Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27
Gonga94 · Stories

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story......................MISS TANZANIA
Mtunzi...................Zooper
Sehemu..ya...........27
Whatsapp..............0613083801

iliyopita.......
Naisha alivyotoka kwa Doctor Tayler alienda moja kwa moja kwa rafiki wa doctor tayler ili amuulize kile kinachoendelea kati ya Doctor Tayler na mwanadada Diana......

ENDELEA NAYO.......
Naisha alifika kwa rafiki wa Doctor Tayler na kuanza kumhoji lakini hakuambulia chochote zaidi ya kuambiwa kuwa Doctor Tayler anafanya kazi ya kumtibu mwanadada Diana na hamna kingine kinachoendelea zaidi ya hicho, aliondoka huku akiwa na mpango wa kufatilia mwenyewe bira kusaidiwa na mtu yoyote yule.

Naisha aliamua kuishi karibu na nyumba ya wanaokaa, Doctor Tayler pamoja na Diana ili afatilie na kujua ni kipi kinachoendelea kati yao na alifanya vile bira kumshirikisha mtu yoyote yule.

Albert baada siku kadhaa kupita aliamua kwenda nyumbani kwa Mr.James ili ajue kipi kinachoendelea kwa Diana na alikili ndani ya nafisi yake kuwa Diana ni moja ya wanawake anaowapenda kwenye hii dunia ukimtoa mama yake mzazi.

Alimkuta Mr.James na siku hiyo hakumchangamkia kama ilivyo siku zote ila hakujali sana zaidi ya kufata kile kilichompeleka pale,
"Ningependa kujua hali ya Diana inaendeleaje sababu mimi nikimtafuta kwenye simu anijibu na nimejaribu kumtafuta kwenye mitandao karibu yote ya kijamii ila bado jibu ni lilelile la yeye kukaa kimya",Albert aliongea mbele ya Mr.James.
"Kijana pole sasa mimi najua unampenda sana binti yangu na upo tayali kufanya kila kitu kwa ajili yake, ata mimi miaka ya nyuma limeshawahi kunitokea hilo (Mr.James alimaanisha mama yake mzazi na Albert ambae ni mwanamama katalina)... lakini niliamua kuacha hatima iamue ndiyo mana mpaka leo sina mke mana nilimpoteza mwanamke niliyekuwa nikimpenda....

Cha kukushauli ni vyema ukamtoa Diana kwenye kichwa chako mana awezi kuolewa na wewe na ata yeye ameshakili kwa mdomo wake tafuta mwanamke utakayempenda kwa dhati na yeye kukupenda",Mr.James aliongea pasipo kumficha kitu Albert.
"Basi baba nimekuelewa naomba siku ukienda ufikishe salamu zangu kwa Diana mwambie namsalimia sana na apone haraka",Albert aliongea na kuagana na Mr.James.

Maneno ya Mr.James yalimwingia kwenye kichwa chake, na alikumbuka pia alishawahi kumtamkia Diana kuwa anampenda lakini hakupata jibu lolote lililo kamili kutoka kwa Diana, Albert alipanga kuanza maisha mapya na kumsahau kabisa Diana licha ya kuwa na upendo zidi yake.

Taratibu siku zilizidi kusogea na Albert alikuwa ameshaanza kumsahau Diana na alikuwa bize na kazi katika kampuni yao ya FNF, lakini haikupunguza urafiki wake na mwanadada Angelina na temu hii ukiwa mkubwa zaidi kwani walikuwa wakitembeleana mara kwa mara.

Siku moja mwanamama katalina aliitikia wito wa mwanamama Beatrice na aliamua kwenda ili asikilize kitu alichomwitia  Mwanamama Beatrice rafiki wa enzi hizo,
"Katalina kuna kitu nahitaji nikiweke sawa na kiwe wazi ili na wewe ukifahamu",Mwanamama Beatrice alifungua mazungumzo mbele ya rafiki wake wa enzi hizo.
"Kitu gani rafiki yangu"
"Ni kuhusu Diana mtoto wa Mr.James nafikili unamfahamu",Mwanamama Beatrice aliongea.
"Kiukweli huwa sitaki kumsikia yule mtoto mana baba yake alinifanya nimchukie mpaka mtoto wake", Mwanamama Katalina aliongea bira kujua kama na yule ni mtoto wa mtu ambae anaongea nae hapo.

Beatrice aliamua kumweleza ukweli wote kuwa Diana ni mwanae na alimweleza kila kitu  kilivyotokea mpaka kumzaa Diana, Mwanamama Katalina alimpa pole sana kwa kilichomtokea miaka hiyo ya nyuma na kusababisha ashindwe kuendelea na masomo yake.
"Nilikuwa namchukia bure yule mtoto sikujua kama atakuwa binti yako kwakweli leo umenifanya nikaujua ukweli".

Maongezi mengine yaliendelea na walikumbushiana mambo waliyowahi kuyafanya enzi hizo marafiki hao wawili.

Upande wa Albert baada ya Diana kuanza kutoka kwenye ubongo wa kichwa chake mwanamke aliyeanza kuteka hisia zake alikuwa ni Mwanadada Angelina na hii ni kutokana na wao kuwasiliana mara kwa mara,
"Mbona nikikaa karibu na Angelina najihisi mtu wa kitofauti, na nitofauti na zamani ilivyokuwa?,emu ngoja leo nimwambie tuonane, nione kama itanitokea tena kwa mara nyingi",Albert aliongea na kuchukua simu yake na kumtafuta Angelina na alimwomba waonane, upande wa Angelina hakuwa na pingamizi alikubali kuonana na Albert kwa ajili ya mazungumzo.

Albert alisubiri mda ufike kama walivyopanga na Angelina na hatimae masaa hayakuchelewa mda aliokuwa  akiusubiri uliweza kufika wa kwenda kuonana na mwanadada Angelina.

Ndani ya hotel ya kifahari na sehemu iliyokuwa na utulivu wa hali ya juu Angelina alikuwa amekaa huku pembeni yake yupo Albert,
"Shemeji, anaendeleaje dada yangu mana najua wewe utakuwa na mawasiliano nae",Angelina aliweka utani wake kama ilivyokawaida kwa kumuita Albert Shemeji.
"Angelina naomba tu uelewe mimi na Diana hatuwezi kuwa pamoja tena na haitokuja kutokea, naomba uwe unaniita jina langu tu na sio shemeji",Albert aliongea.
"Kwani kimetokea kitu gani au mmekosana?".

Albert aliamua kumweleza Angelina kila kitu alichoambiwa na Mr.James  kitu ambacho kilimsikitisha sana Angelina.

Albert aliamua kubadili mazungumzo na sasa alitaka kumpeleleza Angelina ajue ni mtu wa aina gani,
"Na wewe Miss Tanzania hujawahi kunitambulisha mwenza wako?",Albert aliongea.
"Kwa sasa sifikilii kuingia kwenye mahusiano labda miaka ya badae ila sio sasa ivi mana sipo kwenye mahusiano",Angelina alijibu

Jibu lile lilimfurahisha sana Albert kuona kuwa bado anaweza kupata nafasi ya kujaribu bahati yake ya kuwa na mwanadada Angelina japo alikiwa na upendo wa kawaida kwa mwanadada huyo tofauti na ilivyokuwa kwa Diana.

Wakati Albert yupo pamoja na Angelina wakipiga stori upande wa kijana Stewart aliamua kufata ushauli aliopewa na baba yake na usiku wa siku hiyo alimfata na kumuomba amuangalizie sehemu yoyote ile ya yeye kufanya kazi inayoendana na taluma aliyosomea,
Kitendo kile kilimfurahisha sana Mr.John nakuona mwanae sasa yupo tayali kwa ajili ya kutengeneza maisha.

Nchini Canada Diana alianza kutembea vizuri na alirudi katika hali yake na hii kumfanya sasa aweze kupata mda wa kuwa anaenda anakotaka na kurudi.

Mwanadada Naisha alikuwa akifatilia kila kitu kilichokuwa kikiendelea bira ya wao kujua na alipata viashilia vingi vilivyoonyesha Doctor Tayler na mwanadada Diana ni wapenzi na sio kama alivyoambiwa hapo mwanzo,siku hiyo Doctor Tayler ambae nae alikuwa ameshanogewa na mahusiano hayo walitoka pamoja wakiwa wameshikana mikono na kuanza kutembea barabarani,
Katika hiyohiyo barabara tunamuona Naisha akiwa ndani ya gari na aliweza kumuona Doctor Tayler kamshika mkono Mwanadada Diana, hasira zilimshika na kuwasha gari lake aliloliondoa kwa kasi akiwafata wao walipo tena wakiwa hawana habari kama kuna gari nyuma yao inayokuja kwa kasi.....ITAENDELA.

Nini ambacho amepanga kufanya mwanadada Naisha karibu katika sehemu ijayo.

Maoni

You're not logged in

Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27

Story......................MISS TANZANIA
Mtunzi...................Zooper
Sehemu..ya...........27
Whatsapp..............0613083801

iliyopita.......
Naisha alivyotoka kwa Doctor Tayler alienda moja kwa moja kwa rafiki wa doctor tayler ili amuulize kile kinachoendelea kati ya Doctor Tayler na mwanadada Diana......

ENDELEA NAYO.......
Naisha alifika kwa rafiki wa Doctor Tayler na kuanza kumhoji lakini hakuambulia chochote zaidi ya kuambiwa kuwa Doctor Tayler anafanya kazi ya kumtibu mwanadada Diana na hamna kingine kinachoendelea zaidi ya hicho, aliondoka huku akiwa na mpango wa kufatilia mwenyewe bira kusaidiwa na mtu yoyote yule.

Naisha aliamua kuishi karibu na nyumba ya wanaokaa, Doctor Tayler pamoja na Diana ili afatilie na kujua ni kipi kinachoendelea kati yao na alifanya vile bira kumshirikisha mtu yoyote...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/miss-tanzania-mtunzi-zooper-sehemu-ya-27

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi miss-tanzania-mtunzi-zooper-sehemu-ya
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........02
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........02
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........04
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........04
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........11
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........11
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........10
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........10
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........18
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........18
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........13
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........13
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........24
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........24
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........08
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........08
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........17
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........17
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

1.21K
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

711
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

248
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

96
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

32
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

13
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

5
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.69K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.41K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.82K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.91K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.69K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.68K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.64K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikase​ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN😎* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest