Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair — Rohan played Vijay, and Farah played Chandni
. The film told a simple, emotional love story. Vijay and Chandni fall in love, but their relationship faces strong oppo...
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 12 Gael aliangalia simu yake kwa muda mrefu, aliangalia majina kwenye contact
, alikutana na jina la Mia, alijikuta anatabasamu.
"Ngoja nijaribu kumpigia." Gael alimpigia Mia, simu ya Mia iliita akiwa yupo bafuni.
"Mia, simu yako inaita mara ya pili sasa," alisema Judith.
"Achana nayo, nakuja sasa hivi," Mia aliendelea kuoga.
"Mia nae pia hapokei simu, kwanini wananifanyia
hivi, au yupo na mpenzi wake?" Gael alipanda kwenye gari, hazikupita hata dakika tano Mia alimpigia.
"Mambo mrembo," aliongea Gael huku anatabasamu.
"Poa, nani mwenzangu?" aliuliza Mia upande wa pili.
"Mimi ni Gael, umenikumbuka sasa?"
"Ndiyo boss, samahani sana, sikujua kama ni wewe."
"Achana na habari za kuniita boss, huwa sipendi, has hasa ukiniita wewe."
"Unataka nikuite vipi?"
"Niite jina langu Gael, inatosha, kumbuka sisi ni...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/between-sisters-and-secret-chapter-12-gael-aliangalia-simu-yake-kwa-muda-mrefu-aliangalia-majina-kwe
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi between-sisters-and-secret-chapter
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 14 "Sitaki pesa, nataka kucheza na wewe muziki," Gian aliongea huku anatabasamu.
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 13 Gael alimuangalia Mia kila mara na kutabasamu,
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 10 Gael alinyanyua glass yake, akanywa pombe yote kwa mkupuo. "Babe, naenda toilet mara moja." Mira aliondoka.
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 17 "Mama G anatupenda wote pale dukani acha story zako za kutunga." Mia alijilaza kitandani.
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 5 "Samahani sana... ni kosa langu nitarekebisha sasa hivi na nitakupatia risiti, ungependa
BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 15 "Basi kikao kihairishwe, Mr Maximilian alisimama akaelekea chumbani. "Mama sisi acha twende tukamuone Gael tujue anashida gani," Gavin na Gian walienda...
Maoni