Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

NI WANGU PEKEANGU epsd  8.
Gonga94 · Stories

NI WANGU PEKEANGU epsd 8.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Aliingia na kushangazwa kumkuta Franco akiwa sebreni kakaa na baba na mama wanazungumza tena wakiwa na furaha
Vanessa alikasilika na kuingia moja kwa moja chumbani kwake baada ya muda dada wa kazi alikuja akagonga mlango na kumuita alipoitikia akamwambia unaitwa na mamaako
Vanessa alijibu mwambie baadae kwa sasa naumwa kichwa
Dada alienda nakumpa taarifa mama kuwa Vanessa anajisikia kuumwa na kichwa kwasasa hawezi kuja atakuja baadae
Mama alimuitikia sawa muache apumzike
Mala wakati kajipumzisha iliingia msg kuangalia ni Franco alimuandikia pole kipenzi pumzika utapona
Vanessa alichukizwa na alitoka akakuta Franco kaondoka na kumfuata mamaake na kuanza kuongea nae
Mama huyu Franco anataka nini hapa
Mama akamjibu kwanini unaongea kwa jaziba hivyo kwani Franco kakufanyanini
Vanessa akamwambia mama Franco ananisumbua sana ndio maana nimekasilika istoshe mimi nimchumba wa mdogoake Fred
Mama akamwambia hebu jitulize kwanza unajazba sana huyu mbona anafanya kazi na babaako na istoshe nikijana mzurituu hana tatizo kapumzike kwanza maana unajazba sana tuliza akiliyako kwanza
Basi baadae walikuwa mama na babake Vanessa wakizungumza walikuwa wamekaa sebreni Vanessa akaja baba akamwambia sasa bintiangu kipenzi umekuwa mkubwa nataka nikuweke ofisini ujue kazi nakisha nikuachie ofisi unasemaje
Vanessa akamwambia sawa baba usemavyo nitafanya
Baba alifurahi na kumwambia kesho naomba twende ofisini pamoja nikakukabizi mtu wakukuelekeza ok kipenzi
Vanessa alijibu sawa daddy
Walifurahi sana baada ya hapo walienda kulala Vanessa alimpigia sim Fred na kumtaarifu kuwa kesho anaanza kwenda kuhudhulia ofisini kwa baba kujifunza kazi
Fred alifurahi na kumwambia nivizuri maana nitakuwa na amani pia unajua unavyokuwa unaenda kupanda jukwaani na ukitembea pale kwa madaha unanivuruga nahofu sana utaibiwa wewe nimrembo sana mpenzi wangu
Vanessa alicheka na kumwambia kuwa sokuwa nitaacha kazi yangu hapana sio kweli nitakuwa nafanyapia naipenda faniyangu
Fred akaitikia sawa kinyonge naendelea kufa natai shingoni kisha walicheka wote na kufurahi baada ya muda walikatasim na kulala
Asubuhi ilipofika walitoka Vanessa na babaake kuelekea ofisini Vanessa nibinti wapekee katika familia hiyo na nikipenzi chao wote baba na mama hivyo alikuwa anafuraha sana walifika ofisini baba alimtembeza ofisi yote na kumtambulisha kwa wafanyakazi wote baada ya hapo alipelekwa kwenye ofisi yake akaambiwa hapa ndio ofisi yako sawa
Vanessa akamwambia sawa baba kisha akaambiwa twende kwenye ukumbi wa mikutano kunawatu nikakutambulishe watu tunaoshilikiana kibiashara aliinuka na kuelekea huko na kalikuwa kame pendeza sana ki ofisi ofisi alipofika pale akashangazwa kumuona Franco nae akiwemo alijizuia ila alipigwa na mshangao akijisemea kimoyo moyo kuwa huyunae kawa kama maji nisipokunywa nitaoga imekua tatizo haya ngoja nitulie hii niofisi ya baba
Baba akawakaribisha washilika wenzie na kuwatambulisha huyu nibinti yangu anaitwa Vanessa karibu Vanessa
Akasimama nakujitambulisha walifurahi kumfaham nakumkaribisha kwenye gem
Hivyo baba Vanessa aliomba Franco kijanawangu naomba uwekaribu na Vanessa umfundishe na kumuelekeza kila hatua tunayopita na hata safari mnasafiri wote na wikihii natarajia utaenda na Vanessa mombasa
Franco aliitikia sawa mzee usihofu hupo sehem sarama kabisa
Vanessa alishangaa nakujisemea kimoyo moyo baba hivi ninini hiki
Baba akamwambia mwanangu Vanessa biashara kazizetu nikujitoa sana usije kuleta utoto utaiangamiza kampuni na kufilisika kabisa ukiingiza mambo ya interesting zako na kukuunganisha na Mr Franco ninaakilizangu nimekuwa mudamrefu kwenye hiligemu najua pia yeye anajua
Vanessa alimuitikia baba na kumuakikishia kuwa watashilikiana kilahatua atakuwa nafranco hivyo asiwe nashaka .........je watashilikiana aje na Franco unataka kujua endelea kufuatilia simulizi tamu
Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NI WANGU PEKEANGU epsd 8.


Aliingia na kushangazwa kumkuta Franco akiwa sebreni kakaa na baba na mama wanazungumza tena wakiwa na furaha
Vanessa alikasilika na kuingia moja kwa moja chumbani kwake baada ya muda dada wa kazi alikuja akagonga mlango na kumuita alipoitikia akamwambia unaitwa na mamaako
Vanessa alijibu mwambie baadae kwa sasa naumwa kichwa
Dada alienda nakumpa taarifa mama kuwa Vanessa anajisikia kuumwa na kichwa kwasasa hawezi kuja atakuja baadae
Mama alimuitikia sawa muache apumzike
Mala wakati kajipumzisha iliingia msg kuangalia ni Franco alimuandikia pole kipenzi pumzika utapona
Vanessa alichukizwa na alitoka akakuta Franco kaondoka na kumfuata mamaake na kuanza kuongea nae
Mama huyu Franco anataka nini...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ni-wangu-pekeangu-epsd-8

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ni-wangu-pekeangu-epsd
NI WANGU PEKEANGU epsd   16.
NI WANGU PEKEANGU epsd 16.
 NI WANGU PEKEANGU epsd  5.  Alipoingia Franco akaubana mlango na kumwambia Vanessa
NI WANGU PEKEANGU epsd 5. Alipoingia Franco akaubana mlango na kumwambia Vanessa
NI WANGU PEKEANGU epsd 3.  Franco alipomtupia Vanessa kitandani akataka aje kwa juu
NI WANGU PEKEANGU epsd 3. Franco alipomtupia Vanessa kitandani akataka aje kwa juu
NI WANGU PEKEANGU epsd  15
NI WANGU PEKEANGU epsd 15
NI WANGU PEKEANGU epsd  4.  Fred aliwapeleka Erica na Vanessa
NI WANGU PEKEANGU epsd 4. Fred aliwapeleka Erica na Vanessa
NI WANGU PEKEANGU epsd 14.
NI WANGU PEKEANGU epsd 14.
NI WANGU PEKEANGU epsd  11.
NI WANGU PEKEANGU epsd 11.
NI WANGU PEKEANGU epsd 20
NI WANGU PEKEANGU epsd 20
NI WANGU PEKEANGU epsd   6.  Akataja jina Vanessa hadi Vanessa alishtuka na kuangusha grass
NI WANGU PEKEANGU epsd 6. Akataja jina Vanessa hadi Vanessa alishtuka na kuangusha grass
NI WANGU PEKEANGU epsd  17.
NI WANGU PEKEANGU epsd 17.
NI WANGU PEKEANGU epsd 18.
NI WANGU PEKEANGU epsd 18.
NI WANGU PEKEANGU epsd  7.  Franco akapiga goti chini kisha akaanza kumwambia
NI WANGU PEKEANGU epsd 7. Franco akapiga goti chini kisha akaanza kumwambia
NI WANGU PEKEANGU epsd   6.  Akataja jina Vanessa hadi Vanessa alishtuka na kuangusha grass
NI WANGU PEKEANGU epsd 6. Akataja jina Vanessa hadi Vanessa alishtuka na kuangusha grass
NI WANGU PEKEANGU epsd   12.
NI WANGU PEKEANGU epsd 12.
NI WANGU PEKEANGU epsd 13.
NI WANGU PEKEANGU epsd 13.
NI WANGU PEKEANGU epsd  10
NI WANGU PEKEANGU epsd 10
NI WANGU PEKEANGU epsd 19.
NI WANGU PEKEANGU epsd 19.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 68

MY WANGU❤️ sehemu ya 68

514
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘

434
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70

MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70

406
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 46💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 46💘💘

294
MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20

MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20

130
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13

87
MIMI SIKUACHI🥰 16 MPAKA 18

MIMI SIKUACHI🥰 16 MPAKA 18

79
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11

72
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8

65
MIMI SIKUACHI🥰 14 MPAKA 15

MIMI SIKUACHI🥰 14 MPAKA 15

58

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.01K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.8K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.65K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.43K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.4K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.27K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.25K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.15K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fatuma.natka nikampelekee si unjaua bado week 3 tunaenda likizo. Lemi akaniangalia akasema mh . Aya bwana hkuna noma.mi nikaivuta ile chupi. Nikaweka chini...

MIMI SIKUACHI🥰 16 MPAKA 18 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 16 MPAKA 18
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. Yani ata wadada wakawa wananishobokea sana. Naomba unifundishe nifundishe kama zote. Wadada full shobo na mimi. Ata washikaji wakawa...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 46💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 46💘💘
@majario LIVE

Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemed🥹🥹 nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku kwa boo tayari tushasolve tatizo lililokuwepo Acha kuhamahama😟😟 lakini moyo bado ulizidi kung'ang'ania kwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
@majario LIVE

Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana. Yani sana tu. Na prepo ilivyoisha tukarudi darasani. Mie nikampa tu yule mwanafunzi...

MIMI SIKUACHI🥰 14 MPAKA 15 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 14 MPAKA 15
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona jau . Yani yupo very serious ananitongoza .mnajua kuna jinsi nilimdharau . Nikaona uyu demu daaah. Alivyoona namshangaa na sijamjibu...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❤️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on 🤷‍♂️ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

Sasa wakati uo nimeenda nikaja kufunguliwa mlango na Kendrick, na ilikuwa inaonekana nyumbani walibaki wao wawili tu na wafanya kazi, Alivonifungulia mlango mie nikapita moja Kwa moja mpaka ndani sikutaka...

MY WANGU❤️ sehemu ya 63 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 63
@majario LIVE

Basi bwna tumefika nyumbani . Mama akaja akasema eeh baba jamani pole kwa usumbufu wote. Mlige akasema usijali mma kuwa na amani kabisa mma akauliza shida nn wamesema.....

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest