Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*IN LOVE WITH ZURI* *SEHEMU YA 15*
Gonga94 · Stories

*IN LOVE WITH ZURI* *SEHEMU YA 15*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


SONGA NAYO.......

Ilinibidi niwe tu mpole, ila ushauri wa Ethan niliuona haufai kabisa kwa upande wangu, imagine nimempa zawadi jana tu harafu hizo siku za huko nyuma sijawahi kumfanyie hivi

Harafu eti jana tu kumpa zawadi leo nimepeleke hotelini, hata kama bwana ila kwa hili naona kama najivunjia heshima kabisa

"Me naongea na wewe harafu wewe unawwaza yako huko, walah me saivi sikwambii chochote.."

Nikiwa najiwazia zangu Ethan alizungumza ndio nikakurupuka sasa

'Sio hivyo bana, ila me naona kama namkosea yule binti.."

"Ila Frank kwa stail hii sizani kama utaoa wewe, yani mtu umekaa kioga oga bwana unanikera ujue.."

"Aya bana.."

Nilisema huku nikinyanyuka zangu kuondoka, lakini mara simu yangu iliita kuangalia ni wale wapambaji wangu niliowaagiza wanipamble.

Nikaitoa simu ili kupokea laki Ethan aliwahi na kuikwapua kisha akapokea yeye

Eh mnasikia nyie, acheni na kuoamba kule Beach, tafuteni hotel nzuri ambayo inavutia sana kisha mchukue chumba na kupamba humo, nataka mpambe na kupambika

Baada ya kila kitu mtume location, mnasikia.."

"Sawa boss.."

Simu ikakatwa, nikabaki namtazama huyu kijana natamani nimrukie nimpige ila kwa kuwa najua huyu fridge lake haligandishi nikaamua kuwa mpole tu

'Sasa sikia huku tumemalizana na hawa, cha kufanya wewe nenda saloon ukanyoe hizo ndevu ndevu hapo utengeneze vizuri, me naenda kutoka na Zuri saivi nampeleka saloon so harakisha muda ndio huu unatakiwa kufika kule

saa moja.."

Alisema Ethan huku akanirudishia simu yangu na bila kupoteza akatoka nje, akiniacha mie nimeganda kama barafu vile, nisijue nini cha kufanya kwa muda huo.

Baada ya Ethan kuondoka nilianza kumfatilia nyuma nyuma ili nijue ataongea nini na Zuri, maana huyu dogo me namjua vizuri kabisa

"Zuri mambo..??"

Ethan baada ya kufika seblen na kumkuta Zuri akiwa amekaa zake anaangalia movie yake pendwa, akamsalimia pale

"Poa tu za wewe..??"

'Me niko poa, ila zuri samahani kwa kilichotokea jana.."

"Mmh me mbina nishasahau bwana.."

"Kama ni hivyo sawa, but Zuri.."

Ethan alitaka kuongea ila akaniona mimi

nimejibanza kwenye nguzo iliyokuwa mle ndani nikiwa nawasikiliza, akacheka kwanza kisha akaendelea kuongea

"Zuri, unajua wewe ni mrembo sana ilal unachokosa wewe ni matunzo tu, maana wewe ungekuwa unatokea kwenye familia kama hii walah ungekuwa bonge la miss.."

Etha aliongea, me nilikuwa nasikiliza tu naishia kuguna chini chini maana hata sijui huyu ethani anampango gani

"Mh kweli..??"

Zuri aliuliza huku akiacha kuangalia kabisa TV na kumgeukia Ethan ili amsikilize vizuri, mnajua wanawake ni waajabu sana tena sana acha kwanza nicheka

Yani mwanamke ukimsifia kuwa yeye ni mzuri akili yake huwa inavurugika kabisa sasa hii frasa ndio Ethan aliitumia kumshawishi zuri

"Kwani we hulijui hilo??"

"Ethan acha basi hivyo, mbona sijaawahi kusikia mtu akiniambia kuwa me ni mzuri ndio nasikia kwako hapa na tena ni leo inamaana siku zote

hukuniona au..??"

'Sasa Zuri me huo muda wa kukwambia ulikuwa

unaniona nao wapi, jana napo nilikuwa nataka kuzungumza na wewe ukanifukuza.."

"Mh

"Sio muda wa kuguna huu twende nikupeleke salon walau ukasuke maana hizo nywele zako hazina mpangilio mzuri.."

"Lakin.."

"Nafahamu kuhusu hilo, usijali nishongea na mama nae hana tatizo.."

"Sawa basi acha nikajiandae kidogo.."

"Ouk wahi usichelewe sasa.."

Zuri aliondoka kwa kukimbia na kusahau hata kuangalia ile movie yake, upande wangu na mie

nikajiongeza nikaenda haraka haraka kuvaa nguo kisha nikatoka na kuongozana pamoja na Ethan lakini pia na Zuri..

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*IN LOVE WITH ZURI* *SEHEMU YA 15*



SONGA NAYO.......

Ilinibidi niwe tu mpole, ila ushauri wa Ethan niliuona haufai kabisa kwa upande wangu, imagine nimempa zawadi jana tu harafu hizo siku za huko nyuma sijawahi kumfanyie hivi

Harafu eti jana tu kumpa zawadi leo nimepeleke hotelini, hata kama bwana ila kwa hili naona kama najivunjia heshima kabisa

"Me naongea na wewe harafu wewe unawwaza yako huko, walah me saivi sikwambii chochote.."

Nikiwa najiwazia zangu Ethan alizungumza ndio nikakurupuka sasa

'Sio hivyo bana, ila me naona kama namkosea yule binti.."

"Ila Frank kwa stail hii sizani kama utaoa wewe, yani mtu umekaa kioga oga bwana unanikera ujue.."

"Aya bana.."

Nilisema huku nikinyanyuka zangu kuondoka, lakini mara...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/in-love-with-zuri-sehemu-ya-15

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi in-love-with-zuri-sehemu-ya
IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu YA SITA*
IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu YA SITA*
*IN LOVE WITH ZURI*  *SEHEMU YA 14*
*IN LOVE WITH ZURI* *SEHEMU YA 14*
*IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu ya 11*
*IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu ya 11*
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 151 -- 157

NAKUPENDA BILA MIPAKA 151 -- 157

513
NAKUPENDA BILA MIPAKA 158 -- 160

NAKUPENDA BILA MIPAKA 158 -- 160

463
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON FOUR 145 - 150

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON FOUR 145 - 150

458
ZARA❤️ Sehemu ya 8 na 9

ZARA❤️ Sehemu ya 8 na 9

333
ZARA❤️ Sehemu ya 6 na 7

ZARA❤️ Sehemu ya 6 na 7

303
BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "16_17"💓

BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "16_17"💓

195
*IN LOVE WITH ZURI*  *SEHEMU YA 14*

*IN LOVE WITH ZURI* *SEHEMU YA 14*

194
IN LOVE WITH ZURI* *12&13*

IN LOVE WITH ZURI* *12&13*

187
*IN LOVE WITH ZURI* *SEHEMU YA 15*

*IN LOVE WITH ZURI* *SEHEMU YA 15*

165
*IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu ya 11*

*IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu ya 11*

132

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.06K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.74K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.92K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.72K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.15K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.06K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.92K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.89K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.79K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.73K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

****

  • NAKUPENDA BILA MIPAKA 161 -- 164 29-03-2026 00:00
Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 21------25 SEASON 2 Post Mpya
ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 21------25 SEASON 2
@majario LIVE

SEHEMU YA 21 Nelly Nelly, niligeuka nyuma baada ya kuitwa alikuwa ni rafiki yangu Neema, Abeh umeniita kwa kunishtua una shida gani? Nilimuuliza. Nilisikia unatafuta tenda ya kazi? Ndio...

*IN LOVE WITH ZURI* *SEHEMU YA 15* Post Mpya
*IN LOVE WITH ZURI* *SEHEMU YA 15*
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Ilinibidi niwe tu mpole, ila ushauri wa Ethan niliuona haufai kabisa kwa upande wangu, imagine nimempa zawadi jana tu harafu hizo siku za huko nyuma sijawahi kumfanyie hivi Harafu eti...

*IN LOVE WITH ZURI*  *SEHEMU YA 14* Post Mpya
*IN LOVE WITH ZURI* *SEHEMU YA 14*
@majario LIVE

Basi bwana siku hiyo chai ilishuka bila wasiwasi kabisa, maana zuri kila muda alikuwa ananijali sana, utasikia frank nikuletee maji?? Mara ohooo kaka Frank umepaliwa jamani pole Yani alikuwa anaongea huyu...

IN LOVE WITH ZURI* *12&13* Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* *12&13*
@mjukuu LIVE

* SONGA NAYO....... Nilisema huku nikimkabizi ule mfuko, zuri alinitazama sana mpaka ule ujasiri wote niliokuwa nao ulianza kupotea kidogo kidogo "Unasema..??" Aliniuliza "Am nimekuletea hii hapa zawadi.." "OH my God ni yangu..??" Aliniuliza tena huku akitabasamu,...

*IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu ya 11* Post Mpya
*IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu ya 11*
@mjukuu LIVE

SONGA NAYO...... Haraka haraka nilitoka nje ambako nilimkuta Ethan akiwa ananisubiri, bila kusubiri chochote niliingia kwenye gari na safari ya kurudi nyumbani ilianza, ni mida ya saa moja na nusu hivi "Dah...

ZARA❤️ Sehemu ya 10 Post Mpya
ZARA❤️ Sehemu ya 10
@mjukuu LIVE

__________ Mwandishi; LISSA WA HURU MEDIA ila sasa ni alijuwa na heshima sana na mimi, yani alijirejebisha kweli kweli , waha hakuwa annifanyia ujeuri kabisaa,yani ata kidogo hapana ,...

ZARA❤️ Sehemu ya 8 na 9 Post Mpya
ZARA❤️ Sehemu ya 8 na 9
@mjukuu LIVE

__________ Mwandishi; LISSA WA HURU MEDIA Nikasema.dady sio kuhusu mama ni kuhusu yule dereva melvin, baba aksema ahaa yule derebaa si tumeshamfukuza jamani zara nn sasa, nikasema baba mi nimemuonea huruma ,nahisi...

ZARA❤️ Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
ZARA❤️ Sehemu ya 6 na 7
@mjukuu LIVE

__________ Mwandishi; LISSA WA HURU MEDIA Khaaaaa nilichukia nikamuangalia uyu kaka kwa dharau na hasira kwli kweli, kwanza nikampandisha kisha nikamshusha , nikamuuliza eeeh umesahau nn, au unadai mshahara apa ulikuwa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 158 -- 160 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 158 -- 160
@mjukuu LIVE

:158 Aliendesha na kuniambia “nisamehe kwa kukuteka asubuhi, nisamehe maneno yalinitoka asubuhi lakini ilikuwa lazima nifanye vile. Wewe katoto ni kabishi sana. Huna hata huruma unataka mtu mzima mpaka nipige ukunga.” Nilimtazama,...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 151 -- 157 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 151 -- 157
@mjukuu LIVE

:151 Kwenye akili yako vuta picha zile Abaya za kituruki, halafu ziwe tatu, nzuriiiiiii, rangi nyeusi, rangi nyeupe, na zambarau fulani imechanganyika, halafu kuna gauni mbili za ukali, eenh, eenh sijui...

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON FOUR 145 - 150 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON FOUR 145 - 150
@mjukuu LIVE

:146 Nilimtazama natabasamu, nakuambia uoga mimi sina, sina kabisa maana nishajua huyu Dokta anapambania mahali ahitajiki. Kwanza angejua raha mimi nilikuwa naipata hapa ameniharibia mimi. Si unajua unampenda mtu huwezi kumwambia halafu...

BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "16_17"💓 Post Mpya
BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "16_17"💓
@majario LIVE

( alikuja kama muuza chai kumbe ni Billionea) Alikunywa dawa zake akatulia 🥹nilikuwa namuonea huruma sana yule mkaka jmn 🥹 Muda huo huo wateja wakaja watatu , mimi sasa bize...

Zamani kidogo nilikuwa darasa la saba siku moja mama aliongea na Mimi akanambia baba ako anarudi leo Post Mpya
Zamani kidogo nilikuwa darasa la saba siku moja mama aliongea na Mimi akanambia baba ako anarudi leo
@majario LIVE

toka safari(Hawa ni mama na baba angu wa kunizaa) mama alinambia baba akifika tuu chochote atakachokwambia kubali nikamwambia Kuna nini akanambia Nisikilize Mimi nikamwambia nakusikiliza akasema leo utalala chumbani...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20
@majario LIVE

19 Aliingia kaka yake na Glad Mimi ndio nilikuwa namalizia kupika jikoni, G nimekuletea ice-cream 🍨🍦 unayopenda nilinyamaza kimya hadi alipokuja jikoni. Glad ametoka mara moja nipo mimi peke yangu nilikuwa namalizia...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE
@majario LIVE

:141 Nikamwambia kwa ujumbe “Boss ni usiku sana, nenda nyumbani, tutaongea kesho naomba nipumzike.” Akanijibu “sitaondoka hapa mpaka uje kunisikiliza.” Nikamuonyesha Dorice, Dorice akasema “kamsikilize Labda ni muhimu.” Nikamwambia Dorice “kusema kweli mimi roho...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest