Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*FROM ONE NIGHT TO TRUE LOVE*🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟✨✨✨✨✨✨         *1-5*  SEHEMU YA  1  Club kubwa ya kifahari jijini Dar es Salaam ilikuwa imefurika watu usiku ule. Muziki wa taratibu wa jaz
Gonga94 · Stories

*FROM ONE NIGHT TO TRUE LOVE*🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟✨✨✨✨✨✨ *1-5* SEHEMU YA 1 Club kubwa ya kifahari jijini Dar es Salaam ilikuwa imefurika watu usiku ule. Muziki wa taratibu wa jaz

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
uliunguruma taratibu ukichanganyika na sauti za watu waliokuwa wakicheka na kuzungumza huku taa za rangi zikimetameta.
Amina alikaa pembeni ya meza, akihisi moyo wake unadunda kwa wasiwasi. Siku hiyo hakuwa ametaka hata kutoka nje… lakini dada yake wa kambo, Lulu, alimshawishi kwa nguvu.
“Njoo tucheze, angalau uchangamke kidogo,” Lulu alimwambia kwa tabasamu la kinafiki.
Lakini Amina hakujua Lulu alikuwa na mpango wake mchafu…
Baada ya muda, glasi ya kinywaji mbele yake ilianza kumzungusha kichwa. Alijaribu kusimama, lakini alihisi Dunia ikizunguka.
“Lulu… kwa nini nahisi hivi?” aliuliza kwa sauti dhaifu.
“Shhh… utakuwa poa tu baada ya muda, Amina. Ngoja nikusaidie,” Lulu alijibu huku akimshika mkono kwa tabasamu lake la kebehi.
Walimtoa nje ya club na kumpeleka hotelini iliyo karibu. Ndipo Lulu akamwachia Amina chumba ambacho tayari mtu fulani alikuwa akisubiri.
Ndani ya chumba, mwanaume mmoja mwenye sura nzuri na macho yenye mvuto alisimama akivaa suti nyeusi. Hakuwa amepanga kukutana na msichana yeyote usiku ule, lakini kwa bahati mbaya, mkanganyiko ulitokea.
Amina, akiwa hana nguvu na akili yake ikichangamka kupita kiasi, alimwona mwanaume huyo na kudhani…
“Ni kijana wa club… nimeletewa.”
Macho yao yalipokutana, kitu cha ajabu kilitokea. Hakukuwa na maneno mengi… mwili ukafuata hisia, na usiku ule wa mvua, Amina akajikuta akifanya kosa ambalo hakutegemea.
Alipoamka asubuhi, machozi yalijaa usoni mwake. Hakutaka hata kuangalia nyuma. Aliandika karatasi ndogo, akaweka dola mia moja ($100) mezani na kutoka mbio.
“Labda pesa hii inatosha kunisahaulisha…” alijisemea kwa uchungu, akijua maisha yake hayatarudi kuwa kama zamani.
Lakini hakujua—mwanaume yule, Damian Williams, alibaki akimtazama kitandani huku hasira ikimkaba.
“Dola mia moja? Wewe msichana… unanilipa mimi pesa??!!. Na ntahakikisha hutasahau jina langu.”

Sehemu ya 02

Jua la asubuhi liliangaza anga la Dar es Salaam, likiwasha moto juu ya majengo ya kifahari na mitaa yenye hekaheka kama zote. Ndani ya uwanja wa ndege, Amina alishuka akiwa ameshikilia mkono wa mtoto wake mdogo, Adam.
Adam alikuwa na miaka 7 tu, lakini akili yake ilionekana kuzidi umri wake. Alikuwa na tabasamu nzuri, macho yenye kung’aa, na maswali yasioisha kila mara alipokuwa akizungumza.
“Mama,” Adam alisema kwa sauti ya udadisi, “uliahidi tutakapofika Tanzania utaniruhusu nimtafute baba mpya.”
Amina alicheka, ingawa moyoni alihisi maumivu. “Huna haja ya kumtafuta baba, Adam. Wewe ni wa kipekee. Nikiwa na wewe tu mimi nina furaha ya kutosha.”

Lakini Adam alitikisa kichwa kwa msisitizo. “Lakini mama, kila mtoto anapaswa kuwa na baba. Na sitaki baba yeyote—nataka mtu spesho sana!”
Amina alibaki kimya. Siri ya usiku ule ilimkaa kifuani kama mzigo. Adam hakuwahi kumjua baba yake, na Amina aliapa kuwa siri hiyo haitajulikana.
Siku chache baadaye, Amina alitafuta kazi jijini. Kupitia rafiki mmoja, alipewa nafasi ya interview katika kampuni kubwa ya kifahari—Noblefull Group, kampuni ya kifamilia yenye nguvu kubwa katika biashara, na hata siasa.
Adam alipogundua jina la kampuni, macho yake waka kwa furaha. “Mama, hii ni kampuni nzuri sana! Lazima ufanye kazi hapo. Kuna kitu ndani yangu kinaniambia huko ndipo tumpata baba mpya!”
Amina alicheka, akidhani ni utundu tu wa mtoto wake. Hakujua mtoto wake alikuwa karibu kumfanya akutane na hatima yake.

Siku ya interview ilipofika, Amina alivaa suti yake simple lakini nadhifu. Aliingia katika jengo refu, lenye vioo vya kisasa vilivyong’aa. Mapigo ya moyo wake yaliongezeka kadri lifti ilivyopanda juu kuelekea ofisi ya juu zaidi.
Mlinzi alimwongoza hadi ofisi kubwa yenye nembo ya dhahabu ya Noblefull Group. Ndipo aliposikia sauti ya mwanaume akisema kwa ukali:
“Waingize waliochaguliwa kwenye interview ya leo.”
Moyo wa Amina ulikua ukipiga kwa hofu. Alipofungua mlango na kuingia, macho yake yaligongana na mtu aliyekaa nyuma ya meza kubwa ya mbao ya kifahari.
Mwanaume yule alikuwa amevaa suti nyeusi iliyompendeza sana. Macho yake yalikuwa makali, sauti yake nzito na yenye nguvu.
Amina alibaki ameduwaa, damu ikiganda mwilini. Hakutaka kuamini kile alichokiona.
Ndipo mwanaume huyo alitabasamu kidogo, tabasamu la baridi lililojawa na kejeli, na kusema:
“Karibu sana… Bi. Amina. Miaka minane, sivyo?. Je, unadhani dola mia bado inatosha kufuta kumbukumbu zangu?”
Amina alitetemeka… macho yake yalimtazama kwa hofu na mshangao. Huyo hakuwa mwingine bali ni Damian Williams—mwanaume wa usiku ule.

Chapter 3

Ofisi kubwa ya Damian ilikuwa tulivu, lakini hewa ilionekana nzito. Amina alisimama katikati, akijaribu kuzuia mikono yake isitetemeke. Moyoni mwake, aliomba Damian asimkumbuke—lakini maneno yake tayari yalikuwa yanajieleza.
“Kwa hiyo…” Damian alianza kwa sauti ya taratibu, akikunja vidole vyake juu ya meza, macho yake yakiwa makali, “baada ya kuniaibisha kwa dola mia moja… una ujasiri wa kuja kuniomba kazi?”
Amina alifungua mdomo lakini maneno yakakataa kutoka.
“Si… sikujua… wewe ndiye—”
“Ndiyo mimi.” Damian alikata kauli kwa sauti nzito. “Na safari hii hutatoroka.”
Kabla hali haijawa mbaya zaidi, mlango wa ofisi ulifunguliwa ghafla. Adam aliingia akicheka, akiwa amebeba tablet ndogo mkononi.
“Mama! Hii ofisi ni kubwaaa kuliko zote nilizowahi kuona!” alisema kwa furaha, macho yake yakimwangalia Damian bila woga.
Damian alimtazama mtoto huyo mdogo, akihisi kitu cha ajabu moyoni. Macho ya Adam yalikuwa yalikua yanamkumbusha kitu. Alijikuta akimwangalia kwa makini zaidi.
“Na huyu ni nani?” aliuliza, sauti yake ikiwa na ukali lakini pia hamu yakutaka kumjua.
Amina akashusha pumzi kwa hofu. “Samahani sana huyu… ni mwanangu. Jina lake ni Adam, ameingia bahati mbaya.”
Adam alijisogeza mbele kwa ujasiri na kumwangalia Damian moja kwa moja machoni.
“Habari za asubuhi, Sir. Mimi ni Adam, mtoto wa mama yangu Amina. Nataka kukuuliza kitu.”
Damian alitabasamu kwa kejeli. “Na kitu hicho ni nini, kijana?”
Adam akainua uso wake kwa fahari.
“Unaweza kuwa baba yangu mpya?”
Ofisi ikatulia kimya ghafla. Amina alihisi dunia ikimzunguka. Damian, kwa mara ya kwanza, alishindwa kujibu mara moja. Macho yake yalibaki yakimwangalia mtoto huyo, na ndani ya moyo wake… kitu kilianza kuyeyuka.
Lakini badala ya kuonyesha udhaifu wake, Damian alicheka kwa sauti ya kebehi.
“Baba yako mpya? Hiyo itategemea…”
Amina alisikia aibu kubwa, alibaki akimtizama tu kijana wake. Adam, bila kujua historia yote, alitabasamu tu.
“Usijali. Mama yangu ana moyo mkubwa sana. Na mimi pia nitaona kama unafaa.”
Damian alishikilia kiti chake, moyo wake ukipiga kwa mchanganyiko wa hisia—hasira, mshangao, na kitu kingine kisichotajika: hisia za kitofauti.

Sehemu ya 04

Baada ya mazungumzo ya muda mrefu na Adam, Damian alimwangalia Adam kisha akampigia simu secretary wake.
“Chukua kijana huyu mpeleke kwenye chumba cha michezo, ajiburudishe.”
Adam alitabasamu na kumwangalia mama yake. “Usijali, mama. Nitakagua kama huyu boss ni baba mzuri kweli,” akasema huku akitoka kwa utundu.
Mara tu mlango ulipofungwa, Damian aligeuza macho yake makali kwa Amina. Ofisi nzima ilijaa ukimya mzito, na pumzi ya Amina ikawa nzito zaidi.
“Kwa hiyo, Bi. Amina,” Damian alianza kwa sauti ya taratibu lakini yenye mamlaka, “umerejea Tanzania baada ya miaka minane. Na sasa unataka kazi katika kampuni yangu?”
Amina akajikaza, akiinua macho yake. “Ndio, Bwana Damian. Niko tayari kufanya kazi kwa bidii. Hii nafasi itanisaidia kulea mwanangu.”
Damian akasogea mbele, mikono yake ikiwa imejishika kiuno, macho yake yakimchoma.
“Unadhani ni rahisi hivyo? Wewe ni mwanamke yule yule aliyenidharau. Mwanamke uliyeniweka alama ya aibu moyoni kwa dola mia moja.”
Amina akatikisa kichwa kwa uchungu. “Haikuwa kama unavyofikiria… haikua dhamira yangu kuwa pale, na nilipata aibu kubwa sana kwa kosa lile. Tafadhali, sihitaji mambo ya zamani kuharibu maisha yangu ya sasa.”
Damian akainama karibu, sauti yake ikawa nzito kana kwamba ilikuwa siri hatari.
“Basi sikiliza sharti langu… Ikiwa unataka kazi hapa, lazima ukubali kuwa Secretary wangu binafsi. Utakuwa karibu nami kila saa, kila dakika.”
Amina alishtuka, moyo wake ukipiga kwa nguvu.
“Lakini… kuna watu wengi wenye sifa zaidi. Kwa nini mimi?”
Damian alitabasamu kwa baridi, macho yake yakimwangalia moja kwa moja.
“Kwa sababu nataka kukuona ukiteseka. Nataka kila siku uangalie macho yangu na ukumbuke kosa la usiku ule. Hii siyo kazi tu—ni adhabu yako.”
Amina alijua isingekua rahisi, lakini hakuwa na chaguo. Mtoto wake Adam alimhitaji, na kazi hii ilikuwa tumaini lao pekee.
Kwa sauti ya chini, akasema:
“Ndio… nakubali, lakini nina ombi moja………naomba niwe nakuja na kijana wangu mpaka pale nitakapo mtafutia shule nzuri.”
Damian akatabasamu kwa ushindi.
“Haina shida. Lakini kumbuka… sasa wewe ni mali yangu, Amina. Safari hii hutatoroka tena.”
Amina aliondoka ofisini akiwa na moyo mzito, hajui kama amejifunga kitanzi cha maisha yake mwenyewe.

Sehemu ya 05

Siku ya kwanza ya Amina kuanza kazi rasmi kama secretary binafsi wa Damian ilikuwa yenye msukumo wa hisia. Aliamka mapema, akamwandalia Adam kifungua kinywa, kisha wakapanda gari kuelekea Noblefull Group.
Adam, kwa utundu wake wa kawaida, alikuwa na furaha isiyoelezeka.
“Mama, najua siku moja boss wako atanipenda sana. Nina hisi hivyo.”
Amina akatikisa kichwa, akijaribu kuficha wasiwasi wake. “Laiti ungejua anavyonichukia, Adam…”

Katika ofisi ya juu, Damian alikuwa amekaa akipitia documents. Aliposikia mlango ukigongwa, alijiandaa kumkaripia mtu—lakini badala yake, uso mdogo wenye tabasamu ulijitokeza.
“Good morning, Sir!” Adam aliingia bila hofu, akiwa amebeba mchoro mdogo aliouchorwa usiku wa jana.
“Nimekuletea zawadi.”
Damian akashangaa. “Zawadi?”
Adam akapeleka karatasi mbele ya mezani. Ilikuwa ni mchoro wa jengo refu lenye nembo ya Noblefull Group, na juu yake kulikuwa na familia ndogo: mtoto, mama na baba.
“Hii ni wewe, mimi na mama,” Adam alisema kwa fahari.
Kwa mara ya kwanza, moyo wa Damian ulitetemeka. Hakutaka kuonyesha, akajikaza na kurudi kwenye sura yake ya ukali.
“Kwa nini unachora mimi kama baba yako?” aliuliza, sauti yake ikijaribu kuwa kali kidogo yenye udadisi.
Adam akavuta pumzi na kusema kwa ujasiri:
“Kwa sababu najua wewe ndiye baba bora zaidi kwa mama yangu. Hata kama yeye hataki kusema, mimi nahisi.”

Wakati huo Amina aliingia, akabaki ameduwaa kuona Adam akiongea kwa uhuru mbele ya Damian.
“Adam! Nilikwambia usiingie ofisi ya boss bila ruhusa!” aliwahi kusema, akimshika mkono.
Lakini Damian akamuinua mkono kidogo kuzuia.
“Acha. Nataka kujua zaidi kuhusu huyu kijana.”
Macho yao yalipokutana, Damian alitabasamu kwa siri—tabasamu ambalo lilimchanganya Amina.
Kwa nini anaonyesha upande huu wa upole mbele ya Adam? alijiuliza kwa hofu.
Na moyoni mwa Damian, sauti ya ndani ikamwambia:
“Mtoto huyu… si wa kawaida. Kuna kitu ndani yake kinanieleza ukweli ambao sijataka kuamini.”

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*FROM ONE NIGHT TO TRUE LOVE*🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟✨✨✨✨✨✨ *1-5* SEHEMU YA 1 Club kubwa ya kifahari jijini Dar es Salaam ilikuwa imefurika watu usiku ule. Muziki wa taratibu wa jaz

uliunguruma taratibu ukichanganyika na sauti za watu waliokuwa wakicheka na kuzungumza huku taa za rangi zikimetameta.
Amina alikaa pembeni ya meza, akihisi moyo wake unadunda kwa wasiwasi. Siku hiyo hakuwa ametaka hata kutoka nje… lakini dada yake wa kambo, Lulu, alimshawishi kwa nguvu.
“Njoo tucheze, angalau uchangamke kidogo,” Lulu alimwambia kwa tabasamu la kinafiki.
Lakini Amina hakujua Lulu alikuwa na mpango wake mchafu…
Baada ya muda, glasi ya kinywaji mbele yake ilianza kumzungusha kichwa. Alijaribu kusimama, lakini alihisi Dunia ikizunguka.
“Lulu… kwa nini nahisi hivi?” aliuliza kwa sauti dhaifu.
“Shhh… utakuwa poa tu baada ya muda, Amina. Ngoja nikusaidie,” Lulu alijibu huku akimshika mkono kwa...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/from-one-night-to-true-love-1-5-sehemu-ya-1-club-kubwa-ya-kifahari-jijini-dar-es-salaam-ilikuwa-imef

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi from-one-night-to-true-love
FROM ONE NIGHT TO TRUE LOVE*🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟✨✨✨✨✨✨ SEHEMU YA 4_5  Baada ya mazungumzo ya muda mrefu na Adam, Damian alimwangalia Adam
FROM ONE NIGHT TO TRUE LOVE*🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟✨✨✨✨✨✨ SEHEMU YA 4_5 Baada ya mazungumzo ya muda mrefu na Adam, Damian alimwangalia Adam
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

897
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

479
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

433
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

412
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

298
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

209
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

200
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

84

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.6K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest