Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

MAHABA YA MZOA TAKA 12 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
Gonga94 ยท Stories

MAHABA YA MZOA TAKA 12 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Tuendelee na story yetu.
Basi baada ya mzoa taka kutoa mashuka ilibidi niligeuze godoro na baada ya kumaliza mtanange mzito ulianza baina yangu na mzoa taka. Tulifanya mapenzi kwa mda mrefu mpaka pale hamu nilizokuwa nazo ziliponiisha ndiyo nilipata akili ya kurudi kwangu.

Nilichukua kiasi kidogo cha pesa na kumpatia mzoa taka kwa ajili ya matumizi yake madogo madogo ila nilishangaa akiongea.
"Irene subiri usiondoke nakuja sasa ivi tu" Mzoa taka aliongea na kuondoka.

Baada ya mda alirudi akiwa na nyama choma pamoja na chips.
"Damian mimi nimekupa pesa kwa ajili ya matumizi yako wewe unaeenda kununua nyama choma!?" nilimuuliza sababu nilikuwa na uhakika alienda kutumia pesa niliyompatia.
"Usijali kuhusu mimi leo nataka nikulishe mpaka utosheke" mzoa taka aliongea na baadae alichukua kipande cha nyama na kukiweka kwenye mdomo wake kisha baada ya hapo aliusogeza mdomo wake kwangu na mimi nilikipokea kwa njia ya mdomo.

Basi ndivyo tulivyokuwa tukilishana huku tukionyeshana mahaba moto moto na mda huo sikumkumbuka kabisa mme wangu Alex yani niliona kama mzoa taka ndiye mme wangu

Mwisho tulijikuta tukifanya mapenzi tena kwa mara nyingine na baada ya kumaliza niliamua kwenda nyumbani na kumuacha mzoa taka akiwa kalala na mimi pia nilikuwa hoi kwani miguu yangu ilikuwa ikiniuma.

Nilifika nyumbani na kwenda kulala kitandani moja kwa moja na mda huo Alex hakuwepo. nilikuja kushituka mida ya saa 2 usiku baada ya mfanyakazi kuniamsha kwa ajili ya kupata chakula.

Baada ya kumaliza kula mda ulizidi kwenda na mda wa kulala ulifika huku Alex akitaka nimpatie haki yake ya ndoa, niliweka visingizio vya kila aina mpaka alikubali kulala bira kufanya mapenzi na mimi.

Siku kadhaa zilipita na siku hiyo tulikuwa tumekaa nyumbani huku Alex akiwa kambeba mtoto wangu Grace, aliamua kuniuliza swali lililonishitua kidogo.
"Irene mimi na huyu mtoto mbona damu haziendani kabisa!?" Alex aliniuliza.
"Mmmh una maana gani ya kuuliza hivyo!?" na mimi ilibidi nimuulize.
"Sina maana mbaya ila nimeuuliza tu"

Baada ya yeye kuongea vile nilikuwa na uhakika kuwa bado hajajua kama mtoto sio wake ila niwa mzoa taka hivyo na mimi niliamua kuongea kwa kuoneshwa kutokupendezwa na kile alichokiongea.
"Kwahiyo una maanisha kuwa mimi nilitembea na mwanaume mwingine na baadae nikakubambikizia huyo mtoto!?" niliongea bira kuwa na tabasamu katika sura yangu.
"Sijamaanisha hivyo mke wangu basi yaishe kipenzi"
"Sitaki mpaka uniambie kwanini umeniuliza hivyo, swali lako lina maanisha kuwa huamini kama ni mtoto wako Alex!?" niliongea na Alex alikuwa na kazi ya kunibembeleza siku hiyo kwa kuniomba msamaha.

Ukweli ulikuwa ndani ya moyo wangu kuwa mtoto sio wake na hakuna mtu aliyekuwa anajua zaidi yangu.

Maisha yaliendelea huku nikiwa na mahusiano ya siri na mzoa taka.
Nyumbani kwangu niliona mabadiliko makubwa kutoka kwa Alex mme wangu licha ya kuwa alikuwa hanilizishi lakini nilishangaa sana kwa yeye kutokutaka kufanya mapenzi na mimi na mara nyingi alikuwa akirudi usiku nyumbani na siku zingine alikuwa harudi kabisa.

Siku hiyo kwa mara nyingine Alex hakurudi nyumbani na mawazo yangu yalienda mbali na kuhisi huenda tayari ameshagundua kuwa nachepuka na mzoa taka.
"Mmmh hapa inabidi nikate mawasiliano kwanza na mzoa taka mpaka mambo yatakapokaa sawa japo nitamiss penzi lake" yalikuwa ni mawazo niliyoamua kukubaliana nayo na kuamua kulala.

Basi siku iliyofata Alex alirudi nyumbani na mimi niliamua kumuuliza tatizo ni nini na kwanini amebadilika kiasi hicho.
"Hamna tatizo lolote lile ila ni mambo ya kikazi tu" Alex aliongea.
"Alex mambo ya kikazi ndiyo mpaka hutaki tufanye mpaka mapenzi!? kwanini uliamua kunioa sasa kama hutaki kuwa karibu na mimi!?" nilimuuliza maswali ya kila aina na tukiwa tunaongea simu ya Alex iliita na hakutaka kupokea mbele yangu zaidi ya kutoka nje.

Baada ya Alex kutoka nje nilihisi lazima kuna siri anayonificha hivyo na mimi niliamua kutoka nje na kumfata kwa ajili ya kusikiliza ili nijue ni nani aliyempigia simu.

ile nafika nje nilimuona Alex akiondoka na gari pasipo kuniaga wala kuongea chochote kile.
"Duh hapa kazi ninayo" niliongea mwenyewe sababu Alex alinichanganya na nilishindwa kumwelewa kabisa kiukweli kwanini kabadirika kiasi hicho.

Alex aliondoka na siku hiyo kwa mara nyingine hakuweza kurudi nyumbani tena, niliamua kuchukua maamuzi ya kuwajulisha wazazi wetu na baadae tulikaa kikao huku sababu kubwa aliyoongea Alex ni ubize wa kazi ndiyo umemfanya awe hivyo.

Wazazi wake walimkanya asiendelee kuwa na tabia aliyokuwa akiifanya ya kulala nje ya nyumba yetu, Alex aliahidi atabadirika.

Kidogo ilisaidia na siku hiyo usiku tukiwa tumelala Alex kwa mara ya kwanza alianza kunipapasa na hii ni baada ya kupita mda mrefu bira kufanya nae mapenzi na mimi siku hiyo niliamua kumpa ushirikiano wa hali ya juu lakini nilishangaa Alex kwa kitendo alichoanza kunifanyia.

Kwani alianza kuingiza kidole chake sehemu ya haja kubwa na baadae aliuandaa mtalimbo wake kwa ajili ya kuuingiza sehemu ya haja kubwa badala ya kwenye tundu la mbele.
"Wewe Alex nini utaka kufanya!!?" nilishituka na kumuuliza baada ya kujua lengo la Alex ni nini.

"Napenda kufanya nyuma mke wangu sasa ivi kuliko mbele" Alex aliongea bira kuwa na aibu.
"Nini Alex ina maana unataka kunilawiti?" nilimuuliza nakumzuia.

Alex baada ya kuona namzuia alianza kutumia nguvu..........ITAENDELEA.

Tukutane sehemu ijayo ili tujue kilitokea nini baada ya Alex kulazimisha kunilawiti.

.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MAHABA YA MZOA TAKA 12 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž



Tuendelee na story yetu.
Basi baada ya mzoa taka kutoa mashuka ilibidi niligeuze godoro na baada ya kumaliza mtanange mzito ulianza baina yangu na mzoa taka. Tulifanya mapenzi kwa mda mrefu mpaka pale hamu nilizokuwa nazo ziliponiisha ndiyo nilipata akili ya kurudi kwangu.

Nilichukua kiasi kidogo cha pesa na kumpatia mzoa taka kwa ajili ya matumizi yake madogo madogo ila nilishangaa akiongea.
"Irene subiri usiondoke nakuja sasa ivi tu" Mzoa taka aliongea na kuondoka.

Baada ya mda alirudi akiwa na nyama choma pamoja na chips.
"Damian mimi nimekupa pesa kwa ajili ya matumizi yako wewe unaeenda kununua nyama choma!?" nilimuuliza sababu nilikuwa na uhakika alienda...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mahaba-ya-mzoa-taka-12

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mahaba-ya-mzoa-taka
MAHABA YA MZOA TAKA 16 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 16 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 02 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 02 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 03 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 03 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 05 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 05 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 07 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 07 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 11 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 11 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 08 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 08 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 10 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 10 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 09 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 09 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 04 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 04 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 06 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 06 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 13 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž.
MAHABA YA MZOA TAKA 13 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž.
MAHABA YA MZOA TAKA 20 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 20 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 25 (FINAL) ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 25 (FINAL) ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 21 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 21 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 15 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 15 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 19 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 19 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 24 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 24 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 14 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 14 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 17 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 17 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 18 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 18 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 23 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 23 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 22 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 22 ๐Ÿ”ž๐Ÿ”ž
MAHABA YA MZOA TAKA 01 ????????
MAHABA YA MZOA TAKA 01 ????????
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*

778
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*

736
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU*

609
REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA SITA*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA SITA*

259
REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA TANO*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA TANO*

234
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 13

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 13

173
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 12

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 12

169
THE SECRET MESSAGE  3 to 4

THE SECRET MESSAGE 3 to 4

85
IF THIS WAS THE PART TWO YOU ARE A PARTHOLOGICAL LIAR BRING PROOFS

IF THIS WAS THE PART TWO YOU ARE A PARTHOLOGICAL LIAR BRING PROOFS

9
๐Ÿšจ OFFICIAL Timu zilizofuzu 16 Bora UEFA Champions League

๐Ÿšจ OFFICIAL Timu zilizofuzu 16 Bora UEFA Champions League

4

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.35K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.09K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.73K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.16K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.57K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.44K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.38K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.36K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.21K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
IF THIS WAS THE PART TWO YOU ARE A PARTHOLOGICAL LIAR BRING PROOFS Post Mpya
IF THIS WAS THE PART TWO YOU ARE A PARTHOLOGICAL LIAR BRING PROOFS
@majario LIVE

First and foremost, this collaboration hurt many Kenyans. They didnโ€™t see me coming. No one from Kenya or Tanzania pulled this project together. The entire thing was organized by...

๐Ÿšจ OFFICIAL Timu zilizofuzu 16 Bora UEFA Champions League Post Mpya
๐Ÿšจ OFFICIAL Timu zilizofuzu 16 Bora UEFA Champions League
@majario LIVE

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Arsenal ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Chelsea FC ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Liverpool FC ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Manchester City ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Newcastle United ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Tottenham Hotspur ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Barcelona ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Real Madrid ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Atletico Madrid ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Bayern Munich ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Bayer...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA SITA* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA SITA*
@majario LIVE

biharusi wetu alitulizwa kwa staili tamu sana basi akajitoa kisha akashika shavu la fahima huku ameikamata vizuri maiki yani apo wambea wanapiga vigelegele vibaya mno tena john ndo kajiweka mbele...

THE SECRET MESSAGE  3 to 4 Post Mpya
THE SECRET MESSAGE 3 to 4
@majario LIVE

๐Ÿ’ฌ03 Sina sababu ya kukuficha lolote. Lazima nikuambie ukweli. Rashid wewe Mungu anakupenda sana, mwenyezi Mungu anakupenda mno. Unafanya kazi zako vizuri kabisa mwanangu, lakini cha ajabu mwanangu kila nguo mpya...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU*
@majario LIVE

Pully alishtuka sana baada ya kuniona akabaki akinitolea macho akiwa na wasiwasi sana, macho yake tu yaliweza kueleza Kuwa kuna kitu akiko Sawa kabisa. "ISHANI umemuona amina wangu?" Mama amina aliniuliza kwa...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA TANO* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA TANO*
@majario LIVE

alishangaa mno ikabidi amuulize maswali mengi mpambaji hii ni harusi ya shemeji sasa mbona unanipamba kama biharusฤฑ?": aliuliza fahima usijari maana nimepeewa maelekezo kuwa wewe utakuwa kama mlinzi wa bibi harusi hiva utapambwa kama...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 13 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 13
@majario LIVE

Nikasikia kuna nini hapoo???" Halafu muda huo Veda alikuwa ananitazama machoni na mie nimtazama yaani tunatazamana nina uhakima mioyo yetu ilikuwa inaongea maana kwa yale macho ya veda daah achaaaa Nikageuka...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*
@majario LIVE

Nilijikuta nikishtuka sana baada ya kukutana na madam groly Tena NYUMBANI kwangu. "Amepajuaje hapa ? Au amekuja na pully?" Nilijiuliza kimoyamoyo uku nikimuangalla madam Groly kwa wasiwasi uku nikiwaza amekuja kufanya nini...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*
@majario LIVE

SONGA NAYO Kwanza nilishtuka sana, nilimuangalia Enzo kwa makini sana lakini enzo hakuwa na uwezo ata wa kuniangalia, muda wote alipepesa macho akiangalia pembeni tu wakati akizungumza. Maneno makali sana juu...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 12 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 12
@majario LIVE

Nilijitetea kwelii japo nilikwangua ka_akiba kangu ila niliona aibu sana kurudishiwa ile pesa aah nikasema acha nilipwe na Mungu tu .. Akanibembeleza sanaa nikakataa wakati naondoka akaniomba namba ya simu nikawaachia...

SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18 Post Mpya
SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18
@majario LIVE

๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Sehemu ya 16 na 17. Mwandishi; lissa wa huru media kijana . Nakuuliza si unajifanya mjanja .basi tutasomana . Ata mimi ni mjanja wa zamani. Baba yangu alimuangalia sana adrian....

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 11 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 11
@majario LIVE

Ikabidi tu nikubali kinyongee ila roho iliniuma sanaaa yaani mpaka chozi lilinitoka aiseee... Tinner akabaki kunibembeleza na hapo hata sijui atakuja linii mjinga kweli huyu kakaa gari yangu tena aah roho...

Congratulations to Linda Walker from the Province of Brookshire Post Mpya
Congratulations to Linda Walker from the Province of Brookshire
@majario LIVE

for achieving the highest score of 719 and earning Rank 1 in the examination! ๐ŸŽ‰๐Ÿ‘ Your outstanding achievement brings pride not only to your province but also to your Isabelino...

Rafiki yangu John alikuwa na ndoto ya kufanya kazi kampuni fulani, kila siku hakuacha kunielezea kuhusu ndoto Post Mpya
Rafiki yangu John alikuwa na ndoto ya kufanya kazi kampuni fulani, kila siku hakuacha kunielezea kuhusu ndoto
@majario LIVE

yake kweli Mungu alisikia maombi yake akapata kazi kwenye hiyo Kampuni. Baada ya kupata kazi John safari yake ya kwanza tu akiwa na ile kampuni akapata ajali na kufarika hapo...

THE SECRET MESSAGE ๐Ÿ’ฌ 1,2 Post Mpya
THE SECRET MESSAGE ๐Ÿ’ฌ 1,2
@majario LIVE

01 Ninatamani kama isiwe ni kweli kwenye hili ambalo mimi leo hii nataka niwaweke wazi. Lakini hii sio ndoto, sijaota mimi, ni kweli nimeyaishi na yamenitokea kwenye maisha yangu. Maisha yangu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest