Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

UTAMU WA MABOSS???  SEHEMU YA 02
Gonga94 · Stories

UTAMU WA MABOSS??? SEHEMU YA 02

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
UTAM? WA MABOSS???

SEHEMU YA 02

Alex alimkazia Linda macho??alisimama akamsogelea ili amuone vizuri alihisi huenda hakuiona sura yake??

Linda bado alimsukuma na kumwambia awe na adabu siku nyingine laa sivyo atamtwisha chupa ya pombe kichwani abomoe ubongo wake ulio lala

Alex baada ya kuona vile alipiga hatua na kuanza kutoka nje , Alex alitoka kwa hasira na kumpu uza kila aliekuwa anamuomba abaki pale baa na akaingia kwenye gari lake na Michael akiwa amekaa kando yake na gari likaanza kuondoka.

"Msichana huyo ni jasiri sana lakini nikimuona tena, sitamuacha,akasema Alex ?

Walifika kwenye jumba la Alex la kifahari na walinzi wakawafungulia mlango wa gari tukashuka.

"Vipi kuna taarifa yoyote ile kuhusu mambo ya PA" Alex alimuuliza Michael

"Mmmh..........." Michael Aliongea kwa kigugumizi

"Subiri, usiniambie kuwa hukuweka maelezo yoyote kuhusu mimi kutoa kazi hiyo, usikute hauja weka picha yangu, maana naamin WAnawake wakiona sura yangu watataman kufanya sana kazi na mm" akasema Alex ??

"Samahani bado sijafanya hivo... Alisema Michael na Alex akahema na kufoka.
Kwanini unanifanyia hivi,

Yaan Leo mnanitibua TU??,
Kwanza ni yule binti aliyenipiga kofi akaniacha nikiwa na aibu sasa ni wewe ambae huwez kufanya kazi uliopewa, Alex akafoka .

"Fanya kinachohitajika, nataka kumpata msaidizi wangu wa kazi kesho asubuh" Alex alisema kabla ya kwenda chumbani kwake na Michael akaondoka kuelekea nyumbani kwake.

"Michael Ni rafiki yangu lakini pia ananifanyia kazi na namlipa. najua mimi ni mkali kwake lakini ubinafsi wangu na kiburi hauniruhusu nishushe utu wangu,akawaza Alex maana alihisi kama hajamfanyia vzr rafiki yake Michael ??

"Kwa vyovyote vile nilikuwa na siku ndefu sana na nahitaji kulala,akawaza Alex ??

lakini alipokaribia kufunga macho yake ili alale, simu yake ilianza kuita kwenye droo kwa hasira Alex aliutupa mto wake ukutani na ukatua chini
"Nani ananipigia simu sasa hivi, akasema kwa ukali

Alex aliangalia mpigaji na kuona jina la Debby limeandikwa kwenye simu yake na akapumua maana alimsahau kabisa??Debby ni moja ya utm wake??

"Halo Debby" Alex alizungumza huku akionekana kuwa na wasiwasi

"Kwanini umeondoka au nije?" Alisema Debby na Alex alifikiria kwa muda Kisha akamkumbuka yule msichana ambae alimuwasha kibao


"Hapana, usije" Alex alisema

"Sawa, usiku mwema," alisema Debby naalex akakata simu na kulala hii ni mara ya kwanza Alex anakataa ofa ya utm??

Hakutaka kabisa kuwa na mtu siku hiyo kwenye kitnda chake..

Wakati Alex amelala akili yake ilikuwa inawaza lile tukio lililotokea kule baani?? alikuwa anamfikiria Linda akilini mwake..

Upande wa Linda usiku kucha alilala akiwa amechoka sana aliamka asubuhi na kukaa kitandani kwa muda...akiwa amekaa kitndni akaona simu yake pembeni yake , akaichukua na kuanza kuperuzi kwenye mtandao..

Aliona ofa ya kazi ikiwa na picha iliyoambatanishwa kwenye Tangazo., kidogo alipokuwa karibu kutazama picha iliyowekwa pale kwenye Tangazo bando lake liliisha...

Hakuna shida alijisemea ilimradi maandishi yanasomeka wacha nidili nayo??

Aliona kwamba interview ilikuwa inafanyika siku hiyo hiyo, saa mbili asubuhi katika mojawapo ya kampuni kubwa na maarufu huko Chicago...

Linda alisimama na kuelekea bafuni na kufanya shughuli zake huko. Alitoka bafuni na kuvaa...alitaka kuelekea huko kwenye interview?

Linda alifika kwenye kampuni saa 2 kamili asubuhi, aliingia na yule mtu wa mapokezi akamwambia kuwa asubiri kwenye chumba cha kusubiri?

Linda alifika kwenye chumba cha kusubiri na akakutana na watu watano pale...wala hakujua ile ofisi ni ya yule mwanaume aliyempiga kibao jana usiku kule baa???

watu walioingia ndani walitoka kwa sura ya kukatisha tamaa huku wengine wakitoka kwa matumaini kidogo..sijui mimi nikiingia humo itakuwaje..

ilifika zamu yake akasimama na kubisha hodi na sauti ya kiume ilijibu..ingiaa

Linda aliingia kule ndani bila kujua kule ndani kuna Alex na ndo Boss anaetafuta msichn wa kumfanyia kazi zake binafsi??

Itaendeleaaaaa

Full 1000

WhatsApp 0742133100
Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTAMU WA MABOSS??? SEHEMU YA 02

UTAM? WA MABOSS???

SEHEMU YA 02

Alex alimkazia Linda macho??alisimama akamsogelea ili amuone vizuri alihisi huenda hakuiona sura yake??

Linda bado alimsukuma na kumwambia awe na adabu siku nyingine laa sivyo atamtwisha chupa ya pombe kichwani abomoe ubongo wake ulio lala

Alex baada ya kuona vile alipiga hatua na kuanza kutoka nje , Alex alitoka kwa hasira na kumpu uza kila aliekuwa anamuomba abaki pale baa na akaingia kwenye gari lake na Michael akiwa amekaa kando yake na gari likaanza kuondoka.

"Msichana huyo ni jasiri sana lakini nikimuona tena, sitamuacha,akasema Alex ?

Walifika kwenye jumba la Alex la kifahari na walinzi wakawafungulia mlango...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utamu-wa-maboss-sehemu-ya-02

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utamu-wa-maboss-sehemu-ya
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya  27
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 27
 UTAMU WA MABOSS Sehemu ya      30 MWISHO
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 30 MWISHO
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 28
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 28
UTAMU WA MABOSS sehemu ya  29
UTAMU WA MABOSS sehemu ya 29
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

579
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

466
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

464
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

317
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

205
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

83
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

61

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.29K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.29K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest