Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
27 Oct 2025
692 views
VYOTE NDANI GONGA94
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 7 "Umenichana Raphael?" Nilimuuliza akawa ananitizama tu jamani yaani hata hanijibu nilikuwa nina hasira
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
naee huyuu mjingaa huyuu, yaani kanibaka kafanya kitu bila hata ruhusa yangu wala idhini yangu nilikasirika vibaya mno "Ndio maana umefanya haya yote kumbe ulikuwa na dhamira yako si ndio nilijikuta naliaa na ninajuta kumzoeaa huyu Raphael mimi nililia sana nililia mnoo yaani alikuja akanikumbatiaa kwa nguvu na namsukuma hatoki hapo nahisi hata kujisogeza siwezi kabisaa yaani maan miguu ilikuwa haina nguvu "ongea utoe hasira zako zote kwangu afu mimi nitakupa maelekezo yote sawa mam yangu?" Nilimtizamaa sikuwa na jibu kamili la kumpa kabisa nilikuwa nalia mnoo mimi nalalamika tu nasema amenibaka mimi
Alinibeba mpak kwenye gari alinifunika Shuka vizuri tu akiniweka kwenye seat akanipeleka nyumbani kwake napajua vizuri coz tulianza kufahamiana hapo kwenye nyumba yake alinipeleka chumbani, mhh chumba kilikuwa kizuri sana akanilaza kwenye kile kitanda cha spring kilichokuwa pale nilikuwa namtizama kwakweli ila kwa jicho moja baya sana kwakweli sijawahi kumtizama kwa jichoo baya hivii, japo nilikuwa nina wasi wasi ila akawa kapiga simu sehemu moja hivi "ndio naomba mkatoee hukoo vile vitu sawa?, na yale maboksi kuna address nawatumia mpeleke sawa kaka nilisikia anaongea na mtu kwenye simu nilijua tu atakuwa anawaelekeza kuhusu kule kutoa kila kitu, ila nilikuwa namtizama kwa jicho la husband kweli yaani sijawahi kumtizama mtu kwa jichoo hili alinigeukiaa akaja mpaka kitandani akanitizama tu hakuuliza akanibeba acha nianze kurusha miguu "unanipeleka wapi wewe muuwaji mkubwa?" Nilimwambia hakunijibu ial alinipeleka bafuni akawa ananisuguaa, tu ila niliona alikuwa anafanya kwa shida sana maan alikuwa ananishika huku anahema mnoo, mpaka nikapata wasi wasi, alimaliza akanifunika taulo tu akanibeba mpaka kitandani na yeye akaenda kuoga, sasa na yeye akarudi kitandani
"Unaweza kulala hapa hamna shida sawa?" Nilimkata jichoo hapo kujiinua tu siwezi maan nina hasira nae balaa "siwezi lala hapa nisije kubakwa mara ya pili tena na wewe jambazi mkaka mwenye roho yako mbaya mjini" nilimtizama alinitizama tumhh sasa kama unataka turudie tena endeleaa kuongea uone kitakacho kutokeaa" nilimuona kama ni mtu katili mnoo nilichukia ila sina jinsi niligeuka pembeni nikaamua kulala tu, ila haukupita muda nilipitiwa na usingizi mzito nikalala zangu ila nilikuwa na wasi wasi maan mimi nae ninalala vibaya hatari asije tu akapigwa mateke hapa, sikuwa na wasi wsi na mama nilijua nitampanga kwamba nimelala kwa akina Aika nikalala zangu ila sikuwa na Amani moyonii hata kidogo, nilikuwa nina chuki sana na huyu mkaka anaejiita Raphael ....
Itaendelea.
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* Chapter 19&20
Nikatoa macho, maana kwa kumbukumbua zangu ni ile mara moja tu ndio alikutana na mimi kiumwili, sasa anaposema kuwa ame...
🔥🔞 NIMEMF🤐..LA MKE MDOGO KUMKOMOA MAMA YANGU MZAZI 🔞🔥 sehemu ya pili ( CHONDE CHONDE SIO SHABIKI WA CHOMBEZO USISOME) 👉 Hapa ndio ukawa mtihani kwangu nimpe mama
kweli simu na mama nimemsikia muda si mrefu anamsema mke wangu vibaya amtaki kwenye ndoa, Dah yani....👇 Mimi nikajionge...
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 7 "Umenichana Raphael?" Nilimuuliza akawa ananitizama tu jamani yaani hata hanijibu nilikuwa nina hasira
naee huyuu mjingaa huyuu, yaani kanibaka kafanya kitu bila hata ruhusa yangu wala idhini yangu nilikasirika vibaya mno "Ndio maana umefanya haya yote kumbe ulikuwa na dhamira yako si ndio nilijikuta naliaa na ninajuta kumzoeaa huyu Raphael mimi nililia sana nililia mnoo yaani alikuja akanikumbatiaa kwa nguvu na namsukuma hatoki hapo nahisi hata kujisogeza siwezi kabisaa yaani maan miguu ilikuwa haina nguvu "ongea utoe hasira zako zote kwangu afu mimi nitakupa maelekezo yote sawa mam yangu?" Nilimtizamaa sikuwa na jibu kamili la kumpa kabisa nilikuwa nalia mnoo mimi nalalamika tu nasema amenibaka mimi
Alinibeba mpak kwenye gari alinifunika Shuka vizuri...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mjeda-inauma-siwezi-vumilia-chapter-7-umenichana-raphael-nilimuuliza-akawa-ananitizama-tu-jamani-yaa