Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 18
Gonga94 ยท Stories

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 18

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.



Basi bwana wiki kadhaa zilipita maandalizi yakaanza kufanyika na mwisho kila kitu kikawa tayari nikaanza kazi rasmi๐Ÿฅฐ.

Kutokana na mazingira tuliyokuwepo ililazimika duka liwe kisasa zaidi, vitu vilivyowekewa kwaajili ya biashara vilikuwa vya kishua kishua na sio unga wa kupima sijui mafuta ya kupima au vitu vidogo vidogo.

Kiufupi ilikuwa ni min Market, ili kuboreshwa zaidi akaweka na huduma zote za kifedha kwa hiyo pakawa mwaaa๐Ÿ‘Œ ๐Ÿ˜Š.

Mtoto wa bukoba nikashika usukani ๐Ÿ˜Š Mungu huwa hamnyimi mtu vyote bhna , kaninyima elimu ila nyota ya biashara kaiwasha inang'aa mwee๐Ÿ˜Š.

Basi biashara ilianza kwa kishindo ,wateja wakamiminika kutoka kila pande, yule kijana wakununua mayai kila wiki ndo akapata njia ya kutengeza ukaribu vilivyo๐Ÿ˜.

Japo haikuwa rahisi ila kutokana na kuja kila siku mdogo mdogo tukaanza kuwa tunapiga story hadi ikafikia kipindi tukazoeana na kuwa marafiki.๐Ÿฅฒ
Daria alishangaa sana imekuwaje Samuel kuwa karibu na mimi kiasi kile ila hali haijawahi kutokea kwa binti yoyote wa pale mtaani , nikawa namwambia sijui๐Ÿ’โ€โ™€๏ธ

Eeeh sasa najua nini mimi ๐Ÿฅฒ maana mazoea yenyewe yalivyoanza yalianza kimasiala tu kwanza sikuwahi kupenda kuwa karibu nae .๐Ÿ˜

Ni vile tu Mungu ana mipango na njia zake ๐Ÿ˜’, basi bwana ukaribu wangu na Samuel ulikuwa haushikiki yaani ninavyo sema haushikiki namaanisha ๐Ÿฅฒ

Mtu ulikuwa ukituangalia kwa mbali unahisi au kuona sisi ni wapenzi ukisogea karibu unatuona kama mabest ๐Ÿ˜Š ukigeuka na kutuangalia kiupande upande tunaonekana kama tuna crashiana vile ๐Ÿ˜†.

Yaani tulikuwa kimvurugano tu wala hakuna alieelewa kuwa tuko katika kundi gani ๐Ÿฅฒ, na ukiniuliza mimi namuona je nitakwambia namuona kama mshikaji tu.๐Ÿ˜Š

Eeeh huo ndio ukweli jamaa namuona kama mshikaji wala hakuna hata siku moja niliyowahi kumuona kama mwanaume au kufikilia lolote yenye hisia za mpenzi.

Kwa hiyo msije kusema oh kutakuwa kunakitu maana haiwezekani watu wawahisi kuwa wapenzi ,akuuu kwenye mapenzi nae sipoo๐Ÿ™…โ€โ™€๏ธ.

Na sio kwamba nikimtaka siwezi kumpata naweza sana ila sipoo na staki ๐Ÿฅฒ mpoo? , haya bwana maisha yaliendelea miezi mitatu ikapita tukiwa bado lelele๐Ÿ˜‡.

Bwana weee nakumbuka siku hiyo alitoka job kama kawaida akaja dukani mimi mda huo niko nacheza game la nyoka kwenye kiswaswadu cha boss ambacho alinipa kwaajili ya kazi.

Basi akawa amepita bila kunisalimia na kuingia ndani , kwakua nilikuwa bize na simu sikuweza kumuona ila baada ya kusikia geti lao likifunguliwa nikachomoka chap na kwenda kuchungulia.

Kupiga jicho hivi naona gari lake ndo kinaishia ,nikaona ooooh huyu mbwa kapita bila kunisalimia leo fresh ๐Ÿ˜’, nilivuta domo likafika kuleeeโ˜น๏ธ .

Kwa hasira nikarudi na kukaa game halikuchezeka tena ,nikabaki nasubiri aje nimsuuze vizuri ๐Ÿ˜.

Ajabu hadi inafika mda wa kufunga hajaja , nikataka kumtumia meseji ila nikaona hapana nitakuwa najipendekeza ngoja nikaze fuvu๐Ÿ˜.

Basi kinyonge nikafunga na kuingia ndani , kwakua ilikuwa ni siku ambayo mama huwa anarudi na chakula niliingia ndani tu na kuingia bafuni nakuoga chap kisha nikaungana na wengine tayari kwa kupata chakula.

Na baada ya kula niliweka mazingira sawa nikaaga na kwenda chumbani kulala,uliza nililala ๐Ÿ˜”? Yaani kila ninavyo jitahidi kutuliza akili ili nilale wapi usingizi unagoma kuja.

Moyo nilihisi kama umeingia uzito ambao hata sikujua umetoka wapi๐Ÿ˜”, niliendelea kujitahidi kuusaka usingizi mwisho nikaona eeeh siwezi kujiua .

Nikaamka na kutoka kibalazani labda naweza kumuona ,lakini hakutoka wala hata taa ya chumba chake haikuwa on ๐Ÿ˜” swali likabaki kichwani .

Huyu mtu kalala au kaamua leo asiongee na mimi ๐Ÿค” na kama ni kweli kwanini afanye hivyo ๐Ÿค” , maswali hayo hayakuwa na majibu , basi kinyonge nikarudi kitandani na kuulazimisha usingizi uliogoma kuja.

Kama Mungu zilipita dakika tano tu simu yangu ikaita kuangalia mpigaji ni Alvin ๐Ÿฅฒ afadhali rafiki yangu wa milele kanikumbuka ๐Ÿฅฒ.

Na huyu ndo rafiki sasa sio hili gume gume linalojifanya dunia yote yake ๐Ÿ˜ na ole wake kesho anisemeshe ๐Ÿ˜ yaani nitamchamba hata amani shwain yeye ๐Ÿ˜๐Ÿ˜’.

Basi nilipokea simu ya Alvin na kuanza kupiga story, unajua bhna moja kati ya watu wanaojua kunifanya nifurahi hata nikiwa na huzuni au hasira kali ni Alvin.

Aaah huyu kiumbe nampa salute ๐Ÿ™‹ ananijua na kunijulia hadi anakera๐Ÿ˜‡ yaani dakika moja tu ilitosha kunisahaulisha yote yaliyokuwa yakininyima raha na kunifanya niwe mchangamfu ๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜Š

Story na umbea wa hapa na pale ulienda hadi saa Saba kasoro ndo tukaagana na kila mmoka akalala ๐Ÿ˜ด๐Ÿ˜ด.

Kesho asubuhi na mapema niliamka na kufanya majukumu yangu ya kila siku , nilivyo maliza nikajiweka safi ,kisha nikakaa zangu sebleni na kuangalia tv.

Unaweza kuuliza leo siingii kazini? Jibu ni kwamba naingia ila navuta mda ili Samuel aondoke maana sikutaka kumuona kabisa so nitakaa na akiondoka tu nitaenda kufungua.

Kweli dakika zilisogea lisaa likapita hatmae mda wake wa kwenda kazin ulifika akaondoka ,na baada ya kuondoka tu nikajiinua na kwenda kufungua.

ITAENDELEA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 18




Basi bwana wiki kadhaa zilipita maandalizi yakaanza kufanyika na mwisho kila kitu kikawa tayari nikaanza kazi rasmi๐Ÿฅฐ.

Kutokana na mazingira tuliyokuwepo ililazimika duka liwe kisasa zaidi, vitu vilivyowekewa kwaajili ya biashara vilikuwa vya kishua kishua na sio unga wa kupima sijui mafuta ya kupima au vitu vidogo vidogo.

Kiufupi ilikuwa ni min Market, ili kuboreshwa zaidi akaweka na huduma zote za kifedha kwa hiyo pakawa mwaaa๐Ÿ‘Œ ๐Ÿ˜Š.

Mtoto wa bukoba nikashika usukani ๐Ÿ˜Š Mungu huwa hamnyimi mtu vyote bhna , kaninyima elimu ila nyota ya biashara kaiwasha inang'aa mwee๐Ÿ˜Š.

Basi biashara ilianza kwa kishindo ,wateja wakamiminika kutoka...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utaniita-shemeji-sehemu-ya-18

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utaniita-shemeji-sehemu-ya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09
UTANIITA SHEMEJI*  SEHEMU YA 10
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 10
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 19
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 19
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 28 na 29

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 28 na 29

882
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26&27*

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26&27*

720
* *AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *SEASON TWO*     SEHEMU YA THELATHINI

* *AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *SEASON TWO* SEHEMU YA THELATHINI

593
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12

281
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

224
SHAMIRA sehemu ya 40&41

SHAMIRA sehemu ya 40&41

206
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5

*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5

165
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

160
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

131
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 13

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 13

115

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.56K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.3K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.77K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.25K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.76K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.66K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.64K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.57K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.5K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.5K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 19 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Mda ulienda na ratiba zangu zikisonga kama kawaida, jioni ikafika Samuel akatoka kazini ,naona leo mood yake ilikuwa vizuri maana alifika karibu yangu akasimama na kunisalimia . Kisirani nilichokua...

.TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 14 Post Mpya
.TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 14
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Licha ya kukataliwa mara kadhaa, Salmon hakukata tamaa. Alikuwa anamfuata Noela chuoni kila mara ili ambembeleze. Pia alikuwa anampigia simu na kumtumia sms kiasi kwamba Noela akaamua kubadilisha namba ili...

SWALI: (Aslm alkm:  swali langu nihv, Nn hukmu ya mwanamke mjamzito aliyepewa taraka katka sheria ya kiislami?) Post Mpya
SWALI: (Aslm alkm: swali langu nihv, Nn hukmu ya mwanamke mjamzito aliyepewa taraka katka sheria ya kiislami?)
@majario LIVE

JIBU LA SWALI KUTOKA MTANDAONI: SWALI: (Aslm alkm: swali langu nihv, Nn hukmu ya mwanamke mjamzito aliyepewa taraka katka sheria ya kiislami?) JIBU: Wa โ€˜alaykum salaam wa rahmatullah. Hukumu ya mwanamke mjamzito aliyepewa talaka...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 13 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 13
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Dakika chache baada ya Noela kuondoka, Salmon aliingia akiwa anatoka jasho. Alimtazama Iris na kusema โ€œNimesikia Noela alikuwa hapaโ€ โ€œNani amekuambia hivyo?โ€๐Ÿ˜ณ โ€œNina watu wangu kila mahali, hivyo niambie ukweli, alikuwa hapa?โ€ โ€œNdiyo,...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 18 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Basi bwana wiki kadhaa zilipita maandalizi yakaanza kufanyika na mwisho kila kitu kikawa tayari nikaanza kazi rasmi๐Ÿฅฐ. Kutokana na mazingira tuliyokuwepo ililazimika duka liwe kisasa zaidi, vitu vilivyowekewa kwaajili...

* *AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *SEASON TWO*     SEHEMU YA THELATHINI Post Mpya
* *AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *SEASON TWO* SEHEMU YA THELATHINI
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ Nikamwambia sikia usilie mbeleya mtoto basi sio sawa , mana ummy alikuwa pale lale sebleni anamuangalia mma yake anavyolia, zena akanmbia swa nipeleke nyumbani kwngu tu, nikasema now ni usiku...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 28 na 29 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 28 na 29
@majario LIVE

Nikasema sikia utakaaa apa, na usiwaze kabisa kuhusu kodi, mimi nipo na sina plan za kukuacha wewe kabisaa, nakupendaa sana, nakupenda kuliko chochote zena, siwez acha kukulipia kodi ata siku...

A rare and heartwarming moment with three generations of the Bachchan family in one frame โ€” Harivansh Rai Bachchan, Amitabh Bachchan, and little Abhishek Bachchan. Itโ€™s the kind of picture that instantly feels special because it captures family, legacy, a Post Mpya
A rare and heartwarming moment with three generations of the Bachchan family in one frame โ€” Harivansh Rai Bachchan, Amitabh Bachchan, and little Abhishek Bachchan. Itโ€™s the kind of picture that instantly feels special because it captures family, legacy, a
@majario LIVE

. Harivansh Rai Bachchan, one of Indiaโ€™s most respected Hindi poets, looks calm and dignified, while his son Amitabh stands beside him โ€” a man who would go on to become...

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26&27* Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26&27*
@majario LIVE

zena alinikumbatia uku analia sikuelewa ni ule uchungu wa kutoa bikra yake au mahaba yamemzidia acheni kabisaaa ila nilimvuta kwa karibu nikamtuliza na nikambembeleza kweli kweli mpaka mchumba akatulia nilimwambia...

ALIMTOA MAMA YAKE KAFARA ILI AWE TAJIRI.  Elvin alikuwa kijana wa miaka 28 Post Mpya
ALIMTOA MAMA YAKE KAFARA ILI AWE TAJIRI. Elvin alikuwa kijana wa miaka 28
@majario LIVE

aliyeishi na mama yake mjane kwenye nyumba ya kupanga uswahilini. Mama yake, Mama Kelvin, alikuwa akijishughulisha na kuuza mbogamboga sokoni ili mwanawe apate chakula na mahitaji mengine. Kelvin alikuwa...

SHAMIRA sehemu ya 40&41 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 40&41
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Aisha akasema sasa sikia tuna kazi naye .si kafanya uo usenge kwaiyo zile laki 9 zako ulizomtunza kaona sisi mafala .sasa tutamuonesha kumamamke zake twende...

*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5 Post Mpya
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5
@majario LIVE

Mpyaaa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ ย SEHEMU YA 1 ย ย  ย ย  ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Em kwanza nicheke mieeeย  , hivi mnakumbuka zile issue za yule baba wa kule sijuiย  wapi wapiiย  mi hata sijui bwana anatokea wapiii yulee...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Mr. Marvel akaendelea โ€œNiliendelea kufanya kazi na wakati mwingine nilikuwa nambeba Salmon na kwenda naye kazini. Kwa sababu hiyo, nilipoteza baadhi ya kazi kwa sababu haikuruhusiwa kufanya kazi na mtoto....

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Noela alipoondoka hakujua hata aende wapi. Alitembea polepole barabarani, machozi yakimtoka na wala hakujali. Aliumia kwa sababu alisalitiwa na watu wawili muhimu sana kwenye maisha yake๐Ÿ’”. Alikumbuka dalili alizowahi kuona kwamba...

SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest