Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
24 Oct 2025
669 views
VYOTE NDANI GONGA94
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 8 "Unafanana sauti na dad yako, sema yey anaongea sana, inaonekana kwenu ndio mlivyo maan hata Catherine ulikuwa mkorofi siku ya kwanza
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
tu kukuona alifanya nitake kutafuta sababu ya kukufukuza kazi si unakumbuka ulivyonijibu shit?" Nilimtizama tu maan sijui chochote ilibidi tu nimwambie nimesahau " Mhh muone kwanza ulivyo mzuri, yaani mi nakuita uje attendance ya mambo ya kazini maan wew ndio pekee unaeshughulikia mambo mengi mimi nikiwa sipo na tulikuwa hatujawahi kuonana wewe ukanijibu dharau kweli, nilikasirika mpaka nikawa namtafuta aliekuajiri, afu nakuuliza kazi ulioambiwa uandae toka nipo safarini ina wiki sasa upo nayo nakuomba unaniambiaa utanipa utakaposijisika, ndio nikakwambia ikifika kesho nakufukuza kazi kam utakuja hujanipa hyo kazi, hujakumbuka tu mamy?" Hee nilishtuka maan najua ningesema nihadithie ningeongopa kabisa maana mimi nilikuwa sijui kam dada anaweza kujibu hivi kumbe ndio maaan aliniomba nije hapa kazini kwake badala yake maana alijua tu kivyovyote atapoteza kazi maan kujishusha ndio kitu hawezi, " Aah nilisahau ujue, zamani mimi sikumbukagi kila jambo sikumbuki kabisa" nishasahau mimi hhh yani hili bichwa langu bovu kweli yaani" alinitizama akanikiss kwenye paji " lala sasa malikia wangu" nilibaki namtizama tu huyu mkaka, nililala ila sikulala karibu yake nililala pembeni ila hiki kwa ukorofi wake alihakikisha mpaka amekuja kunipalamia kwa nyuma nilijaribu kumtoa kwa kumsukuma maan nilikuwa sitaki kwanza hata simpendi mimi akuu mwenzangu namuona jitu tu la ajabu ajabu silielewi hata kidogo yaani aliniomba na akasema kwamba anahitaji hiloo sikutaka kumkataliaa nilikubali alale hivyoo kam anahisi itamsaidiaa, huku moyoni naomba dua huyo dada anitii tu hyo kesho asije maana atafanya niuponze miee akuu sitaki kumuharibiaa kibarua chake huku maisha yangu yashaharibika
Hatimae nilipitiwa na usingizi kabisa kati kati ya mikono ya boss
Itaendelea
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Unatoka Golini timu yako ikiwa inaongoza bao 3-2 tena dhidi ya Real Madrid
unaenda Kusaidia mashambulizi kwenye Mpira wa Kutengwa ...Siyo kwamba Mpo nyuma la hasha bali nyie ndiyo mnaongoza πππ ...
Mwandishi aliuliza je neno mshangazi maana yake nini, Kajala akajibu mshangazi ni mwanamke mwenye umbo kuuubwa, Wolper akisema mshangazi ni mwanamke mwenye umri
mkubwa kama sisi hapa yani kama mimi, Kajala, Auntyezekiel na Irene Uwoya Irene Uwoya akasema hapana sisi sio mishangaz...
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 8 "Unafanana sauti na dad yako, sema yey anaongea sana, inaonekana kwenu ndio mlivyo maan hata Catherine ulikuwa mkorofi siku ya kwanza
tu kukuona alifanya nitake kutafuta sababu ya kukufukuza kazi si unakumbuka ulivyonijibu shit?" Nilimtizama tu maan sijui chochote ilibidi tu nimwambie nimesahau " Mhh muone kwanza ulivyo mzuri, yaani mi nakuita uje attendance ya mambo ya kazini maan wew ndio pekee unaeshughulikia mambo mengi mimi nikiwa sipo na tulikuwa hatujawahi kuonana wewe ukanijibu dharau kweli, nilikasirika mpaka nikawa namtafuta aliekuajiri, afu nakuuliza kazi ulioambiwa uandae toka nipo safarini ina wiki sasa upo nayo nakuomba unaniambiaa utanipa utakaposijisika, ndio nikakwambia ikifika kesho nakufukuza kazi kam utakuja hujanipa hyo kazi, hujakumbuka tu mamy?" Hee nilishtuka maan najua ningesema nihadithie ningeongopa kabisa...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/boss-chomoa-mimi-sio-jamani-chapter-8-unafanana-sauti-na-dad-yako-sema-yey-anaongea-sana-inaonekana-