Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14

30th Nov, -0001 Views 52

Story......................MISS TANZANIA
Mtunzi...................Zooper
Sehemu..ya...........14
Whatsapp..............0613083801

ilipoishia.........
Mda huohuo alitoka na kwenda katika hospital kuhakikisha kama ni binti yake kweli....

ENDELEA NAYO......
Mda huohuo alitoka na kwenda katika hospital kuhakikisha kama ni binti yake kweli.
"Hapana Diana mwanangu huwezi kuwa kwenye hiyo hali, ikiwa bado sijakwambia ukweli kuhusu mama yako ni wapi alipo naomba uendele kuwa mzima tafadhali",ni maneno ya Mr.James aliyaongea huku akiendesha gari kuelekea hospital.
                 
Miss Tanzania mpya aliyepatikana mda mchache uliopita au mwite Angelina alikuwa bado ukumbini akiendelea kupiga picha na watu wachache waliokuwa wamebaki pale mana mda huo watu wengi walikuwa wameshaanza kuondoka maeneo hayo ila alishangaa kuona karibu kila mtu yupo bize na simu,
"Mmmh kuna nini mbona watu wengi wameshika simu na wanamazungumzo?", Miss Tanzania Angelina aliongea na rafiki yake Manka aliyekuwa pale.
"Ngoja niangalie kwenye simu yangu hapa mrembo wa taifa huenda kuna kitu kinachoendelea mitandaoni", Manka alimjibu na kuchukua simu yake kuangalia.

ile anafungua tu simu alishangaa kukutana na zile habari ilibidi amwonyeshe Angelina kile kilichokuwa kikiendelea,
"Huyu si Diana na alikuwa amevaa nguo hizihizi?",Angelina aliuliza lakini Manka hakuangaika kumjibu zaidi ya kutikisa kichwa tu kwamba hajakosea kabisa ni yeye diana.
"Manka naomba twende nyumbani siwezi tena kuendelea kukaa hapa",Angelina aliongea.
"Lakini Angelina mda bado kidogo"
"Nimesema twende nyumbani Manka", Angelina aliongea kwa ukali kidogo.

Angelina alijikuta anapata maumivu baada ya kuona mwanadada Diana kapata ajari, Manka hakuwa na kingine cha kufanya zaidi ya kufanya vile anavyotaka Angelina alimuchukua na kuelekea nae nyumbani.

Mr.James alifika nakuwaeleza wauguzi wa hospital hiyo nao walimchukua na kumpeleka kwenye chumba alichokuwa amelazwa Diana.

Kwanza alipomwona mwanae miwani aliyokuwa amevaa ilidondoka chini na hakuwaza ata kuiokota zaidi ya kusogea alipokuwa amelazwa mwanae ila nesi aliyekuwa pale aliiokota ile miwani na kuiweka mahali ambapo ni salama karibu na kitanda alichokuwa amelazwa Diana,
"Diana mwanangu amka binti yangu",Mr.James aliongea huku machozi yakimtoka na hakujali kama kuna mwanamke pembeni yake ambae ni nesi.
"Mr.samahani hawezi kuamka kwa sasa kutokana na ajari aliyoipata na tulikuwa tukisubiri ndugu wa huyu binti ili tufanye vipomo kwakuwa tayali umeshapatikana naomba uongozane na mimi mpaka kwa doctor", Nesi aliongea ila Mr.James hakuwa na cha kujibu kwa wakati huo zaidi ya kunyenyuka na kumfata nesi mpaka kwa Doctor.

"Mr.James,mgonjwa wako kesho asubuhi atafanyiwa vipimo ili tujue tatizo alilo nalo na hizi ni garama unazotakiwa kulipia",Doctor aliongea.
"Kwani hamuwezi kufanya vipimo sasa ivi, nataka apimwe sasa ivi na garama zote nitalipa", Mr.James alifungua kinywa chake na kuzungumza.
"Itakuwa ngumu mzee wangu kwa sasa"Doctor aliongea na maneno yake yalipingwa na Mr.James.

ilibidi watumie nguvu kubwa kumuelewesha Mr.James aliyekubaliana nao kishingo upande na aliamua kurudi kwenye chumba cha binti yake kuendelea kumwangalia.

Angelina au Miss Tanzania akiwa na rifiki yake Manka walifika nyumbani na kupokelewa na mwanamama Beatrice aliyekuwa na furaha baada ya kuzipata habari za mwanae kuwa Miss Tanzania mana tarifa zote alikuwa akizifatalia kwenye Tv yao ndogo ila alishangaa kumuona binti yake akiwa hana furaha,
"Manka kafanyeje Angelina mbona hana raha?", Mwanamama Beatrice alimuuliza rafiki wa binti yake.
"Mama kuna tarifa mbaya amezipata zilizomfanya akose raha", Manka alijibu.
"Tarifa gani izo?".

Manka alianza kumsimulia kilichokuwa kimetoa cha Diana kupata ajari na haikutosha alichukua simu yake na kumuonyesha picha zilizokuwa zimeenea kwa wingi mitandaoni,
"Masikini binti wa watu nazani wazazi wake watakuwa kwenye wakati mgumu sana kwa wakati huu,ngoja niongee na mwenzako", mwanamama beatrice alinyenyuka nakumfata mwanae Angelina kwa ajili ya kufanya nae mazungumzo.

Angelina hakuwa na hamu ya kuongea na mtu yoyote yule kwa wakati huo,
"Mama nahitaji kubaki peke yangu kwa sasa", Angelina aliongea baada ya mama yake kufika.
"Ni sawa lakini kumbuka nilichokwambia asubuhi kabra wewe hujaenda kwenye mashindano kuwa kuna kitu cha mhimu ninachotakiwa kukwambia", mwanamama beatrice aliongea na kunyenyuka ili aende.
"Basi mama njoo tuongee na uniambie hicho kitu mama angu", Angelina ilibidi aonyeshe sura ya uchangamfu mbele ya mama yake.
"Kabra sijakwambia mwanangu kwanza niambie kwanini umekuwa na huzuni kiasi hicho huku wewe ndiye uliyeibuka mshindi ?"
"Mama mimi nimeumia kumuona mtu aliyekuwa mshindi wa pili amepata ajari ina maana hii nafasi niliyoichukua mimi ilikuwa ina umhimu mkubwa mno kwake kuliko kwangu", Angelina aliongea.
"Nakujua binti yangu wewe una moyo wa upendo sana lakini kumbuka hii ni mipango ya mungu ndivyo ilivyokuwa imepangwa na kingine kwenye mashindano kila mtu ana haki ya kushinda....
Tuachane na hayo kuna kitu mhimu nataka nikuambie siku ya leo......."
"Kitu gani mama?"
"Wewe ni mtoto wa pili kwangu una dada yako ambae nilianza kumzaa yeye badae ukafata wewe", mwanamama beatrice aliongea.
"Unaongea nini mama mbona sikuelewi?"
"Unakumbuka nilishawahi kukusimilia mahusiano ya rafiki yangu katalina na mwanaume waliyekuwa wakipendana nae aliyekuwa akiitwa James?"
"Ndio mama nakumbuka"
"Basi naomba unisikilize kwa umakini,baada ya rafiki yangu katalina na John kusimamishwa na kuambiwa waje kufanya mitihani tu, nakumbuka ilikuwa ni siku ya jumamosi nilikuwa nikielekea nyumbani siku hiyo nilikutana na James aliyekuwa mpenzi wa rafiki yangu katalina tuliongea mengi sana hiyo siku na aliniomba  tuongozane mpaka kwao akanipe vitu ambavyo alipatiwa na katalina ili nimrudishie mwenye navyo.

Tulifika mpaka kwao na tukaingia ndani ajabu James alianza kufunga mlango kitu kilichonishangaza ilibidi nimuulize tatizo nini mpaka afunge mlango ila hakunijibu kitu zaidi ya kunisogelea na kunishika na kiukweli ile siku James alifanyikiwa kunibaka kisha baada ya hapo niliondoka huku nikilia mpaka nyumbani japo sikuwaambia kitu chochote"
"Nini kilichoendelea baada ya hapo mama?"
"Miezi mitatu ilipita na tulikuwa tumebakiza mwezi mmoja tu tufanye mtihani wa kumaliza kidato cha nne hali yangu ilibadilika kwani nilikuja kugundua kuwa nina mimba niliifanya siri mpaka pale nilipomalizi mitihani nakurudi nyumbani ila baba yangu alinifukuza nyumbani,

Nilitoka pale nyumbani nikaamua niende kwa James kumwambia ambae nae aliikataa mimba akidai sio mimba yake..",mwanamama Beatrice aliendelea kuongea huku machozi yakimtoka..
Baba yako aliamua kunichukua na kunisaidia mpaka pale nilipojifungua,nilikuwa na hasira sana na yule mtoto hivyo nilimchukua na kwenda mpaka kwa James aliyejaribu kumkataa lakini nilimuweka pale chini nakuondoka na baada ya mwaka mmoja kupita nilipata mimba yako na kukazaa wewe mwanangu", mwanamama beatrice alimaliza kuongea.
ilikuwa ni habari mpya kwa mwanadada Angelina hakuamini kama ana dungu kwenye hii dunia....ITAENDELEA.

ndugu wa Angelina atakuwa nani? na hali ya mwanadada Diana itakuwaje karibu katika sehemu ya 15.

Pata Story hii mpaka mwisho kwa Tsh 1000 za  k?????? lipia kupitia namba,
0613083801 HALOPESA,John Bugumba.
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14  >>> https://gonga94.com/semajambo/miss-tanzania-mtunzi-zooper-sehemu-ya-14

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war

#love #instagood #photooftheday #fashion #beautiful #happy #tbt #followme #picoftheday #art #nature #travel #fitness #motivation #life #fun #instagram #friends #smile #food

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Maoni

You're not logged in

Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi miss-tanzania-mtunzi-zooper-sehemu-ya
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........04
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........04
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........02
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........02
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........18
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........18
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........10
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........10
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........11
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........11
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........17
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........17
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........13
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........13
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........08
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........08
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........24
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........24
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
You're not logged in