Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Aseeee basi hii siku home mama aliniweka chini. Alinisema.sana . Alinisihi sana. Kama mtoto wakike. Alinambia nisijiingize kwenye mapenzi kabisa. Sijuh ntadanganywa kwanza nisome nimalize shule ndo nitafute mwanaume. Aseee mama aliongea sana na mm. Alihisi kama kapelea kwenye kunilea . Alinisema mama mpaka analia. Ananmbia baba yako anaona sijakulea vizur mwanangu. Kwa nn unajibizana na walimu . Kwanini ina kuwa huna adabu shuleni. Alinisema sana. Akinisema mno mpaka nikajisikia vibaya. Mana mama alikuwa mpaka analia. Nilimpigia magoti mama na kumuomba msamaha sanan.nikamwambia mma mi ntajilekebisha. Kiukweli niliamua tu niombe msamaha nyumbani. Basi mama akanisamehe na akaongea na baba akaniombea msamaha. Mzee nae aliongea sana. Yani sana. Ila mwisho akaniweka vizuri kama binti yake. Na akanisema sana ila yakaisha na wala hakunipiga tena mana kwanza tayari nilishavimba mwili wa kupigwa.

Basi kesho yake ilikuwa ni weekend . So sikuenda shule jamani mama ni alikuwa anaongea na mm tu. Mala kanmbia hili mala.kanambia hili. Mala kanambia hili mala lile yani yote ni kunielezea kuhusu kujitunza. Angejua bikra yenyewe kashatafuna mlige kitambo . Now kabaki ananisingizia kesi tu. Bas bwana mie hii week end yote nilikaaa home sikutoka kabisas. Zaidi yusta alikuja nyumbani tukaongea zetu tu. Aliponiuliza kuhusu mlige. Nilisema simtaki kwa sasa. Nahisi atanichanganua nataka kusoma tu. Nataka kupmbana na shule yusta akanambia ni sawa na yani wazo zuri piah.basi bwana kuanzia apo mimi na mlige tukavungianaa kabisa. Ikawa sasa ni kma mwalimu na mwanafunzi wake. Mi sikutaka kuwa nae tena kiukweli. Na yeye naona alikata tamaa. Akawa anaiiti tena ofisini kwake. Na nikawa huru tu na mambo yangu. Yule hassan hakunifata tena .sielewi aliita na mlige ama vipi . So mi niliamua kuwa bus na shule tu. Basi bwana ayo ndo yakawa maisha yetu mm na bwana mlige. Ila akinikuta kwenye kosa ananipiga kama wenzangu. Mie fresh tu wala sikuwa najali. Na ata madame zahara akapunguza kunifatlia . Na ata akiniongelesha vibaya . Mimi sikuwa namjibu vibaya kabisa. Nilikuwa nanyamaza kimya. Yote niliona nipambane kwanza nipate eliimu yangu.

Basi maisha yakaenda mpka tukabakisha miezi 2 tumalize shule. Apo sasa tupa alikuwa ananambia daah nndo humtaki kabisa mshikaji. Mimi nacheka tu. Ananambia aya bwana . We si umeamua kumkazia aya bwana. Basi tukatangaziwa gaduation yetu yana kidti cha nne nakumbuka mchango ilikuwa kama elfu 45. Mi sikutaka kufanya kiukweli. Yani nilikuwa sipendi kuchanganyika . Ila yusta alinmbia soo sawa . Ni kumbu kumbu. So tufanye tu. Basi nikasema sawa na nikan da kkuwaambia wazazi . Nakumbuka kulipia ilikuwa kama elfu 45. Mama alinambia hana pesa kabisaa. Na ata bab walinambia hawana pes. Na mm kwa mda uo ndani nilikuwa na akiba ya kama laki 2. Hizo ndo zile pesa nlikuwa naweka kipindi nipo na mlige .nikaona acha nijifanyie bwana. Sasa ntawambia wazazi nimepata wapi pesa. Basi.siku iyo mie nikatoka nikaenda mpaka ofisini nikaona kuongea na sir tupa.

Akanmbia eeh mtoto mzuri nambie. Mie nikscheka nikamwambia mwalimu mi nataka kufanya graduu ila.wazee wamenambia hawana pesa. Kla ndani nna akiba yangu nataka kulipia na mm nifanye ila sasa. Wazazi wataniuliza nimepata wapi pesa. Naomba basi ata siku umpigie baba umwambia unanailipia pesa ya graduu na mimi.niinjoy na wenzangu. Sir tupa akasema mh we akiba iyo umeiweka lini au una mshikaji mwengine ndo anakupa jeuri ebu nambie vizuri mie nikacheka nikasema kweli so tupa mie sina. Kile kipindi mlige alikuwa ananipa pesa ndo nlikuwa naweka . Nisaidie basi. Sir tupa akanmbia hakuna noma mzee wako mm namuonaga sana centre kwemye kijiwe cha kahawa ntaongea nae wala usikonde. Nikafurahi nikasema sawa mwalimu. Basi mie uyo nikakudi zangu darasani.


Nashukuru kweli sir tupa aliongea na baba. Na mzeee akanmbia una bahati ww ya kupendwa na walimu sijui utukutu unaleta wann. Mama.akauliza kuna nn. Baba akamwambia ujiandae uende kwenye mahafari ya mwano sir tupa kasema anamfanyia . Ni ww tu. Mama aksema apo ntaenda . Na nazani apo faridaha kafurahi si ndio mama. Nimasema ndio mama nimefurahi mma ksema aha mie ntakuja hakuna shidaa. Basi apo nikawa nishavuka.na pes aga graduu mie nikaenda kulipia kwa uyo madame zahara ndio alikuwa anakusanya. Alikuwa ananingali jamani. Mi sikumjali na moyo ulishaanza kupoa . Nikaona ngoja niwaache watu wazima . Mie mtoto mdogo nikae pembeni.

Basi bwana baada ya kulipia tukaanza maandaizi sasa ya graduu. Mala wale wa kucheza wale wa kuimba. mie. Sikuwa na kipaji chochote labda kuwaangalia wenzangu. Bola ata yusta anajua kudance mie hapana kwa kweli. Ni muangaliaji tu. Ila nilikuwa nafanya vitu vyangu vidogo vidogo sijuh viati sijuh nguo hivyo. Mana tulikua hatuvai fomu. Tulinunua vitenge kisha mshono ni wewe mwenyewe. Mie sielewi ila yusta ndo alikuwa ananipangia mshono. Yeye ndo mjanja mjanja sna. Mie mama ndio ndio tu kila atakachonambia. Nyie yista alinishonea kigauni kifupi cha kubana. Kilishika bodi kinoma alafu juu anawekea less. Dooh yusta anayaweza. Akanmbia ukivaa hii utapendeza . Mh nikaichek ile nguo. Akanmbia juu tunaenda salooni nyakanazi make up na viatu tutanunua uko.nyie yusta anaweza pilika pilika wallah.

Na kweli siku ya graduu ikafika kwanza . Nakumbuka nilitoka nyumbani saa 12 alfajiri tunaenda nyakanazi na yusta saluon .mama akanmbia sawa yeye atakuja shule saa 7. Mie nikasem.sawa tukaondoka na shogaa. Nyie yule dada alitupodoa vizuri. Tena kwa elfu 30 tu. Hatukuweka mawigi kichwani ila tuliwaka. Mie nilipendeza mpaka yule mwenye saloon na yusta wakanmbia sizani kama atapatikana mtu atakayependeza kwenye graduu kama ww..nyie nilipendeza sana. Alafu sasa nikavaa na raba nyeupe .nilipendeza jamani . Ata yusta aliwaka kiaina yake ila mie nilizidi mshepu kwanza umejichora uo mtako ndo siwaambii .nyiee hapana chezea. Nlipendeza sana.

Basi baada ha kumaliza kupambwa sie ndo tukaludi shule kwanza tulichelewa mpkaa graduu ilishaanza ndio sie tunafika. Tukaa kwenye viti vya watainiwa. Jamani kila mwanafunz alikuwa anambia faridah umependeza mungu wangu. Yani boyss wote wananitazama mpaka nikawa naona aibu. Nyiee niliwaka sanaa. Yani apo mbele kulikuawa na mgeni rasmi ambae alikuwa diwani . Na mwalimu mkuu mlige na viongozi wengine na walimu wote walikuwa mbele. Graduu ilinoga kwanza watu kama wote. Nilikuwa naaangza shongo kimtazama mama ila nikamuona kakaa na mama yake na yusta. Moyo ukatulia. Basi bwana watu waliburudisha sana .watu wa kudance sijuh kucheza. Yani ilichangamka. Ukafika mda wa kupewa vyeti . Aseee kuna vile special vyeti. Niliitwa nikachukue cha geograpph na history. Ayo masomo nilikuwa nayajua sana. Aseeee ndo nikanyanyuka sasa nikaenda mbele. Nyie kila mtu ananingalia mpaka naona aibu. Ila nikajikaza nikaenda mbele. Nikaanza kuwa mikono meza kubwa. Nimefika kwa mlige. Kanishika mkono hataki ata kuniachia ananishangaa mpaka mie nilifanya kuuvuta kidogo. Ndio nikaendelea mpka kwa diwani. Mlige alikuwa ananiangalia jamani sijuh ndo aliniona uo mdaa ata sikuelewa. Basi mie nikafika mpaka kwa diwani. Nikapewa vyeti vyangu nikapiga na picha pale. Mh diwani mwenyewe ananikonyeza wakati ni jitu zima looh.


🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴

Maoni

You're not logged in


Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45


Aseeee basi hii siku home mama aliniweka chini. Alinisema.sana . Alinisihi sana. Kama mtoto wakike. Alinambia nisijiingize kwenye mapenzi kabisa. Sijuh ntadanganywa kwanza nisome nimalize shule ndo nitafute mwanaume. Aseee mama aliongea sana na mm. Alihisi kama kapelea kwenye kunilea . Alinisema mama mpaka analia. Ananmbia baba yako anaona sijakulea vizur mwanangu. Kwa nn unajibizana na walimu . Kwanini ina kuwa huna adabu shuleni. Alinisema sana. Akinisema mno mpaka nikajisikia vibaya. Mana mama alikuwa mpaka analia. Nilimpigia magoti mama na kumuomba msamaha sanan.nikamwambia mma mi ntajilekebisha. Kiukweli niliamua tu niombe msamaha nyumbani. Basi mama akanisamehe na akaongea na baba...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-44-na-45

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

946
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

211
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

197
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

192
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

188
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

183
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

136
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

133
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

120
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest