Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
27 Oct 2025
797 views
VYOTE NDANI GONGA94
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* .Chapter 12 "Unatakiwa utibiwe haraka yaani huo mshtuko ambao umeupata utakupa shida
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
sana yawezakana usimalize mwaka tusiwe na wewe tena kwasababu inatakiwa uwekew mashine itakayo saidia moyo wako" aliongeaa Catherine huku analia jamani nilishtuka mimi navyoogopa kufa hadi mimi nilianza kulia "sasa kwanini umemwambia sasa huoni kama unazidishia presha na hatakiwi awe na presha kabisa hulijui hilo Catherine"
tusingemwambia ndio presha ingezidi kuongezeka moyoni mwake boss bora tumwambie ukweli akae akijua tatizo lake nimekuwa namficha mengi sana Careen yeye ni mgonjwa anapasa ajue hali yakee hii ni toka mdgo yeye alizaliwa nao thus why an dalili kam hasira za karibu, kuzimiaa, akichoka anapumua kwa kasi ila tulishindwa kumtibia coz ya pesaa ilikuwa hakuna plus na wazazi wetu walishafariki na mengine mengi anayajua mama mdogo alilia sijawahi kumuona huyu katili wangu akilia hii siku niliona anaangusha choz kwa ajili yangu mimi nilijihisi furaha kumbe ana nijali sana dada yangu ila ni vile tu sometimes anavutaga bangi huyu mjinga hhhh
"Usijali shem mimi nina ahidi nitampeleka hospitali na kila gharama itakuwa juu yangu mimi hapa usijali sawa shemeji yangu, naanda safari keshokutwa tunaondoka tunaenda India kutibiwa kule kuna madaktari wakubwa wa moyo usilie wala usihofu" alisema Marquis binafsi mimi nilitamani kumshukuru mnoo maan atakuwa kanifanyia jambo kubwa kuliko yote maishani mwangu kwakweli nitamuona mtu wa thamani mnoo kuliko wote duniani,dada akaaanza kuliaa akapiga na magoti jamani imani iliningia mimi hii siku nimeona dada angu anapiga magoti kwa shukurani, namuita dada kwasababu yeye ndio Kurwa na mimi ni Doto
"Asante sana boss kwa hili ambalo umeamua kulifanya boss wangu natamani mpaka nisujudu mbele yako" alisema dada akilia nilitamani nikamuinuee maan sikuwahi muona dada anajishusha kwa mtu yoyote hapa ndipo nilipojua thamani yangu kwake dada yangu ananipenda sana jamani ni vile tu pesa hana angekuwa ashanitibiaa, nikaanza kulia na mimi hapao nipo kitandani nalia kwa sauti kweli, boss alimuinua na dada na kuja kwangu akaanza kuniibembeleza taratibu yaani kama vile mimi ni mtoto usilie sasa mpenzi wangu ujue na me ntalia sasa usilie chioma wangu sawa mama angu?, haya Catherine na wee usilie sawa, we hesabu ushapona tayari sawa mama mimi nina uhakika utapona coz nipo beside you okay?" Nilijikuta tu natabasamu nikamwambia sawa nimeacha unaniamini now?" Nilimtizama tu nikatabasam akanambia nakupenda sikujibu nilikuwa naona aibu yaani dada na yeye yupo pale jamani mhhh me niliona aibu kijibu
"Lakin kabla ya kuondoka lazima mama mdogo ajuee yule ni mzazi wetu maana ndio katulea mpaka hapa tulipofika sawa Boss" na Marquis alimjibu tu "sawa haina shida shem ngoja nikaatafute chakula, tuje tulee maana mke wangu hajala toka jana kabisa, na saa hizi ni mchana asije akapata na madonda ya tumbo buree, we baki nae mimi nakuja" alitoka akatuacha mimi na dada sasa tutete,
Itaendelea.....
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
FROM BANGI TO BABY ππ SEHEMU YA 5
Basi akanivuta kwa mkono mmoja akanibana kwenye kiuno chake baada ya salamu hapo kanipiga ma busu kama yotee halafu nje...
AASSH MAMA WA KAMBO 1 - 5 01 π Baada ya ya kufunga chuo, niliona bora nisiende kijijini, nikaamua kubadilisha tu mji kutoka Tawi la Mzumbe university
kuelekea mjini Bukoba ambapo baba alikuwa akiishi. Baba yangu aliamua kuachana na mama baada ya ugomvi wa muda mrefu ul...
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* .Chapter 12 "Unatakiwa utibiwe haraka yaani huo mshtuko ambao umeupata utakupa shida
sana yawezakana usimalize mwaka tusiwe na wewe tena kwasababu inatakiwa uwekew mashine itakayo saidia moyo wako" aliongeaa Catherine huku analia jamani nilishtuka mimi navyoogopa kufa hadi mimi nilianza kulia "sasa kwanini umemwambia sasa huoni kama unazidishia presha na hatakiwi awe na presha kabisa hulijui hilo Catherine"
tusingemwambia ndio presha ingezidi kuongezeka moyoni mwake boss bora tumwambie ukweli akae akijua tatizo lake nimekuwa namficha mengi sana Careen yeye ni mgonjwa anapasa ajue hali yakee hii ni toka mdgo yeye alizaliwa nao thus why an dalili kam hasira za karibu, kuzimiaa, akichoka anapumua kwa kasi ila tulishindwa kumtibia coz ya pesaa ilikuwa...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/boss-chomoa-mimi-sio-jamani-chapter-12-unatakiwa-utibiwe-haraka-yaani-huo-mshtuko-ambao-umeupata-uta
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* Chapter 13 Search "Hee shga angu ndio umeamua kutoka na boss mhh we kiboko mwenzangu kwanza
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 7 "Hamna mama yangu sifanyi tena Catherine ila naomba nikuogeshe"
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 8 "Unafanana sauti na dad yako, sema yey anaongea sana, inaonekana kwenu ndio mlivyo maan hata Catherine ulikuwa mkorofi siku ya kwanza