Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  never give up harmonize

๐‘บ๐’†๐’‚๐’”๐’๐’ ๐’•๐’˜๐’ ๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 60

10th Aug, 2025 Views 63


Nilishangaa ananiambia, tena kwa sauti ya kumaanisha. Nakumbuka aliniambia โ€œNdeana wangu, njoo nakusubiri, nipo hapa jirani na nyumbani kwenu. Ukitoka tu utaona gari yangu.โ€

Nikashtuka na kumuuliza โ€œUnasemaje?โ€
Akaniambia kwa furaha โ€œSitanii totoo, nakusubiri, mimi sijui umenipa nini ila siwezi kwenda kulala bila kukuona, njoo basi.โ€

Nikamtazama dada yangu, kisha nikazuga nikisema โ€œnakuelewa sawa nakuelewa.โ€
Akacheka kidogo akisema โ€œNakusubiri totoo!!โ€

Simu ilikatwa na nikabaki hata sijui namuaga vipi dada kwa maana kitu ambacho sikutarajia ni kuambiwa boss yupo mitaa ya nyumbani. Sikuwa nimetarajia kabisa kwasababu wala hapafahamu nyumbani.

Nilimtazama dada yangu kwa wasiwasi, dada yeye alikuwa anatabasamu tu, alikuwa anasuburi nizungumze. Hivyo nami nikajikaza na kusema โ€œdada samahani, nitarudi sio muda mrefu.โ€
Dada yangu alinitazama akatabasamu na aliniambia โ€œsawa kabisa mdogo wangu, hakuna shida.โ€
Kwa mara ya kwanza dada yangu ananipa uhuru bila maswali, maajabu maana yeye huwa hajawahi kuisha maswali kabisa.

Nilitoka kweli, nilitembea kidogo sana, huyu mwanaume wala hata hakuwa mbali na nyumbani. Nilitazama huku na kule kuona kama watu wananitazama. Kama ilivyo hilo sio jambo rahisi kuthibitisha kama hakuna aliyekuwa ananitazama au yupo.

Ila aliponiona tu alishuka akafungua mlango wa gari na kusogeza pembeni kidogo bila kuzungumza kitu. Na baada ya kusimamisha gari alisema โ€œkwenu ni pazuri sana. Nimepapenda sana. Lini utanikaribisha?

Nikamtazama na kisha nikamuuliza โ€œumepajuaje huku?โ€
Akatabasamu na kusema โ€œHivi mtu anayekupenda unawezaje kumuuliza swali rahisi hivyo totoo.Nimekufuatilia nikapafahamu nyumbani.โ€

Nlimtazama na kuvuta pumzi nikisema โ€œkaribu mtaani kwetu, eenh kuna tatizo.โ€
Boss akanitazama na kusema โ€œtatizo lipo, kubwa sana Ndeana. Kubwa.โ€
Nikashtuka na kumuuliza โ€œkubwa gani tena, niambie tafadhali.โ€

Aliniambia kwa kunitazama akisema โ€œtatizo ni kwamba siwezi kukaa mbali na wewe, tatizo ni kwamba siwezi kulala bila busu na tabasamu lako, tatizo ni kuwa umeziteka sana hisia zangu

๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 61

Mimi sielewi kama ninakukera au vipi, ila nataka niwe karibu yako muda mwingi. Nimekuja kufuata busu lako wewe, nimekuja kukuona tu nifurahi na roho yangu.

Na si unajua leo umenipa furaha sana, umenipa furaha ambayo sijapata kwa muda mwingi sana katika maisha yangu. Wewe ndiyo furaha yangu.โ€

Nikamtazama na kusema kwa kumshangaa โ€œYaani wewe, lakini huku ni nyumbani tunaweza kuonekana ujue.โ€

Alinitazama kwa upole akisema โ€œina maana utaficha kama nakupenda mpaka lini?. Hata mimi mwanzo nilifikiri ni rahisi kuigiza kama sikufahamu. Ila sio kitu kidogo. Ndeana ninakupenda kiukweliukweli. Pengine mwanzo nilikutamani, ila sasa nakuambia nimechanganyikiwa. Unajua sielewi kitu kwako.โ€

Nikatabasamu na kumuuliza โ€œkwahiyo ulitaka kuchezea usichana wangu eenh.โ€
Alinitazama na kisha alianza kucheka na mimi nikacheka sana huku akisema โ€œmuone huyu mtoto. Ndeana umenichekesha sana unajua.โ€

Nikacheka nikisema โ€œeenh maana unasema hukujua kama ungenipenda hivi.โ€

Tulicheka sana na kisha aliniambia โ€œTotoo sikia, nimekuja hapa nikiwa na maana kubwa sana. Kila muda nina kushukuru ila bado naona haitoshi, kila mara nimesema asante ila haitoshi. Asante kwa kuja katika maisha yangu Ndeana.

Umebadilisha vingi sana. Hata Hotel ilikuwa na hali mbaya sana kiuchumi. Ila kupitia wewe tumepata bonge la dili nono. Na najua huu ni mwanzo tu, huu ni mwanzo Ndeana. Tutapata wateja wengi sana, tutawapata si ndiyo eenh.โ€

Nilimtazama na kusema โ€œKila jambo linawezekana. Nitafanya bidii, nitafanya mpango, nitahakikisha kila kitu kinakuwa sawa. Mungu atusaidie tu.โ€
Nikatabasamu na yeye akatabsamu akisema โ€œhujui tu kwa familia yangu umefanya nini?โ€
Nikacheka tu kidogo.

Kisha aliniambia โ€œSikia sikuwa nimekupa pesa ya kuanzia kazi. Na sasa nikasema tena ujiandae vizuri ili siku hiyo upendeze na si unajua inaanza wiki hili tu. Ndeana nimekuletea pesa. Sio nyingi kwa mji huu ila najua unaweza kujibana. Sasa hivi vumilia kidogo sana. Nitakufurahisha.โ€
๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 62

Kisha akavuta laki tano akanipatia akisema โ€œhii laki tano, sijasema ule hii pesa, sijasema utunze kwaajili ya kesho yako. Nimesema hivi ujiandae tu kwaajili ya kuwahudumia wale watu wazito. Umenielewa Totoo.โ€

Nilimtazama na kumuuliza โ€œpesa zote hizi ni zangu mimi?, unasema kweli?โ€
Akatabasamu na kusema โ€œchochote kile kwa mwanamke wangu wa kwanza kumpenda.โ€

Nikamtazama na kutabasamu huku nikitazama pesa na kisha nikasema โ€œNi nyingi sana, na umesema haupo vizuri ungepunguza.โ€
Alitabasamu akisema โ€œsipo vizuri ila kukupa hiyo hainifanyi niwe maskini. Umenielewa sasa.โ€

Nilitamani kulia kusema ukweli. Alinikumbatia na kisha aliniambia โ€œwewe unatakiwa kunibusu.โ€

Nikambusu kwenye paji la uso. Akatabasamu na kusema โ€œNdeana acha masihara, hili ni busu la wagonjwa, faraja na marafiki wakati mwingine au dada na kaka. Mimi nataka letu, lile maalumu kwaajili yetu.โ€

Nikamtazama tu, nikafumba macho yangu na taratibu nilianza kumsogelea kabla sijafika aliushika uso wangu kwa mikono yake miwili. Nilisema mwanzo kuhusu ustadi wake wa sekta hii, nami nikifika hapo nakua rojorojo siwezi kusema kitu.

Mwanaume anajua na ana hisia sana. Aliporidhika aliniachia akashusha pumzi ndefu sanaaaa, akaniambia โ€œNimekumiss sana, siwezi kukuacha uende, siwezi nimekukumbuka sana.โ€

Kabla sijajibu akaendesha gari akasogeza sehemu salama zaidi, ilikuwa ni sehemu kama bar hivi, wanasimamisha pale gari nyingi sana. Akajipenyeza kupata nafasi na kisha nikamuuliza โ€œUnafanya nini sasa?โ€

Akanitazama na kusema โ€œNisamehe Ndeana, ila kwako nashindwa kuwa mpole, nakuomba sana please, kidogo tu.โ€
Nikasema kwa kushangaa โ€œBoss!!โ€
Akanitazama nikasema tena โ€œKwenye gari?โ€
Akaniambia kwa sauti ya huruma โ€œhutojutia, trust me utafurahia sana. Utafurahia.โ€

Kabla sijajibu tayari alinivuta mwilini mwake, alifanya analoweza nguo yangu ikapandishwa, nguo ya ndani sijui alitupa wapi. Ila alinipakatia, Nikiwa mapajani mwake nakula busu tena busu haswa, na fimbo yake ikiendelea kurindima.
๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 63
Ngoma inapigwa, nami nacheza ngoma kwa madaha mbele ya mwana mfalme ili niondoke naye. Tena siku hii utamu wa ngoma haukuwa mdogo, ulikuwa ni mkubwa sana, nilijikuta nacheza ngoma tofauti na nilivyocheza mara ya kwanza. Viti uwanjani ni kama tuvingโ€™oe tutupe nje ya uwanja ila haiwezekani. Kwa vurugu zetu, tukalaza tu.

Kusema ukweli, ninazidi kufurahia, ninazidi kumuweka moyoni. Ameanza kunifundisha tabia ambazo mimi sikuwahi kuwa nazo, kama hii ni mpya sikujua kuwa mambo haya hata nje ya nyumba hufanyika. Ninaanza kuzama na kuwa chini juu yake. He is so sweet, haelekezeki.

Yaani siwezi kabisa kumuelezea. Hata tulipomaliza kwa ujasiri, nilimtazama usoni, akaniuliza โ€œHujapenda Yondo sister.โ€
Kwa aibu nikasema โ€œumeona sasa?โ€
Akacheka akisema โ€œRay c hakufikii, kwani mama ina nini?โ€

Nikashtuka na kuuliza โ€œkitu gani?โ€
Akanionesha kwa sura tu, akijaribu kuchungulia na akisema โ€œkama ina asali ndani yake na ndiyo maana wewe ni honey pot, my sweet person. Wewe mtamu sana, mtamu wa sauti, matendo, tabia, kazi na kila kitu chako pia. Sikia ni kwa moto sana.โ€

Nikashusha gauni na kukaa kwa siti nikisema โ€œunanichanganya, wapi kwa moto sana.โ€
Akacheka akisema โ€œTanuri lako, limekoza moto. Thanks honey pot, Nakupenda na nashukuru kwa kunitoa jasho.โ€
Nikatabasamu na kusema โ€œasante pia. Nimependa.โ€
Akacheka akisema โ€œsasa kumbe.โ€

Nilipumzika kidogo kisha nikatabasamu na kusema โ€œNaweza kusema usiku mwema?โ€
Na yeye alinitazama na kusema โ€œNdeana, naweza kukuambia how i love you?โ€
Nikacheka na kusema โ€œYaani wewe upoje lakini, haya niambie basi.โ€

Akaniambia akitabasamu โ€œNakupenda wewe totoo, waambie wadau wakae sawa.โ€
Nikajikuta nacheka kwa sauti, nikisema โ€œnaomba niende humalizi wewe.โ€
Akasema โ€œsimalizi kweli, kama nikuoe leoleo.โ€

Nikacheka tu, na kusema โ€œunajua wengi wakiolewa ndoa zao zinaboa.โ€
Akawa anawasha gari akisema โ€œUkiona hivyo ujue hapo hawapendani. Unakumbuka nilikuambia mkielewana everything becomes sweet eenh.
๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 64

Sasa mnatakiwa kupendana kila siku, mkihisi kuchokana mnatakiwa kujiupdate tena na tena. Kusema ukweli nitakuwa tu mume mzuri kwako. Na vile sitaki kukukosa.โ€

Nikacheka nikisema โ€œmaneno yenu kabla ya kupata sasa.โ€

Aliniambia kitu, alinitazama na kisha akaondoa gari akisema โ€œHakuna kitu kibaya kwenye mapenzi kama kuwa na wasiwasi na mwenza wako, kutokujiamini, kuwa na imani ndogo juu ya mwenzako.

Kuwa na mawazo hasi juu ya uhusiano wenu. Ndeana unatakiwa kufikiria raha, furaha, imani, mapenzi na vitu vizuri vyote kwasababu hivyo ndiyo unastahili. Unajua watu wengi wanalalamika kuhusu ndoa mbaya, ndoa vile na hivi kiasi hata wale wenye ndoa nzuri wakiongea wanaonekana waongo. Ndeana, utakuwa watu kati ya wale wenye furaha kwenye ndoa zao. Niombee, Haki ya Mungu, I wilii Marry you.โ€
Nilimtazama tu na kuvuta pumzi.

Aliendesha gari mpaka sehemu karibu na nyumbani, akaniacha hapo. Kisha aliniaga akisema โ€œkesho ifike haraka nikuone tena.โ€
Nikacheka nikisema โ€œByee.โ€
Na yeye akawa ananibusu kwa mkono wake kisha ananioneshea akisema โ€œByee my Sweet Person. Nakupenda.โ€
Hakika nilikuwa nasikia raha sana, nilikuwa ninasikia raha mno. Nikawa natembea nageuka nyuma bado yupo ananitazama tu, natembea nageuka nyuma basi hivyohivyo mimi natabasamu tu.

Nikafika nyumbani, nilipoingia tu nilikutana na dada yangu. Nikataka nipitilize chumbani kwanza nikisema โ€œdada nitarudi ngoja nikabadili nguo.โ€

Dada aliniambia kwa upole โ€œnjoo mara moja mdogo wangu.โ€
Nikamtazama na kwenda kukaa karibu na yeye. Kisha alinitazama na kuniambia โ€œnajua huwezi kunificha mimi. Eenh niambie kuhusu boss, nini kinaendelea.โ€

Nikamtazama na kisha nikatabasamu nikisema โ€œJamani dada hakuna kitu, ni mtu mzuri sana. โ€œ
Dada alitabasamu na kuniuliza โ€œNi mtu wako, yaani ni mpenzi wako?โ€

Nikashtuka na kusema โ€œdada nawezaje sasa, hapana hata sio.โ€
Dada alisema kwa upole โ€œsikia mdogo wangu. Wewe sio mtoto hata nikuambie muache au huyo ana faa au hafai. Nataka utambue kuwa unao uhuru wa kuwa na yeyote yule unayempenda.

๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 65

Kikubwa mdogo wangu nimetaka nikukanye kama mdogo wangu. Kama ulivyosema, ni boss wako, ni mtu mkubwa ni tajiri. Hatujui tabia zake, kama ni mtu mzuri au mtu mbaya.

Ila ninaweza kukuambia kwa ujumla wao. Watu hawa kwanza huwa wanafamilia zao, chunguza hilo kwanza mdogo wangu usije kuwa na mume wa mtu, na kama sio hivyo watu hawa ni wabinafsi sana kimapenzi yaani kwasababu wana pesa wanahisi wanaweza kulala na mwanamke yeyote yule.

Na wengi wao ni wagonjwa sana tu. Mdogo wangu usitoe haraka mwili wako bila kuthibitisha mambo kadhaa utakuja kujuta. Maboss wengi maneno mengi na kutumia pesa zao ili unase kwenye mitego yao kisha akija mwanamke mwingine wewe tena hakutaki anaweza hata kukufukuza kazi, au anaweza kukufanya mdoli wake wa kukutana naye kimwili bila kujali unataka au hutaki na kumuacha unashindwa kwasababu tu ndiyo boss wako. Nataka kujua kitu, mdogo wangu kipenzi Unampenda?, tafadhali niambie ukweli usifanye tu kwasababu ya kazi.โ€

Maneno ya dada yalinichoma sana, haswa anaponiambia ni wagonjwa, usitoe mwili haraka wakati mimi nimenogewa nishakutana naye kimwili mara mbili zote. Nilijikuta nainamisha kichwa changu chini. Ndipo dada aliniuliza tena โ€œMdogo wangu, unampenda huyo mwanaume?โ€

Nikamtazama na kusema โ€œkusema kweli dada ninampenda sana. Naona ni mwanaume mzuri. Lakini sijamuonesha kama ninampenda kwa kiwango kikubwa sana kama ambavyo ninakuambia kwa maana naogopa kuumia. Dada ninampenda sana. Kuna muda nashindwa jizuia sijui nifanye nini?โ€

Dada alitabasamu na kusema โ€œKumpenda mtu sio kosa, ila nakuombea umpende mtu sahihi utafurahia maisha yako. Kitu kingine kabla ya chochote kitu. Mkapime afya zenu. Ndeana kama wewe hutaki fanya kwaajili yetu. Tupo wawili tu, tunatakiwa kulindana. Na baba Yetu kama unavyomuona. Anaumwa, na mimi unajua afya yangu. Kwahiyo jitunze na uwe mzima.โ€
Nikatabasamu na kusema โ€œaliniletea pesa, kwaajili ya kujiandaa na ile kitu nimekusimulia.โ€

๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 66

Dada alitabasamu na kusema โ€œupo huru mdogo wangu wala hutakiwi kuniambia una shilingi ngapi, umetoa wapi. Najua unajua kutafuta na una akili. Wewe niambie huzuni zako tusaidiane, furaha zako tufurahi pamoja. Nakupenda sana.โ€

Nilisema kwa upole โ€œnashukuru sana dada.โ€
Dada alisema โ€œhaya nenda zako ukajiweke sawa na uje kula kwa maana leo nimepika vitu unavyopenda.โ€
Nikasema usiniambie โ€œndizi nyama nyingi.โ€
Dada akacheka akisema โ€œndizi kidogo nyama kibao.โ€
Tukacheka pamoja huku nikielekea chumbani.โ€

Nilipofika chumbani nikawa nachekacheka tu, yaani kama sio mimi ambaye nilikuwa nasema hata nikilala naye nipate kazi sitaki mazoea. Ni mimi nilikuwa nasema hata kulala naye sitaki na kazi basi tena. Ila ninazidi kunogewa. Mwanaume ana maneno matamu huyu, mwanaume anajua kupenda, anakuonesha anakupenda mpaka unasikia raha.

Katikati ya kucheka nikakumbuka maneno ya dada kuwa huyu mtu humjui vizuri, usitoe mwili kwanza mkapime. Nikajikuta navuta pumzi kisha najiuliza โ€œanaweza kuwa muathirika etu?, hapana na anavyonipenda hivyo kweli, hawezi si ndiyo eenh. Mungu wangu kama nimempima kwa macho nitakuwa nimeisha. Hawezi, hawezi ni mzima.โ€

Ninajifariji mwenyewe, mara nikakumbuka Joan alitaka kusema kitu, meneja alikatisha. Nikamtafuta haraka haraka nikampigia. Na yeye alipokea na kusema โ€œrafiki yangu umefika?, ilikuwa nikutumie ujumbe hapa maana nimefika hoi.โ€

Nikacheka nikisema โ€œnashukuru sana rafiki yangu nimefika poa kabisa. Nilikupigia tu nikuambie nimefika.โ€

Akaniambia kwa upole โ€œsawa rafiki yangu.โ€
Nikasema โ€œkesho tuwahi kipenzi. Kwa maana kuna kazi tunatakiwa tukafanye mwambie na huyo mwingine uliyemchagua.โ€

Joan aliniambia โ€œhilo limeisha.โ€
Nikatamani niulize ila nashindwa nikasema โ€œbasi kesho shoga yangu.โ€
Na yeye akaniambia โ€œsawa kipenzi.โ€

Kabla sijakata nikajifanya ndiyo nakumbuka, nikasema โ€œeenh shoga, nimekumbuka muda ule Boss alipopita ulitaka kuniambia kitu ila meneja alikatisha.โ€
๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 67

Akacheka na kusema โ€œnilishasahau, tutaongea tu vizuri. Ila nilitaka nikuambie ana dharau sana yule Boss. Sio dharau hizi za kawaida kwasababu ana pesa. Hapana, ila wanawake sijui anawachukuliaje, wanawake kibao pale kazini mpaka wanapigana, ila yeye akikulala mara moja hakurudii na wanasema yupo vizuri balaa.โ€
Moyo wangu ukaingia ganzi, hata Joan aliniita โ€œNdeana unanisikia?โ€

Nikasema kwa kujishtukia โ€œmtandao kipenzi, aisee kwahiyo yeye halali na mwanamke mara mbili, na hao wanaomgombania ni wafanyakazi?โ€

Akasema โ€œnani tena wengine, na wengine nje ya ofisi si unajua watu wenye pesa shoga, kwahiyo kuwa makini na ulivyo mzuri shoga usije liwa na ukaachwa mataa.โ€

Nikatamani kulia, na nilitamani kumuuliza kuhusu yeye. Ila kama mtu ameniambia hivyo ina maana hata yeye kawahi kulala naye au hajawahi. Mimi ilinibidi nimuage tu. Moyo wangu uliniuma mno, uliumia sana. Ndani yangu nikasema โ€œkumbe ni malaya, kumbe ataniacha tu. Sasa kwanini, kwanini sasa.โ€

Nilikuwa nimeweka simu pembeni, naumia sana. Nakumbuka maneno yake na nyakati chache ambazo tumekua pamoja. Naumia sana kwa maana mimi tayari nimempenda sana. Na kama analala na wanawake wengi namna hiyo ina maana usalama wa afya yake ni mdogo sana. Ninaogopa, hofu imetanda ndani ya moyo wangu. Nimeingiwa ubaridi na woga mkubwa sana.

Ujumbe uliingia kwa simu yangu. Nilichukua simu ili kuusoma. Alikuwa ni dada Martha ameniuliza swali โ€œAre you Dating Him?(una mahusiano naye?)โ€

Nikashangaa, kisha nami nikamjibu โ€œwewe sio ndiyo uliniambia ananipenda niwe naye sasa mbona unaniuliza?โ€
Martha akanitumia โ€œ๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„upo naye mpaka leo hii?โ€
Nikamjibu kwa kushangaa โ€œdada sikuelewi kwani kuna nini?โ€

Martha aliniambia โ€œhaiwezekani!!, Stewart hana muda na mwanamke katika maisha yake. Imekuaje kwako. Mdogo wangu nisamehe kama nitakuwa navuka mipaka. Nataka kujua ushakutana naye mara ngapi?โ€
Nikaguna na kusema โ€œunajua unashangaza dada Martha. Mara mbili?โ€

Soma muendelezo kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0743433005.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

๐‘บ๐’†๐’‚๐’”๐’๐’ ๐’•๐’˜๐’ ๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 60  >>> https://gonga94.com/semajambo/season-two-jamani-boss-mi-naona-aibu-60
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

never give up harmonize
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest