Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒕𝒉𝒓𝒆𝒆 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:  90
Gonga94 Β· Stories

𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒕𝒉𝒓𝒆𝒆 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 90

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Namna ambavyo alikuwa anatembea, niliogopa sana. Alikuwa anaonekana amekasirika. Hata ofisini hatukufika kwakweli, alinivuta kwenye moja ya kona ambazo zipo ndani ya ile hotel.

Kisha alinitazama usoni. Macho yake tayari yamebadilika. Nilikuwa nataka nimuulize kuna nini, ila aliniwahi yeye ndiye aliyeniuliza kwa sauti yenye maumivu aliuliza β€œAlikuwa anasemaje?”

Nikamtazama na kumuuliza β€œNani tena?”
Akaniambia β€œacha kunidanganya, nimeona kila kitu akakupa na kadi yake. Niambie alikuwa anataka nini?”

Nikajikuta nimecheka. Yeye hata hakucheka badala yake akasema β€œunaona sasa unanicheka, unaniona mimi mpumbavu sina akili. Ndeana acha masihara mimi naumia roho.”

Akaniachia na kwenda kuegemeza kichwa ukutani hivi. Nilicheka kidogo ndani yangu. Kumbe jamaa mbali na upendo wote huu anao wivu. Basi taratibu nilitembea na kwenda kumkumbatia kwa nyuma.

Nilimkumbatia kwa nyuma tena kwa nguvu na kichwa changu nikalaza mgongoni kwake. Niliona na yeye akiinuka na kushika mikono yangu.

Nikiwa mgongoni kwake nikamuuliza β€œ Unafikiri kuna mtu anaweza kuja kuchukua au kuiba upendo wangu kwako?. Anaanza vipi sasa, hakuna, haiwezekani.

Kwasababu nafasi iliyopo ndani ya moyo wangu ni moja tu, ni moja pekee nayo ni ya kwako wewe tu. Hakuna mwingine anayestahili nafasi hii zaidi ya kwako wewe.

Stewart labda hukunielewa, nilisema Nakupenda, na nasema tena Nakupenda na nitaendelea kusema na kuimba neno hili mpaka utakaponielewa.

Hutakiwi kunikumbusha kukupenda tayari nakumbuka mwenye kuwa nakupenda sana, wala hutakiwi kunifundisha kukupenda wewe, tayari nimefaulu somo hilo. Nakupenda sana.”

π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 91
Nilitabasamu nikisema β€œIna maana hujui tu. Labda ni ngumu sana kuelewa. Ila tambua ninachokuambia. Ninachokipenda kutoka kwako ni moyo wako.

Naupenda sana moyo wako. Napenda jinsi unavyojua kupenda na kunijali. Napenda sana. Vipi na wewe kwani akitokea mwanamke mzuri kunizidi utanisaliti?”

Akatoa macho akisema β€œmimi nikusaliti wewe?, haiwezekani. Hata hivyo Ndeana mpenzi wangu labda hujui tu. Mimi nikikusaliti basi ujue sikupendi. Hakuna bahati mbaya, kwa maana usaliti ni hatua.

Watu wanaanzisha mazoea. Wanazoeana na wanakusaliti. Ina maana katika hatua zote hizo hakuwa anajua. Huu ndiyo ukweli ninaojua mimi na nimejifunza kutoka kwa yale niliyopitia.

Mtu anaposaliti mahusiano yake ina maana kuna kitu hakijatimia ndani ndiyo anakitafuta kwa mwanamke au mwanaume mwingine. Mtu anayekusaliti hajakupenda vizuri bado. Anayekupenda kamwe hawezi kukusaliti.

Mtu anayekupenda daima atakuwa na wewe, atakutetea, atakujali, na mengine mengi haijalishi ana pesa au hana. Mimi nakupenda na Mungu anisaidie nitakupenda milele, sisi ni timu hatupaswi kusalitiana.

Tupendane, tutoshelezane na tujaliane. Tazama mahusiano mengi ya mwanamke au mwanaume waliosalitiana. Mkisamehana tu mapenzi yanakosa nuru na amani na furaha.

Na hii hufanya mtu kwa siri asaliti tena na tena. Nikikusaliti tu baby, na ukathibitisha hilo ujue Sikupendi. Hivyo haitajkuja tokea mimi niache kukupenda.Nakupenda sana Ndeana. Sijawahi kuwa hivi ndiyo nakuwa kwako. Nakupenda.”

Nilimsikiliza kwa makini na kumkumbatia. Hata ilinifanya nikumbuke baadhi ya mahusiano yangu ya nyuma. Ni kweli nilikuwa na mpenzi. Lakini tangu nimekuwa naye, anaweza kulia hapa akiomba msamaha. Kiroho ngumu unasemehe kwamba harudii kosa ila baada ya muda anarudia tena. Nikajikuta naumia kuona kumbe sikuwa napendwa, yaani mimi nilikuwa najiona ndiyo mwenyewe kumbe sivyo.

Akaniuliza β€œTotoo mbona kama unalia?, vipi umemkumbuka kijana wako wa zamani?”
Nikamtazama na kujikuta kama nataka nianze kusimulia kutoka na yale maelezo yake. Akaniziba mdomo na kusema
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 92

β€œusiniambie kitu, wala sitaki kusikia chochote. Ninachojua mimi ndiyo mwanaume wako wa kwanza unanipenda sana tofauti na kwingine. Si ndiyo toto.”

Nilimtazama na kutabasamu kisha alisema β€œsio kwangu tu Ndeana. Nataka nikuambie kitu cha maana. Wanaume asilimia kubwa ni wakorofi. Muogope sana mwanaume ambaye upo naye kwa mahusiano anaanza kukuuuliza habari zako za zamani kuhusu mapenzi na kukuchimba mara kwa mara.

Samahani sikutaka kukukumbusha. Ila unakumbuka nilivyokuelezea mimi habari zangu nikiomba msamaha. Sasa yeye mwanaume anapenda kujihesabia haki sana. Ukimuelezea habari kuhusu wanaume wako hata watatu tu.

Anaingia kinyongo, anaanza kukushusha thamani na kukudharau. Anaanza kukulinganisha na malaya. Hajui hata ulikuwa unakutana na wanaume gani. Ni kweli haijakaa poa mwanamke kuwa na idadi kubwa ya wanaume nyuma.

Ila mimi huwa nawasifu kwa kuacha mahusiano ambayo hayana afya na kuhamia mengine kutafuta furaha. Ila wanaume wengi wakorofi na hao ni walewale wabinafsi na hawana heshima wala adabh anaweza kuwa mkubwa akili za kitoto.

Ninachojua ukimchunguza sana bata huwezi kumla. Ninachojua ukimpenda mtu anzia ulipomkuta na hata ukijua kuhusu jana yake basi jipongeze umemtuliza. Baby waambie na wanawake wengine.

Wasione raha kusimulia mambo yao yaliyowaumiza sana kwa wanaumr mbalimbali wakihisi kuwa ndiyo wataonekana wazuri na wakweli. Sisi wanaume hatueleweki.

Bora aje kujua yeye mwenyewe akikuuliza mwambie akikuwa na maana ndiyo maana sikuwa na haja ya kusema kwasababu mimi na wewe ni wapya na safari yetu ni nzuri kuliko unayoulizia. Usije kufanya kosa hilo.”

Nikatabasamu tu, kisha alisema β€œtunaweza kukutwa hapa.”
Nikacheka akasema β€œkadi ya yule mwanaume, kwanza hata sio handsome atakuchosha tu baby wangu.”
Nikacheka na kusema β€œupoje lakini, mbona unatabia mbaya. Muone wivu tu.”
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 93

Akanikumbatia akisema β€œWivu lazima totoo, ona ulivyo chombo. Nisijisikie wivu naumwa. Kwanza roho yanvu ilitoka ujue. Nilitamani nimzibue. Ndiyo vile tena mteja.”
Nikasema β€œSi unajua sasa, mteja yeyote ni mpenzi, mpenzi. Kwahiyo usiniingilie kazini kwangu.”
Akacheka akisema β€œusinitanie totoo, wewe nuna tu ila mimi kulinda mali yangu siachi.”
Nikacheka nikisema β€œyaani wewe?

Akatabasamu akisema β€œunajua kushuka kule ni kukumbuka tu. I real miss you.”
Nikamtazama na kusema β€œhata
mimi, ila nimechoka sana tumesimama tangu asubuhi natakiwa nikalale kwanza.”
Akaniambia kwa upole β€œsawa kipenzi sawa, ila ndiyo hata busu kweli.”

Akanishika kiuno kisha mikono ikashuka mpake kwenye makalio yaani kuna namna nzuri alinishika. Nilimtazama usoni kisha akawa anataka kunibusu. Si tunasikia hatua mtu akiwa anakuja upande wetu. Haraka tukakimbia na kujificha chini ya ngazi. Tulijibanza huko tukicheka. Yule mtu alipita na Boss alisema β€œila totoo, mimi ni wakucheza michezo hii. Kweli nimekatamatika.”

Sikutaka kupoteza muda, mimi ndiyo nilianza kumbusu. Haukupita muda sana, simu yake ikaita. Alipokea na alipomaliza aliniambia β€œNatakiwa ofisini haraka. Baadaye kipenzi changu. Baadaye.”
Nikambusu akaanza kuondoka nikabaki tu natabasamu. Hakika siku hii nilikuwa nimepata somo kuhusu mapenzi. Hata mimi nakubali. Kwanini mtu akusaliti?, kama wewe humsaliti kwanini yeye ameweza. Ukianza usaliti tu mapenzi yameisha. Sasa hapo zipo sababu mbalimbali. Huenda huna kosa lolote mtu tu ameamua kukusaliti. Au kuna matatizo humo ndani kisha usaliti ndiyo kama suluhu. Hii sio sawa. Mahusiano yakifika hapa ni hatari zaidi. Na ukizoea kusamehe usaliti basi jiandae kusamehe maisha yako yote. Hiyo ndiyo akili ya wazi na haraka haraka.

Nilitabasamu na taratibu nilitembea mpaka mahali nikakutana na sehemu ya kuweka uchafu. Sikutaka kumkaribisha shetani karibu maana Mr Tarick alivyokuwa ananitazama hapana. Niliitupa ile kadi nikisema β€œnataka mpenzi mmoja mzuri mwenye moyo mzuri na yeye ni Stewart peke yake.”
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 94

Taratibu nilitembea na kurudi ukumbini. Nilikuta wageni wametawanyika na wasaidiizi wanapanga kwaajili ya kesho. Tulipiga zoga kidogo na Joan naye akaja akisema β€œnilikuwa nakutafuta wewe rafiki yangu. Twende tukale nimechukua chakula.”
Nikasema kwa upole β€œasante sana kipenzi.”

Wakati tunatembea tulipita mahali, basi wakati tunapita kuna wasichana walikuwa wamekaa wanazungumza walipotuona wote wakageuka kututazama. Nakumbuka sana walicheka kicheko cha ajabu. Moyo wangu uliumia, niliumia sana.”

Nakumbuka Joan alisema β€œachana nao kipenzi. Ni vile wanakuonea wivu. Huna sababu za kujisikia vibaya kwasababu wewe ni bora kuliko wao. Wanatamani kuwa kama wewe ila hawawezi. Vumilia kipenzi ndiyo mambo ya kazini hayo.”

Nilimtazama Joan na kutabasamu. Ingawa hili lilikuwa tabasamu fake. Fake kwasababu mimi binadamu naumia pia. Natamani sehemu ya kazi iwe sehemu yenye utulivu ila badala yake tena mambo ndiyo kama haya. Nilikuwa ninaumia sana. Nilimwambia Joan β€œwatu wasipokusema, wasipokuonea wivu, wasipokusengenya basi ujue huna unachofanya duniani. Twende kipenzi.”
Tulishikana mikono na taratibu tulielekea chumbani. Chumba ambacho ndiyo tutala hapo mpaka hili suala liishe.

Nilichoka sana kusema kweli, nilichoka na kazi sana. Tulipita sehemu tunabadili mavazi kuna namna tunafanya tu hapa mavazi yanaandaliwa kwaajili kesho na mambo kqma haya. Sikuwasha hata simu. Tulienda mpaka huko chumbani na niliona ni heri nioge kwanza na ndiyo mambo mengine yaendelee.

Ndiyo, nilioga, nikala. Ilikuwa mida ya saa moja moja hivi. Nikajilaza wallahi nijinyooshe mgongo wangu. Ila ndiyo nikalala moja kwa moja. Nilikuwa kushtuka mida ya saa nane usiku. Saa nane usiku ndiyo nimeshtuka.

Mimi kitu cha kwanza nikawa namuwaza baby wangu kwamba nimelala
tu na alivyo itakuwa amenitafuta sana. Hivyo kitu cha kwanza nikiwa nimejilaza nimegeukia upande mwingine nikawasha simu yangu.

Kama nilivyowaza na mnavyomjua baby wangu. Nilikutana na meseji nyingi sana za β€œbaby upo wapi, washa simu nimekumiss mwenzio , baby nataka kuondoka mimi nitalala vipi sijakuona na vitu kama hivyo.

Majina yote mazuri na mbwembwe zake kafanya mara atume emoji analia aseme πŸ˜­πŸ˜­πŸ™†πŸ™†Mr Tarick kapeperusha njiwa wangu.” Unajua nasoma hata nacheka tu mwenyewe ila ujumbe wa mwisho aliniambia β€œsitalala mpaka uniambie unanipenda usiku huu.”

NB: 𝑾𝒂𝒕𝒖 π’˜π’‚ π’Œπ’–π’‘π’†π’π’…π’‚π’π’‚ π’‰π’Šπ’—π’Š π’˜π’‚π’π’‚π’‘π’‚π’•π’Šπ’Œπ’‚π’π’‚ π’˜π’‚π’‘π’Š?
Soma muendelezo wa season three kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0743433005

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒕𝒉𝒓𝒆𝒆 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 90



Namna ambavyo alikuwa anatembea, niliogopa sana. Alikuwa anaonekana amekasirika. Hata ofisini hatukufika kwakweli, alinivuta kwenye moja ya kona ambazo zipo ndani ya ile hotel.

Kisha alinitazama usoni. Macho yake tayari yamebadilika. Nilikuwa nataka nimuulize kuna nini, ila aliniwahi yeye ndiye aliyeniuliza kwa sauti yenye maumivu aliuliza β€œAlikuwa anasemaje?”

Nikamtazama na kumuuliza β€œNani tena?”
Akaniambia β€œacha kunidanganya, nimeona kila kitu akakupa na kadi yake. Niambie alikuwa anataka nini?”

Nikajikuta nimecheka. Yeye hata hakucheka badala yake akasema β€œunaona sasa unanicheka, unaniona mimi mpumbavu sina akili. Ndeana acha masihara mimi naumia roho.”

Akaniachia na kwenda kuegemeza kichwa ukutani hivi. Nilicheka kidogo ndani yangu. Kumbe jamaa mbali na upendo...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/season-three-jamani-boss-mi-naona-aibu-90

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi season-three-jamani-boss-mi-naona-aibu
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒕𝒉𝒓𝒆𝒆  π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:  11
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒕𝒉𝒓𝒆𝒆 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 11
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒕𝒉𝒓𝒆𝒆 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:  95
𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 𝒕𝒉𝒓𝒆𝒆 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 95
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

1.22K
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

737
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

250
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

100
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

32
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

13
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

5
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.69K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.41K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.82K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.91K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.69K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.68K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.64K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikase​ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN😎* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest