Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 15  Baada ya Bishop kuondoka, nililala kwa sababu nilikuwa nimechoka sana na mwili wote
Gonga94 Β· Stories

*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 15 Baada ya Bishop kuondoka, nililala kwa sababu nilikuwa nimechoka sana na mwili wote

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

unauma. Nilipoamka ilikuwa jioni kabisa, njaa inauma. Wakati nikijifikiria niende jikoni kutafuta msosi au nisiende, Tobias akaingia akiwa amebeba trey lenye chakula.

"Nimekuletea chakula ule najua haupo vizuri kiafya

Nikamuambia "Asante kwa chakula"

"Sawa, kula tu kisha ulale tena"

"Kwani Tobias Nitakaa hapa kwa muda gani?"

Akanijibu "Sijuil Maybe Mpaka Bishop abadili mawazo yake. Kwa sasa kula, pumzika, na jaribu tu kutokujihusisha naye wala yeyote humu ndani"

"Asante Tobias. Wewe tu ndiye mtu pekee hapa.

ndani ninayemuamini

"Sawa" aligeuka kisha akaondoka.

Lakini alipokuwa anatoka chumbani kwangu, akakutana na Bishop pale koridoni. Bishop hakufurahia hata kidogo kumuona anatoka kwenye chumba changu. Akamtazama vibaya sana

"Ulikuwa unafanya nini huko ndani?"

"Nilikuwa nimpelekea chakula, hajala toka jana, nikadhani ni vyema ale"

Bishop akacheka kwa dharau kidogo "Najua, lakini sikukuambia upeleke chakula"

"Sorry....nilikuwa najali tu"

"Sawa, lakini hii ndiyo mara ya mwisho nisikuone upo chumbani kwake. Kama anataka chochote, aje mwenyewe anieleze mimi. Tumeelewana?"

"Ndio boss"

Bishop akaondoka, lakini ukweli ni kwamba alikuwa na wivu. Kwani ndo kashaanza kunipenda au ana lake rohoni linalo msumbua?...Ngoja tutaona.

Anyways Nilimaliza kula, nikapeleka trey jikoni kisha nikarudi ndani kulala. Toka siku hiyo maisha yangu pale yalikuwa ya bata. Nilikaa tu

kama malkia, Sifanyi kazi yoyote. Kazi zote alizifanya zmlinzi mpya waliomuajiri Yeye ndiye alikuwa anafagia, anapika, anafungua na kufunga geti

Mimi nilikuwa tu ndani, ninalala, nakula, na kuangalia TV. Ila nilikuwa bored sana kwa sababu sikuwa na simu. Tobias naye alianza kunikaushia sikujua kwa nini, pia sikua namuona Bishop maana mda huo alikua bize sana.

Sasa siku moja jioni, nilichoka kukaushiwa nikaamua kumfuata Tobias chumbani kwake. Siku gonga hata hodi, nilifungua mlango moja kwa moja nikaingia. Nilimkuta amekaa kitandani kajilaza! Ile kaniona tu, Akainuka haraka na kuuliza "Unafanya nini chumbani kwangu?"

"Unanikaushia na nataka kujua kwanini

"Kwa sababu hakuna kitu cha kuzungumza mimi na wewe"

"Najua lakini usinikwepe. Nilikuwa nakuja kwako kila nikiwa na shida. Kwanini unanikaushia sasa? Si vizuri

"Kama una tatizo lolote, nenda kwa Bishop. Yeye ndiye atakusaidia sio mimi. Please kaa mbali na mimi

Nikashangaa Kimekutokea nini?" nikamuuliza "Kwanini?

"Kwa sababu Bishop hapendi nikae karibu na

wewe"

"Kwanini hapendi?"

"Sijui ila please toka" Sauti yake ilikuwa serious kweli akitaka niondoke. Japokua hata mimi alinifanya nijisikie vibaya ila nilifata amri yake nikatoka nje.

Nilipotoka tu nikakutana uso kwa uso na Bishop. Tangu siku ile aliniletea pads hakua amenisogelea tena wala kuzungumza nami. Lakini alivyoniona nikitoka kwa Tobias, uso wake ukabadilika ghafla. Akanishika mkono kwa nguvu, akanivuta hadi chumbani kwake.

Akanibana ukutani akipumua kwa hasira "Ulikuwa unafanya nini chumbani kwa Tobias?"

"Unaniumiza.....unaniumiza nililalamika kwa sababu kweli alinishika vibaya sana, mkono wangu ulianza kuuma Lakini hakujali.

Akarudia tena kwa sauti ya juu "Nakuuliza,

ulikuwa unafanya nini chumbani kwa Tobias?"

"Nilitaka kumcheki tu kwa sababu nilikuwa nahitaji kitu"

"Kama unahitaji kitu, njoo kwangu! Usiende kwa Tobias"

Nikamwangalia nikamuuliza "kwanini?"

Hakusema kitu, na ivi tulikua tupo zero distance

hali ikaanza kuwa mbaya. Namna alivyokuwa ananiangalia, akili yangu ilihama kabisa. Macho yake yalikuwa na upendo ndani yake kitu ambacho sikuwahi kuona kwa muda mrefu. Hata Michael hakuwahi kunitazama vile.

Ghafla Nilianza kujisikia tofauti, Moyo ulikuwa unadunda kwa kasi. Sio kwangu tu hata Bishop naye alianza kuwa taabani. Macho yake yakatua kwenye lipsi zangu. Alikuwa anataka kunibusu, niliona kabisa.

Sio kwamba sikutaka, ila hisia zile zilikuwa ngeni kabisa. Nilijisikia raha lakini pia niliona ajabu. Nikamsukuma taratibu, nikatoka mbio kurudi chumbani kwangu.

Nilifunga mlango kwa funguo nikianza kupumua kwa nguvu nikijiuliza "Kuna nini kinanitokea? Kwa nini najisikia hivi? Hizi ni hisia gani?"

Embu subiri kwanza
Tangazo - Hostinger
Hostinger
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 15 Baada ya Bishop kuondoka, nililala kwa sababu nilikuwa nimechoka sana na mwili wote

unauma. Nilipoamka ilikuwa jioni kabisa, njaa inauma. Wakati nikijifikiria niende jikoni kutafuta msosi au nisiende, Tobias akaingia akiwa amebeba trey lenye chakula.

"Nimekuletea chakula ule najua haupo vizuri kiafya

Nikamuambia "Asante kwa chakula"

"Sawa, kula tu kisha ulale tena"

"Kwani Tobias Nitakaa hapa kwa muda gani?"

Akanijibu "Sijuil Maybe Mpaka Bishop abadili mawazo yake. Kwa sasa kula, pumzika, na jaribu tu kutokujihusisha naye wala yeyote humu ndani"

"Asante Tobias. Wewe tu ndiye mtu pekee hapa.

ndani ninayemuamini

"Sawa" aligeuka kisha akaondoka.

Lakini alipokuwa anatoka chumbani kwangu, akakutana na Bishop pale koridoni. Bishop hakufurahia hata kidogo kumuona anatoka kwenye chumba changu. Akamtazama vibaya sana

"Ulikuwa unafanya nini huko ndani?"

"Nilikuwa nimpelekea chakula,...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nimekoma-mimi-chapter-15-baada-ya-bishop-kuondoka-nililala-kwa-sababu-nilikuwa-nimechoka-sana-na-mwi

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nimekoma-mimi-chapter
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* *Chapter 16&17*  Ile siku jioni akili yangu yote ilikuwa kwa Bishop
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* *Chapter 16&17* Ile siku jioni akili yangu yote ilikuwa kwa Bishop
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 14  Kwa sababu Tobias alijua mimi na Lily
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 14 Kwa sababu Tobias alijua mimi na Lily
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 12  Basi Akauliza "Mbona hujala?"
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 12 Basi Akauliza "Mbona hujala?"
NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 13  Baada ya kugundua kuwa mimi ni mwanamke, alishuka kwenye gari
NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 13 Baada ya kugundua kuwa mimi ni mwanamke, alishuka kwenye gari
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 9  Kesho yake asubuhi niliamka mapema sana, maana ndo siku ya pati. Bishop
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 9 Kesho yake asubuhi niliamka mapema sana, maana ndo siku ya pati. Bishop
 *NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ*   Chapter 10  Basi turudi kwenye ile pati. Yule jamaa aliyenisukuma kwenye pool alifukuzwa
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 10 Basi turudi kwenye ile pati. Yule jamaa aliyenisukuma kwenye pool alifukuzwa
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 7  Basi nikaanza kupika fasta ili nimalize mapema, lakini kusonga ugali wa watu kumi sio mchezo
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 7 Basi nikaanza kupika fasta ili nimalize mapema, lakini kusonga ugali wa watu kumi sio mchezo
*nimekoma MIMI πŸ™Œ*     Chapter 8  Basi sikuwa na namna, Ilikuwa ni lazima nipike kwa ajili ya Bishop. Nikaanza heka heka pale
*nimekoma MIMI πŸ™Œ* Chapter 8 Basi sikuwa na namna, Ilikuwa ni lazima nipike kwa ajili ya Bishop. Nikaanza heka heka pale
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.48K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.56K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.11K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.04K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.99K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest