Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:  105
Gonga94 Β· Stories

π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 105

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nikatokwa machozi nikisema β€œbaba!!, baba yangu.”
Aliniambia kwa hofu β€œtangulia tunapokutanaga, nakuja sasa hivi. Relax baby. Relax mpenzi wangu.”

Sikuwa naweza hata kurelax, sikuweza hata kumjibu. Hata simu yangu niliacha palepale na kuanza kukimbia kuelekea mahali tunapobadili nguo.

Ilikuwa hivyo, nilipofika katika chumba hicho nilikuta Joan pia anabadilisha nguo. Namna muonekano wangu ulivyokuwa, aliponiona alipata hofu. Joan aliniuliza β€œKuna kini kwani Ndeana, mbona mara hivyo.”
Nilmtazama tu, nikawa nabadili nguo nikisema β€œdada amesema baba yangu anaumwa sana.”
Joan aliniambia β€œbasi kwakuwa na mimi ndiyo natoka basi naomba tuongozane nikusindikize huonekani kuwa sawa.”
Nilimtazama na kusema β€œAsante kipenzi ila wacha niende nikaone kwanza hali tutawasiliana.”

Nakumbuka Joan alivuta bahasha, kisha akanipatia na kusema β€œmeneja, ametupa kila mmoja bahasha yake kwa kazi ambayo tumefanya. Pia mapumziko siku tatu.”
Nikavuta pumzi na kusema β€œnashukuru sana, Asante sana Joan. Basi kwaheri tutawasiliana.”

Nilitoka mbio mbio mpaka sehemu ambayo Boss aliniambia tukutane. Nilipofika pale yeye pia hakuchelewa sana alifika. Haraka alinifungulia mlango wa gari. Nikaingia. Alinitazama kwa huruma na kunipatia simu yangu ambayo tayari ilikuwa imevunjika. Aliniambia β€œmpigie dada anakutafuta sana.”

Nilipokea simu ya dada tulikuwa tunaelekezena vitu kama mnavyojua familia tu. Basi alinielekeza hospitali aliyompeleka baba yetu na mimi nikamuelekeza Stewart na alikuwa ananitazama kwa huruma tu.

Nakumbuka tulifika mpaka hospitali, kwa nilivyokuwa nilikuwa nasahau hata kama nipo na Stewart maana nilikuwa natembea haraka kiasi yeye ndiyo ananikimbilia. Dada aliponiona tu tukakumbatiana kwa kulia. Dada alisema β€œmdogo wangu, baba anaumwa, madaktari wanamshughilikia. Tumuombee baba yetu.”

Nilimtazama dada yangu nikilia sana, huku nikimuuliza β€œdada, baba atapona kweli, atapona.”
Dada aliniambia β€œmdogo wangu jikaze sasa. Nafahamu unavyompenda baba. Ila kulia ni uchoro huo ilihali mtu anapambania maisha yake kwaajili yetu. Tunatakiwa kumtia moyo nasi kwa kuwa majasiri na kumuombea.”

π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 106

Nikawa naitikia kwa kichwa nikisema β€œkweli dada, ni kweli lakini nashindwa mimi, nashindwa.”

Stewart aliingia, aliponiona nalia namna ile, alikuja kunikumbatia. Dada alibaki anatutazama tu hata alienda kukaa sehemu ambayo kulikuwa na benchi maalumu la kukalia watu wanaosubiri huduma.

Nakumbuka Stewart alivyosema β€œTotoo, nipo hapa pamoja na wewe. Huwezi kulia na kuumia peke yangu, mimi ni sehemu yako kipenzi. Tumekuwa familia, tumekuwa wamoja. Naomba jikaze, tulia na haya kwa pamoja tutashughulikia.”

Tukiwa katika hali hiyo ya kufarijiana, aliingia Martha. Alifika mpaka tulipokuwa tumekumbatiana, aliniita β€œwiii, wizou jamani, usilie hivyo. Unapokuwa unafanya hivyo unazidi kuharibu. Baba atakuwa sawa tu. β€œ
Nilimtazama na kusema β€œAsante sana dada Martha.”
Kisha akasalimiana na Stewart, kama kawaida ya watu wanaofahamiana kisha alienda kumfariji rafiki yake ambaye ni dada yangu.

My boss, alinifuta machozi na akaniuliza kuhusu baba yangu utambulisho wake na vitu kama hivyo. Kisha akanishika kwa upendo na kwenda kunikalisha mahali akisema β€œnisubiri hapa, naenda kuzungumza na daktari.”
Nilitabasaku kiuchovu na unyonge nikimtaka asichelewe kurudi.

Nilibaki pale, huku Martha akiniuliza β€œbro ameenda wapi tena?”
Nikasema kwa upole β€œanarudi sasa hivi.”
Akasema β€œooh basi mtaniagia, kwa maana rafiki yangu ulivyopiga simu unalia ikabidi niache kila kitu. Tupo pamoja , Mungu ni mwema kila kitu kitakuwa sawa. Baba atapona na atarudi kwenye ubora wake.”
Dada akajibu β€œAmina kipenzi, Mungu atusimamie.”

Aliondoka, mimi na dada tulibaki pale tukiendelea kutiana moyo na kufarijiana. Tuliongea kuhusu matibabu ya baba na dada aliniambia kuwa kuna pesa ya mtu ameazima kwaajili ya kuwahi hospitali.

Pia dada yangu aliniambia β€œMdogo wangu, hatukupata muda wa kuzungumza kwasababu sikuwa nataka kukusumbua kazini. Baba hali yake sio nzuri kwa muda kidogo. Hivyo ile pesa nikawa natumia kumnunulia dawa. Ilibaki kidogo ndiyo nimeongezea na nyingine. Sasa itakuaje mdogo wangu.”

π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 107

Nilimtazama dada na nikamwambia β€œdada huna haja ya kuelezea kuhusu pesa. Najua wewe ni dada yangu. Ni wajibu wetu kumlinda baba. Umefanya vizuri lakini sasa, vipi na wewe hilo tumbo lako?”

Dada alinitazama na kusema β€œmdogo wangu, tumbo langu nikisema nikuelezee huwezi kunielewa kwasababu mimi nina uwezo wa kuvumilia matatizo. Ila mdogo wangu hali sio nzuri. Tumalizane na baba hili tumbo pia inabidi tufanye vipimo kama ulivyo shauri.”

Nilimtazama na kusema β€œdada mimi naogopa, kukaa na tatizo kama hivu hila utatuzi ni hatari sana dada. Siku hizi magonjwa mengi sana. Unaweza kujua ni tumbo la kawaida kumbe hapana. Unaonaje na wewe ufanye tu vipimo ili wote wawili mpone kwa pamoja.”

Dada alinitazama na kutabasamu, kisha machozi yalimtoka akitazama mbele akisema β€œshemeji yangu ni bonge la bwana. β€œ
Nami nikatazama na kutabasamu machozi yakitoka.

Alikuwa ni Stewart, My Boss, ndiye aliyekuwa anakuja kutoka kwa daktari. Alipofika alituambia β€œsasa tafadhali mnaweza kuacha kulia au na mimi nianze kulia?”
Mimi na dada tulitazama na kisha alitabasamu na dada alisema β€œtunanyamaza.”

Alitabasamu na kusema kwa upole β€œsasa, nimeongea na daktari. Sasa baba yupo kwenye chumba ambacho tutamuona muda wowote tutakavyo. Pia sasa atabadilishiwa dawa, wala msijali kuhusu chochote mimi nipo pamoja na mimi.

Mkumbuke magonjwa kama sukari, na shinikizo la damu yapo kwa wazee wengi ni umri tu. Hivyo sasa tutambadilishia mtindo wa maisha yake kuanzia kula na matibabu yake. Ila inabidi mnipe ruhusa mniachie mimi.”

Dada alinitazama na alijikuta anatokwa machozi akisema β€œMungu akubariki sana Shemeji, sina hata neno la kusema zaidi ubarikiwe. Mdogo wangu asante sana, tungefanya nini peke yetu.”

Nilimtazama nikitokwa na machozi nikiuliza β€œStewart kwahiyo baba yangu anapona si ndiyo, hakuna baya litatokea.”

Akanitazama na kunikumbatia akisema β€œtoto!!, ondoa hofu.Mungu atatusaidia. Na nakuahidi baba atapona. Hata hivyo hali ya afya yake sio mbaya sana. Akitumia dawa zake vizuri, akila vizuri na kuzingatia maagizo ya daktari anaweza kupona kabisa.

π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 108

Niamini mimi.”

Nikafurahi sana nikisema mbele ya dada yangu, tena nikiwa nimemkumbatia. Nakumbuka nilisema machozi yakitoka β€œNakupenda sana Stewart, nakupenda, wewe ni bora sana, Nakupenda.”

Stewart hakujibu alibaki kanikumbatia tu, hata dada aliona hilo. Alisema β€œShem, tunaweza kwenda kwa baba sasa.”
Alinitazama na kusema β€œbila shaka, twendeni.”

Tulianza kutembea kuelekea huko, tena mimi na yeye tukiwa tumeshikana mikono na dada akiwa nyuma yetu. Tulifika mpaka chumbani kwa Baba alikuwa ametundikiwa mipira mingi sana.

Mimi sio mtaalamu wa afya ila kumuona baba yangu kwenye hali ile yalikuwa ni zaidi ya maumivu. Nilijikuta natamani hata niseme mara mia namna nampenda baba yangu. Baba yangu ametulea kwa upendo tangu mama alipotuacha.

Ni baba mzuri kwetu, sikuwa tayari kumuona na yeye anapoteza maisha. Sijui labda kwasababu mama yetu hayupo ila sisi tunampenda sana baba yetu. Vile mimi na dada yangu tulisogelea kitanda, na kuanza kumuuliza baba kama yupo sawa tena tukilia.

Baba yetu alikuwa anatutazama tu kwani hakuwa katika hali hata ya kuongea. Alikuwa vibaya sana. Nilisema kwa upole β€œBaba Nakupenda sana, nakupenda mno baba. Unanipenda na kunilea katika njia sahihi.

Na sasa umelala hapa zile baraka zako nitazipata wapi sasa. Leo nilikuwa nirudi nyumbani nikusimulieni namna kazi ilivyokuwa nzuri na tumemaliza si ndiyo Stewart.”

Stewart kwa huruma alitutazama tu, dada yangu na yeye alikuwa akisema yake kwa upande wake. Hakika kumuona mtu anayeugua na ni kipenzi cha maisha yako inaumiza sana. Inauma sana. Ndivyo nilivyokuwa ninaumia kumuona baba yangu kitandani hawezi kufanya lolote lile.

Labda nikuulize wewe, mara yako ya mwisho kumwambia mama yako, baba yako, dada au kaka yako, mlezi wako yeyote ambaye anakulea kwa upendo hata ukawa wewe, mara yako ya mwishi kumwambia neno hili kutoka moyoni NAKUPENDA, asante unanilea na kunitunza vizuri ni lini?.

Au unafikiri neno hili ni kwaajili ya mapenzi tu. Hapana, siku hii nilitambua kuwa hata baba yangu anastahili kusikia maneno haya mazuri yenye nguvu ili ajue kuwa anatakiwa kuishi kwaajili yetu.
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 109

Ninatamani kukuambia acha kila kitu unachofanya na umwambie mlezi wako neno NAKUPENDA uone namna atafurahi na kukupa baraka nyingi sana. Haijalishi magumu unapitia walau basi uwe na mtu anasema nakuombea.

Nakumbuka sana, My boss aliposema β€œkwasasa baba hawezi kufanya lolote. Daktari pia alishauri tumuache peke yake pengine labda turudi baadaye. Mnavyokaa hapa na kulia mnampa wakati mgumu baba. Mnanielewa?”

Tukawa tu tunatokwa machozi. Maskini Boss alinichukua mimi na dada yangu na tulitoka nje. Alisema β€œsasa niwapeleke nyumbani kisha tutajua nini kifanyike.”

Niliitikia kwa kichwa. Dada yangu alisema β€œShem, wewe mpeleke mwenzio, mimi ni baki hapa. Linaweza kutokea tatizo na asiwepo mtu wa karibu. Mdogo wangu, usiache na nguo za kubadilisha baba.”

Nikamtazama na kusema β€œdada, umetoka kuniambia unaumwa, na sasa hivi tena unataka ubaki. Twende wewe ukapumzike, mimi nitarudi kwa baba.”
My boss akauliza β€œShem, unaumwa nini tena?”

Akatabasamu na kusema β€œusijali Shem, kidogo tu tumbo linanisumbua.”
Mimi nilikazia, β€œsio leo ni ugonjwa wa muda mrefu, dada mbishi sana.”

Boss wangu akasema β€œsikieni, ugonjwa ni rahisi sana kuingia mwilini ila kutoka ni ngumu sana. Tumezoea kuumwa na kunywa dawa bila kupima. Ukiona umefanya hivyo na bado unaumwa tu ujue ni tatizo linahitaji matibabu. Shemeji yangu, na wewe sasa unatakiwa kupima ili wote tuwe wazima. Si kitu kizuri kuzoea ugonjwa unaweza kuta ni tatizo linatakiwa tibika haraka kabla halijaleta madhara.”

Nilimtazama dada nikisema β€œkweli dada. Pima na wewe. Walau kwanza tujue tatizo, matibabu tutajitibia taratibu.”
Boss wangu mwenyewe sasa na huu utambulisho wa lazima nakuambia alimshika mkono dada yangu akisema β€œusiogope, mimi nitakuwa hapa kumsaidia mdogo wako, sasa ondoa shaka. Naomba twende kwa daktari ukajielezee kisha ufanyiwe vipimo.”
Dada alitutazama na kutuuliza β€œmna hakika ni salama lakini.”
Stewart akamtazama na kusema β€œndiyo shemeji yangu. Ni salama.”
Basi tuliongozana mpaka kwa daktari. Dada alijielezea, akachukuliwa vipimo pale hospitali. Nasi tulikaa kusubiri majibu.
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 110
Ni kweli dada yangu alikuwa anaishi na ugonjwa kwa muda wote huu. Alikuwa anafuga ugonjwa ambao ulimgharimu maisha yake. Dada yangu alikuwa na Kansa ya kizazi ambayo ilikuwa imemuharibu sana. Suluhisho la daktari ilikuwa ni kizazi kiondolewe kwa haraka sana yaani hakuna muda wa kupoteza zaidi ya kufanya hivyo tena huku daktari akisema dada yangu aliwezaje kuishi na hali hii muda wote huo.

Unataka kujua tulipokeaje hili, hatukupokea vizuri hata kidogo. Dada yangu alilia akisema β€œsitaki mimi, nitaishi vipi sasa bila kuwa na kizazi changu. Ina maana mimi sitakuja kuitwa mama maisha yangu yote. Ina maana mimi kuwa mama nisahau. Ndeana mdogo wangu, nataka kuwa na mwanangu, nataka kuja kuitwa mama. Ina maana ndoto zangu za kuja kuwa mama bora zimeisha kweli?, ina maana, Mungu wangu!!, Mungu wangu!!, nimekosa nini mimi!!”

Aisee!!, dada yangu alilia kwa uchungu sana, Stewart alimkumbatia kwa uchungu akimbembeleza kuwa β€œshemeji yangu tulia, huu sio mwisho wako. Ni vizuri tumewahi kidogo. Ingekuwa na madhara kwako. Sikia shemeji, wewe kuitwa mama sio mwisho. Kuwa mama sio lazima mtoto atoke tumboni kwako. Mtoto yeyote ukimpenda na kumjali unaweza kuwa mama yake. Nakuomba shemeji yangu, usikate tamaa. Muhimu sasa ni wewe upone ili ushirikiane na mdogo wako kumtunza baba. Nakuomba.”

Dada yangu alizidi kulia, na hata mimi pia roho iliniuma. Kama mnavyojua tunavyopendana na dada yangu. Ila bado nilimsihi akubali. Daktari pia aliongea lake na kisha dada yangu alikubali na aliomba apate muda na mimi. Na wote walitoka nikabaki na dada yangu.

Dasa yangu alishika mikono yangu na alisema β€œNdeana mdogo wangu nakupenda sana. Ninaumia sana kupokea haya majibu ila nataka kuishi. Mboni za macho yangu bado zinatamani kukuona wewe na baba yetu.Nataka bado kucheka na kupiga umbea na wewe. Ndeana lolote likitokea kwenye upasuaji wangu usiumie sana na badala yake umtunze baba vizuri sana. Uishi na baba vizuri na nilitaka nikuambie, mwanaume wako ni mzuri sana. Ana huruma na upendo sana. Ni ngumu sana dunia ya sasa kumpata kama yeye. Muheshimu mdogo wangu, mjali na umpende sana. Sitapenda kuona mkigombana
Soma muendelezo kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0743433005

Maoni

You're not logged in

Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 105

Nikatokwa machozi nikisema β€œbaba!!, baba yangu.”
Aliniambia kwa hofu β€œtangulia tunapokutanaga, nakuja sasa hivi. Relax baby. Relax mpenzi wangu.”

Sikuwa naweza hata kurelax, sikuweza hata kumjibu. Hata simu yangu niliacha palepale na kuanza kukimbia kuelekea mahali tunapobadili nguo.

Ilikuwa hivyo, nilipofika katika chumba hicho nilikuta Joan pia anabadilisha nguo. Namna muonekano wangu ulivyokuwa, aliponiona alipata hofu. Joan aliniuliza β€œKuna kini kwani Ndeana, mbona mara hivyo.”
Nilmtazama tu, nikawa nabadili nguo nikisema β€œdada amesema baba yangu anaumwa sana.”
Joan aliniambia β€œbasi kwakuwa na mimi ndiyo natoka basi naomba tuongozane nikusindikize huonekani kuwa sawa.”
Nilimtazama na kusema β€œAsante kipenzi ila wacha niende nikaone kwanza hali tutawasiliana.”

Nakumbuka Joan alivuta...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/jamani-boss-mi-naona-aibu-105

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi jamani-boss-mi-naona-aibu
JAMANI BOSS MI NAONA AIBU πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž 1- 5 🚩🚩🚩🚩🚩
JAMANI BOSS MI NAONA AIBU πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž 1- 5 🚩🚩🚩🚩🚩
Season four  π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 154
Season four π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 154
  𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒇𝒐𝒖𝒓 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:  165 - 172
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒇𝒐𝒖𝒓 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 165 - 172
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:26
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:26
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:  76
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 76
	𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 π’•π’˜π’  81 - 89.. π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 π’•π’˜π’ 81 - 89.. π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:
🚩🚩🚩🚩🚩 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:21
🚩🚩🚩🚩🚩 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:21
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 π’•π’˜π’ π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:  60
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 π’•π’˜π’ π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 60
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒕𝒉𝒓𝒆𝒆  π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:  11
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒕𝒉𝒓𝒆𝒆 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 11
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒇𝒐𝒖𝒓 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 141
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒇𝒐𝒖𝒓 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 141
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒇𝒐𝒖𝒓 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 147
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒇𝒐𝒖𝒓 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 147
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:45
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:45
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 π’•π’˜π’ π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:  68  Akaniuliza
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 π’•π’˜π’ π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 68 Akaniuliza
11 - 20🚩🚩🚩🚩🚩🚩 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž
11 - 20🚩🚩🚩🚩🚩🚩 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 129
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 129
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒕𝒉𝒓𝒆𝒆 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:  90
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒕𝒉𝒓𝒆𝒆 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 90
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒕𝒉𝒓𝒆𝒆 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:  95
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒕𝒉𝒓𝒆𝒆 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 95
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 133
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 133
6 - 10🚩🚩🚩🚩🚩🚩 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž
6 - 10🚩🚩🚩🚩🚩🚩 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

1.22K
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

737
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

250
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

100
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

32
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

13
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

5
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.69K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.41K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.82K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.91K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.69K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.68K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.64K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikase​ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN😎* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest