Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:45
Gonga94 Β· Stories

π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:45

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Akaniambia β€œtotoo, unaniruhusu nile, please dont say no, naomba nile please.”
Nikaitikia kwa kichwa β€œeenh!!, eenh!!, eenh!!”
Akaniuliza tena β€œunataka ipi, slowly au faster!!”
Nikapiga β€œboth.”

Hakuchelewa, alishika mguu wangu akasogeza pembeni, akakusanya mikono yangu pamoja huku juu kichwani, kisha yeye akawa katikati ya mapaja yangu na mikono kanishikilia. Mimi naona kama anachelewa vile.

Sitaki kuelezea sana ila hakika sikuwahi kuhisi kama kuna watu wanajua kuhusu mahaba kama Stewart Boss wangu. Alivyo kiumri na hili ninaloona ni tofauti. Nilielezea kuhusu fimbo yake nene na ndefu kimtindo. Sasa namna ananichapa hata haiumi yaani, ni taratibu sana, taratibu huku ananiambia β€œtotooo, nakupenda sana. Toto be mine, nakupenda sana, nakupenda sana.”
Mimi naye utamu kolea nalia kwa burudani, nikisema β€œongeza, sana, tena, tena.”

Basi huku nachapwa huku napulizwa kwa mabusu kemukemu. Sitaki kusahau mitindo na nilizopata huku akiniambia β€œyour so sweet, kila kitu chako ni kitamu eti.”

Ninaona aibu yaani, tena tulitumia muda mrefu sana. Mwanaume hachoki, tena ananichapa mpaka analia na anapiga kelele kila akiwa anamaliza kunichapa. Tena kelele mpaka wewe mwenyewe unasema nimemkomesha. Basi tukawa hoi, tukajikuta tumelala tena tumekumbatiana kabisa.

Wakati mimi naamka nakuta yeye tayari ameamka ananitazama. Nilijisikia aibu sana, Nikageukia pembeni kwa aibu. Akaniambia β€œtotoo thanks so very much, umenifanya mtu mzima nilie na kelele nipige. Nakushukuru sana Ndeana. Unanipenda?”

Aliniuliza swali ambalo tena kwa mara nyingine nashindwa mjibu.
Badala yake nikamwambia β€œnataka kuoga!!”
Akaniambia kwa tabasamu β€œtotoo ina maana hunitazami tena?”

Nikatabasamu pembeni, akaniambia tena kwa upole β€œbasi tukaoge wote.”
Nikajikuta nasema β€œnooo!!, no!!, no sitaweza.”
"Kwanini sasa??"
"JAMANI BOSS MI NAONA AIBU
Akacheka , akainuka akaenda bafuni na kurudi na taulo. Alinipati na kisha aliniambia β€œwewe ni mzuri sana. Haya sasa nenda kaoge.”

Kwa aibu niliinuka kwenda bafuni, sijui hata navaa nini maana nguo kachana. Nikiwa bafuni naoga huku nacheka mwenyewe kisha najiuliza
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:46

β€œumefanya nini sasa, Akikunyima kazi itakuaje, utamkuta wapi.”
Nikajikuta naanza kujuta hata sijafika mbali.

Ni kweli sijawahi kufurahia kiboko kama anavyochapa yeye hii asilimia mia. Kuna mahali kafika hapajawahi kufikiwa na mtu. Yeye kafika lakini imekuwa haraka sana nitafanyaje sasa.

Nilioga na nilipomaliza nikatoka, nikashangaa naona chakula na nguo zangu pale pembeni. Aliniambia β€œnilinunua nguo nyingine ila vaa hizi ambazo umekuja nazo usigombane na dada nyumbani. Pia kula ushibe tuondoke, nimepokea simu ya dharula. β€œ
Moyoni nasema β€œmmh ndiyo nakimbiwa hivyo mbona haongelei kazi kabisa.”
Basi mimi nikasema β€œlabda wanifungie nitakula tu nyumbani.”
Alinitazama na kusema β€œtotoo are you ouk?”
Nikamtazama na kuitikia kwa kichwa tu, akaniambia β€œsikia totoo, natamani kukaa na wewe tuongee mengi sana. Ila nina simu muhimu sana. Umenisamehe?”
Nikaitia kwa kichwa, alinitazama kwa upole akaja kunikumbatia akisema β€œchangamka basi, nakupenda kweli mwenzako.”
Nikatabasamu kidogo ila kiukweli nilijua wazi nimeliwa bure.

Kwa uhalisia kweli hakuonekana sawa nami sikupata nafasi ya kumuuliza. Basi nikawekewa kila kitu sawa. Nakumbuka tuliondoka pale na tena hakunipeleka mpaka anapoishia. Na hata barabarani hakuniongelesha kama ambavyo hufanya. Hakika nilikuwa najiona mjinga. Natamani kulia, natamani kumtukana, natamani anishushe.

Nilifika mahali ndiyo akasimamisha hapo. Aliniambia β€œsiku yetu ya kwanza mimi na wewe imeisha vibaya. Nisamehe sana totoo, ila nakuahidi nitakutafuta haraka. Shika pesa ya nauli, natamani nikusindikize ila nina haraka sana sana.”

Chozi lilinitoka, akashtuka na kuniuliza β€œtotoo nimekukera?”
Nashindwa kujibu nasema tu β€œasante, tutawasiliana.”

Alinipatia laki moja ya nauli, na mzigo wangu ambao nguo kanunua na chakula. Nikashuka, sikutaka hata kumuaga niliondoka nalia. Tena sikutaka chelewa nyumbani nikapanda pikipiki mpaka nyumbani.

Dada yangu alikuwa ananisubiri na baba yangu. Waliponiona walinikaribisha kwa furaha sana. Nami nikaigiza kuwa sawa. Nikawasalimia na kusema nimechoka sana, naomba kupumzika. Tutaongea kesho.”
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:47

Dada aliondoka mimi nasubiri simu ya Boss. mpaka usiku sana hakuna cha umefika, umefurahi au zile meseji zake.Hakuna chochote hata simu sioni akinipigia. Natamani nimtafute siwezi. Nilianza kujilaumu kwa kulia nikisema β€œmjinga sana wewe, kwanini ulikubali, umeona sasa umeachwa, umeachwa siku moja tu baada ya ujinga wako.”

Mimi sikulala, sikufumba macho, roho inauma mno. Ikawa kesho yake, dada alinifuata chumbani, akaniuliza tatizo langu. Nami nilisema β€œjana nilifanya sana kazi huko mpaka nahisi homa.”

Maskini dada yangu alinipatia dawa, akaenda nichukulia maji. Sikuwa na namna nikanywa zile dawa na siumwi. Dada yangu akaniandalia na chai, kwani niliweza kunywa, kiasi nikifumba macho tu machozi yananitoka. Simu yangu ipo kimya, sitafutwi na boss wala Mar. Nipo tu nimeishiwa.

Dada aliniletea chakula akiniambia β€œzile chips za wapi ni tamu sana.”
Nikamtazama nikisema β€œhata sijui kuna mtu alienda nunua akanipa.”
Dada alisema β€œtamu sana.”
Mimi moyoni nasema β€œungejua najuta hapa usingefurahia.”
Sikuweza kula, dada aliniacha na chakula sikugusa, hamu inatoka wapi. Hamu naitoa wapi mimi, dada alirudi akisema β€œsasa mdogo wangu kesho kazini utaweza kweli twende hospitali.”
Natamani niseme β€œnimefukuzwa kazi siwezi.”
Nikamwambia dada β€œnikiamka hivi itabidi nitafute namna dada, ila nitapona.”
Na hapo najiambia β€œnitasema wamenikatalia ruhusa hivyo basi tena.”
Yaani nawaza mengi. Ila dada hakuacha nipa moyo akisema kesho nitaamka sawa.

Ninatamani niseme namna nimejuta, nimelia peke yangu yaani siku ya pili mpaka saa 6 usiku kimya ina maana kazi sina. Nazidi kuchanganyikiwa. Niliamua kupiga simu inaita tu, nikapiga tena hivyohivyo. Nikasema maboss ni watu wabaya, maboss sio watu wa kuamini. Tazama nimeliwa na hakuna mpya. Nilibaki nalia tu chumbani maana tangu aliponiacha mpaka sasa hakuna simu wala meseji. Uchungu moyoni ambao yeyote nikimuelezea atanitukana na kusema ukome na umalaya wako. Sithubutu kusema nabaki nalo moyoni.
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:48

Nakumbuka ilikuwa saa 7, nimekaa nawaza na kuwazua. Nalia na kujifuta meseji. Nimechoka sina hamu maana kama ni kulaani nimelaani, kujichukia nimejichukia. Maskini machozi yananitoka hayakauki. Najiona mpumbavu, mwenzenu nimetoa mwili na kazi sina.

Nikiwa katika hali hiyo, Uliingia ujumbe kwa simu yangu. Haraka nikafungua, alikuwa Boss. Nikafuta machozi yangu ili nione vizuri pengine ninakengeza. Alikuwa ni yeye, boss wangu, kanitumia ujumbe, tena sio ujumbe tu ni ujumbe mzuri sanaa. Mimi sijawahi tumiwa ujumbe mtamu wa kunipa raha vile.

Nilisoma ujumbe nikitabasamu, nilisoma nikiwa nasikia raha, nilisoma kwa furaha, mapenzi matamu sana haswa umpate mtu anayethamini furaha yako.

Aliniandikia hivi β€œBaby your love is soo special.. Sikujua you are this sweet and lovable.. Sikujua I would dive deeper into this. I am enjoying every moment darling.. you are mine totoo. The first time I met you.. I had no damn idea that I would love you this much. I miss you Ndeana.(Baby penzi lako ni la pekee sana. Sikujua kuwa wewe ni mtamu na wakupendwa hivi. Sikujua nitazama hivi katika penzi lako. Wewe ni wangu toto. Nilipokutana na wewe kwa mara ya kwanza, sikuwaza ningekupenda namna hii.Nimekukumbuka Ndeana.”)

Nyie!!, nilikuwa nimekaa kitandani, nikashuka chini. Nilisoma kwa kucheka, nilisoma kwa tabasamu, nikasoma kwa kulia, nilisoma tena nikasoma tena na kukumbatia simu nikisema β€œAsante Mungu, Asante Mungu wangu, nilichanganyikiwa mimi.”
Nikaaa kitandani nianze mjibu, simu yangu ikaita, alikuwa Boss wangu ananipigia. Haraka nikapokea na aliniambia β€œHello my sweet person. I miss you loads.”
Nikacheka, yaani mimi naitwa mtu wake mtamu, mnajua raha yake, mwili wote ulisisimka tena na ile sauti yake tamu🀣🀣🀣🀣nyie hata mimi natamani mjueπŸ™†πŸ™†πŸ™† kama hujanipigia kura na unatamani unipigie
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:49

Nikaitikia kwa sauti iliyojaa furaha na wasiwasi mkubwa sana β€œHello, Boss umenipigia?”

Boss wangu aliniambia β€œulidhani sitakupigia. Ndeana nawezaje mimi nisikupigie wewe. Sikia Ndeana, nilikuwa na tatizo, mambo yalinizonga ila sikuacha kukufikiria totoo, ninakuwaza kwenye kila kitu ina maana hujui hilo?”
Nikavuta pumzi na kisha nikasema β€œnilifikiri...”

Akamalizia kwa kusema β€œsitakutafuta tena, unawezaje kuwaza mawazo mabaya namna hiyo haswa kwangu nitafanya vyote ila sio kwako. Ni usiku nimekupigia ila ni muhimu sana. Ndeana kesho unatakiwa kuwahi kazini si unajua hilo?”

Nikatoa macho na kumuuliza β€œkweli?”
Akaniambia kwa kushangaa β€œina maana hujui hilo, si nilikuambia tangu majuzi kuwa jumatatu kazini. Mbona mzembe hivyo sasa totoo.”

Nilifurahi kiasi chozi lilinitoka nikashindwa kuongea. Na aliendelea kuniuliza β€œna kwanini hujala mpaka sasa wakati unajua kesho unatakiwa kuwahi kazini?”
Nikajikuta huku nalia nasema β€œnilikuwa nasubiri, nilikuwa nakusubiri wewe useme.”

Akatulia kwa muda, halafu aliniambia β€œNdeana, futa machozi yako. Na ukimalizia kufuta weka katika kichwa chako kuwa Nakupenda sana tena sana. Kisha unatakiwa upande kitandani ulale na tukutane kesho kazini. Nakupenda.”

Sikuwa na uwezo wa kumjibu, yaani vile anaitwa Boss inanisumbua sana kichwani kwangu. Nashindwa kumzoea kabisa. Simu ikakata.

Baada ya simu kukata nikabaki nina furaha hata mwili ukapata nguvu. Haraka nikaanza kuandaa nguo ya kuvaa asubuhi. Nikarudia kusoma ule ujumbe wake anaosema hakujua kuwa atazama kwenye huba langu. Nikajikuta nacheka nikisema β€œila Boss kwahiyo hakujua kuwa atazama alitaka kuchezea usichana wangu huyu.”
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:50

Nikacheka tena, niulize basi nacheka nini, nimefurahi sana, maneno matamu ni tiba ya moyo. Wanaume wengi sana hawana hii, ila hakika wanaume wote wangekuwa hivi mpaka huko kwenye ndoa basi watu wengi wangetamani ndoa, kwa maana mapenzi ni kitu pekee kizuri na kikubwa sana kwenye hii dunia.

Nilikuwa nalala, baada ya dakika 3 nashtuka, nalala baada ya dakika kumi nashtula kuangalia muda. Yaani usingizi sipati, nina hamu ya kazi. Si mnajua mtu ambaye kazoea kwenda kazini ghafla akakosa kazi kasota ndiyo kapata nyingine huyo ndiyo mimi sasa. Nina hamu sana na kazi. Nina hamu.

Nilikutana na ujumbe wake tena , ulikuwa tu wa kawaida β€œTotoo, umeamkaje my sweet person.”

Nilitabasamu na kisha nikamwambia kwa ujumbe β€œmamshukuru Mungu.”
Akaniuliza β€œare you ouk totoo?”
Nikatabasamu na kujibu β€œYes iam.”

Basi akanipa maelekezo kidogo ya kazini na alinipa namba pia kisha aliniambia maneno haya β€œMay your day be as bright as your smile and as sweet as you are my flashlight, nakutakia heri kwa siku yako ya kwanza kazini.Nakupenda Ndeana wangu❣️.”

Nikatabasamu na hapa nikajikaza, nataka niandike β€œnakupenda Stewart wangu.”
Lakini siwezi yaani. Nikajikuta namtumia β€œNashukuru sana, sina cha kukulipa ila Mungu ndiyo anajua.”

Akaniuliza β€œhivi Ndeana, ni lini na wewe utajifunza kuniambia maneno matamu ili wote tufurahi?”

Nikashindwa kujibu. Akanitumia tena ujumbe β€œYou know what?, when you understand each other, everything becomes sweet(Unajua nini?, kama kila mmoja akimuelewa mwenzake, kila kitu kinakuwa kizuri sana.)

Nikamjibu kwa upole β€œNakuelewa, nitajitahidi.”
Akaniambia tu kwa ufupi β€œouky, Goodday totoo.”

Nilijiandaa harakaharaka, ninakumbuka nilipokuwa natoka nilikutana na baba yangu na dada yangu. Kusema ukweli nyuso zao zilikuwa na furaha sana.

Hata dada yangu aliniambia β€œMungu akutangulie kazini kwako kipenzi. Dada yako nakuombea.”
Nikamtazama na kumjibu kwa tabasamu pana β€œAmen.”

Baba yangu alikuwa amekaa kwa kochi, aliniita mbele yake, nilifika na kupiga goti mbele zake.
Mwisho wa season one

Usikose season two

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:45



Akaniambia β€œtotoo, unaniruhusu nile, please dont say no, naomba nile please.”
Nikaitikia kwa kichwa β€œeenh!!, eenh!!, eenh!!”
Akaniuliza tena β€œunataka ipi, slowly au faster!!”
Nikapiga β€œboth.”

Hakuchelewa, alishika mguu wangu akasogeza pembeni, akakusanya mikono yangu pamoja huku juu kichwani, kisha yeye akawa katikati ya mapaja yangu na mikono kanishikilia. Mimi naona kama anachelewa vile.

Sitaki kuelezea sana ila hakika sikuwahi kuhisi kama kuna watu wanajua kuhusu mahaba kama Stewart Boss wangu. Alivyo kiumri na hili ninaloona ni tofauti. Nilielezea kuhusu fimbo yake nene na ndefu kimtindo. Sasa namna ananichapa hata haiumi yaani, ni taratibu sana, taratibu huku ananiambia β€œtotooo, nakupenda sana. Toto be mine, nakupenda...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/jamani-boss-mi-naona-aibu-45

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi jamani-boss-mi-naona-aibu
JAMANI BOSS MI NAONA AIBU πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž 1- 5 🚩🚩🚩🚩🚩
JAMANI BOSS MI NAONA AIBU πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž 1- 5 🚩🚩🚩🚩🚩
Season four  π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 154
Season four π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 154
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:  105
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 105
  𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒇𝒐𝒖𝒓 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:  165 - 172
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒇𝒐𝒖𝒓 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 165 - 172
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:26
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:26
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:  76
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 76
	𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 π’•π’˜π’  81 - 89.. π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 π’•π’˜π’ 81 - 89.. π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:
🚩🚩🚩🚩🚩 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:21
🚩🚩🚩🚩🚩 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:21
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 π’•π’˜π’ π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:  60
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 π’•π’˜π’ π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 60
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒕𝒉𝒓𝒆𝒆  π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:  11
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒕𝒉𝒓𝒆𝒆 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 11
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒇𝒐𝒖𝒓 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 141
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒇𝒐𝒖𝒓 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 141
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒇𝒐𝒖𝒓 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 147
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒇𝒐𝒖𝒓 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 147
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 π’•π’˜π’ π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:  68  Akaniuliza
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 π’•π’˜π’ π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 68 Akaniuliza
11 - 20🚩🚩🚩🚩🚩🚩 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž
11 - 20🚩🚩🚩🚩🚩🚩 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 129
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 129
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒕𝒉𝒓𝒆𝒆 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:  90
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒕𝒉𝒓𝒆𝒆 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 90
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒕𝒉𝒓𝒆𝒆 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:  95
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒕𝒉𝒓𝒆𝒆 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 95
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 133
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 133
6 - 10🚩🚩🚩🚩🚩🚩 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž
6 - 10🚩🚩🚩🚩🚩🚩 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

1.22K
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

734
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

249
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

97
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

32
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

13
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

5
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.69K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.41K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.82K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.91K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.69K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.68K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.64K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikase​ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN😎* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest