Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 15 "Hapana hapana usifanye hivyo mlinzi nakuomba usimwage
Gonga94 Β· Stories

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 15 "Hapana hapana usifanye hivyo mlinzi nakuomba usimwage

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
damu ya yeyote, mume wangu hayupo sawa jamani" niliongea na kuchukua simu kutoka kwa mlinzi nilimwomba mume wangu arudi nyumbani ili tuweze kuongea vizuri, alinikatia simu nilihisi kuchanganyikiwa zaidi, mlinzi alinielewa japo hawakuruhusu kabisa watu wa benki wachore kwenye ukuta kwamba nyumba inauzwa, waliondoka wakijiandaa kuja siku inayofuata wakiwa na watu wa kupiga mnada nyumba yetu.

Baada ya muda mume wangu alirudi, tuliingia ndani angalau alikua katulia aliniomba msamaha kwa kauli aliyompatia mlinzi nilikubali kwamba nimemwelewa nilitoa ushauri kama itawezekana bhasi aongee na marafiki zake kama John na wengine ikiwezekana wamsaidie kulipa hilo deni, mume wangu alikubali alianza kuwatafuta mmoja baada ya mwingine hakuna hata mmoja ambae alikubali kumsaidia kila mmoja alitoa visababu vyake, nikaijua maana pana ya wanadamu kwamba utakua nao kwenye raha tu ila wakati wa shida utabaki peke ako.

Tulikumbatiana na mume wangu kitandani, baada ya muda nikatoka ili nikapike maana nguvu na mawazo mapya yanapatikana kwenye kula chakula.

Nikiwa jikoni kwa siri nilimpigia simu Diana na kumwomba aongee na mumewe atusaidie kwani tulikua karibu kudhalilishwa.

Diana alinijibu.
"Sorry cuzo mume wangu kanunua nyumba jana ya millioni mia tano mngewahi kidogo tu bhasi tungewasaidia saivi hana pesa kabisa nikimlazimisha ataniona waajabu kwani nitakua namwonea tu" ilibidi nimuage Diana tu kwani sikuona kama atakua na msaada tena, tulibaki wawili tu kwenye matatizo yetu, nilipika chakula nikimuamsha mume wangu ili tule, tulikula pale japo kidogo tu ili tusife na njaa nilimwambia mume wangu kwamba nimepata wazo jipya wazo la kumshirikisha shangazi kama atakua na pesa atatukopesha

Mume wangu alinizuia kutofanya jambo hilo kwani ni vibaya sana kwa upande wake kwani itatengeneza dosari la miaka na miaka kwamba amesaidiwa na ukweni alisema yupo tayari kurudi chini kuliko kusaidiwa na wakwe zake huo ulikua msimamo kabambe aliokua nao mume wangu, nilimkubalia na siku iliyofuata watu wa benki walikuja waliuza nyumba na gari, pesa iliyobaki kama millioni tano tu tulipewa tuliwalipa wale walinzi na kuwatakiwa maisha mema, sisi tuliondoka na kwenda kutafuta chumba na sebule ya laki na hamsini, tulilipa miezi sita ya kodi, tulinunua vyakula, pesa ikiyobaki mume wangu alinunua pikipiki ili afanye kazi ya bodaboda maisha yetu yalipinduka kwa kasi sana ndani ya muda mfupi, hakuwepo wa kutusaidia tuliamua kujisaidia wenyewe.

Itaendelea......
Tangazo - Distro kid Upload your music To day
Distro kid Upload your music To day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 15 "Hapana hapana usifanye hivyo mlinzi nakuomba usimwage

damu ya yeyote, mume wangu hayupo sawa jamani" niliongea na kuchukua simu kutoka kwa mlinzi nilimwomba mume wangu arudi nyumbani ili tuweze kuongea vizuri, alinikatia simu nilihisi kuchanganyikiwa zaidi, mlinzi alinielewa japo hawakuruhusu kabisa watu wa benki wachore kwenye ukuta kwamba nyumba inauzwa, waliondoka wakijiandaa kuja siku inayofuata wakiwa na watu wa kupiga mnada nyumba yetu.

Baada ya muda mume wangu alirudi, tuliingia ndani angalau alikua katulia aliniomba msamaha kwa kauli aliyompatia mlinzi nilikubali kwamba nimemwelewa nilitoa ushauri kama itawezekana bhasi aongee na marafiki zake kama John na wengine ikiwezekana wamsaidie kulipa hilo deni, mume wangu alikubali alianza kuwatafuta mmoja...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/tatizo-kubwa-inaniogopesha-sehemu-ya-15-hapana-hapana-usifanye-hivyo-mlinzi-nakuomba-usimwage

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi tatizo-kubwa-inaniogopesha-sehemu-ya
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 6 Akanishika kiuno vizuri akanibeba mpaka kitandani akaniweka
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 6 Akanishika kiuno vizuri akanibeba mpaka kitandani akaniweka
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—”   SEHEMU YA 7 "Niko zanzibar Cuzo, nakula maisha kidogo" "Mmmh weee Diana
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 7 "Niko zanzibar Cuzo, nakula maisha kidogo" "Mmmh weee Diana
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 13 Alinivuta na kunikalisha chini walinifunga kamba konani na kuniziba mdomo w
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 13 Alinivuta na kunikalisha chini walinifunga kamba konani na kuniziba mdomo w
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 9 "Binti amegundulika ni mjamzito kwa mila na desturi za ukoo wetu itakua vigumu
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 9 "Binti amegundulika ni mjamzito kwa mila na desturi za ukoo wetu itakua vigumu
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 8 "Vipi kuna nini mbona umepoteza furaha gafla, uso wako umelikimbiza tabasamu
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 8 "Vipi kuna nini mbona umepoteza furaha gafla, uso wako umelikimbiza tabasamu
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—”  SEHEMU YA 17 - 18 Asubuhi na mapema tulipeana cha asubuhi cha kuagana
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 17 - 18 Asubuhi na mapema tulipeana cha asubuhi cha kuagana
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 16 Maisha ya kutoka kwenye kiyoyozi mpaka kwenye feni ya kawaida
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 16 Maisha ya kutoka kwenye kiyoyozi mpaka kwenye feni ya kawaida
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—”   SEHEMU YA 14 "Mke wangu nimepoteza migodi yangu yote, mke wangu tumefirisika sisi aaaaaaah aaaaaah"
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 14 "Mke wangu nimepoteza migodi yangu yote, mke wangu tumefirisika sisi aaaaaaah aaaaaah"
 π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—”   SEHEMU YA 10 Mchungaji alimnyamazisha mwanamke huyo asiendelee kulia kwani kulia isingeweza
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 10 Mchungaji alimnyamazisha mwanamke huyo asiendelee kulia kwani kulia isingeweza
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 11 "Sikatai huyu alikua dada wa kazi nyumbani kwetu tena kwa miaka
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 11 "Sikatai huyu alikua dada wa kazi nyumbani kwetu tena kwa miaka
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 12 "Poleni sana ujauzito uliokua tumboni mwa Brigita umeharibika, naomba mjipe nguvu
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 12 "Poleni sana ujauzito uliokua tumboni mwa Brigita umeharibika, naomba mjipe nguvu
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

567
MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

565
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

444
MY WANGU❀️ sehemu ya 71 na 72

MY WANGU❀️ sehemu ya 71 na 72

424
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜

403
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜

356
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20

211
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23

163
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18

109
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

101

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.01K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.8K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.65K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.02K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.43K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.4K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.27K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.26K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.15K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 24 MPAKA 25 ( MWISHO WA SEASON 1) Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 24 MPAKA 25 ( MWISHO WA SEASON 1)
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 24 Basi bwana nakumbuka nilikaaa uku nyumbani week.2 . Nipo na babu tu. Sikuwahi kumpigia kabisa princess na wala yeye hakunipigia .na nilishamtia marufuku. So hakunipigia kabisa ataaa....

MY WANGU❀️ sehemu ya 71 na 72 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 71 na 72
@majario LIVE

Mama akaningalia akanmbia ni mlige uyo ndo anakuliza.nikasema mama nampenda sana niombee msamaha kwake. Mama mi naumia naumia sana . Hataki kuwa na mm. Na hana mda na mimi. Mama...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Baada ya kumaliza kupeana ule utamu wa alfajir hemed alinikumbatia tena tukalala tuliamka saa tatu za asubuhi tukaingia bafuni kuoga baada ya hapo tulipata breakfast tulivyomaliza kula nilimuaga hemed nikamwambia...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 21 Basi mie nikaendelea na vipindi na jioni sana ndo tukaludi getoo. Basi tukiwa tunaendelea na story zetu mi na lemi. Oyaaaaa kufika saa nne jsiku mtoto...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fatuma.natka nikampelekee si unjaua bado week 3 tunaenda likizo. Lemi akaniangalia akasema mh . Aya bwana hkuna noma.mi nikaivuta ile chupi. Nikaweka chini...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. Yani ata wadada wakawa wananishobokea sana. Naomba unifundishe nifundishe kama zote. Wadada full shobo na mimi. Ata washikaji wakawa...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemedπŸ₯ΉπŸ₯Ή nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku kwa boo tayari tushasolve tatizo lililokuwepo Acha kuhamahama😟😟 lakini moyo bado ulizidi kung'ang'ania kwa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70
@majario LIVE

Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana. Yani sana tu. Na prepo ilivyoisha tukarudi darasani. Mie nikampa tu yule mwanafunzi...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona jau . Yani yupo very serious ananitongoza .mnajua kuna jinsi nilimdharau . Nikaona uyu demu daaah. Alivyoona namshangaa na sijamjibu...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❀️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on πŸ€·β€β™‚οΈ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest