Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

*1- - - - - - - - 5* ๐—Ÿ๐—”๐—ช๐—ฌ๐—˜๐—ฅ ๐—ก๐—”๐—จ๐— ๐—œ๐—” ๐— ๐—ช๐—˜๐—ก๐—ญ๐—œ๐—ข ___________________________________ SEHEMU YA 1 "Kwahyo huyo mwanaume unamlilia wa nini sasa wakati ni kweli kashakuacha tayri, na bora
Gonga94 ยท Stories

*1- - - - - - - - 5* ๐—Ÿ๐—”๐—ช๐—ฌ๐—˜๐—ฅ ๐—ก๐—”๐—จ๐— ๐—œ๐—” ๐— ๐—ช๐—˜๐—ก๐—ญ๐—œ๐—ข ___________________________________ SEHEMU YA 1 "Kwahyo huyo mwanaume unamlilia wa nini sasa wakati ni kweli kashakuacha tayri, na bora

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
kakuacha ikiwa hujafanya nae chochote hao wanaume ni wapuuzii sana Bilqis, mhh hapa focus na kesi ya kaka yako na sijui itakuaje" alikuwa anaongeaa shoga yangu Fatma kwamba nimpotezee huyo mwanaume ambae kaniacha maan huko tulikuwa na kesi mahakani ya kaka yangu , na ilibidi tumtafute mwanasheria wa kusimamia hili "sasa tutafanyaje fatma na sijui itakuaje kuhusu kaka yangu kwakweli ujue namuonea huruma sana , na sitaki kumpa presha Mama na baba najua watakuja wanifie hapa saa hizi ndio maana kaka akaona anambie mimi jamani" niliongea huku nalia hapo bado nina maumivu ya kuachwa kwa usaliti kwa maaan nimekuja kumfumania yule mwanaume akiwa na mwanamke mwenye pesaa wenyew wanawaita mishangazi ,kumbe hata pesa alizokuwa akinihudumia alikuwa akitoa kwa huyo mwanamke nilikuwa nina maumivu hapo bado kaka yangu wa pekee yupo polisi kama wiki mbili na wote tupo huku Dar es salaam kikazi , mimi nafanya kazi kwenye duka moja la mtu la simu naendeleza maisha yangu ,maan nimepanga japo wazazi wangu hawakubaliani na hili swala la Mimi kupanga kabisa waanaamini mdada akipanga anaanza kuwa na mambo mengi japo mimi nataka niwaprove wrong kwenye hilo swala maan wenyew wapo huko Arusha , ndipo wanapokaa maan sisi ni wachuga(wachaga)

Sasa kaka yangu na yey yupo huko polisi ni kam wiki mbili sasa na kesi yake lazima ipelekwe mahakamani maana ni kwenye kampuni yao huko wanayofanyia kazi ni kampuni ya kutengeneza furniture na boss wake alisema kwamba kuna mali zimepotea na anahusika na ulinzi ni kaka hivyo kaipeleka kesi mahakamani na bado haijasikilizwa kwa sababu bado hatujapata mwanasheriaa kwenye hili jambo na tumepewa siku moja tukamilishe hili , na tunawaza hizo pesa za kumpatia huyo mwanasheria tunazitoa wapi na kaka kasema nisimwambie Mama wala mkewe kwasababu kaka ameoa na mkewe anamimba kubwa tu , hataki apate presha at least tungewaambiaa wazazi tungepata msaada hat wa kifedha kwa ajili ya kumpatia huyo mwanasheria wa kusimamia hii kesi , ila kak hakutaka na alinambia mimi kingine kinachoniwazisha ni kwamba kama kaka yangu hatopata mwanasheria maana yake ni kwamba atahukumiwa kwa upande mmoja na atafungwa tu jamni ,hapo namuwazia wifi kila siku namuongopeaa tu kwamba kaka kasafiri kaenda kupeleka furniture huko vijijini ndio maan hapatikani kabisa

"Mhh jamn wenzako wanakuwaga wanawapa pesa hao wanasheria sasa sisi tutafanyaje shoga yangu, au kaongee na Mama Rahel akukopeshe atakukata kwenye mshahara wako" nilimtizama tuu huyu Fatma maan na yeye nafanya nae kazi hapo dukani "kwa mshahara gani hio laki tatu na nusu ?, umesahau kama juzi juzi tu hapa nimetoka kumkopa laki tatu kwa ajili ya kodi kwahyo kwenye mashahara ntapata kama 50k tu shga yangu" nilikuwa namwambia Fatma

"Mimi mwemye kweny viakiba vyangu sina hata sent shgaa maan jana Mama katoka kunipigiaa nimtumie pesa aende hospitali, na wadogo zangu sare zao zimeisha , au umesahu kam mimi ndio kila kitu kwetu shga yangu unajizima data tu hapo nipo nakuona" nilimtizma kwa huruma maan huyu kwao yeye ndio baba ndio Mama ndio maana huwa anafanya kazi nyingi nyingi maana siku ambayo tunakuwa off hapa dukani yeye anakuwa sahem nyingine huwa na muonelea huruma mhh unaweza sema wewe una magumu ila mwenzio ana magumu zaidi yako , nilimtizam tu nilielewa hata angenipa angeniambia nimrudishie kwa riba yaani huyu hapaana

"Ila Bilqis teacher ujinga Mama Rahel mme wake si ashawahi kufungwa wewe tukaaamuulize kama alienda kwa mwanasheria yupi shga" nilimtimzama "ila wewe umesahau kam mimi Mama Rahel sijamzoeaa , wewe si unaongeaga na Rahel kwanini usimuulize " nilimwambia fatma maan yeye huwa anaongea na mtoto wa huyo Mama mwenye hili duka tunalofanyia kazi "hapo umeongeaa point" alichukua simu yake akapiga iliita akatoka pembeni akaongeaa na huyo Rahel hakutaka kuongea mbele yangu maan huwa wana mengi ya kuongeaa mimi hayanihusu wananiita mtoto mdogo , alivyomaliza alirudi

"Mhhh shga yangu , yaani ni hivi kuna namba amenitumiaa hapa kasema ni mwanasheria poa sana maan , bwana wake mmoja alipataga kesi akashughulikia na unamlipa baada ya kesi kufanikiwa na kama kaka yako anaweza kuwa na chochote kitu akitoka atamlipa afu anaonekana hana shida kubwa na wala hana shida ndogo ndogo " nilimtizama nikamshukuru sana Fatma "haya wee mimi siendi huko nakupa hiyo address anapopatikana huyo mwanasheriaa sawa madam utaenda mwenyew mimi nabaki nakaa hapa , tukiondoka wote nani atabaki hap" nilimtizma nikamuelewa maan alikuwa anasema ukweli "sawa nenda hukoo anaitwa mwanasheria Kabil" nikaagana nae nikaondoka

Ika sasa akilini mwangu mhh nilikuwa nawaza upuuzi mtupu tu maan nilikuwa nasema kaka yangu akishatoka kam hatuna hela tunakimbiaa kwan atatupata wapi anatujuaa, yaani mimi sijui navuta bangi ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† maan nataka kumzulumu hadi mwanasheria dooh ๐Ÿ™Œ ila kam kweli sina nitafanyaje ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Itaendelea.......๐Ÿ”ฅ
SEHEMU YA 2
Nilifika mpaka nilipoelekezwa pale kwenye address inavyosema ni maeneo ya posta kwenye ghorofa moja hivi la vioo , nilivyofika tu pale nje nikasema moyoni mhh kama huyu mwanasheria kumkodi sio laki saba yaani mara mbili ya mshahara wangu sijui kam maeneo yenyewe anayopatika ndio haya mhh nimeyaona ๐Ÿค” niliwaza tu kichwani mwangu sasa nilikuwa nipo pale nje maan nilikuwa nishaingia ndaniya fensi ila nilikuwa sijazam ndani ya jengo , nikaingiaa ndani mpaka reception, yaani nikawa nashangaa the way palivyo unaweza sema ni kampuni Fulani hivi kumbe sehem wanayopatikana wanasheria , nilimtizama yule mdada aliekuwa pale mapokezi anaonekana ana nyodo hatari , ila nikajikaza kisabuni

"Samahani dada naweza kukutana na Mwanasheria Kabil?" Alinitizama kwa jicho la dharau basi na hivi alikuwa kavaa miwani kam, basi akawa ananitii,ama kashusha miwani nilichukiaa mimi jamani nilitamani kummeza tu maan halinijibu afu linanitizama kwa nyodo nilichukia kweli "mhh una appointment nae" alisema yule mdada " hapana mimi nimeeleekezwa tu kuja hapa sikuambiwa habari za appointment Madam, ila naomba unisaidie nina shida kweli , mama yangu" nilikuwa naongea kwa unyenyekevu kweli kam kweli vile mimi ni mnyenyekevu kiasi hikoo , alinitizama akameza mate afu akanigeukia "Sorry mam nikwambie tu kitu mimi , sio boss hapa na huyo mwanasheria unaemsemea sio rahisi kukutana nae maan leo hana appointment na mtu hivyoo hatokuja officine , hivyoo acha appointment hapa kama ni kesho kutwa ukuje hapa kuonana nae nje ya hapo sina msaada na wewe tumeelewana?" Nilimtizama jicho la huruma kwel maan nguvu za kuongea zilikata hyo kesho ndio siku ya mwisho nisipo enda na mwanasheria mahakamani it means kwamba kaka yangu atahukumiwa na upande mmoja na atafungwa , niliwaza mengi vipi kuhusu wifi yangu "dada tafadhal kuna watu wengi wanahitaji huduma nishakusikiliza kam unaacha appointment sema tu mengine nishakuelezeaa na ninahisi umeelewa si ndio?" Nilimshangaa sana huyu mdada

"Lakini dada yangu mimi kesi yangu inasomwa kesho mahakani sister nisikilize kwenye hili plz ๐Ÿ™ " alinitizma tu " mimi sina msaada na wewe tafadhali unaweza kwenda nakuomba sana okay , mimi sitaki kuotesha kibarua changu nyasi am so sorry madam" alisema akaendeleaa kuchezea computer yake iliyokuwa pale mbele yake , nilimtizama nikasonya bonge la Sony nikaondokaa ila bila matumaini kam ambayo nilikuja nayo kwakweli , nilikuwa hadi nguvu za kutembea zimeniishia kabisa yaani , nilitoka nikaenda kukaa kwenye mabench ya pale reception kwenye wale watu walipojipanga , nikiwa na wawazo kweli hadi machozi yananilenga kwa mbali mwisho yakanisaliti yakaanza kushuka taratibu , alikuja mtu akanipa leso , nilipokeaa tu bila kumtizam machozi nikasema asante, akanipa na maji nikafungua nikanywa bila kumtizama piaa ,nilikuwa mbali kimawazo kwakweli

"Inaonekana unapitia shida sana unaweza kunielezea shida yako?" Ndio nikashtuka nimtizame usoni huyo aliosema hayo maneno , nikakuta ni mwanaume anaonekana ni mtanshati afu anaonekana ni mwanaume sio mvulana kwenye range ukimtizama ni kama miaka 38 au 39 , nikamtizama moyoni mwangu ikaja taswira huyu ananitaka maan mimi ni mzuri ๐Ÿคญ sio poa kabisa usikubali kuhadithiwa nakwambia mwenyew mimi ni mrembo sio kidogo kwahyo nikajuaa kaanza maswali ya kujisogeza karibu na mimi, afu na mimi sipatikani kizembe

"Wee matatizo yangu yanakuhusu nini labda kwa mfano , hebu niache mimi afu nyie wakak mnakuwaga na matatizo gani labda kwa mfano?, haya nikishakwambiaa utanisaidia nini hebu achana na mimi wewe vipi?" Niliongea kwa ukali ili kam ana hisi mimi labda sijui maji mara moja ashindwe kabisa "sawa lakini mpaka unakuja hapa na jinsi unaliaa inaonekana una tatizo na mwenye tatizo yoyote anahitaji kusaidiwa binti" nilimtimza jicho baya kweli " haya sina tatizo kwaher na hii leso yako shika na haya maji yako chukua sina shida navyoo mhh yani jamani wakaka wengine hapana mhh , kwahy unahisi unaweza kunipata sahau hiloo mimi sio wa hivoo" alinitizma hakujibu akatabasamu akainuka akaondoka zake , nilibaki nimezidi kuwa na hsasira mana mazoea ya kijinga na wakaka mimi sitaki kabisa upuuzi mimi , baada ya mud kam dakika 15 hivi namuona yule mdada wa pale mapokezi anakuja upande wangu nikajua sasa nimekuja kufukuzwa hapa nitoke " samahani shika hii kadi panda lift kwenye chumba namba 23 ingiaa , ukaongee na huyo mwanasheria Kabil" nilitabasam nikasema asante , mmh nikaanza kuwaza kumbe alikuwa ananipima imani asante Mungu sijamjibu hovyoo maana mimi sichelewi

Nikafika kwa maelezo yake nikapiga hodi nikaruhusiwa hee jamani si ndio nafika namkuta ni yule niliomchamba pale reception ๐Ÿ˜†๐Ÿ™Œ nimeyatimba naelezaje shida yangu mimi nishajikuta mbabe jamani mimi nimekomaa

Itaendelea....๐Ÿ”ฅ
SEHEMU YA 3
"Karibu ukae nikisikilize shida yako binti nakusikiliza, pia Samahani kwa alivyokujibu yule Leyla mwanzo , nilimtizama tu kwa aibu "njoo ukae hapo kwnye kiti binti " nilibaki namshangaa nikasogea nikavuta kiti nikakaa zangu "sawa binti nakusikiliza , unaitwa nani na shida yako ni ipi tafahdali naomba unielezee " alisema Mwanasheria Kabil, alikuwa anaongea kwa ustaarabu wa hali ya juu kweli nililuwa namtizama tu , maan nilizani ni mwanaume wa hovyoo siwezi kusema ni kijana huyu sio kijana na wala sio mbaba ni mwanaume "sa...sa..samahani kwa vile nilikujibu vibaya naomba unisamehe sana tafadhali mkuu" sasa hivi niliongea kwa utaratibu sana kuliko mwanzo alitabasamu "sawa endeleaa nakusikiliza "

"Sawa mimi naitwa Bilqis , nina shida kubwa kaka yangu yupo polisi na kesi yake ipo mahakani kwa kosa la upotevu wa vitu katika kampuni yao na kaka ndio anahusika na hyo sector ya kutunza hizo mali hivyoo nilikuwa naomba msaada wako mkuu, sitaki kushirikisha wazazi wangu kaka kasema nisiiwambiee na mkewe ni ana mimba kubwa sana mimi naogopa kumpa presha pia hivyoo tumeshatafuta sana wanasheria ila kwasababu hatuna pesa ya kuwapa imekuwa shida kesi ya kaka yangu kusiikilizwa na kama nisipo pata mwanasheria leo maana yake kesi ya kaka yangu itahukumiwa kwa upande mmoja tafadhali mkuu ninakuombaa sana kwenye hili kaka yangu atafungwa kam nisipokuwa na mwanasheria , na yeye ni ana majukumu na familiaa nakuomba sana " nilimaliza kuongea yeye akawa ananitizama tu kwa makini akatabasamu

"Okay kesi inasikilizwa lini?" Nilimtizma kwa bashasha nikiamini kesi yangu tayari ishaisha jamni nilimshukuru Mungu moyoni kabala hata ya kumjibu "kesho mkuu asubuhi saa tano mahakama ya kati" nilijibu kwa utiifu mhh ila behind the seen hamna lolote " sawa tukutane mahakani kesho asubuhi, na kuhusu malipo ni baada ya kesi cha msingu uamnifu na kuwa mkweli" nilifurahi nilitamani kuruka ruka jamani mhh , nikawa nimeinuka bila hata kuaga wala nini nikatoka na baibui langu , nilitoka hata bila namba ya simu utafikiri yeye ataota yaani nililisahau hilo kabisa ila niliondoka kwa furaha sana , nikapanda daladal mpaka pale dukani maan ni kariakoo sio mbali na posta

"Yaani Fatma kama nishawahi kuwa na furaha basi ni leo jamani mhhh ni nina furaha mnoo jamni , maan najiona kama vile nishashinda kesi tayari maan yule mwanasheria kakubali moja kwa moja shga asante kwa hilo" alinitizam kwa macho ya furaha " mh vipi kuhusu malipo yatakuwaje mpenzi?" Nilimtizama "kwani wewe si ndio ulinielekeza lakini auu sio wewe ulienielekeza au kuna mengine , afu yule anaonekana ni anajitegemea sio wa serekali " tukaanza kumteta mimi na Fatma maan kwa kuteta tupo vizuri mnoo " ila mimi nitamzulumu , yaani nikifanikiwa namtapeli kwani ananijua anikomege huko kwanza hata bei hajanitajia, akinitajia chini ya 50 unadhani ntakubali labda nisiwe mimi shga " alinitizama akanza kujichekesha hovyo hovyoo kama kawaida yake huyu mpuuzi " Mhh sasa wewe shgaa yangu , mhh uliona wapi kesi ya 50k mhh labda hyo kesi ni ya baba yako mzazi sio ninayoijuaa mimi jamni hapana usinichekeshe hapa utataka kuniua kabisa , mana nakuona huo utapeli wako unataka ukatapeli hadi mwanasheria ushazoea kuwaatapeli wateja wako wa simu sio huyu pole shga angu wee jipange au kam vipi utamgawia tu hakuna mwanaume anaekataa hiko kidude hata kam angekuwa mwema wa dunia" nilimtizama nilielewa ana manisha nini nikataka kumjibu mteja akaja ikabidi sasa tumuhudumiee huyu mteja kwanza mengine baadaee , tulimaliza kazi na kila mtu aliondoka zake maan hatukai pamoja sisi

Nililala nikiwa na mawazo sana kuhusu hiyoo kesi ya huyoo kaka na jinsi ntakavyomlipa huyoo mwansheriaa akisema ni million 1 je mhh maan hapa Fatma alikuw aashaanza kunitisha nilikuwa nalala ila usingizi sipati kabisa hata akisema laki 2 na nusu sina kabisa yaani mhh mbona mazito na kaka nae siju kama atakuwa nayo ila najipa imani kaka atakuwa nayo maana kaka kazi yake ilikuwa inamlipa sana kuliko yangu hadi alikuwa ashafunguaa duka la vyakula ambalo anakaa mkewe , ila mawazo nilikuwa nayo maan naweza kusema hivyoo kumbe kweli pesa hana kabisa yaani , nilibaki nawaza usiku na usingizi sikuupata kabisa maan nilikuwa nawaza sana mhhh

Itaendelea...... ๐Ÿ”ฅ
SEHEMU YA 4
Kulikucha asubuhi nilijiandaa nikavaa baibui langu jeusi na mtandio wangu mweusi nikaendaa zangu Mahakamani maan niliomba ruhusa kabisa kwa Mama rahel na aliniruhusu nilifika mapema mnoo pale ilikuwa ni saa nne ,nilikaaa nikasubiri sana mpaka muda wa mahakama ukafika lakini mwanasheria Kabil alikuwa hajafika hili nalo liliniwazisha sana jamni

Maan tuliingia mahakani , jaji akatupa dakika 30 za kumsubiri huyo mwanasheria wetu tulikaaa sana maan kaka nae alikuwa ashafika kizimbani jamani alikuwa anatoa huruma kweli , mimi nae mpaka nikawa nahisi jasho ila huyo Mwanasheria hakutokeaa jamani nilijuaa kuwaza mimi , tulikaa sana pale hadi kwenye zile dakika 30 zikabaki dakika tatu hapo pia hakufika , matumaini yangu yote yaliondoka kabisa nikakata matumaini kabisa nikawa nimekaa tu sina tena matumaini nae tena, na muda ulikwisha na "haya kesi imeanza muda wa kumsubiri mwanasheria wa upande wa pili umekwisha" alisema Jaji huku akigonga lile dude lililokaa mfano wa nyundo , nilikosa matumaini yote

Mwanasheria wa upande wa muhukumu wa kaka alianza malalmiko bila hata haya "Muheshimiwa Jaji nashukuru kwa muda wako ulionipatia , malalmiko upande huu wa mteja wangu ni kwamba anashutumiwa kupoteza mali au kuiba mali za mmliki wake hivyoo mteja wangu alikuwa anahitaji haki yake" alisema yule mwanasheria wa boss wake kaka "mtuhumiwa una ushahidi kuhusu hili jambo, kuwa ni ukweli au ni uongo?" Aliuliza Jaji, nilimtizama tu huyoo kaka alikuwa hana cha kujibu nilimuona kabisa kam alikuwa hana cha kujibu kwa sababu kama kujitetea hakuna ambae angemuelewa toka mwanzo hili lilinipa mawazo mengi sana , "sawa malalamiko yaendelee , ila bado muda wa kujibu upo kwa mtuhumiwa" alisema Jaji ,

"Nina pingamizi na madam ya mwanasheria kuhusu mteja wangu" nilisikia sauti inasema naangalia mbele alikuwa ni mwanasheria Kabil "samahani muheshimiwa Jaji kwa kuchelewa kwangu ila asante pia" alisema Mwanasheria Kabil "sawa muda wa kumtetea mteja wako bado unao unaweza ukaendeleaa kuzungumza" alisema muheshimiwa Jaji , basi kesi iliendelea vikali mnoo na ilikuwa kali kweli maan wanasheria wote walikuwa wamebobeaa kesi ilikuwa imesharindima mnoo na imekuwa kali mpaka msikilizaji mwenyewe unafurahi kusikiliza nilipenda kwakweli ila kesi haikufikia Hatma na ikabidi Jaji aseme turud mahakamani baada ya siku tatu kwa maana ushahidi upande wetu haukukamilika na tulikubali tukatoka njee

"Samahani madam kwa kuchelewa kuna mambo yalitokea ulisema unaitwa nan?" Aliniuliza mwanasheria Kabil nilimtizama "naitwa Bilqis" nilimjibu akanitazama kwa makini "sawa unaweza kuchukuaa namba yangu in case kwamba ikitokea dharura kam hii utanitafuta au ntakutafuta maan lazima hyo kesho kutwa tutakuwa na ushahidi wa kutosha kutekeleza hii kesi mahakamani nadhani umenielewa" nilimuelewa na tukabadilishana namba kila mtu akaondoka na namba ya mwenzie , na kuondoka
Nikiwa njiani nashangaa gari linasimama akashusha vioo alikuwa ni mwanasheriaa maan nilikuwa naelekea stand kutafuta boda "Sorry mam unaweza kunambia unaenda wapi?" Nilimtizama "naenda dukani kariako ," nilimwambiaa "okay unaweza kukaa tukaondoka si ndio au kuna shida?" Moyoni nilishukuru nilishusha pumzi kwa nguvu "sawa haina shida" tulipanda gari tukaondoka kuelekeaa dukani" tukiwa ndani ya gari saa ngapi nisione simu yake imevunjika kioo , nikaona yes dili hili hapa na ganji nakula

"Mhh yaani mheshimiwa mwanasheria, mbona simu yako imevunjika kioo mimi nauza simu kali na kwa bei poa kabisa karibu nikungishe na wewe uniungishe , wafanya biashara huwa tunasaidiana" alinitizama tu akainamisha kichwa chini akatabasam huku akiendesha kwa mkono mmoja "mhh ila kuna sehemu huwa nanunua vitu vyangu vyote samahani" nilimtizama kwa muda sana nikaanza kujichekesha hovyo hovyoo kama mwenye kuchanganyikiwa "mhh sasa uliona wapi kila siku sehemu moja kam ngozi badili wewe acha ugaigai mimi nauza vitu quality havina mambo mengi kila kitu ni safi na warranty ya mwaka mzima jaman njoo uniungishe wewe mwanasheriaa mhh haya sawa hyo pesa ya kukulipa sijui ntaitoa wapi mimi sawa " nilisema akabidi acheke tu akaniangalia kwa muda " mhh sawa hakuna shida tutaenda wote dukani kununua hyo simu" hapo moyoni nikasema kashajaa kwenye mfumooo huyuu anajifanya anakaza kaza hovyoo๐Ÿ˜ , "enhee hyoo pesa yako ndio bei gani?" Alinitizama akaniangaliaa tu akatabasamu๐Ÿ˜Š"tutaongeaa baada ya kesi kuisha" nilikaa kimyaa maaan sikuwa na sababu ya kuuliza swali lingine nilituliaa tu mpaka tukafika dukani nikamuuziaa hyoo simu alioichagua alinunua iPhone 13 pro max ila alinunua mbili nilihakikisha nampiga beii balaa yaani cha juu lazima mimi ndio Bilqis mtoti wa kichaga

Itaendelea....... ๐Ÿ”ฅ
SEHEMU YA 5
Baada ya hili siku zilipita za kutosha hasa nilikuwa nishamzoeaa sana huyuu mwansheriaa jamani , maan kesi iliendaa sana kutokana na utata wa ushahidi na mambo mengine ikaendaa kam wiki mbili zingine na ilikuwa ni kama kila baada ya siku moja nakutana na mwanasheria Kabil mahakani nikajikuta nimeshamzoeaa sana huyu mtu kwakweli nilijikuta tu namzoea kuachana na mambo ya kibiashara na kesi akawa ashakuwa kam rafiki yangu yani hizi wiki mbili alikuwa hadi ananiletea wateja dukani afu na mimi si mchangamfuu yani sijapoaa hata robo yaani๐Ÿ˜‰ na hii siku ilikuwa ndio siku yangu ya mwisho kukutana na yeye nilihisi hivyoo maan ndio ilikuwa siku ya mwisho mahakani na kesi tulishinda

"Asante sana Bilqis, nakushukuru maan bila jitihada zako sidhani kam ningetoka mdogo wangu" nilitabasam tu "usijali kaka, kwenye ukweli hakuna kitu kinaharibika kaka yangu hata kama itachukua muda vipi " alinitizama sana kaka yangu kwa jicho la shukurani

"Sawa enhe vipi mke wangu anaendeleaje?" Aliuliza kak " hhhh nilimuongopeaa kwamba umesafiri si unajua ni mam kija tena vurugu isije kuamka tena si unaelewa ? Aanze vilio mwisho azae kabichi" nilijikuta naongea na kaka yangu kam vile shoga yangu maan haijawahi kutokea mimi na yeye kuongea hivi maana huwa ni mkali sana kwangu ni mtu wa amri , alinitizama nikajua tu hapa nishakosea uchangamfu umezidi sasa , nikaaa kimya nikainamisha macho chini "enhe kiongozi vipi kuhusu malipo?" Alisema kaka akimuuliza mwanasheria Kabil , alitabasamu tu

"Tutaongea nenda kwanza kwa mkeo, ni mtu ambae anaonekana hata licha ya kuwa mdogo wako alimuongopeaa ila hana uhakika na jibu la dada yako kamtoe hofu tafadhali " aliongeaa kwa hatua kama nilivyomzoeaa nishamzoeaa, huwa anaongea point tu na sio mambo ya kipuuzi hili linaonesha thamani ya elimu yake sio kama mimi maneno mengi nishazoeaa uwinga wa kariakoo , alimshukuru " ila kam mnaona hakuna tatizo naweza kuwapeleka maan mimi nipo free baada ya hili " Kaka alikataa yani yeye wa kiume apewe lift mimi hapo sichangii nalia moyoni naomba dua zote kaka akubali niepushe pesa yangu ya nauli , maan alikua hana pesa hapo kwahy lazma ningetumia ya kwangu ila mwanasheria alifanikiwa kumshawishi mwisho akakubali nilifurahi ,tukapanda gari kuelekeaa nyumbani kwa kaka, tulifika na wifi alitukaribisha vizuri tu alikuwa kavaa msomali wake , kaka kapanga ila nyumba nzima ya geti , hatukuishiaa hapo maan mwanasheria alitaka kugeuza kak akamuomba aingie ndani aliingiaa

"Haya wewe na wifi yako nendeni jikoni mkandae chochote kitu kwa ajili ya mgeni " nilikasirika mimi hawajui tu nikaanza kurusha rusha miguu tu maan nimetokaa huko nilitaka ninyooke dukani naanza kuambiwa habari za jikoni nilichukia ๐Ÿคจ uwii mimi nilijihisi kufa "wewe husikii au Bilqis" aliongea kaka niliinuka kwa makasiriko kweli nikaenda jikoni kukaa na wifi tukaanza kupika ,

"Yaani kaka mgeni hamjui eti ashaanza kusema tumuandalie mgeni jamani huyu kaka hapana mimi ananikera" nilikuwa najisema peke yangu , wifi ananitizama tu "haya nambie ukweli wifi maan hapa naona dalili zote za kuwa mume wangu hakuwa safarini, na yule mwanasheria ni wa nini" alijua kama ni mwanasheria baada ya kuona sare zake mimi nikaona wasinichanganye zangu kukaa na siri zio shida zangu nikabwaga yote yanayoendeleaa mimi ila nilimuambia kwanini hatukumuambiaa alilalamika ila akaelewa , wakati tunaendeelea kupika simu yangu iliita alikuwa ni mama Rahel , alinipa ujumbe mzitoo hapo wa kufukuzwa kazi maan alinipa siku mbili za kufuatiliaa kesi ya kaka nimemaliza sasa wiki mbili kazini nakuja kwa kusua sua na leoo ndio sijakanyaga kabisa , mhh nilikata simu kwa hasira ila sikutaka kaka wala wifi wajuee maan wataniambiaa niamie hapa na mimi kukaa kwa kaka sitaki ni dictator sana , nilivumiliaa maumivu yangu , tukapika nikatenga muda huoo mwanasheria Kabil bado yupo hapo akili zangu zikantuma labda kaka kamwambia asubuli chakula , tulikula tukamaliza na mwanasheria akaagana vizuri na kaka , na kaka akatoka nae nje kumsindikiza mimi ndio nilivyoelewa pale , akarudi ndani akaniita

"Bilqis njoo hapa au unaenda huko kazini kwako?, maan nina maongezi na wewe hivyo kama unaenda hakikisha ukitoka hapo unakuja huku" nilimtizama maan alikuwa serious sana najua ni kawaida yake ila hii siku ilizidi "ndio leo sina pa kwenda nina ruhusa kazini , hivyoo ntaenda kesho" alinitizama akameza mate " mhh omba ruhusa ya au omba kuacha kazi kabisa maan kesho kuna wageni wako , wanakuja kutoa barua unaolewa" nilitoaa macho mimi "jamani kaka mimi sina mchumba wa kuja kunioaa ujue hebu acha matani kaka nani ahe kunioa mimi " kaka alinitizam tu " huyu mwanasheria alietoka hapa ameomba ruhusa ya kukuoa na nimemkubalia kwa sababu ni lazima uolewe ushakuwa mkubwa sasa na hakuna kitu cha maan unachofanya ambacho unaweza sema kikuzuie kuolewa, husomi wala nini hivyoo jiandaee kwa ndoa ukubali ukatae utaolewa nimemaliza na hii ndio kauli yangu ya mwisho na ninawapigia wazazi wako waje huku, maan kuhusu ndoa hakuna atakae pinga "

Itaendelea........๐Ÿ”ฅ

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*1- - - - - - - - 5* ๐—Ÿ๐—”๐—ช๐—ฌ๐—˜๐—ฅ ๐—ก๐—”๐—จ๐— ๐—œ๐—” ๐— ๐—ช๐—˜๐—ก๐—ญ๐—œ๐—ข ___________________________________ SEHEMU YA 1 "Kwahyo huyo mwanaume unamlilia wa nini sasa wakati ni kweli kashakuacha tayri, na bora

kakuacha ikiwa hujafanya nae chochote hao wanaume ni wapuuzii sana Bilqis, mhh hapa focus na kesi ya kaka yako na sijui itakuaje" alikuwa anaongeaa shoga yangu Fatma kwamba nimpotezee huyo mwanaume ambae kaniacha maan huko tulikuwa na kesi mahakani ya kaka yangu , na ilibidi tumtafute mwanasheria wa kusimamia hili "sasa tutafanyaje fatma na sijui itakuaje kuhusu kaka yangu kwakweli ujue namuonea huruma sana , na sitaki kumpa presha Mama na baba najua watakuja wanifie hapa saa hizi ndio maana kaka akaona anambie mimi jamani" niliongea huku nalia hapo bado nina maumivu ya kuachwa kwa usaliti kwa maaan nimekuja...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/1-5-lawyer-naumia-mwenzio-___________________________________-sehemu-ya-1-kwahyo-huyo-mwanaume-unaml

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi
โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA
โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA
RUNGU LA KIPOFU 22.
RUNGU LA KIPOFU 22.
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡
UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 111 na 112
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 111 na 112
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 118
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 118
*MY WANGUโค๏ธ*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGUโค๏ธ* *sehemu ya 109 na 110*
๐Ÿ”ฅ MAMA MKUBWA NIIZAMISHE YOTE๐Ÿ”ฅ6..10  Sehemu ya sita
๐Ÿ”ฅ MAMA MKUBWA NIIZAMISHE YOTE๐Ÿ”ฅ6..10 Sehemu ya sita
MY WANGUโค๏ธ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGUโค๏ธ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103
BABA KAMA PUNDA.6-10  ( 6----------10 )  Story:>>> "BABA KAMA PUNDA"
BABA KAMA PUNDA.6-10 ( 6----------10 ) Story:>>> "BABA KAMA PUNDA"
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 13.  ๐Ÿ‘‰ Uwiiiiiiiiiiiiiii Uwiiiiiiiiiiiiiii Aaaaaaaaa Assssssssssss Tamuuuuuuuu...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 13. ๐Ÿ‘‰ Uwiiiiiiiiiiiiiii Uwiiiiiiiiiiiiiii Aaaaaaaaa Assssssssssss Tamuuuuuuuu...๐Ÿ‘‡
RUNGU LA KIPOFU 21.
RUNGU LA KIPOFU 21.
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANI๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹  Sehemu ya 14
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANI๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 14
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya..Saba   ๐Ÿ‘‰ Asante hapo hapo nilambe Shem...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya..Saba ๐Ÿ‘‰ Asante hapo hapo nilambe Shem...๐Ÿ‘‡
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 94 na 95
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 94 na 95
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..7   Dar es salaam  SEHEMU YA SABA  ENDELEA    Ashura alipiga kelele za maumivu kutokana na ukubwa wa mboo ya mjomba...
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..7 Dar es salaam SEHEMU YA SABA ENDELEA Ashura alipiga kelele za maumivu kutokana na ukubwa wa mboo ya mjomba...
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU.6..10  ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Kweli nilifumba macho...kwa mala ya kwanza naguswa nalidhia mwenyewe...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU.6..10 ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Kweli nilifumba macho...kwa mala ya kwanza naguswa nalidhia mwenyewe...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya 14.  ๐Ÿ‘‰  Aaaaaaaaa Aaaaaaaaa Uwiiiiiiiiiiiiiii Asante...๐Ÿ‘‡  Tamu tamu.
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya 14. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa Aaaaaaaaa Uwiiiiiiiiiiiiiii Asante...๐Ÿ‘‡ Tamu tamu.
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ KISA KUMPA PENZI BABA MKWE๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Mume wangu hili anisamehe nimpe nyuma๐Ÿ˜ญ  Sehemu ya kumi
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ KISA KUMPA PENZI BABA MKWE๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Mume wangu hili anisamehe nimpe nyuma๐Ÿ˜ญ Sehemu ya kumi
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

900
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

495
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16

436
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

424
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17

313
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12

234
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

211
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

184
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

141
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

98

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.74K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.6K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.45K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.44K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.43K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.38K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! Youโ€™ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibeโ€ฆ Kajol looking all fiery and expressiveโ€ฆ Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! Youโ€™ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibeโ€ฆ Kajol looking all fiery and expressiveโ€ฆ Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energyโ€ฆ and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest