Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
08 Nov 2025
293 views
VYOTE NDANI GONGA94
*nimekoma MIMI π* Chapter 8 Basi sikuwa na namna, Ilikuwa ni lazima nipike kwa ajili ya Bishop. Nikaanza heka heka pale
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
, ikanichukua kama saa moja na nusu hivi mpaka nikamaliza. Zile sahani chache ndo zilikua za Bishop maana yeye hali kwenye sinΓa kama vijana wake ivyo ndo nikampakulia huko.
Nikaweka kila kitu kwenye trei vizuri alafu nikaenda hadi chumbani kwake. Nilipofika mlangoni kabla sijagonga mlango Tobias. akatoka chumbani kwake ambacho kilikua karibu na Chumba cha Bishop, akanizuia
"Hakuna mtu anayeruhusiwa kuingia chumba cha Bishop bila ruhusa yake. Hata mimi siruhusiwi kuingia huko"
"Sasa vipi kuhusu chakula chake?"
"Kiweke mwenyewe hapo atachukua alinionyesha meza ndogo iliyokua pale koridoni
"Sawa" Kabla hata sijaweka sinia chini tukasikia sauti ya Bishop kutoka ndani akisema "Tobias, mwache aingle"
Tobias alishtuka Maana Bishop huwa haruhusu mtu yeyote kuingia chumbani kwake, sembuse mimi ambaye hajui hata jina langu vizuri. Alipata mashaka Ila hakusema chochote, alinipisha. nami nikafungua mlango nikaingia ndani.
Sasa ngoja niwaambie kuhusu chumba cha huyu mwamba. Kila kitu ndani kilikuwa black and white kuanzia kitanda, pazia, meza, mashuka maua yani kila kitul Sijui kwanini alipenda hizo rangi ila kulionekana classic.
Nilimwona kasimama karibu na dressing table akiwa amejifunga taulo tu. Ilionekana kama vile ndo alitoka kuoga. Lakini bwana eeh... mwili wake niwa moto!
Six packs safi, tattoos zake zimekaa
kiprofessionall mpaka raha. Binti Banza kwa sekunde kadhaa nikasahau hata nilikuwa nimeingia kufanya nini. Nilijikuta namtazama tu kidume anavyo vutia
Akasema "Funua chakula" Nikakifunua ndipo akakaa kwenye kiti, akitazama chakula kwa sekunde chache "Onja kwanza"
Nikashangaa "Unadhani nimekuekea sumu?"
"Hayo ni mawazo yako, si yangu. Onja chakulal Aliongea kwa hasira nikajua jamaa hatanii.
Nikakata tonge, nikachovea kwenye mboga nikala. Baada ya hapo ndipo akaanza kula mwenyewe. Alipoweka tonge la kwanza mdomoni alikipenda Ila hakusema chochote. Nikaona bora nimpishe ale zake kwa raha lakini akanizuia
"Simama hapo mpaka nimalize kula"
Nikasema shida gani hizi tu! Nikabaki nimesimama pembeni nikimtazama akila taratibu. Kweli alikua anakula kwa raha, ila kuonyesha kama amefurahia chakula ndo hakutaka Labda kwaajili ya ubabe wake.
Basi Baada ya kumaliza kula akavuta pumzi kidogo, akaniuliza "Jina lako nani?"
Nikajibu "Naitwa Shege"
Akanitazama "Shege, unajua ni kitu gani
kinampata mtu akinisaliti?" "Najua
"Basi kuwa makini. Mimi ni mtu hataril Wenzako wote waliondoka wakiwa walemavu na wengine wakiwa maitil Unaelewa??"
"Ndio Boss"
"Ondoka"
"Sawa" Sikujua hata kwanini alisema vile lakini alijua kunitisha. Nikachukua vyombo nikatoka spidi spidi kuelekea jikoni.
Huko jikoni Tobias alikuwa ananisubiria kwa hamu Aliponiona alinisogelea haraka "imekuwaje? Kakuambia nini?"
"Hajaniambia kitu chochote"
"Ahaa... kuna kitu anafikiria. Ana mashaka na
wewel"
Nikauliza "kwanini unahisi ivyo??"
"Bishop hamruhusu mtu kuingia chumbani kwake, hata mimi haniruhusu. Lakini wewe amekuacha uingie. Ina maana anataka kujua kitu kuhusu wewe"
"Hapana, si kweli. Kama ananihisi angeonyeshal Ila sio ivyo bhana"
Tobias akatabasamu kidogo "We bado humjui Bishop. Kwa usalama wako ondoka"
"Siwezi kuondoka nataka kuendelea kufanya kazi hapa
"Sawa, inaonekana hutaki kunisikiliza. Basi nitakuacha ukae, lakini jua kitu kimoja! ukikamatwa, usinihusishe. Mimi sijui kitu"
Nikasema "Sawa"
Kisha Tobias akatoa karatasi za mkataba wa kazi, tukasini nikawa rasmi gateman wa pale. Nilifurahi sana, ila Tobias alionekana hajafurahia. maana Alihofia usalama wangu.
"Kesho kutakua na party jioni ya wafanya biashara wenzake na Bishop! Kutakua na mambo mengi na kazi nyingi! Kuwa mkini!"
"Sawa" nika smile
Baada ya kusema ivyo Tobias akaenda chumbani kwake kupumzika na Mimi nikaenda kwenye kibanda changu getini kupumzika. Ila
kabla sijalala nika mcall labubu wangu Michael lakini hakupokea. Sikujali sana sababu nilimpigia saa kumi usiku ivyo ni ngumu kukuta yupo macho mda ule.
Je nini kitaendelea? Nakuja........
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MIMI SIKUACHIπ₯° 21 MPAKA 23
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 21 Basi mie nikaendelea na vipindi na jioni sana ndo...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fat...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. ...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona j...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
Sehemu ya : 1 π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦ Mapenzi jamani ni kitu cha ajabuπ€¦ββοΈ, ni bahati sana kwa mtu kumpata kirahisi yule aliepan...
*nimekoma MIMI π* Chapter 8 Basi sikuwa na namna, Ilikuwa ni lazima nipike kwa ajili ya Bishop. Nikaanza heka heka pale
, ikanichukua kama saa moja na nusu hivi mpaka nikamaliza. Zile sahani chache ndo zilikua za Bishop maana yeye hali kwenye sinΓa kama vijana wake ivyo ndo nikampakulia huko.
Nikaweka kila kitu kwenye trei vizuri alafu nikaenda hadi chumbani kwake. Nilipofika mlangoni kabla sijagonga mlango Tobias. akatoka chumbani kwake ambacho kilikua karibu na Chumba cha Bishop, akanizuia
"Hakuna mtu anayeruhusiwa kuingia chumba cha Bishop bila ruhusa yake. Hata mimi siruhusiwi kuingia huko"
"Sasa vipi kuhusu chakula chake?"
"Kiweke mwenyewe hapo atachukua alinionyesha meza ndogo iliyokua pale koridoni
"Sawa" Kabla hata sijaweka sinia chini tukasikia sauti ya Bishop kutoka ndani akisema "Tobias, mwache aingle"
Tobias alishtuka Maana...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nimekoma-mimi-chapter-8-basi-sikuwa-na-namna-ilikuwa-ni-lazima-nipike-kwa-ajili-ya-bishop-nikaanza-h