Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 46
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 46

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Mie nikachukua vyeti vyangu . Nikaludi kukaa. Na wengine walienda .yusta alipata cha biolog. Tulifurahi sana..licha ya umapepe wetu ila tulipata vyeti vya kuongoza masomo. Aseee tulifurahi mpaka.saa 7 graduu ya pamoja iliisha . Na mwalimu mkuu mlige ndo alifunga pale .ana katiaga na akatutakia kila la heri kwenye mitihani yetu. mjicho wake unaniangalia mm. Mie mpka nikawa nageuza sula. Baada ya apo sasa. Kila mtu akawa kalibu na mzazi wake. Mie na yusta tukachukuzana tukaenda kukaaa na akina mama. Basi mama akanza mh ndo mmeshauliana mkapodoane hivi. Mjichole maumbo yenu watoto mna makuu nyie. Mama yista akasema ahaa waachege ndo umri wao. Mama yusta mzungu na ndo mana yusta kwao ana uhuru sio kama.mie shoga yenu. Basi bwana mama.na mama yusta walituletea keki moja tu tukakata haraka harka pale..kisha wakatwambia etchakur mtakuja kula nyumbani tumechanga piah. Tukasema sawa. Basi hakukaaa tena wakatuaga wakaondoka. Mie na shoga tukabaki kun bonge la dundo yani mziki.. basi nikiwa na yusta tumekaa tunaongea mh mala kaja mkaka mrefu mkubwa tu . Mzuri tu. Aknisalimia mambo faridah. Yani kanichangamkia kama ananijua mpaka nikastuk. Nikasema.unanaisalimia mm. Akasema ndio nakusalimia ww faridah. Mh nikasema.salama

Akanmbia sie tumekuja kwa ajili yako nimeona ushamalizana na mama yako..vp unaweza ukajoini na sisi sasa. Mana tumetoka mbali kwa ajiri yako nikaogopa.nikamuuliza kwani we nani.mbona mm.sikujuh. akanambia usijali utanijua tu..twende basi na shost yako. Mh yusta akanmbia twende. Nyie yusta ata hamjui. Na pale hii skku watu walikuwa wengi sana.basi sie si tukaanza kumfata yule.kaka. ntukaenda mpka.nyuma ya madarasa ya form twoo. Hee nakuta kuna viti pale kama 5 . Alafu kuna vyakula vya maana. Yani makuku. Mapilau na kuna bonge la keki .limeamdikwa congrs faridah..mh na kwa pembeni kuna mama mtu mzima .

Alivyoniona akanichangamkia sana..akanmbia woow jamni .habari kipenzi chetu.mie.nilihisi au wamenifananisha.nikajibu tu sijambo shikamo mama . Akanmbia marhaba hongera kwa kukalibia kumaliza kidato cha nne .na hongera kwa kupendeza sana. Mh mie nikajibu asante. Mama aksema.sie tumekuja kwa ajili yako tumetoka kahama for you tu. Nikawa najiuliza maswali mh namuona mlige na sir tupa pale wanakuja . Ndoa akili ikacheza sasa. Namuanglia yule mkaka vizur ambae alikuja kuniita .ndo nikagundua anafanana na mlige..nimajja basi uyu ni kaka yake. Na uyu mama.atakuwa ni mama yake.

Mlige akafika mpaka.pale . Akasema faridah hongera mama. Mie nilitamani nisimjibu ila ni mbele za watu .nikasema asante..mlige akasema faridah uyu ni mama. Na uyu ni broo jamal. Wamekuja hapa kwa ajili yako kukupongeza . Mh sikutaka pale kukataa mana kuna mtu mzima...nikasema sawa asante nashukuru. Basi kukawa na kama.kiparty pale. Mama ake mlige alinichangamkia sana. Nikakata keki. Nyie keki keki kweli. Nikawalisha wote. Basi mlige ananingalia sana. Baada ya apo. Mama ndo akatupakulia chakura . Tulikuwa pale. Ila mm sikula.sana. ila yusta alishindilia kuku aswaa. Kilikuwa na vitu vingi jamani. Yani mpka.saa 10.jioni tulikuwa pale. Mama akasema sasa sisi tunataka kwenda faridah tumefurahi sana kukuona. Na mm nikasema nimefuahi sana kuwaona na asante mama kwa kuwaona. Mama aksema ila si utanisindikiza na mm mpaka.runzewe. au hutaki kunisindikiza mama yako. Nikasita kwanza . Ila nikasema nitakusindikiza mama. Mama aksema sawa tunaenda na gari ya jamal. Mh yusta akanmbia basi we nenda mie nakungoja apa.shule..nikasema.sawa.mana mda huo ndo disko lilikolea sana . Basi et mama ake mlige akanishika mkono. Uku tunaelekea parking ananiuliza maswali sijuh utakuja lini kwangu. Angejua nna ugomvi na mwanae angeniacha tu.

Basi bwana tukafika mpaka parking tutakuta prado ya maana nyiee. Alafu jamal.ndo akawa dereva. Mlige na yeye akapanda akakaa mbele mimi na mama tukakaa nyuma. Safari ikaanza .mh nyie uyu mama ni muongeaji sana..aanmbia yani nimekupenda bule we binti sijuh mtulivu. Yani ananisifia mno. Jamal.nae anasema ahaa farida we mzuri bwana bola ata mimi ndo nikuoe. Apo mlige ni amekaa kimya wala hakuwa anaongea. Mie nikawa nacheka tu na mama. Yani uyu maam ni muongeaji sana mpka nikajikuta nimemzoea.basi tukaenda mpaka.runzewe kwa mlige.tumefika tukaingia mpkaa ndani. Kiukweli mi sijutaka kukaa sna pale. Yani nilikaa kama dakika 10. Nikasema maam mi nahitaji kurudi nyumbani sasa. Mama mlige akanmbia hapana kwanza nataka tuongee kesi faridah. Kijana wangu ameshanieleza yaliyotokea kati yake na ww. Mie nikasema hapana mi sitaki kuongea kitu nataka.kwenda nyumbani. . Uyu mama akanisogelea akanishika mkono. Akanmbia faridah utaniulia mwanangu naomba tuyaonge. Mi nikawa kama nagoma mlige akasema farida plss msikilize mama. Mi sipo sawa faridah . Mie nikamuangalia kwa hasira . Kisha mama yake akanambia faridah usijali nalewa sana nini kimetokea lakini nyie mnapendsna farida ebu mlaani shetani.nyie yule mama alivyosema.hivyo.nkamhisi uchungu unanichoma moyoni .nikajikuta naanza kulia mno. Yule mama akanikumbatia na mm nikamkumbatia nikaanza kulia kwa nguvu.

ASEEEEEEEEEE TUKUTANE MSIMU WA 3 WA SERIES LETU. MAMBO NDO KWANZAA . YANI APO BADOOOO KABISAA. BADOOOO FARIDAH ANAENDELEA KUTUELEZA HISTORIA YA MAISHA YAKE . TUTAJUA UKO MBELE KILITOKEA NN.NAWAPENDA❤️

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 46



Mie nikachukua vyeti vyangu . Nikaludi kukaa. Na wengine walienda .yusta alipata cha biolog. Tulifurahi sana..licha ya umapepe wetu ila tulipata vyeti vya kuongoza masomo. Aseee tulifurahi mpaka.saa 7 graduu ya pamoja iliisha . Na mwalimu mkuu mlige ndo alifunga pale .ana katiaga na akatutakia kila la heri kwenye mitihani yetu. mjicho wake unaniangalia mm. Mie mpka nikawa nageuza sula. Baada ya apo sasa. Kila mtu akawa kalibu na mzazi wake. Mie na yusta tukachukuzana tukaenda kukaaa na akina mama. Basi mama akanza mh ndo mmeshauliana mkapodoane hivi. Mjichole maumbo yenu watoto mna makuu nyie. Mama yista akasema ahaa...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-46

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

954
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

217
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

199
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

197
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

192
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

188
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

149
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

142
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

122
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

91

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.66K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest