Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 12
Gonga94 Β· Stories

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 12

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

😳😳dada alishangaa akauliza we mtoto wewe umeanza lini Yan unasiku ya kwanza kazini mshapendana na mtu na mshagombana ilikuwaje, nikamjibu ni stori ndefu ila taarifa ndo iyo, dada akaniuliza kwaiyo we mtoto unatoka na mtu n kakaake au sio umeamua kula boga na ua lake. Ila dadaπŸ˜‚kwani mie nimekwmbia natoka na Freeman uyo si shobo zake tuu mie natoka na Kendrick. Dada akasema sawa enhee niambie na wewe Kuna Nini nikaanza kumpangilia nilivomtajia tuu Jayson akaanza kucheka mwenyew πŸ˜‚ nikajua tu hapa tayar watu wanapendana hawa nikamuuliza sasa kwanini unambania mtoto wawatu kama unampenda, dada akasema mie mtu mzima najua ninachokifanya kwaiyo tulia, eeeeh nikamwambia sawa dada.

Baadae tumekaa na dada tunaangalia tv sms ikaingia kuangalia ivi nimeonganishwa kweny group la kazini alafu Ratiba imetumwa nikafurahi baada ya kuona naingia kazini baada ya siku tatu kutoka Leo, Ila sijakaa saw sms ikaingia kutoka Kwa Kendrick eti ananiambia kwaiyo ukaamua utuchanganye Mimi na kakaangu mkubwa, nikamjibu tu asiejua maana haambiwi maana alafu nikakaa kimya na nikamuweka archive maana ananisubua. Ila ndani kwangu nilikuwa na ugomvi mkubwa sana kati ya Hisia na Akili, Hisia zilikuwa zinakinzana sana maana nasema sitaki kuongea nae Tena ila nilivyomjibu hakunijibu ten nikawa najihisi vibaya nikawa Hadi nakumbuka alichonifanya kule hoteliniπŸ˜‚ mambo mazuri ambayo sijawai Fanya Yan nikawa nahisi upuuzi tuu na nilikuwa nimekaa na dada sebleni nikatoka nikaenda chumbani kulala maana nilikuwa nawaza ujinga sana.

Nilivyofika chumbani tuu nikafika kwenye kitanda maana ilikuwa ni usiku sana, nikalala fofofo. Kesho yake nikaamka saa nane mchana, Tena baada ya kuamshwa na simu ilikuw inaita kuangalia ivi alikuwa ni dada kanipigia nikapokea, Dada akaanza na kunilaumu hivi we mtoto unataka kumuua mtoto wa mwanamke mwenzio eeeh nikauliza kwanini akasema Yani Freeman ananipigia simu Hadi anataka kulia mkaka wawatu anasema upo na wanaume wengine uko humpokelei yeye simu yake.

Yan Nikabaki nashangaa 😳uyu mwanaume ananini lakini hajanitongoza ila anawivu hivi kwastaili hii nikimkataa sindo atajiua uyu, nikamwambia sawa subri niangalie dada akasema sawa ila nimemuelekeza nyumbani anakuja sasahiv, eeeeh we dada mbona unajichukulia maamuzi mkono akasema utajijua mwenyw ila ndo nshamwambia nikasema Aya sawa. Nikaanza kuangalia missed calls Eeeh Mungu wangu nimekuta Kuna missed calls zake 43, khaaaa πŸ™Œ Yan sijawai kuona Aya mambo.

Sijakaa sawa ilinimpigie naskia mlango unagongwa kwa haraka haraka nikajua tuu uyu ni yeye nikaenda kumfungulia akaingia bila hata salamu akaanza kukagua namuuliza we una nini eti anasema namfuta uyo mwanaume wako anaekupa jeuri 😳, nikamuacha amtafute akimpata aseme. Nikakaa kweny kochi

Mwanaume akasearch mpaka akachoka akaja sasa limemshuka shuu, nikamuuliza hivi wewe unashida gani lakini hata kama ndo kunipenda au ndo wivu huu wivu gani kwanza hivi unanijua vizur alafu istoshe we siunamchumba wewe, akashusha pumzi kwanza Kisha akawasha simu yake akaingia sehemu ya messages akanipa nisome nakuta Kuna sms zake na mchumba ake eti wamegombana na uyu mwanaume alivyomwehu kamtumia mchumba wake picha yangu eti mie ndo girlfriend wake mpya 😑ivi uyu mzima kwel upstairs.

Itaendelea ......
Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 12


😳😳dada alishangaa akauliza we mtoto wewe umeanza lini Yan unasiku ya kwanza kazini mshapendana na mtu na mshagombana ilikuwaje, nikamjibu ni stori ndefu ila taarifa ndo iyo, dada akaniuliza kwaiyo we mtoto unatoka na mtu n kakaake au sio umeamua kula boga na ua lake. Ila dadaπŸ˜‚kwani mie nimekwmbia natoka na Freeman uyo si shobo zake tuu mie natoka na Kendrick. Dada akasema sawa enhee niambie na wewe Kuna Nini nikaanza kumpangilia nilivomtajia tuu Jayson akaanza kucheka mwenyew πŸ˜‚ nikajua tu hapa tayar watu wanapendana hawa nikamuuliza sasa kwanini unambania mtoto wawatu kama unampenda, dada akasema mie mtu mzima najua...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/pilot-sitaki-inaniogopesha-sehemu-ya-12

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi pilot-sitaki-inaniogopesha-sehemu-ya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 11
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 11
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 13
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 13
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 10
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 10
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 14
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 14
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 8
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 8
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 7
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 7
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 15
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 15
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 9
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 9
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 6
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 6
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 16
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 16
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67

608
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65

550
MY WANGU❀️ sehemu ya 68

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

423
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

396
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20

335
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

65
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

59
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

43

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.79K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.65K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.43K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.4K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.27K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.25K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.23K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.14K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❀️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on πŸ€·β€β™‚οΈ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

Sasa wakati uo nimeenda nikaja kufunguliwa mlango na Kendrick, na ilikuwa inaonekana nyumbani walibaki wao wawili tu na wafanya kazi, Alivonifungulia mlango mie nikapita moja Kwa moja mpaka ndani sikutaka...

MY WANGU❀️ sehemu ya 63 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 63
@majario LIVE

Basi bwna tumefika nyumbani . Mama akaja akasema eeh baba jamani pole kwa usumbufu wote. Mlige akasema usijali mma kuwa na amani kabisa mma akauliza shida nn wamesema.....

*REALLY LOVE  πŸ’•πŸ’•πŸ’•* *1-5* Post Mpya
*REALLY LOVE πŸ’•πŸ’•πŸ’•* *1-5*
@majario LIVE

*SEHEMU YA KWANZA* """""babee amka basi unachelewa kazini"""" sauti hiyo ya msichana catherine akimuamsha mpenzi wake ambaye alikuwa amelala """""ah babe nimechoka"""" mpenzi wake huyo aitwae seven alijibu kiuchovu sana...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 16 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Nikawa Sina budi kukubali nilivokumbuka ndoto ya Jana nikaogopa asije Freeman akafa kwasababu yangu Mimi, nilivokubali yule baba alifurahi akataka Hadi kunibeba ingawa alikuwa Hana nguvu akaniambia twende sasa na...

MY WANGU❀️ sehemu ya 61 na 62 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 61 na 62
@majario LIVE

Basi zai ndo wa kwanza akanambia we mbona umevimba macho ulikuwa unalia.nikasema.ndio kuna mtu kamwmabia kaka kuwa mimk.natembea na zayd ule mda nimekuja kukufata ww. Prisca akasema hao ni...

MY WANGU❀️ sehemu ya 59 na 60 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 59 na 60
@majario LIVE

Nikasema.achana nae bwana wala hana cha maan . Mi nimemwambia tu kuwa simtaki na asinifatilie mana atakuja kuniletea matatizo. Basi shoga akanambia sawa. Basi mie nikawa busy na mambo ya...

MY WANGU❀️ sehemu ya 58 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 58
@majario LIVE

Mh zayd. Akasogea mpka nilipokaaa na yeye akavuta kiti akakaa karibu yangu. Ila uzuri tu ili darasa lilikuwa halina ata. Mtu. Akanambia eeh , ina maana faridah hukusikia salamu yangu....

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest