume.

Akanmbia unanijibu hivyo mm nakuuliza ww unanijibu mm hivyo. Nikasema ndio kwan wewe nani . Kwani unzani nakuogopa mm. Ilikuwa zamani sio sasa sikuogopi ata kidogo. Mlige akaningalia kwa hasira. Akaniilukia alinipiga mabao ya maana. Mpka nilipiga kelele mana nilihisi anataka kuniua. Kwa bahati mlango ukafunguliw akaingia sir . Akakuta nimekwidwa nadundwaa. Sir tupa ndo akamzuia mlige. Akamshika akamwambia nn sasa mlige utauua. Shida nn. Yani kanipiga kweli ila sikulia lia mie. Machozi tu yalikuwa yanashuka na mm nilikuwa na hasira nae sana. Mlig na yeye hakuweza ata kuongea. Anatwetwa kwa mahasira yake

Sir meja akanmbia nenda darasani farida. Mi nikanyanyuka nikaondoka nikawaacha. Yani mi ata darasani sikukaa nilienda kuchukua begi na mda uo uo mi nikaludi home kwanza kanipiga mno. Unajua ni ule ujeuri tu wa kukaza ila kanidunda aswaa mwili mpaka umetutumuka yani . Umejaa na kuvimba mnoo. Mie mdogo mdogo mpaka home. Nilivyofika nikamkuta mama alivyoniona akashangaa akasema we mbona umevimba sula.imekuwajee. nikasema kichwa kinauma ndo nimepewa ruksa niludi nyumbani . Mh wapi mangumi ya mlige ayoo. Mama akasema mh kichwa kinauma mpaka umevimba farida. Nikasema ndio mimi naenda kulala. Mama akabaki ananaishangaa tu. Nilivyoingia ndani ndio nililila sasa. Moyo unauma naona ata sijielewi. Na mkono ukawa unauma alinidunda mnoo. Kunipiga tu alinipiga jamani. Basi mie nikalia mnoo. Mpaka nikalala zangu. Mama akaja kuniamsha jioni sana . Akanmbia kaoge nishakuchemshia maji kisha uje kula. Basi mie nikajivuta na nikaelekea choon kuoga nilipotoka nakala . Nikameza dawa kisha nikapumzika.

Basi asubuh na mapema .mama ndo aliniamsha akaniuliza vp leo umeamkaje mana umekuwa mbovu siku hizi faridah. Kuumwa kil siku mwanangu nikasema mam mi nendele powa. Mama akambia shule unaendaa. Nikasema ndio mama naenda nimeamka swa. Mama akanambia sawa .aya jiandae sasa. Jiandae haraka mwanangu usije ukaenda kupigwa na uzingatie zaidi masomo si mnaona mpo kipindi cha mwisho .nikasema ndio mama naelewa hakuna shida

Basi harka nikainuka nikaanza kujiandaa kwa ajili ya shul.na niliwahi tu nikampitia yusta tukaanza kuelekea shule . Basi tukiwa njiani yusta akanambia ww kwani jana na ofisini na mlige imekuwaje .mana umekuja umechukua tu begi lako umeondoka kwa hasira. Nikamuonesha tu mkono. Bado ulivimba. Akanmbia mh ndo alikupiga hivi. Nikamuuliza na dua huoni imevimba ni yeye alinipiga mangumi ya maana. Ila wala sikulia nimemuonesha jeuri ya mwaka hakuamini mbona. Kunipiga kanipiga mimi kisha kalia yeye. Yust akasem shoga kuna mda namuonea huruma mlige. Jana kaja darasan kukuita tena . Sindo haukuwepo.nikamwambia kaondoka kaniita mieee. Anaanza kunihoji kwa hasra ni nani kakuandikia ile barua. Shoga mie kila nikimwambia sijuh ataki ata kunielewa. Mpaka nikabaki tu kimya .nikamuacha anaongea kwa hasiraa. Na kasema leo utamueleza nani alikupa ruksa ya kuondoka nyumbani ule mda. Nikasema ataangaika sana na ndo simtaki.

Basi tukafika mpaka shule.. ile tunaingia tu .getini kakaa yeye. Kaja mnoo. Mh mie natka kumpita .akanita we faridah simama apo. Mie nikasimama aknmbia njooo ofisini. Nlitaka kugoma ila yust akanioneshea ishara ya kwamba niende.basi mie nikaenda na yeye ananifaa nyuma.tumefika yupo serious mnoo. Na mie ndo nikazidi kujinunisha.her kavuta droo kanitupia barua nenda kamuite mzazi wako. Looooh mie nilivyojeuri nikaiokot ile barua sikumuuliza hii barua ya nn. Sikumuuliza kwa nn nikaite mzazi. Yani sikumuuliza chochote. Nikachukua barua nikasema.sawa. aknmbia hakuna kwenda darasni. Wala kurudi mstalini. Naomba uende nyumbani kuleta mzazi sas hivi. Nataka tujadili tabia zako . Umekuwa mtovu wa nidhamu. Na ukifanya masihara ntakufukuza na shulee . Kheee anatumia madaraka kwenye mapenzi. Mie nikasema sawa. Nikatoka zangu jee..ila nilivurugwa kuita wazazi tena. Kwa ajili ya utovu wa nidhamu

Mh basi niikuta yust ananisubir nje ya ofisi akaniuliza vp. Nikamwambiua knipa barua.nikamuite mzazi. Yust akasema toba mbona mambo yanataka kuwa mengi we kamuombe msamaha. Nikasema mm siendi kumuomba msamaha ata dunia ianguke. Ye si kasema nikaite mzazi sawa mi naenda kumuita baba. Yust akanmbia mh ebu kaongee na mlig yaishe. Nikasema.siendi . Kisha uyo nikaludi zangu mpkaa nyumbani. Nyiee mama alivyoniona . Akasema vp umezidiwa nikasema hapana . Nimepewa barua na sir mlig mnaitwa shule. Nyie mama akasema umefanyaje shule tena farida .nikasema mie wala sijafanya kitu. Mama akasema ngoja nimwambia baba yako ndo aende mie nikienda ntakudunda uko uko. Nyieee kweli mama akingia ndani akaongea na baba. Baba alivyotoka mie nikampa ila barua ya wito. Baba aknmbia umechelewa na leo nikasema hapana bbaa mie wala.sijachelewa baba akanmbia twende mama yangu. Tutajua uko uko. Na kweli mie mpaka shule na mzee msukuma.

Basi kukafika tukakalibishwa ndani na mlige.. mlige akamkaribisha baba vizuri. Mzee akasema nimekalibia kijana wangu .eeeh mtoto wetu kafanya nn tena. Au kuna nn. Mana namjua faridah nae .au kachelewa na leo. Mlige akanikata jicho na mie nikamuangalia vizuri wala sikumuogopa. Heeee mlige akasema mzee nimekuita .kwa sasa binti yako amekuwa mtovu wa nidahamu. Anajibidhana na walimu wa kike sana . Ana dharau mno mtoto wko. Amekuw ana tabia mbaya mnoo. Yani kwanza ata kunijibu mm haoni shida mtoto wako. Hana adabu ata kidogo na mabaya zaidi jana kakamatwa na barua ya mapenzi. Nyie akatoa ile barua akampa baba. Ambyo nilikamatwa nayo jana.kheeee baba akaanza kuisoma mh niliogopa . Mana mimi sikuwahi kuwa na tabia za hivi kabisa. Nyiee mlige akuishia apoo. Alijaza maneno mpaka yasiyokuwepo. Et mpaka nataka kupigana na walimu. Et sina adabu . Natukana mpaka wenzangu darasani. Jamani mi skuelewa nia ya uyu baba. Alafu akamalizia kwa tabia zake hizo . Ntamsimamisha shule mpka skku ya mtihani wa nec ndo nimuone apa..khaaaaaa mpaka nilishangaa

💗💗💗💗💗💗💗💗💗

Maoni

You're not logged in


Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU sehemu ya 41 na 42

Yani nilimuangalia kwa hasira na sikut jali. kweli kanidunda yani mpaka mkono nahisi umekufa ganzi alafu alikuwa ananipiga kwa hasira sana. Yani kwa hasira mnoo. Ila nilikaza ata chozi langu akuliona ila analia yeye. Akanmbia unafanya hivi kuniumiza sio. Umeanza na wanaume sio. Nambie farida umeanza kuwa na wanaume wengine . Hunitki tena mimi mama . Nambie faridah. Mi sikumjibu kabisa nikanyamaza kimya. Akanmbia uyo mtoto wa kiume ni nani. Nakuuliza wewe ni nani. Nikamunaglia kwa dharau nikampandisha nikamshusha kisha nikasema na mm simjuh uyo mwanaume.

Akanmbia unanijibu hivyo mm nakuuliza ww unanijibu mm hivyo. Nikasema ndio kwan wewe nani...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-41-na-42

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

938
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

211
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

194
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

191
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

187
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

179
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

134
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

120
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

118
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest