Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
26 Aug 2025
171 views
VYOTE NDANI GONGA94
SINGLE MOTHER NA BUSU LA MJEDA* *______________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Kucheki no ngeni na nimechoka sana nilitaka tu kuizima, B akanizuia nakuipokea yeye, nyie alikuwa ni Emma, alianza kuongea shombo, nakudai asijizime data mimi kwake sipindui, na tunawasiliana sana, na hata taarifa ya kuja kwa ajili ya mahali nimemwambia, na juzi tumeongea sana, na alikuja kunila juzi, apo akawa amejichanganya make hio juzi mimi sikuwa na hio line ni mpya B kanisajilia jana tu, na juzi hatukutoka tumeshinda wote...
Alipewa onyo lakini hakuelewa, upande wetu nilibadilishiwa line, na taratibu za ndoa zikaanza, mkwe wangu alikuja, na mashemeji zangu wawili, nilibahatisha mama mkwe safi, japo hakupenda mwanae aoe mtu alie zaa, alimshauli akaona kijana haelewi akaamua kunipojea ivo ivo, hakuwa na mtoto wa kike kabisa, sikumchukia kisa kinikataa, nilimchukulia kawaida tu, kama mama angu tu mzazi ananipanga za uso sembuse mama mkwe, kwangu haikuwa na shida kabisa, adi mwenyewe akashangaa...
Alinianza kunielewa, siku moja niliamka nimechoka sijisiikii ata kuongea, nilisalimia tu, afu nikawa kimya, walishangas sio kawaida yangu kulikoni, nilijibu tu leo sijisiikii kuongea wala kusikia kelele, mams mkwe alinitizama sana, kisha akaanza kushangilia, nilichukia nikaenda chumbani, B alivyoludi tu akaambiwa na mwanae, mama kawa mkali, amesema ataki kuongea, ataki kelele, bibi alikuwa anashagilia mama akaondoka kea hasira chumbani, sasa Babs uko chumbani ingia vizuli, usije ukaletewa noma dady,B alishangaa lakini kabla hajaingia mama ake alimpa maelekezo, B alionekana kufurahi kuita kiasi, aliingia akiwa na furaha mno, mimi kimya tu...
Mke wangu, naomba twende mahali mala moja basi, B mimi ninechoka wewe nenda tu, nimuhimu kumbuka wiki ijayo ni ndoa yetu, tumebadilisha gauni ni vyema ukachague kuna matole mazuli yamekuja, B jamani si ata kesho tutaenda, " P kesho tutakueta watu wameshayachambua tukose,alinimbembeleza adi tukaenda, tulifika akaomba gauni lisiwe la kushep, liwe la kumwaga, nikamuuliza kwa nini, akati mimi ndo nae vas afu ananipangia, P kwa sababu, mimi navutiwa nawewe ukuwa umevaa hivi, kuna namna tu unanichanganya...
Alinidanganya danganya mpaka nikamuelewa, tulivyotoka apo tukapita hosptal kupimwa, nikamwambia mimi siumwi akasema ni vipimo vya kujaza kwenye ndoa, na kweli walijaza ila nikakutwa na kibendi, B alifurahi mno, tuliludi nyumbani, nikiwa nimechoka sana, miguu imevimba mno, tulikuwa Mama mkwe yuko macho na B, wanacheza, nikama walikuwa wanatusubili sisi, walivyotuona tu wote wakatupokea kwa shauku...
Kupata full 1000
Whatsp 0784468229
Itaendelea....π₯
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
ππKIJIJI CHA UTAMUππ Sehemu ya 10
(π) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Kumbe bibi nacho alikuwa amewafungia wa...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
SINGLE MOTHER NA BUSU LA MJEDA* *______________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
Kucheki no ngeni na nimechoka sana nilitaka tu kuizima, B akanizuia nakuipokea yeye, nyie alikuwa ni Emma, alianza kuongea shombo, nakudai asijizime data mimi kwake sipindui, na tunawasiliana sana, na hata taarifa ya kuja kwa ajili ya mahali nimemwambia, na juzi tumeongea sana, na alikuja kunila juzi, apo akawa amejichanganya make hio juzi mimi sikuwa na hio line ni mpya B kanisajilia jana tu, na juzi hatukutoka tumeshinda wote...
Alipewa onyo lakini hakuelewa, upande wetu nilibadilishiwa line, na taratibu za ndoa zikaanza, mkwe wangu alikuja, na mashemeji zangu wawili, nilibahatisha mama mkwe safi, japo hakupenda mwanae aoe mtu alie zaa, alimshauli...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/single-mother-na-busu-la-mjeda-______________________________________-sehemu-ya-kumi-na-moja