Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 32๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
Gonga94 ยท Stories

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 32๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Niliongozana na hakim hadi katika mlango wa kile chumba alichokuwa amekilipia alifungua akaweka mabag ndani mimi nilibakia nimeganda tu mlangoni๐Ÿ˜๐Ÿ˜ sikutaka kuingia kule katika kile chumba hakim alivyomaliza kuweka mabag alikuja pale mlangoni akanibeba juu๐Ÿซฃ๐Ÿซฃ karibu kipenzi changu nimekuleta huku ili upate kunizoea kwa sababu naona hauko free sana na mimi! Aliniambia hivyo kisha alinipeleka chumbani akanilaza kitandani.......
""Pendo...""
""Abee""
""Kuna namna fulani hivi natamani uwe pale unapokuwa karibu yangu lakini why haiwi kama ninavyotamani mimi?! Nimekuleta huku tukae wawili peke yetu tuongee kirafiki why hauko free juu yangu kwanini hauonyeshi kufurahia pale unapokuwa karibu na mimi??!.... hilo swali niliulizwa na hakimu nilitamani kufunguka nimwambie ukweli lakini niliwaza mara mbilimbili atajisikiaje?! Atalipokeaje?? Wazazi wangu watayapokeaje hayo maamuzi yangu!? Nilimjibu hakim nikamwambia ni vile tu cjakuzoea nikikuzoea tutakuwa marafiki! Alijaribu kunicare kwa kila kitu lakini tatizo ni moyo wangu upo kwa mtu mwingine tuliongea kidogo baada ya hapo tulitoka tukaenda kuenjoy usiku mida ya saa sita tulirudi chumbani nilifika pale chumbani nikaenda kukaa kwenye sofa hakim anifuata pale akaniambia kipenzi changu huwezi kunizoea endapo kama ukiendelea kujiweka mbali nami nakuomba uwe free kwangu et! Lakini hakim cwezi kukuzoea kwa haraka kiasi hiko unatakiwa unipe muda......

Basi naomba tuingie bafuni tukaoge wote baada ya hapo tutalala wote paale kitandani natamani usiku huu wa leo ukawe ni usiku wa kusheherekea mapenzi yetu nina imani ukishanipatia mwili wako hautoniogopa tena utakuwa free kwangu na utanizoea pia! Kheee kwa hiyo unamaanisha et mimi nawewe twende bafuni wawili?! Ndiyo my love sielewi hata unachokiogopa na wakati utaenda kuwa mke wangu hivi karibuni..... lakini bado hatujawa wanandoa hakim ni mahali pekee ndo kitu ulichonilipia lakini ndoa bado haijapita siwezi kukuruhusu wewe kuugusa mwili wangu kabla ya ndoa kupita..... lakini pendo mimi tayari ni mmeo nimeshakulipia mahali yani cjy hata ugumu uko wapi ?! Hakim alianza kunivua nguo kwa nguvu niliwaza nguvu za kupambana naye sina nafanyaje sasa ili nijiokoe mikononi mwa huyu shetani hapa nilijaribu sana kumzuia hakim lakini wapi sikuwa na nguvu za kutosha niliwaza kitumbua changu tena kiliwe na leo si nitakufa ni bora hata mlaji angekuwa ni paschal lakini siyo huyu mbakaji huyu..... hakim alifanikiwa kunichania nguo yangu niliyokuwa nimeivaa kifua chote kilibakia wazi alianza kunitomasa kifuani kwangu niliona hakim yuko serious kufanya kile alichokidhiria niliivuta cm yangu nikagusa kwenye fingerprint ikajitoa lock nilipiga kwa my boo

Vile ndo imeanza kuita hakim aliisikia ile simu akataka kuichukua tukaanza kuing'ang'ania alichokifanya hakimu aliipigiza ile simu sakafuni kila kitu kikasambaa niliogopa sana hakim aligeuka akawa mkali kama chui baada ya kunivunjia simu alinisogelea akanisukumia kitandani nikanyanyuka aliniwasha kibao kimoja kikali nikahisi kupoteza network.... nilianza kulia huku nikiwa namuita boo please help me naomba unisaidie boo wangu nakufa nililia๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ hakim alininyanyua pale kitandani akaubana mdo wangu aliniuliza huyo boo ni nani?? Huyo ndo anayekufanya wewe ushindwe kunipenda mimi?? Hivi unajua kama nimekununua kwa pesa nyingi sana?! Hakim alianza kunipiga alinipiga mno nilivyo mweupe niligeuka nikawa mwekundu alitoa hadi mkanda wake akaanza kunipiga nao nikiwa nachupi tu pomoja na blezia ile nguo ya juu alinichania..... alinipiga hadi akatosheka baada ya hapo alirudia tena kuniuliza boo ni nani?? Nilimwambia boo ni mwanaume wangu unampenda right?? Nilimwambia ndiyo ninampenda.... nilikuwa nishajitoa mhanga tu kama kuniua aniue tu thats why niliamua kumjibu.....baada ya kumwambia kuwa ninampenda paschal na siyo yeye hakim alifungua bag yake akatoa bastola alinisogelea akaniambia nakuua pendo nilimwambia its okay hakim go ahead๐Ÿฅน๐Ÿฅน baada ya kumjibu hivyo alinyanyua ile bastola akataka kunipiga nayo kichwani lakini nilikinga mikono niliona yule mbwa yuko serious anaweza akaniua et ilibidi nimpigie magot nilimuomba anisamehe asije akaniua hakimu alinibeba juu juu akanitupia kitandani kama mzigo zile kelele nilizokuwa nazipiga kule chumbani ziliwaamsha waliokuwa kwenye vyumba vya jirani na chumba chetu! Walikwenda wakawaita walinzi ili waje kuangalia kinachoendelea kule chumbani ni kitu gani.....

Walinzi walikuja wakagonga mlango hakim alienda kufungua akawauliza mna shida gani?? Walimuomba awapishe ili waweze kuingia kuja kuangalia kama kule chumbani kuna usalama au laaa!?? Nilinyanyuka pale kitandani nikajifunika blanket nilijisogeza pale ili angalau wale walinzi waweze kunipa usaidizi wa mimi kuondoka kule chumbani hakim baada ya kuniona alinyanyua siraha yake juu aliniambia ukisogeza miguu yako hapo nakuua...... huyu ni demu wangu mimi nimemnunua hamuwezi kunipangia namna ya kumtumia..... baada ya hakim kujibu vile kila mtu pale aliondoka huku akiwa anajiuliza kumbe ni malaya?! Mabinti wa siku hizi bwana yani unakuta kibinti ni kidogo badala kisome au kitafute biashara halali kifanye vinakimbilia kwenye kujiuza matokeo yake ndo hayo sasa kupigwa na kudharilishwa ...... wale walinzi hata wao waliondoka lakini walimuomba hakim asifanye fujo tena kwa sababu anawasumbua wateja wao....... malizana naye huyo malaya buana kama vipi tutelekezee sisi huku nje tupunguze ukame kiongozi utakuwa umetusaidia sana mademu yanaringa hayo yanajiuza bei ghari ukiomba mkopo yanakunyima yani ulilipe ulilete hotel ya gharama kama hii alf et likuzingue aweee hata mimi nafumua twenzetu mwanangu muache jamaa kwanza amnyooshe huyo malaya wake kula ovyo vya watu.... waliongea walinzi wawili waliokuwa wamebakia pale mlangoni baada ya hapo waliondoka bila kunipatia msaada wowote!

Hakim alifunga mlango akarudi pale nilipokuwa aliniuliza hivi unajua kama tayari wazazi wako wameshakuuza kwangu?! Unatakiwa kufanya kila kitu ninachokitaka kwa sababu pesa ninazowadai wala hamtokaa muweze kuzilipa..... nilijiuliza kichwani huyu anaongea kuhusu nini?! Hakim kuna barua alizitoa akanionyesha zilikuwa ni barua za mkopo wa pesa nyingi sana ambazo wazazi wangu walizikopa kutoka kwenye campuni ya kina hakim ambayo inajishughurisha na maswala ya mikopo baada ya wazazi wangu kushindwa kulipa lile deni kwa muda mrefu ndo wakaamua kuniweka mimi rehani hakim aliniambia yeye na familia yake walikuja tanzania kwa ajiri ya kuja kuiuza nyumba yetu na mali zetu zingine ili kuweza kufidia hilo deni lakini baba yangu alivyomuona hakim aliwaomba wasifilisi vitu vyetu yeye ataniuza mimi kwao nikawe hata mke wa hakim baada ya wao kuombwa hivyo ndo wakaamua kufika nyumbani kwetu kuja kuniona kama kweli nafaa au laa?! Walivyoniona walinikubali nahapo ndipo walipoianzisha mipango ya harusi yangu na hakim...... nilisikitika sana niliumia sana nililia mno hakim aliniambia wewe ni wangu nina haki ya kukufanyia chochote kile nilishakununua pendo na hautakiwi kuendelea kuniletea ujuaji wako hapa!..... hakim alilock ule mlango wa chumbani akatunza funguo kwenye mfuko wa suruali yake aliniamuru niende nikaoge na nijiandae kwa ajiri ya kumfurahisha..... nilichukua towel nikavaa baada ya hapo nilijongea kuelekea bafuni mwili wote ulikuwa unaniuma fikilia yale maumivu ya kutolewa bikira jana jumlisha na kipigo cha hakim bila kusahau kudharilishwa alikonidharilisha hakim kwa kuniita malaya mbele ya wale walinzi pamoja na wageni waliokuwepo kwenye vyumba vya jirani na kile cha kwetu! Niliumia mno nilitamani kujiua usiku ule nilitamani kunywa sabuni ya maji iliyokuwemo kule chooni ili nife ๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿฅน

Niliwaza kumbe ndo maana nilipomwambia daddy ya kwamba mimi simpendi hakim aliwaka kama moto nililia huku moyoni nikiwa naapia ya kwamba sitokaa nikawasamehe wazazi wangu kwa hiki walichonifanyia...... nawachukia sana najuta kuzaliwa na nyie๐Ÿฅน๐Ÿฅน huenda hata dada yangu prisca mlimuuza huko oman nyie ni wazazi wa aina gani mnaowageuza watoto kuwa vitega uchumi๐Ÿฅน๐Ÿฅน nilitamani nimpate boo paschal nimwelezee kile kinachoendelea kwa upande wangu ili aweze kunisaidia lakini je nampataje ndo hivyo tayari niko kwenye mikono ya hakim na tayari kaishanivunjia simu na laini zangu.....nikiwa bado naendelea kujihoji maswali hakim alinigongea mlango wa chooni aliniuliza unaoga masaa mangapi pendo?! Nilimuomba samahani nilipasha maji haraka nikaukanda mwili wangu sikuweza hata kuoga kwa sababu ya yale maumivu makali..... nilimaliza kujikanda nikajifuta futa vizuri nikatoka kule chooni nilirudi chumbani nikamkuta hakim kavua nguo zake kabakia na boxa tu๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿฅน

Itaendeleaaaaaaaa

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 32๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜


Niliongozana na hakim hadi katika mlango wa kile chumba alichokuwa amekilipia alifungua akaweka mabag ndani mimi nilibakia nimeganda tu mlangoni๐Ÿ˜๐Ÿ˜ sikutaka kuingia kule katika kile chumba hakim alivyomaliza kuweka mabag alikuja pale mlangoni akanibeba juu๐Ÿซฃ๐Ÿซฃ karibu kipenzi changu nimekuleta huku ili upate kunizoea kwa sababu naona hauko free sana na mimi! Aliniambia hivyo kisha alinipeleka chumbani akanilaza kitandani.......
""Pendo...""
""Abee""
""Kuna namna fulani hivi natamani uwe pale unapokuwa karibu yangu lakini why haiwi kama ninavyotamani mimi?! Nimekuleta huku tukae wawili peke yetu tuongee kirafiki why hauko free juu yangu kwanini hauonyeshi kufurahia pale unapokuwa karibu na mimi??!.... hilo swali niliulizwa na...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaaah-imetosha-boss-no-32

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaaaah-imetosha-boss-no
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  NO 30๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 30๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  NO 31๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 31๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 29๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 29๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 27....28๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 27....28๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  NO 26๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 26๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35

923
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

206
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

194
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

187
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

170
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

129
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1

118
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

106
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.77K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.65K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.59K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. ๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest