Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
30 Nov -0001
13 views
VYOTE NDANI GONGA94
MORICE MICHAEL ABRAHAM
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
MORICE MICHAEL ABRAHAM ameendelea kufanya mazoezi na klabu ya SIMBA SC, Siku ya Jana, pia alianya mazoezi ya mwisho kabla ya kuwaava KMC Siku ya leo mnamo majira ya saa 10 jioni
MORICE MICHAEL ABRAHAM ambaye kwa sasa hana timu ya kuchezea baada ya kumaliza mkataba na timu yake huko nchini Serbia ameamua kulinda kipaji chake na kuendelea kujifua na kikosi cha SIMBA SC pale BUNJU, MO SIMBA ARENA
MORICE MICHAEL ABRAHAM anacheza nafasi ya kiungo mshambuliaji, he's a number 10
MORICE MICHAEL ABRAHAM yuko chini ya usimamizi wa SAMA Player Management ambayo MBWANA SAMATTA ndie mmiliki
Pia inasemekana FADLU DAVIDS anamtizama kwa jicho la tatu huyu kijana kama akiweza kuvutiwa nae kwenye project yake ya msimu ujao ataupa taarifa uongozi ili waweze kumsajili
???? @simbasctanzania
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
KUMEKUCHA.. Wanasayansi wasema wamefanikiwa kuipata location ya (sehemu ilipo) mbingu! Dr. Michael Guillen
, Mkufunzi wa zamani wa masomo ya phizikia, Hesabati na elimu ya anga katika chuo kikuu cha Harvard ameeleza kwamba anav...
MORICE MICHAEL ABRAHAM ameendelea kufanya mazoezi na klabu ya SIMBA SC, Siku ya Jana, pia alianya mazoezi ya mwisho kabla ya kuwaava KMC Siku ya leo mnamo majira ya saa 10 jioni
MORICE MICHAEL ABRAHAM ambaye kwa sasa hana timu ya kuchezea baada ya kumaliza mkataba na timu yake huko nchini Serbia ameamua kulinda kipaji chake na kuendelea kujifua na kikosi cha SIMBA SC pale BUNJU, MO SIMBA ARENA
MORICE MICHAEL ABRAHAM anacheza nafasi ya kiungo mshambuliaji, he's a number 10
MORICE MICHAEL ABRAHAM yuko chini ya usimamizi wa SAMA Player Management ambayo MBWANA SAMATTA ndie mmiliki
Pia inasemekana FADLU...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/morice-michael-abraham