Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 55
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 55

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nilikuta wenzangu wameshaanza kusoma na mm nilipangiwa PCB. nikiwa na ndoto kubwa za kuwa daktari wa wnawake. Basi bwana nikapangiwa dom. Na pale bweni nilipangiwa na wanafunzi wenzangu wawili. Mmoja alikuwa anaitwa prisca mwengine zaituni. Basi ao ndo wakanikalibisha pale. Basi walikiwa wananishangaa na kunisifia et nna vitu vizur. Mpka wakawa wanahisi kwetu ni wakisure sana. Mie nikawa nacheka tu .mana mambo ya baby tu. Basi bwana na uzuri awa nilikuwa nao comb mojaa. Basi shoga yenu.shule ikaaanzaaa. Nilikuwa makini kuzingagia masomo. Alafu sasa pale wote ni wakisure. Si mnaona ada ilivyochangamka. Basi na mie nikawa najitahidi kwenda nao sawa. Kwanza mie sikuwa na shida kabisa ya pesa. Ndani nna hela na mlige kila week end tunaongea ananiongezea elfu 50. Et nitumia nnachokitaka. Mh acha kabisa.na nikawa naongea na wazazi wakawa wananisisitiza nisome na nikumbuke kuwa elimu ndo kitu nilichokifata shuleni.

Basi bwana maisha yakawa yanaenda mpka nikakatiza mwezi mzima .mie napambnaa na shule. Kweli boya wapo. Ila sikuwa na mda ata kidogo. Yani mda na mtoto wa kiume sikuwa nao kabisa. Mie ukiniona nimekaa na naonge ana mtu basi ni awa room mates wangu yani prisca na zaituni hivvyo yani. Basi bwnaa siku iyo ilikuwa mda waa saa 12 jioni. Nikajiandaa haraka harka kwa ajili ya kuingia prepo ya saa moja usiku. Nikabeba na vitabu vyangu ftesh .nikawaaga zaituni kuwa mie natangulia class wakanmbia sawa tangulia tu sie tunakuja. Basi shoga yenu taratibu nikaanza kuelekea darasani.

Asa nikiwa nakalibia darasani. Aseeee nilistuma mtu kanivamia mpaka nikaangiusha vitabu vyangu vyote . Nilichukia yani kwa nn haangaliii mbele. Nikainua sula kwaa hasira kumuona kwanza uyo. Alofanya niangushe vitabu vyangu.nyie mbona hasira zilipoa. Alikuw ani mkaka wa kiharabu kavalia trak za sale yetu nyeusi. Nyie uyu mkaka ni mzuri .mnajua ni mzuri . Yani ni bonge la handsome.nywele sasa uwi eet mpka kazibna. Nyie baada yya kupaniki nilibaki namshangaa. Yule mkaka sasa ndo aksema aha sory best. Sikuwa nimekuona. Mie nikabaki tu kusema sawa hakuna shida. Basi akaniokotea vitabu vyangu kisha akaniuliza we ni mwanafunzi mpya wa kidato cha tano eerh. Mie nikajibu ndio . Akasema okey mi naitwaa zayd. Nipo kidato cha sita we unaitwa nani. Nyieeee mie nikasema naitwa faridaha

Akasema waoo faridah kumbe okey. Una jina zuri sana . Ila ni kama.ww mwenyewe piah . Ulivyo mzuri basi unaendana na jina lako mashallah. Nyieee nikajikuta mpka nimetabasamu. Yule kaka akasema. Okey basi sory faridah endelea na safari zako sasa. Kisha akaniacha pale akanyoosha kwenye mabweni ya wanaume. Aseeeee yule mkaka ni mzuri jamani sijuh niwaeleze nn. Yani kaumbwa kaumbika na mweupe. Ana nywele nyingi yani sitaki kuwaelezea apa. Kuhusu uzuri wa uyu zayd. Mkaka wa kiarabu. Basi mie nikaingia zangu prepo. Ila akiri kama ililogwa ilimuwaza sana yule mkaka mpaka nikawa najichekea mwenyewe sasa.iki] >> [muziki] [muziki] >> E samahani kidogo iman. Wow, very amazing forest. Lakini mimi nada sehemu moja. Hivi nyinyi mimwelewa yule mzee kweli? Maana mtu mwenyewe anaongea anacheka cheka kama punguani hivi zimo hazimo au nyi nimemuelewa? Mi nahisi kwa nini sisi nilivyomuelewa. Sidhani kama kuna ukweli kwenye maneno yake. Alikuwa anatutisha tu kukojoa. Tunatia mbolea msitu bwana. Eh haya tusivute sigara tusinywe pombe sasa pombe inahusiana na nini na msitu?

00:09:54
Mh mi nafikiri labda alihisi tukivuta sigara katika kutupa vile vipande labda tunaweza tukauchoma msitu. Kwa hiyo mi nadhani tu tufanye lakini katika hali ya kistaarabu sio kwamba tuharibu msitu wa watu m >> awe we nisikizeni niwaambie kitu. Unajua siku zote anguko la mwanadamu mpumbavu kutoka kwenye fikira zake na waliosema kwamba mzharau mwiba mguu wote tende walikuwa na maana kubwa sana nawaambeni tuishini katika taratibu na sheria alizotupatia unavyoongea utafikiri mstaarabu kama inenti fulani tu mwenyewe

00:10:33
umechelewa ujali muda. ni moja pendeni. [muziki] [muziki] >> [muziki] >> Umeonaje msitu? Ah ni mzuri sana kwa projekti yetu unatufaa kabisa. >> Lakini pia nilikuwa sijawaonyesha mazingira ya kule chini. Kuna mazingira mazuri nikataka niwapeleke mkaangalie kule kuna bondi fulani kule baada ya kutoka kule niwapeleke sehemu ya kambi tulipofikia unaona oh safi sawa unaanza >> vipi wewe wewe unajua unanisaidia nini >> tumekatazwa kuvuta sigara t msitu huu >> tumeambiwa tuvute kistaarabu

00:11:39
>> na nani nani tumeambiwa hakuna kuvuta sigara ndani ya msitu huu >> hivi ushaanza kuwa unanipanda sasa kichwani umesahau mimi ni nani eti Bana nisikilize >> ndugu yangu mimi ni mwalimu wako. Sasa maswala ya walimu yanaingana vipi hapa hapa huko kwenye ma yangu mimi ni location manager ualimu kule alafu sikiliza nikuambie wewe mimi nilijua wewe msomi sana yaani unaelewa sasa habari ya sigara na msitu vinahusiana na nini hayo mambo ya kishirikina hayo huko we backi bana >> m

00:12:10
>> mambo gani haya bwana mbona unakuwa mshamba mshamba hivo wewe >> hatutakiwi kurumbana haya twendeni >> anazingua sana nini bwana >> [muziki] [muziki] [muziki] >> Oh [muziki] >> [muziki] [muziki] >> Oh [muziki] >> [muziki] >> Mi nadhani kila kitu kiko sawa. Si umidhika na kila basi nadhani ilikuwa ni location ya mwisho hapa napiga tiki napiga tiki tiki kwa hiyo tutakuwa tumebakiza hii hapa kule sehemu ya kuweka kambi wasanii ndio watakiwa ndio nikamalizeni wapeleke mkapaangalie

00:13:38
>> eh subirieni kidogo >> sawa >> unaenda wapi >> nakuja >> kwa Hii ndio bado moja tu [muziki] sehemu ya kuweka kambi naenda kuanishi kumalizia [muziki] [muziki] [muziki] >> [muziki] [muziki] >> Oh. [muziki] Oh. [muziki] Oh. >> [muziki] [muziki] >> Eh Eh >> [muziki] >> Hai hai. >> [muziki] [muziki] [muziki] >> E He. [muziki] [muziki] Ni mimi >> ni mimi mwanangu njoo mshaji wangu amezingua mwanangu. Kajua ukazingua mwanangu

00:17:21
>> oh J huo si ndio wakati ya kuraguniana tujiulize hapa tunatoka vipi Pen [muziki] Twende twende nini wewe >> [muziki] [muziki] [muziki] >> Oh. [muziki] Oh oh >> J4 wewe ndio uliyetuleta huku. Nina uhakika njia unaifahamu wewe. Mi nataka kurudi nyumbani. Kumbuka mimi nina watoto, nina mke wananitegemea. Sasa kumbuka bado sijakamilisha ndoto zangu. Nina uhakika wewe njia unaifahamu. >> Nani anahitaka kubaki kwenye huu msitu? Eh kwa kuniona mimi nauhitaji kubaki kwenye msitu huu. Aliyetuleta huku nani?

00:20:13
>> Sawa ni mimi lakini mashahidi si tulipewa wote. nisikilize tusilbani. Kwanza mshaji wu ndio kayaleta yote haya kazingua kila kitu. Wenyeji wenyeji wapi una wapi mimi mwenyewe kwenye msitu huu mimi mwenyewe mgeni kama ulivyo wewe. Sasa nisikilize hapa hamna hapa tunapita hapa. Twende twende huku. >> [muziki] >> Oh >> [muziki] >> Oh. Oh. e njia tumeiona mwanangu >> lakini vipi kuhusu beti >> eh >> ubakiwa wapi rudi mwenyewe

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 55


Nilikuta wenzangu wameshaanza kusoma na mm nilipangiwa PCB. nikiwa na ndoto kubwa za kuwa daktari wa wnawake. Basi bwana nikapangiwa dom. Na pale bweni nilipangiwa na wanafunzi wenzangu wawili. Mmoja alikuwa anaitwa prisca mwengine zaituni. Basi ao ndo wakanikalibisha pale. Basi walikiwa wananishangaa na kunisifia et nna vitu vizur. Mpka wakawa wanahisi kwetu ni wakisure sana. Mie nikawa nacheka tu .mana mambo ya baby tu. Basi bwana na uzuri awa nilikuwa nao comb mojaa. Basi shoga yenu.shule ikaaanzaaa. Nilikuwa makini kuzingagia masomo. Alafu sasa pale wote ni wakisure. Si mnaona ada ilivyochangamka. Basi na mie nikawa najitahidi kwenda nao sawa....

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-55

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

944
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

211
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

195
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

191
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

187
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

183
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

135
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

130
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

119
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest