Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
04 Feb 2026
998 views
VYOTE NDANI GONGA94
MY WANGU sehemu ya 43
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Mh baba akasema hapana kijana wangu mbona yanazungumzika aya. Unajua uyu ni binti na yupo kwenye ukuaji . Kwaiyo lazima achanganikiwa kidogo .ila usifanye hivyo. Uyu ni kidato anaihitaji kusoma ili ajiandae na mitihani . Usifanye hivyo baba. Aya mambo yalikuwa hayajafika kwetu. Uyu ana kaka zake na ana wazazi .sisi tutamuhadhibu na kuongea naae. Naomba sana mwalimu usimsimamishe shule. Nyiee ila mlige akanitengenezea bonge la bomu. Mlige akaniangalia akanmbia vp una la kusema .nikasema sina tena kwa ukauzu. Apo ndo baba akanyanyuka kwa hasira akavuta fimbo akaanza kunipiga ovyoo. Et huna la kusema huna la kusema huwezi kusema samahani ww nakuuliza hujui kuomba radhi. Asee baba alinipiga kwa hasira mnoo. Mpaka mlig mwenyewe ndo alinigombelezea et basi mzeee muachee. Atakuwa kashajifunza. We nenda tu nyumbani . Mimi ntamalizana nae. Na sitamsimamisha tena. Ila ntampa adhabu. Apa aseme tu ni nani alimuandikia barua tujue tunamdhibiti vp uyo kijana.
Baba akasema naomba umtaje sasa hivi uyo maruhuni mwenzako. Nikasema baba mie simjuh mie iyo barua nimeistukia tu katika beg langu. Baba akasema una utani na mm faridah. Mtaje sasa hivi alokupa barua. Nyieee mlig akasema unamtaja au nikusimamishe shule .anaongea serious .mh nilikuwa naogopa kumtaja yule kijana jamani. Yani sikutka kumuingiza kabisa katika hii kesi. Ila na mlig akaniinulia na bakora akanipiga jamani. Nililia mpaka nilimtaja nilisema sir ni hasa ndo kanipa iyo barua . Apo mwili sio wangu. Aseee mlig mda huo huo. Kamwita mwalimu nije. Akasema kuna kijana anaitwa has yupo kidato cha nne kaniitie haraka. Ni kama bahati yu yule mwalimu alililudi akasema has leo hajaja shule. Mh
Nyie kesi iliongeleka masaa 4. Niliomba msamaha tu . Nikiona apa nikikaza mambo yatakuwa mengi . Nikamuomba msamaha baba na mlig kuwa sitaludia. Mlig akaningalia kwa hasira kisha akasema mzee wala usijali uyo has mi nnae. Nikajua unao msumbua ni wivu na sio kwamba ni mwalimu bola wala mn. Basi mzee akaondoka mchana kabisa . Apo mie nimevimba sula . Apo baba kashanambia nitaeleza nikiludi. Basi mzee alivyotoka sasa.mlig akaningalia akanmbia ntamtafuta uyo has wako ntamuonesha. Mie wal sikumjibu kwanza kashanitengenezea balaa uko nyumbani. Nikatoka zangu taratibu nikaenda darasani . Skkuwa sawa kabisa.nilichafuka sana . Na nilikuwa nalia kwa kupigwa . Yust ndo akanibemebleza sana. Na mda wa kurudi nyumbani nilimuelezea yote. Akanmbia unahisi mlig hakupendi . Mlig anafanya yote kukukomesha ww. Anakupenda mno. Apo anaangaika na roho yake. Na alikuwa ana shida ya kumjua uyo hb ata koma kweli . Nikasema acha tu hapa nawaza narudije home edit by gonga94
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia...
Mh baba akasema hapana kijana wangu mbona yanazungumzika aya. Unajua uyu ni binti na yupo kwenye ukuaji . Kwaiyo lazima achanganikiwa kidogo .ila usifanye hivyo. Uyu ni kidato anaihitaji kusoma ili ajiandae na mitihani . Usifanye hivyo baba. Aya mambo yalikuwa hayajafika kwetu. Uyu ana kaka zake na ana wazazi .sisi tutamuhadhibu na kuongea naae. Naomba sana mwalimu usimsimamishe shule. Nyiee ila mlige akanitengenezea bonge la bomu. Mlige akaniangalia akanmbia vp una la kusema .nikasema sina tena kwa ukauzu. Apo ndo baba akanyanyuka kwa hasira akavuta fimbo akaanza kunipiga ovyoo. Et huna la kusema huna la kusema huwezi kusema samahani...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-43
Maoni