Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII   Chapter 17  Nilikuja kuzinduka najiona nipo hospitali tayri
Gonga94 ยท Stories

LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII Chapter 17 Nilikuja kuzinduka najiona nipo hospitali tayri

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
mama yupo pembeni yangu ananitizama tu me naee namshaanga "kwani imekuaje mpaka nipo hapa kumbukumbh yangu ya mwisho ilikuwa nipo chumbani nalia balaa mama alinikata hilo jicho kali kinoma yaaani hadi nikatizama chini kwa uoga

"Kwahyo wewe mpuuzi ulitaka ufe? Maan umejifungia mlango wewe mjinga maanake tusingevunja mlango ungekufa wewe yaani sasa hvi tungekuwa tunaongea mengine kabisa hapa yaani wewe sijui upoje yaani mhh hapana hivi hizo akili zako ndio ulitaka umuumize na mjukuu wangu si ndio? Wee nilishtuka jamni mimi "nina mimba?" Niliuliza kwa sauti ya wasi wasi mkubwa sana mimi Mungu wangu sijui itakuajee uwii ndio unayo ulitaka usiwe nayo ulivyokipeleka yaan wewe jamani hiyo si hil nyota ya mama yako upo unatembea nayo wewe mjinga wewe hapana mwanangu inabidi ukatakaswe na wee tena umetelekezwa tena siku ya harusi kweli Asmy?" Mama aliongea kwa hisiia kali kweli yaani mpaka machozi yaakaanza kumtoka akanza kulalamika"mimi sijui maisha yangu yamekuwa hivi hadi wanangu wameshindwa kutafuta nyota nyingine wamekuja kuangua kwenye nyota yangu hii mbaya hivi jamani kweli? Kwni hamkuona sehem ya kirithi watu wanarithi hela nyie mnarithi nyota za shida na umasikini mkubwa jamani hii ni nyota ya umasikini mwanangu ujuee, nilimtizama mama sikumjibu maan na mim nilikuwa natokwa na machozi afu nina machungu alikuja daktari

"Hutakiwi kuwa na stress mpenzi utaathiri afya ya mtoto sawa mpenzi, alinipa maelekezo na kusema kwamba nipo sawa saaa naweza kurudi nyumbani ila akilini mwangu nilikuwa na mawazo ya kuuwa nilikuwa nataka hata nitoe hyo mimba siwezi kuzaa mtoto ambae hana baba mimi nilikuwa nafikiria ujinga nilifika nyumbani nikamshirikisha mama yangu. alinikataza na kichambo juu

"Hivi wewe mjinga kwani mimi nilikuuuwa wewe mpuuzi tena weee unabahati sana mwenzako nilifukuzwa hadi nyumbani mpaka unakuwa hujiongezi etty wewe mjinga unakuwa kama vile sio mwanangu ambae nakufahamu, wewe ni mkarimu na mwenye huruma sawa mama yangu usilie wala usihuzunike sawa binti yangu, ila kama unataka kufanya hivyoo nakupa mtihani ukiweza kumuua huyu Hemed nakuruhusu muue huyo mtoto wako humo tumboni nimekuruhusu kabisa bila wasi wasi sawa kipenzi changu wewe muuee tu sawa ukiweza nakuruhusu kuuwa huyo mtoto humo tumboni, ila kam huwezi nakuomba sana usiimuue huyo sawa" alisema mama, kisha akaainuka na kuingia zake ndani kwake, hii ilikuwa ngumu sana kwangu yaani nimuue Hemed hapana pia nilifikiria sana nikaona acha nilee tu mbona mama yangu kaweza kutukuza sisi wote bila shida na hakuna aliemuua nilikubali ila nilikuwa na hasira sana na huyu mwanaume nikasema acha nifocus na mambo yangu ya kazi niendeleze maisha mapenzi niwaachie wenye nayo

Siku, miezi ilipita na kitumbo kilikuwa na miezi minne sasa na nipo nafanya mambo yangu sitaki shida ndogo ndogo huku mama yangu ananipa moyo na mdogo wangu akijaribu kunifurahisha furahisha sana nilikuwa nafata na masharti ya daktari

Hii siku nilikuwa nimekaa zangu officine kwemye duka la dawa la ile hospitali ya Khalid alioniajiri nashangaa namuona Khalid anaingia, zilikuwa zimepita siku nyingi sasa bila kumuona nashangaa kumuona tena mbele ya macho yangu niliiinuka kwa mshangao mkubwa nilitamani nimpige bao ila hata hakusema kitu akanishika mkono akanipeleka parking akaniweka kwenye gari

Itaendelea...
Tangazo - ila baba mkwe full story soma yote hapa
ila baba mkwe full story soma yote hapa
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII Chapter 17 Nilikuja kuzinduka najiona nipo hospitali tayri

mama yupo pembeni yangu ananitizama tu me naee namshaanga "kwani imekuaje mpaka nipo hapa kumbukumbh yangu ya mwisho ilikuwa nipo chumbani nalia balaa mama alinikata hilo jicho kali kinoma yaaani hadi nikatizama chini kwa uoga

"Kwahyo wewe mpuuzi ulitaka ufe? Maan umejifungia mlango wewe mjinga maanake tusingevunja mlango ungekufa wewe yaani sasa hvi tungekuwa tunaongea mengine kabisa hapa yaani wewe sijui upoje yaani mhh hapana hivi hizo akili zako ndio ulitaka umuumize na mjukuu wangu si ndio? Wee nilishtuka jamni mimi "nina mimba?" Niliuliza kwa sauti ya wasi wasi mkubwa sana mimi Mungu wangu sijui itakuajee uwii ndio unayo ulitaka usiwe...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/lecturer-nikikupa-hutoninanii-chapter-17-nilikuja-kuzinduka-najiona-nipo-hospitali-tayri

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi lecturer-nikikupa-hutoninanii-chapter
 *LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII*      *Chapter 14&15*  Alitoka nje na kuniacha mimi ndani nipo najichekea chekea
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* *Chapter 14&15* Alitoka nje na kuniacha mimi ndani nipo najichekea chekea
LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII Chapter 18  mtihani mkubwa sana ambao hata wewe kuusolve
LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII Chapter 18 mtihani mkubwa sana ambao hata wewe kuusolve
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 8  Nilililegeaa mara kumi yake jamani huyu mkaka hapana anajua bwana kwa kujua tu anajua
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 8 Nilililegeaa mara kumi yake jamani huyu mkaka hapana anajua bwana kwa kujua tu anajua
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 12  Niliingia ndani, mama alikuwa ananisubiri kwa hamu kweli maana
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 12 Niliingia ndani, mama alikuwa ananisubiri kwa hamu kweli maana
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 10  Tuliachana na lecturer yeye alielekeaa officine na mimi nilielekeaa class
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 10 Tuliachana na lecturer yeye alielekeaa officine na mimi nilielekeaa class
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 13  Hyo siku ilipita na Lecturer hakuja alinambia tu hakupata muda na kesho
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 13 Hyo siku ilipita na Lecturer hakuja alinambia tu hakupata muda na kesho
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 7  "Ndio nakupendaa, na nipo tayari kuthibitisha hiloo kwako, msichana wa kiarabu
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 7 "Ndio nakupendaa, na nipo tayari kuthibitisha hiloo kwako, msichana wa kiarabu
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 9  Nililala mpaka asubuhi, ila niliwahi kuamka mimi wa kwanza kuliko lecturer, nilikaa nikaanza
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 9 Nililala mpaka asubuhi, ila niliwahi kuamka mimi wa kwanza kuliko lecturer, nilikaa nikaanza
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.48K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.56K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.11K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.04K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.99K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest