Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

UTAMUU WA MABOSS ??????12
Gonga94 · Stories

UTAMUU WA MABOSS ??????12

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
UTAMUU WA MABOSS ??????12

Sherehe iliendelea hadi mida fulani ikahitimishwa????Hatimaye Linda na Alex walirudi nyumbani
Walifika nyumbani na moja kwa moja Linda akaenda chumbani..

"Kesho ni Jumamosi na hatuendi kazini. Ninahisi uchovu sana Linda aliwaza."

Alienda bafuni na kuoga. Alitoka na kuvaa night dress yake. Alijilaza kitndn akifikiria cha kufanya na aliamua kukigawanya kitanda vipande viwili kwa kuweka blanket kubwa katikati kisha akalala.

Alex alikaa sebuleni akitazama sinema alipohisi usingizi akazima TV na kuelekea chumbani kwake..

Aliingia na kumkuta Linda akiwa amelala huku kakigawanya kitanda, Alex alicheka????????chizi kweli huyu mwanamke

Alienda bafuni akaoga. Alitoka na kuvaa nguo yake ya kulalia..alitoa ile mito na blanket lililogawa kitanda chake alaf akajilaza pembeni ya linda????????

Linda alihisi uwepo wa mtu pembeni yake akashtuka na kuamka????????alishangaa kumuona Alex akiwa amelala pale pembeni yake"

Oh Alex ???????? kumbe ndo anasinziaga hivi????????ana midmo mizuri jamani????????Linda alitamani kuigusa midm ya Alex badae akasita..

Alimtazama tena na hapo ndipo alipogundua jinsi Alex alivyo handsome????????.

Aliendelea kumtazama na akaelekeza macho yake kwenye kif????ua Cha Alex .
"Subiri.....Vipi mbona hana shat? Iinda alijiuliza na kuanza kukikagua kif ua kitm Cha mazoez alichojaaliwa Alex .

Alex alishtuka usingizini Linda ikabidi ajilaze haraka..Alex alimfunika vizuri kisha akam????????Linda alitamani Alex aendelee maana midm yake ilishaanza kumvutia????????

Alissmka huyooo hata hivo usingizi ulimpitia akalala mpaka asubuhi???? asubuhi linda aliamka na kujishangaa????????alikuta hali haielewi????????mbona niko hivi??

Aliamka haraka na kwenda kujisafisha akamuacha Alex amelala..

Alitoka bafuni na kukuta Alex hayupo tena kitndni na shuka limebadilishwa.
Alivaa haraka na akashuka chini lakini bado Alex hakumuona..

Mama yangu nini kilinikuta usiku??????????sa na huyu Alex kaenda wapi et????????

"Aah Kwa nini ninajali hata hivyo...mbona kama vile nimeanza kumfikiria huyu mwanaume..

Alienda jikoni na mpishi alikuwa ndani hivyo akamuomba apike yeye.
"Samahan ila naomba nikusaidie kupika leo.mpishi alimruhusu..

Alichukua sufuria na kuanza kupika.
Dakika 30 baadaye, alimaliza kupika na alitoa chakula na kwenda kutenga mezani.

Anatazama huku na kule kumtafuta Alex lakini hakumuona..
"Linda aliwaza huyu mwanaume kaenda wapi?? Yani sijui hata alinifny nini nahisi Alex alininaniliu nikiwa usingizini????????..

Wakati Linda anawaza kilichotokea usiku

Mara akamuona kijakazi akija upande wake na kumsimamisha.
"Unajua mume wangu... yupo wapi" Linda alisema huku akijishuku kwa kumuita Alex mume wake.

"Ndiyo mama, yuko kwenye balcony," alisema kijakazi na Linda akaitikia kwa kutikisa kichwa.

Alikwenda kwenye
balcony na kumtazama na alishangaa kumuona bado hana shat????????

Alisafisha koo lake na akageuka
"Habari za asubuhi" alimsalimia
"Salama????????Alijibu Alex huku akitabasamu .

"Wow unaonekana mzuri unapotabasamu, unapaswa kutabasamu mara nyingi sio kukunja uso wako kama kichwa cha nanilii????" Linda alimwambia na Alex akakunja uso wake..

"Sasa unaonekana mbaya," Linda alisema mara baada ya kuona Alex ameacha kutabasamu..

"Vipi sasa" aliuliza huku akitabasamu.
"Hmm vizuri" akajibu Linda
"Kwa nini upo hapa" akauliza
"Nimekuja kukuambia kifungua kinywa kiko tayari" akajibu Linda

"Sawa nitafika baada ya dakika 20" alisema na Linda akaondoka.

Wakati Linda alipokuwa karibu kumaliza chakula chake Alex alifika mezani
Akaketi na kufungua chakula
"Natumai ladha hii ni tamu kama inavyoonekana" akasema Alex ..

"Alionja na kisha akasema Hmm this is gooood" alitabasamu na Linda akatabasamu kimoyomoyo
Walimaliza kula na mpishi akaja kusafisha meza

"Wow ladha hii ni nzuri. Umetumia mapishi gani na nataka uendelee kutumia mapishi uliyotumia leo" Alisema Alex na kusimama lakini alichokisema mpishi kilimshtua..

"Mpishi alimwambia Alex Samahan Boss si mimi niliyepika, ni mkeo."Alex alishangaa huyu chizi ndo anajua kupika chakula kitamu hivi??

"Alimgeukia na kumuuliza Umepika wewe " Linda akaitikia kwa kichwa huku akitizama pembeni??bado alikuwa anafikiria kuhusu kilichomkuta usiku na aliwaza ataanzaje kumuuliza Alex kama alimnaniliu akiwa usingizini ????????

Itaendeleaaaa

Full 1000

WhatsApp 0742133100

NAKUJA
Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTAMUU WA MABOSS ??????12

UTAMUU WA MABOSS ??????12

Sherehe iliendelea hadi mida fulani ikahitimishwa????Hatimaye Linda na Alex walirudi nyumbani
Walifika nyumbani na moja kwa moja Linda akaenda chumbani..

"Kesho ni Jumamosi na hatuendi kazini. Ninahisi uchovu sana Linda aliwaza."

Alienda bafuni na kuoga. Alitoka na kuvaa night dress yake. Alijilaza kitndn akifikiria cha kufanya na aliamua kukigawanya kitanda vipande viwili kwa kuweka blanket kubwa katikati kisha akalala.

Alex alikaa sebuleni akitazama sinema alipohisi usingizi akazima TV na kuelekea chumbani kwake..

Aliingia na kumkuta Linda akiwa amelala huku kakigawanya kitanda, Alex alicheka????????chizi kweli huyu mwanamke

Alienda bafuni akaoga. Alitoka na kuvaa nguo yake ya kulalia..alitoa ile mito na blanket...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utamuu-wa-maboss-12

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utamuu-wa-maboss
UTAMUU WA MABOSS ??????11
UTAMUU WA MABOSS ??????11
UTAMUU WA MABOSS??????  SEHEMU YA 01
UTAMUU WA MABOSS?????? SEHEMU YA 01
UTAMUU WA MABOSS ??????9
UTAMUU WA MABOSS ??????9
UTAMUU WA MABOSS 🥵❤️9  Linda aliona kukubaliana na lile hitaji la alex kutamfanya alex aache kuulizia maswala ya makeup 😁😁
UTAMUU WA MABOSS 🥵❤️9 Linda aliona kukubaliana na lile hitaji la alex kutamfanya alex aache kuulizia maswala ya makeup 😁😁
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80

565
MY WANGU❤️ sehemu ya 81

MY WANGU❤️ sehemu ya 81

530
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

396
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

335
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

237
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

164
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

41

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.09K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.29K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.28K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA...... Kuna ule msemo kuwa mpende yule anaekupenda na mthamini yule anaekuthamini,yes naweza kusema kuwa mimi nilibahatika kupendwa na kuthaminiwa bwana 😊 Yaani binti yenu kwenye kupendwa sijui...

REAL LOVE*  Chapter 10 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 10
@majario LIVE

yani sekunde kadhaa tu mtu ashachezea john hakuwa anapenda ujinga hata kidogo yani, alikuja kuzuiliwa na seven lakini john bado alitaka ampige devi kutokana na ujinga alioufanya, niachieeee seven uyu shetani sana...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘
@majario LIVE

0742133100 Babie Love ""🎶🎶from the day that I met you girl"" ""I knew that your love would be "" ""Everything that I ever wanted in my life🎶🎶"" ""🎶🎶from the moment you spoke my...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest