Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

UTAMU WA MABOSS ????❤️  Ep 17~18
Gonga94 · Stories

UTAMU WA MABOSS ????❤️ Ep 17~18

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
UTAMU WA MABOSS ????❤️

Ep 17~18
Linda alishangaa kumuona Alex akiwa bize jikoni toba anafanya nini yule????????inamaana anataka kupika?????????????????? kumekucha leo tunalala njaa humu ndani ????????????

Alex alikuwa bize kukanda unga wa ngano????????alijipaka unga kila mahali mamaaa itabidi niende nikamsaidie????????Linda alielekea jikoni haraka kwa ajili ya kumsaidia Alex..

Oyaa Mr unafanya nini mbona umejipaka unga kila mahali unataka kujipika au????????????Linda aliongea huku akicheka

"Yeye ni mrembo sana haswaa wakati anatabasamu, nadhani nilijinyima tabasamu lake wakati huu wote...

nitaendelea kufanya kila kitu ili kumfanya awe anacheka muda wote, Alex aliwaza hivo kisha akamwambia Linda eh ndioo huoni kuwa napika

Hee sawaa sogea huko nikusaidie bwana????????

Walisafisha kila mahali na
Na kutoa kikaango, mafuta, bakuli na kijiko.
WaAlianza kupika na ilikuwa furaha sana walipo kuwa pamoja .

Walimaliza kupika na wote wakapumua kwa uchovu.

"Nyie wasichana mnajiweza kweli" Alex alisema maana alikuwa amechoka zaidi na linda akacheka.

"Hujui chochote" Alisema linda na Alex alienda kwenye friji na kuchukua chupa ya maji baridi ili ajipooze.

"Unapaswa kupakuwa chakula kwani nina njaa sana" Alex alisema na wakachukua chapati hadi kwenye meza ya chakula.

Alex alikuwa anajisemea namna anavyomuona Linda alivyo mrembo kwenye macho yake na Linda ni kama alisikia Alex akisema kitu na kuliza.

"Nini. Nataka kula" Alex alinong'ona
"Inabidi tuombe kwanza" Alisema Linda na Alex akakodoa macho.

"Sawa" alisema na Linda akaanza kuomba huku Alex akisema Amina huku macho yake yakiwa kwenye chapati ????????????.

Linda alimaliza maombi na haraka Alex akaweka chapati kinywani mwake.
"Mmmm tamu" alisema Alex .
"Tunapaswa kupika pamoja mara kwa mara,"

Linda alitikisa kichwa..na kuendelea kula
Baada ya kumaliza kula
Walikaa kwenye kochi kutazama sinema.

Alex alichukua rimoti kubadilisha chaneli lakini Linda alimzuia
"Nataka kuibadilisha," Alisema Alex
"Hapana huwezi kufanya hivyo"

"Na kwanini unadhani siwezi kufanya hivyo"
"Cos...cos...cos"
"Ona hujui"
"Nipe tu" alisema na Linda akanuna na kuificha remote

"Hebu angalia naweza kuchukua" Alex alimnyang'anya.. nyoo Linda aliongea na Alex akaanza kusogeza rimoti juu Linda alijaribu kuirukia na kumdondokea Alex

katika harakati hizo wote wakajikuta wanatazamana Alex aliitizama mdmo ya linda na Linda akakwepesha pembeni Alex alianza kumtkenya Linda ????????????

Walianza kukimbizana huku na kule mwisho Linda akakimbilia chumbani alifika huko akaanza kuwaza

"Dah nilivyo mdondkea Alex tukatazamana ilibakia kidogo anibus yani huyu sijui hata yukoje kwanza hajawahi kunitngza akome kunizoea zoea..

Wakati yupo huko alisikia Alex anamuita hey njoo chukua remote yako nilikuwa nakutania rudi uendelee kuangalia tv

Hatimaye Alex alimpa Linda rimoti na akaitumia kumgonga nayo kichwa chake..
"It's OK.I'm going upstairs" Alisema Alex na kusimama
"Ngoja . Huwezi kuniacha pekee yangu hapa" alisema Linda huku akiwa anamfata

"Unataka nini tena kama ni rimot nimekupa " Linda alimrukia na kutaka Alex ambebe mgongoni
"Tafadhali unaweza kunipandisha ngazi hadi chumbani kwetu...linda alimuuliza Alex na tyr alikuwa mgongoni kwake Unajua sijisikii vizuri," Linda alisema na Alex akacheka.

Sitaki kushuka, mgongo wake ni sehemu nzuri ya kupumzika akawaza linda.

"Shuka chini" Alisema Alex lakini Linda hata hakumjibu"

Alex alipanda nae hadi chmbn haya shuka tumefika kwani anashuka sasa????????????Alex alianza kumzungusha zungusha mpaka Linda akaanza kuhisi kizunguzungu

Alex alimwachia akaanguka kitandani.
"Ahhh gosh...unataka kuni ua" Linda alimuuliza Alex.

"Hapana wewe ndio unataka kuni ua" alisema na Linda hakukubali.

"Nilikuomba unipe lift na wewe ukakubali lakini kwa kuwa sikuwa tayari kushuka, unatakiwa kusubiri hadi niwe tayari kushuka" Linda alimwambia Alex

lakini Alex hakukubali.
"Hapana nilikuambia kuwa nilikuwa nimechoka sana, ulitakiwa kuzingatia Hilo, ukweli kwamba nilikuwa nimechoka sana," alisema alex.

Waliendelea kubishana mpaka Alex akam????????????ndio linda akawa mpole

"Samahani, nilifanya hivyo ili kukunyamazisha tu," alisema Alex.

"Ungeweza tu kusema ninyamaze," Linda alisema
"Samahani" Alisema tena na Linda hakumjibu.

"Natamani tu kumpotezea lakini nashindwa mbona nazidi kuchizika juu yake sasa???????? na huku kumuona kila siku sijui kama nitaweza, alijisemea Linda Kisha akajilaza kitandani na kujifunika kwa kutumia blanketi akalala...

"Mbona kama vile Linda ananiepuka tu? Sasa nitafanyaje ajue kuwa ninampnda au amenuna kwa kumbus bila ridhaa yake????????

na sidhani kama atazungumza nami kwa muda. Gosh nimefanya nini? Alex akawa anajiuliza .

Alilala nayy huku mawazo mengi yakimvamia kichwani usiku ulizidi kuwa mkubwa hatimae kulipambazuka

Linda aliamka asubuhi na kuangalia upande mwingine na kugundua Alex hayupo kitndni..

Linda alisimama na kufanya mambo muhimu.
Alishuka na kukutana na Alex akiwa tayar ameshavaa nguo za kazin huku akibonyeza simu yake.
"Habari za asubuhi" alimwambia, bila kumtazama

"Linda bado umenikasirikia,ila ,
nilisema samahani. Sawa angalia sitorudia tena kukukera" Alisema alex.
"Sawa nimekusamehe" alisema Linda akiwa bado hawez kumtazama.

"Lakini huniangalii" alisema Alex na Linda akanyanyua macho na kumtazama na Alex akatabasamu
"Umeridhika" Linda aliuliza
"Twende" alisema Alex na wakaondoka kwenda kazin....

Walifika kwenye kampuni na moja kwa moja akaenda ofisini kwake.

"najua bado ana hasira na mimi lakini zitakaa kwa muda, Alex akawaza

Muda huohuo alikuja Michael aliingia na kumsalimia Alex kisha akamwambia
"Hey, nimemuona mpnz wako mpya bana mnaendana sana ," Michael alisema na kukaa
Nani kakwambia mimi nina mpnz Alex alisema na Michael akacheka.

"Huwezi kunidanganya...sikia Alex bora umchukue msichana huyu kabla mtu mwingine hajamchukua"
"Hata macho yako yanaonyesha hujiwezi kwake..

Alex aliangalia pembeni akawaza mamaaa kumbe nishashtukiwa kitambo????????
"Lakini sasa ana hasira na mimi," Alex alisema kwa huzuni
"Usijali kuhusu hilo, atasahau muda si mrefu," alisema Michael na alex akatabasamu.

"Asante bro" Alex alisema
"Kwa nini upo hapa " Alex akauliza
"Nimekuja kuangalia kama kuna drama nyingine ya mapnz inaendelea" Alisema Michael huku akiwa anacheka.."

Kwahiyo sisi tumeshakuwa sinema siyo?? Michael alicheka na kumwambia alex nilikuwa natania tu Bro Nilikuja tu kukuangalia"
"Okay..

Huku kwa Linda sasa ???????? alikuwa ofisini kwake lakini akili yote iko kwa Alex

"Nitafanya Nini Mimi Linda ????????Je! Nikimuambia nampnda nitakuwa ninafanya jambo sahihi kweli? Uuuwww bibie hataki kusubilia tena anawaza kumwambia Alex kuwa anamlavuuu????????????

"Haya maigizo ya kuigiza kuwa mpnz wa mtu ndo yamesababisha moyo wangu ukampnd Alex ???????? na lenyewe lipolipo tu hata halijiongezi????????

Linda aliendelea kujigombeza peke yake ofisini????

Nini kitafuata??

Full 1000

WhatsApp 0742133100
Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTAMU WA MABOSS ????❤️ Ep 17~18

UTAMU WA MABOSS ????❤️

Ep 17~18
Linda alishangaa kumuona Alex akiwa bize jikoni toba anafanya nini yule????????inamaana anataka kupika?????????????????? kumekucha leo tunalala njaa humu ndani ????????????

Alex alikuwa bize kukanda unga wa ngano????????alijipaka unga kila mahali mamaaa itabidi niende nikamsaidie????????Linda alielekea jikoni haraka kwa ajili ya kumsaidia Alex..

Oyaa Mr unafanya nini mbona umejipaka unga kila mahali unataka kujipika au????????????Linda aliongea huku akicheka

"Yeye ni mrembo sana haswaa wakati anatabasamu, nadhani nilijinyima tabasamu lake wakati huu wote...

nitaendelea kufanya kila kitu ili kumfanya awe anacheka muda wote, Alex aliwaza hivo kisha akamwambia Linda eh ndioo huoni kuwa napika

Hee sawaa sogea huko nikusaidie bwana????????

Walisafisha kila...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utamu-wa-maboss-ep-17-18

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utamu-wa-maboss-ep
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

587
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

481
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

471
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

320
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

215
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

86
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

72

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.29K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.29K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest