Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
13 Nov 2025
423 views
VYOTE NDANI GONGA94
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 13 Alinivuta na kunikalisha chini walinifunga kamba konani na kuniziba mdomo w
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
alianza kuchukua vitu kimoja baada ya kingine walihakikisha wanaiba kila kitu cha ndani walipakia kwenye gari kubwa walilokuja nalo kisha wakaondoka zao, baada ya muda mlinzi wa getini aliingia ndani ndipo aliweza kunisaidia kunitoa kamba na gundi mdomoni mwangu, nilikua nalia tu aliniambia walimzimisha ndio maana hakuweza kufanya chochote, nilimpigia mume wangu na muda huo niliweza kumpata, nilimsimulia kidogo ila nilishindwa kuendelea kwani nilikua nalia sana, mlinzi alichukua simu na kumsimulia mume wangu ni kipi kimetokea.
Haraka mume wangu akampigia simu rafiki ake mmoja ni askari akafika nyumbani kuchukua maelekezo usiku huo huo, alitupa pole kwa yaliyotokea, asubuhi palipopambazuka yule askari alipiga simu kituoni walifika askari wengine wawili ambao walikaa kutulinda na yeye aliondoka aliporudi alinipa taarifa kwamba majambazi wanatafutwa na polisi.
Mume wangu nae alinitumia fedha ili nikachague samani za nyumba za ndani yule askari alinisindikiza mpaka dukani nikanunua kila kitu kipya, nyumba ikajazwa kwa vitu vipya tena nikama majambazi walitusaidia kuifanya nyumba ipate mwonekano mpya kabisa.
Mume wangu siku hiyo alisafiri kurudi Dar alinipa pole kwa madhira niliyokumbana nayo pia alinitoa hofu kwamba kila kitu kitakua sawa, mlinzi wetu alilipwa fedha zake pia mume wangu alimwongezea pesa ili akaanzishe biashara ya kujitegemea pale nyumbani alitafuta kampuni ya ulinzi ambayo ilikua na walinzi wenye uwezo zaidi ili wakitokea majambazi tena waweze kupambana nao.
Kutokana na tukio hilo mume wangu aliamua kunichukua mpaka falme za kiarabu huko Dubai ili aweze kunituliza mawazo yaliyokua yanatafuna akili yangu.
Kweli nilipata utulivu kwani tulitembelea jangwani na kupanda ngamia, pia tukitembelea jengo refu la Burj Khalifa na kufanya shopping ya nguvu ya mavazi na simu pia hapo nilikubali kununuliwa iphone 17 yenyewe mpyaa sio used, tukarudi zetu bongo baada ya siku tano za kufurahia maisha, aliniuliza mume wangu ni safari gani nyingine ningependa ifuatie baada ya hiyo, tukiwa kwenye ndege ya shirika la ndege la Fly Emirates nilimjibu natamani kutembelea nchi ya Israel nikaone maeneo ambayo yameandikwa kwenye biblia.
Mume wangu alinipongeza na kunambia hilo ni wazo zuri sana ambalo nimempatia kwani kwenda Israel na kufanya ibada kabla ya kuondoka duniani ni safari ya muhimu sana kwa mtu anaejua maandiko ya duniani.
Tulirudi bongo jiji la maji chumvi, tulienda mpaka nyumbani, walinzi wenye silaha madhubuti walitupokea kwa mwonekano wao walikua watu wakazi kweli kweli kuna namna nilipata amani ya moyo.
Tulipitilizia chumbani na bafuni pamoja huko tuliogeshana mapenzi yalikua moto moto kweli.
Tulirudi kitandani na kuendelea na kamchezo, mchezo ulikua wa moto kwani tuliuita mchezo wa kutafutia mtoto kwakua nilikua siku za hatari, tena tulitegesha siku ambayo tunaweza pata mtoto wa kiume hiyo ndo ilikua kiu kubwa ya mume wangu, baada ya kumaliza kupeana raha za dunia tulikaa kitandani, tukizungumza mambo ya hapa na pale.
Mume wangu alipokea simu kutoka kwa msaidizi wake simu ilibeba majozi mazito ambayo alishindwa kujikaza alijikuta analia tu. Ndoa yangu ilikua inapitia vipindi vya furaha na zinapokuja shida bhasi hujua kutesa kweli kweli, yaani daaah shida ya awamu hii ilikua kubwa kwelikweli.
Itaendelea..........
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MIMI SIKUACHIπ₯° 19 MPAKA 20
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fat...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. ...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona j...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 13 Alinivuta na kunikalisha chini walinifunga kamba konani na kuniziba mdomo w
alianza kuchukua vitu kimoja baada ya kingine walihakikisha wanaiba kila kitu cha ndani walipakia kwenye gari kubwa walilokuja nalo kisha wakaondoka zao, baada ya muda mlinzi wa getini aliingia ndani ndipo aliweza kunisaidia kunitoa kamba na gundi mdomoni mwangu, nilikua nalia tu aliniambia walimzimisha ndio maana hakuweza kufanya chochote, nilimpigia mume wangu na muda huo niliweza kumpata, nilimsimulia kidogo ila nilishindwa kuendelea kwani nilikua nalia sana, mlinzi alichukua simu na kumsimulia mume wangu ni kipi kimetokea.
Haraka mume wangu akampigia simu rafiki ake mmoja ni askari akafika nyumbani kuchukua maelekezo usiku huo huo, alitupa pole kwa yaliyotokea, asubuhi palipopambazuka yule askari...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/tatizo-kubwa-inaniogopesha-sehemu-ya-13-alinivuta-na-kunikalisha-chini-walinifunga-kamba-konani-na-k
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi tatizo-kubwa-inaniogopesha-sehemu-ya
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 6 Akanishika kiuno vizuri akanibeba mpaka kitandani akaniweka
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 7 "Niko zanzibar Cuzo, nakula maisha kidogo" "Mmmh weee Diana
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 9 "Binti amegundulika ni mjamzito kwa mila na desturi za ukoo wetu itakua vigumu
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 8 "Vipi kuna nini mbona umepoteza furaha gafla, uso wako umelikimbiza tabasamu
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 17 - 18 Asubuhi na mapema tulipeana cha asubuhi cha kuagana
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 15 "Hapana hapana usifanye hivyo mlinzi nakuomba usimwage
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 16 Maisha ya kutoka kwenye kiyoyozi mpaka kwenye feni ya kawaida
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 14 "Mke wangu nimepoteza migodi yangu yote, mke wangu tumefirisika sisi aaaaaaah aaaaaah"
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 10 Mchungaji alimnyamazisha mwanamke huyo asiendelee kulia kwani kulia isingeweza
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 11 "Sikatai huyu alikua dada wa kazi nyumbani kwetu tena kwa miaka
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 12 "Poleni sana ujauzito uliokua tumboni mwa Brigita umeharibika, naomba mjipe nguvu