, Japan walikuwa na Samurai mtu mweusi kutokea Africa.Na inasemekana mara ya kwanza kumuona walimshangaa sana na kumuosha wakidhani amechafuka,Na badae walikuja kutambua kuwa ndivyo alivyo.Na alipelekwa kule na wa Italiano kupitia jeshi la Jesuit,Na wa Japan hadi leo historia yake wameitunza na wame hifadhi mabaki yake.Ukiisoma historia ya dunia vizuri utagundua mtu mweusi ana mchango mkubwa sana kwenye mabadiliko ya dunia hii,Na sio sehemu ndogo ni kutoka kila kona ya dunia Naaam.