Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 53 na 54
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 53 na 54

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Basi nilipomaliza kuongea na mlige . Nikakata simu yangu. Mama akaingia sasa chumbani. Akanambia vp ushalala mrembo wangu. Nikasema hapan mama ndo najianda kulala. Mama akanmbia nataka tuongee kidogo . Nikasema sawa mama . Basi mie nikakaa kitako . Mama akanmbia faridah naomba umuheshimu sana mlige. Uyu mwanaume anakupenda . Unanielewa faridah . Umepata bahati mapema sana . umekutana na mtu sahihi kwenye maisha yako sana. Faridah tulia sana na usije ukadanganyika na chochote katika maisha yako ukaachana na mlige unaeelwa mama. Nikasema ndio mama. Mama akanmbia ni kweli mkubwa na amekupita miaka. Ila anakupenda sana. Anakuhitaji sana .na anakuwazia mema ndo mana anapmbna sana na ww. Sababu ana malengo dhabiti na ww. Naomba utulize sana akiri faridah. Mi najua umri wako uhuu ndo wa balehe. Unaweza ukakutana na mambo mengi mengi .ukakengeuka akiri. Naomba utulie na tuliza akiri.mlige ndio mwanaume . Kwanza haogopi kusema kokote kama anakupenda

Ile siku nimegundua unatembea na mlige. Nilichukia sana. Usiku mzima sikulala nikihis mlige ni mwalimu muharibifu . Nikisema kabisa nitamfunga mlige.lakini nilipoa baada ya kuongea nae. Sababu alinambia ukweli kuwa anakupenda sana na hawez kukuacha. So faridah naomba utulie hii ni bahati . Mwanangu tuliza kichwa. Naomba utulize kichwa kweli kweli. Ata nikifa kesho mlige ndio mwanume mshikilie kweli kweli unaelewa ww. Nikasema ndio mama. Kisha mama akatoka chumbani kwangu. Mie nikavuta shuka. Nikapumzikaaa .

Kesho yake nilienda kwa shoga yangu yusta nikampanga juu ya mlige kunipeleka shule ya private. Yusta akanambia shoga una bahati na uyu baba jamani. Mh mpaka rahaa. Shoga tulia jamani. Una bahati mnoo. Basi nikawa nacheka tu. Na baada ya week . Mwanaume akanmbia nataka tukafanye shopping ya shule. Basi kweli week end ilipofika mie nikaaaga home kuwa naenda kwa mlige kuandaa vitu vya shule. Mama akaniruhusu wala hakuwa na shida . Akanambia sawa we nenda ila uludi plssss . Si unajua baba yupo eeeh. So uludi. Nikasema sawa mama. Kweli mie nikaenda kwa baby . Aseeee akanichukua tukaenda kahama . Uko ndo tulienda kuemea. Nilichagua nilichotaka mm. Yani suala la bei ye hakutaka kujua cha muhimu iko kiti mimi nikipemde tu. Kuanzia begi . Viatu. Sockss. Traki za michezo. Na alikuwa ananichukulia pea pea yani . Ata 2. Zengine mpaka 3.

Tranka .na kila kitu amabcho kama binti natakaiwa kwenda nacho shule alinibebea. Sijuh sabuni. Chupi. Pedi . Taiti na kila kitu . Yani tumemaliza kuemea jioni tupo hoi.tukaludi mpaka kwake runzewe. Akanmbia et nilalae kwake.mh mi nikakataa si unajua baba kule. Basi akakubali ila kishingo upande. Ata game hakuomba nahisi aliona nimechoka ..tukashusha tu vitu vyote pale mana alinambia dafari tutaanzia apo kwake. So vitu vyite niliacha pale..akanmbia ntakukamata tu wala hakuna shidaa. Baada ya kushusha vitu vyote. Akanipeleka tena mpaka nyumbani. Na akawaeleza wazazi kuwa tushafanya maemezi ya vitu vyote na baada ya week natakiwa shule. Mana shule za private ni tunawahi. Mzeee akamshukuru sana mlige pale. Akasema.sawa kijana wangu wala haina shidaa. Basi mlige akaniaga pale akaondoka zake.

Basi mie nikawa nipo tu nyumbani mama.akinisihi sana . Nikasome yani nikajitahidi aseaaa kwenye kusoma . Basi mie nilimuhaidi mama kuwa nitasoma na mie ndo nitabadili maisha ya nyumbani. Basi kweli nilikaaa home week . Na baada ya week bibi mie safari ya shule ilifika ma mlige ndo alinifata. Mzee akatutakia kila la heri na tisafiri salama .apo nilishamuaga shoga yangu yusta. Yeye alikuwa na kama week 3 ndo analiport shuleni kwao. Basi sie tukatoka nyumbani pale.tukapitia kwanza kwake runzewe. Tumefika ananmbia ahaa bole nimekuiba mke wangu. Apa unakaa weeek 2 ndo unaenda shule. Ila mlige. Nikasema ww. Akanmbia nn sasa mimi nimekumiss sana. Na wazazi wanakubana. Kaa kwanza apa week 2. Theni ndo nakupeleka shule.haitapitwa sana . Nimekumiss sana alafu uende shule miezi 6 hapana. Nikabaki nacheka tu na mambo yake

Badi nikawa mke wa mtu kwa week 2. Bwana anaenda kazini. Mie nipo ndani namfulia nampigia pasi nampikia. Akiludi nampa anavyotaka ananitombaa aswaa. Ila tu alikuwa makini hakuwa ananimwagia ndani kabisa mlige. Ananmbia ahaa naogopa jela. Basi nakuwa nacheka ila nampenda sana . Mlige alinmbia nakupeleka shule nzuri ila nataka ukasome ukizingua uko faridah utamalizana na mm.ntakuvunja kiuno. Alafu shule unayoenda ni boys na girlss. Ila ni shule nzuri sana na ndo mana nakupeleka sasa kajiangaishe ukoo. Ntakuchinja.nyie nilipigwa mikwara na uyu bwana sio ya masiharaa. Mie nilibaki kusema tu nimeelewa na nitasomaa

Na siku ya kwenda shule ilivyofika sasa . Uyu bwana ndo akanipeleka singida. Woow ilikuwa ni shule nzuri sana yani sana. Ina mazingira mazuri kwa kusoma. Ina madara mwngi na mazuri. Aseee mlige alinifikisha pale .na yeye mdo akijiandikisha kama mzazi wangu. Ila alisema.ni kaka. Na akatoa sleep ya malipo ya ada na alilipa ya mwaka mzima. Alinisisitiza sana juu ya kusoma. Na akanmbia issue yoyote inayohusiana na sulaa la pesa niwe nampigia yeye . Nikiwapigia wazazi ni wa kusalimia tu. Akanmbia kuwa makini. Unajua jinsi gani nakupenda. Unaelewa hilo..so kuwa makini. Nikasema.sawa na wewe uwe makini ole wako uludiane na zahara et kisa nipo mbali. Akacheka kweli.mlige. akasema.mh ndo ushanipiga mkwara apo. Siwezi mh uninunie kama.kile kipindi hapana .siwez kabisa mke wangu mimi.ntakusibili wewe tu. Mie nikasema sawaa. Basi bwana akamaliza na kunilipia pesa nyengine pale.na akanipa laki 3 ya matumizi nikiwa shuleni. Kisha akaniga sasa akaludi kagera kuendelea na majukumu yake na mimi maisha ya advanve yakaanza bwana.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 53 na 54



Basi nilipomaliza kuongea na mlige . Nikakata simu yangu. Mama akaingia sasa chumbani. Akanambia vp ushalala mrembo wangu. Nikasema hapan mama ndo najianda kulala. Mama akanmbia nataka tuongee kidogo . Nikasema sawa mama . Basi mie nikakaa kitako . Mama akanmbia faridah naomba umuheshimu sana mlige. Uyu mwanaume anakupenda . Unanielewa faridah . Umepata bahati mapema sana . umekutana na mtu sahihi kwenye maisha yako sana. Faridah tulia sana na usije ukadanganyika na chochote katika maisha yako ukaachana na mlige unaeelwa mama. Nikasema ndio mama. Mama akanmbia ni kweli mkubwa na amekupita miaka. Ila anakupenda sana....

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-53-na-54

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

924
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

208
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

194
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

187
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

170
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

131
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

118
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

107
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest