Menu






Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track
Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili

*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* 11 -- 14

20th Dec, 2025 Views 158


*SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

Sasa chumba ambacho kilikuwa ndio chumba cha Solomon, ukiuangalia kwa dirishan kwanza unaona namna wanavyoenda kwetu alafu unaona kila kitu kwenye chumba changu, yaan mtu akikaa hapa kwa Solomon, alafu mtu akikaa chumban kwangu anaona hadi ninavyobadilisha nguo, kiufupi unaona vitu vyote, hasa hasa ukisema uweke pazia pemben kwa sababu ya joto, ila sikuwa na wasiwasi kwa sababu nyumba yetu ilizungushiwa uzio, klumbe Solomon akitaka anaweza kuniona kwa sababu ni ghorofan...

Nikawa najiambia kuwa Solomon hawez kuchungulia watu kwa sababu ana heshima tu, kumbe najidanganya tu...

Basi wakaenda kupeleka posa, na sijui waliwaambia nini nikashangaa naenda kuitwa, wazaz wangu waliponiona walishangaa maana nilikuwa nimependeza balaa, mama akanisogelea na kunikumbatia kwa uchungu kisha akasema " zilikuwa ni hasira tu mwanangu ila sikuwah kulala kwa amani kuanzia umeondoka....

Nilimuonea mama huruma, ila nikataka kwanza swala la posa lipite, nikaulizwa kama namjua Solomon nikakubali, na Solomon akaulizwa vipi kuhusu mimba akasema hio mimba ni yangu hivyo haina tatizo...

Hii ni mara ya ngapi sijui namsikia Solomon akisema mimba yangu ni yake, kuna kama alama ya hatari ikagonga kichwan mwangu na kujiambia kuwa huenda Yule mtu ni Solomon, nikajiambia kuwa nikitoka pale nitamuuliza kwanini kila wakati anasema mimba niliyoibeba ni ya kwake? Na wakati hata mimi mwenyewe simjui muhusika?...

Mama akataka kuongea na mimi nikamuambia mapito yangu yote, akanionea huruma sana kisha akaniomba msamaha, kwa sababu hasira zake zimesababisha nikateseka, sikuwa na namna zaid ya kuwasamehe wazaz wangu, kwa sababu inawezekana hata mimi mwanangu akija na mimba ningechukua maamuzi kama waliyochukua wao kwa hasira...

Basi Solomon sasa, moja haikai mbili haikamati, ameshazoea kujilia vyake, hata kama ni kwasiku moja, s sasa anajikuta ananimiss kila dakika, akaona usinitanie, akaja akagonga dirishan, nikamuambia mimi siwez kutoka, akanambia anakuja kunitoa, kwa sababu anasikia baridi sana hivyo hawezi kulala mwenyewe...

Nilikataa, alilazimisha mpaka akataka aje kulala na mimi kwa wazaz wangu, nikakataa, akanambia" utakuja kunifungulia mlango au niingie mwenyewe kwa mbinu zangu, nikaona İsiwe kesi, nikamuingiza, yaan amefika kwanza chumban kwangu, nikashangaa anaenda kwenye pazia, akaliweka vizuri kisha akafunga madirisha na kuwasha feni, kisha akanisogelea na kusema sikujua kama mwanamke akiwa. mjamzito anakuwa mtamu hivi, naomba basi kidogo tena..

wewe mwanaume kweli huruma huna, haunionea hata huruma na hii mimba?..

sasa nakuoneaje huruma na wakati wewe humuonei huruma mtoto?.. "una maanisha nini? Ikabidi niulize..

" unajua mimi ni daktari..

sasa kama wewe ni daktar, habari zako za udaktar na mimi kumuonea huruma mtoto zinatoka wapi?..

mwanamke akiwa mjamzito anatakiwa kukutana na mume wake kimwili mara nyingi awezavyo mpaka ile siku anaumwa uchungu kwa sababu ya kufungua njia...

heee wewe, yaan mpaka naumwa uchungu natakiwa kukutana na wewe kimwili?, babu weee mimi siwezi..

"sasa unabishana na daktar, akasema Solomon nikajikuta nacheka tu..

"haya njoo basi tumuwekee mtoto vidole na wewe, akawa anasema, yaan anasema njoo ameshanifiukia muda mrefu, na kila mmoja wetu ameshaanza kulihisi joto la mwenzake, na mtalimbo wake ukaanza kunigusa maana tulikuwa tumekaribiana sana, Solomon akashusha pumzi kisha akasema "I really want you, kisha akaanza kunikiss...

ITAENDELEA...

*SEHEMU YA KUMI NA MBILI*

Sikuwa na hiyana, mwanaume mwenyewe mtanashati hivi, alafu ananukia, alafu anajua kwa kushika, yaan akianza yale maneno yake machafu machafu, unaweza ukalitafuta bao moja matata na ukalipata hata kabla ya shoo, kama kawaida yake anaanza kukulainisha kwa maneno mpaka aone sina cha kufanya zaidi ya kumuhitaji, alafu baada ya hapo ndio anakuja kukumaliza kwa vitendo mimi ni nani mpaka nipindue...

Alianza na kunivua nguo, huyu mwanaume sijui alikuwa ananivua na ulimi, maanan n maana nilikuwa nasikia kama kitu cha moto ambacho kilikuwa kinanipa msisimko wa ajabu sana kila anaposhika nguo yangu na kuanza kuipunguza mwilini mwangu..

Sasa alipofika kwenye nguo ya ndani ya juu kwa maana ya bra, akanigeuza baada ya kunifungua vile vishikizo vyake, na tukawa tunaangaliana na maziwa yangu yaliojichora vyema ambayo yalikuwa kama ya mwana mwali ambae hakuwah kuguswa yalikuwa yamechongoka vyema, hali iliyomfanya Solomon akadoe macho kana kwamba hakuwah kuyaona hata mara moja, na wakti sio mara yake ya kwanza kuumiliki mwili wangu, akavua shart lake haraka hara kisha akaja kunikumbatia, kutokana na tumbo langu nilihisi labda vifua vyetu vinaweza visikutane kumbe nilikuwa najidanganya, vilikutana vizuri sana na tuchuchu twangu tukawa tunamchoma choma, aisee alihema kwa nguvu kisha akasema mama nashindwa naomba kidogo tu, ahhhhh sijawah kukutana na mwanamke kama wewe, akaweka lips zake kifuani mwangu na akaanza kuzipekevcha taratibu mpaka nikajikuta natoa miguno, yaan nilisahau kama nipo chumban kwangu na wazaz wangu wanaweza kunisikia nikiendelea kufanya hivyo.....

Ila hata akili yangu haikuwa inafanya kazi wakati huo, nilikuwa nawaza shoo kuliko kitu chochote kile, akaomba nikaikalie, maana alitaka anibebe ila ndio tumbo lingetukera bure, akakaa mwanzo wa kitandana na mimi nikaja nikakaa juu yake, nikawa nazungusha kiuno kwa mara ya kwanza, nikashangaa mwamba ananguruma kama simba dume, ndio kama alikuwa ananiambia niongeze mambo, nikakumbuka habari nilizowah kuziona kwenye magroup yale ta mwanawake kuhusu kufinyia kwa ndani nikasema nijaribu na mimi, nikabana kidogo, aisee alitoa sauti mpaka nikashtuka na kusimama nikamziba mdomo.....

" nashindwa kuugulia taratibu mamaa, unaenda wapi sasa, njoo, tamu, tamu sana,, nikaenda kuchukua kamtandio changu kisha nikamziba mdomo maana niliona kama anaweza kunisababishia balaa...

Kisha nikarudi kuendelea na kazi, yaan ni mwendo wa kufinyia kwa ndani na kuzjungusha kiuno, akawa anahema kwa nguvu kama mtu ambae anataka kukata moto, na baada ya hapo akaanza kunikumbatia kwa nguvu na mimi ndio nazidisha utundu sasa, kana kwamba ananiambia ongeza vitu, basi akapata bao la. kwanza, na baada ya hapo akanambia pumzika sasa hivi zamu yako, akanifuta pale kisha tukarudi kwneye shoo moja kabambe tukaanza kufanya yetu, yaan nilikuwa nina tumbo kubwa ila sijui hata alikuwa ananiwekaje, nikawa nasikia raha balaa yaan...

Sasa tumefanya yetu tukalala, hapo tumekumbatiana kana kwamba tupo nyumban kwetu, kumbe tupo kwa wazaz wangu, kuna kucha Solomon hataki kuondoka sasa..

Mara Nikasikia mama yangu ananiita..

Solomon tunakutwa, nikaanza kumuambia huku nikiwa nina wasiwasi wa hali ya juu.. " nimeshachoka bana kukaa mbali na wewe, nataman watukute wanisusie mke wangu nikakae nae, akasema Solomon kwa sauti ya kujiamin...

nikakae nae, akasema Solomon ku kujiamin..

Mara mlango ukagongwa, nikashang anavaa haraka haraka nikijua kuw hivyo ili hata ajifiche na badala ya kufungua mlango kisha akakutana yangu na kumuamkia shikamoo ma

Chapter 13

Nilihisi kuishiwa nguvu yaan, sikujua Solomon anajiamin nini, yaan anatoka kwenye nyumba ya wakwe zake, tena bila aibu yoyote yale, alafu anamsalimia kwa kujiamin kama ndio ameingia ndani, mama yangu hata hakusema kitu, akaondoka zake...

Solomon akarudi ndani kisha akanambia ameshatuona hivyo hawez kuja kutusumbua tena mke wangu....

"hivi wewe unaakili kweli, unaakili kweli wewe mwanaume yaan kwa sauti ya kujiamin kabisa, unasema kuwa ameshatuona haji kutusumbua tena, unafikiri mama yangu anajisikia je, yaan ni kama nimemtukanisha mama yangu, nimebeba mimba nimeona haitoshi naanza kumletea wanaume ndani unaona ni ustaarabu huo......

unajua sipendi kukuona unalalamika wife, sitaman kukuona una huzun, kama anajisikia vibaya ngoja nikamuulize niondoke na wewe, maana mimi ndio ninajua thaman yako, na kama ndoa haitopita mapema nahisi atazoea kuniona hapa kila siku, siwez kulala mwenyewe mimi na wakati mke wangu upo, yaan baridi linipige mpaka asubuh, utamu wa ajabu niukose, na kingine mbu wanaoning'ata wanatakiwa kupata ladha tofauti ili wapate afya....

Nikamuangalia Solomon, alikuwa ni mtu mwenye aibu sana, sasa anavyoongea ni kama sio Yule Solomon ambae nilikuwa namjua miaka ya nyuma...

"kama una wasiwasi sema nimuambie kuwa nakuchukua, ndoa itatukuta nyumban, akasema yaan hata hajali, nikaona sasa hichi kizaa zaa sasa, na kama aliweza kwenda kufungua mlango bila kujali amekuja kiuizi na akamsalimia kabisa kwa kujiamin kana kwamba hakuna kitu alichofanya, hashindwi kwenda kumuambia upuuzi wake huyu...

" naomba uondoke nikaongee na mama yangu, wewe nenda nitajua nitamalizana nae vipi..

"siwez kukuacha alice, kama una uwezo wa kunitoa nje, wewe nitoe, ila sitoi mguu wangu hapa, nije nikuache wakufanyie kama walichokufanyia nianze kupata kazi ya kukutafuta, aaa mimi siwez kabisa..

Sikutaka kubishana nae, nikatoka nikakuta mama yangu amekaa ukumbin anaangalia luninga hata nilipo msemesha hakuongea, akakaa kimya kwa kama dakika tano kisha kwa sauti ya ukali akasem" ndoa mnafunga lini, siwez kuendelea kuvumilia aibu nyumban kwangu mimi....

alice mwanangu mbona mimi sijakuelea hivi, kwanini unanidhalilisha kiasi hichi, au nilifanya kosa kukuzaa pekee yako ukaona unikomeshe si ndio, au nilikosea kukulea unaanza kunipa malipo yangu mapema yote hii, embu nambie mwanangu, kosa langu hasa kwako ni lipi, je ni kukuzaa tu ndio mpaka unifanyie haya unayonifanyia...

" mama naomba unisamehe, sikukusudia kabisa kufanya niliyoyafanya, nikaanza kujitetea.. " haujakusudia kubeba mimba ya mwanaume ambae hata wewe humjui, sijui hata utakuwa umelala na mwanaume wa ngapi mpaka usimjue baba wa mtoto, ukaona haitoshi ukaniletea mwanaume ndani kwangu, na amelala mpaka asubuh kabisa, na alivyo hana haya hata kidogo badala hata ajifiche anakuja kabisa kunisalimia akitokea kwenye chumba ambacho unalala wewe binti yangu, najua kweli umekuwa ila kuna mambo mengine ni aibu mwanangu, hata mimi mama yako sitakiwi kuyaona....

" samahan mama naomba usimfokee alice kwa sababu mimi ndio nilielazimisha kuja, na nimeingia humu ndani kwa nguvu mkiwa mmelala, naomba kama ni lawama zihamishie kwangu, akasema Solomon kwa sauti ya kujiamin, akiwa anatokea kwenye kordo iliyokuwa inatokea chumban kwangu...

Mama alikaa kimya kwa kama dakika moja kisha akasema "una malengo gani na mwanangu... " nataka kumuoa mama, mimi nampenda sana alice...

Mama akaguna kisha akasema " kwa hio kwa kuwa unataka kumuoa ndio uje kwenye nyumba ya wazaz wake, ulale nae unafikiri hayo ndio maadili gani?.. kuliko umfokee naomba niondoke nae, ndoa itatukuta mbele ya safari mama, akasema solomon kisha akanishika mkono, kana kwamba

alikuwa anasubiria hio nafasi....

Chapter 14

"Wewe kijana unajiamin nini kuondoka na mwanangu, mama akaanza kufoka huku akitufata..

samahan mama najua unataka mwanao awe na maisha marefu, mkitaka kufanya hayo mambo yenu ya kike mpaka mcheleweshe ndoa, nakuapia mama yangu nitamteka alice, siwez kuteseka na wakati mke wangu namuona kila siku...

Sio mama wala mimi ambae tulitegemea maneno yale yangekuwa yanatoka kwa Solomon, maana hata mama anamjua vizur, mwanzo nilipokuwa naiba chakula nampelekea, baadae mama yangu alipojua akawa anaweka kabisa shea yake kwenye chakula anachopika nikawa nampelekea kwa maelekezo ya mama, alikuwa ni kijana mpole mwenye aibu sana, alikuwa hata kupambana na mtu anaemuonea hakuwa anaweza kabisa, lakin leo hii anajibu kwa ujasiri kabisa kitu ambacho hakuna hata mmoja kati yetu ambae angetegemea kama hayo maneno yote yanatoka kwa Solomon..

"unataka ndoa iwe lini? Ikabidi mama aulize.. mama yangu natamani hata iwe leo, maana siku zikizidi kwenda nitakuwa nawakosea kila siku, nitakuwa nakuja hapa au nakuja kumteka alice kila mara, ila ili tuepushe hayo yote naomba ndoa iwe kesho au kesho kutwa, kuhusu gharama hata usijali nitashughulika nazo......

Mama akakaa kimya kwa sekunde kadhaa kisha akasema " nakuja kuongea na mama yako ndoa ni kesho kutwa anza kuangalia utaratibu wako, ulete mahari tukanunue baadhi ya vitu hata ikiwezekana leo, kisha harakati zianze, mama akajua kama anamkomoa, kumbe mwamba alikuwa amejipanga, akaondoka na baada ya kama lisaa akarudi na baba yake akiwa na mahari, ilikuwa ni million tatu, yaan hakupungutaka hata kupunguziwa, kisha akasema anatoka kwenda kufuatilia ukumbi kwa ajili ya ya sherehe, kila mtu alijua utani, sasa tatizo likaja kanisani, kuna kuwaga nay ale mafundisho ya ndoa na baada ya hapo ndio ndoa, sijui alienda kuhonga, yaan ndani ya hizo siku tatu kila kitu kilikamilika, hata mimi sikuamin nikaolewa nikiwa nina mimba yangu ya miezi saba...

Familia ya Solomon hakuwa inataka kabisa mimi niolewe, ila Solomon mume wangu alishikilia msimamo wake, na akaapa kuwa hakuna mtu ambae anaweza kututenganisha na ikitokea kuna mtu anajaribu kwa namna yoyote ile kunitenga nae basi atapambana nae na atakula nae sahani moja, mdogo wake pamoja na mama yake wote wakawa kimya hawana cha kusema, na hawawez kumfokea maana yeye ndio analea na kuhudumia familia yake, hakuna hata mmoja ambae alikuwa anaweza kubishana nae...

Nilijua tutaenda hotelini, kumbe mume wangu kipenzi alikuw ameshajipanga, alijenga nyumba yake kwa siri sana, ndio tukaenda huko, alikuwa anamfanyakazi mmoja wa kike, alikuwa ni mmama mtu mzima sana, ila siku hio mume wangu akataka yule mama akapumzike na akataka kukaa na mimi tu kwa ajili ya bfungate yetu...

Kila kitu kilikuwa kinaenda haraka sana, kiukweli sikuamin kabisa kama Solomon anaweza kuja kunioa licha ya kunikuta na mimba, upendo wake ulikuwa mkubwa sana kwangu kiasi kwamba nilijihisi mwenye bahati kupata mwanaume kama Solomon, sasa tumemaliza saba, siku hio mume wangu ametoka na magwanda ya jeshi, nikashangaa, huyu si aliniambia kuwa ni daktar, inawezekana vipi awe mwanajeshi tena, nikataman kumuuliza ila alinizuia kisha akanambia nitakuja kuongea tukirudi...

Basi nikafyata mdomo wangu, Yule mama akaja nyumban kwangu na kuanza kunisaidia kazi, kwa sababu nilikuwa nimeshajichokea na mimba yangu sina hamu...

ITAENDELEA....
Tangazo - Elton John - Sacrifice

Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* 11 -- 14


*SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

Sasa chumba ambacho kilikuwa ndio chumba cha Solomon, ukiuangalia kwa dirishan kwanza unaona namna wanavyoenda kwetu alafu unaona kila kitu kwenye chumba changu, yaan mtu akikaa hapa kwa Solomon, alafu mtu akikaa chumban kwangu anaona hadi ninavyobadilisha nguo, kiufupi unaona vitu vyote, hasa hasa ukisema uweke pazia pemben kwa sababu ya joto, ila sikuwa na wasiwasi kwa sababu nyumba yetu ilizungushiwa uzio, klumbe Solomon akitaka anaweza kuniona kwa sababu ni ghorofan...

Nikawa najiambia kuwa Solomon hawez kuchungulia watu kwa sababu ana heshima tu, kumbe najidanganya tu...

Basi wakaenda kupeleka posa, na sijui waliwaambia nini nikashangaa naenda kuitwa, wazaz...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/daktari-wa-jeshi-si-ungeniomba-tuu-11-14

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
MWENDELEZO SOMA HAPA

Maoni

You're not logged in


gonga94 official track
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi daktari-wa-jeshi-si-ungeniomba-tuu
*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* *SEHEMU YA SITA*  Niliegeuka na kumtazama kwa mshangao kisha nikasema " Solomon...
*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* *SEHEMU YA SITA* Niliegeuka na kumtazama kwa mshangao kisha nikasema " Solomon...
*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* Chapter 7  'Mungu wangu Solomon mwanangu
*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* Chapter 7 'Mungu wangu Solomon mwanangu
*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* *1-5*   Kuna wakati kwenye maisha hatuwezi kabisa kuamua hatma zetu, nadhan ni kwa sababu huwa hatujui maisha yetu yamebebwa na nini... Umaskin,...
*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* *1-5* Kuna wakati kwenye maisha hatuwezi kabisa kuamua hatma zetu, nadhan ni kwa sababu huwa hatujui maisha yetu yamebebwa na nini... Umaskin,...
*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* 9 -- 10
*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* 9 -- 10
*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* Chapter 8
*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* Chapter 8
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest