BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "16_17"💓
( alikuja kama muuza chai kumbe ni Billionea)
Alikunywa dawa zake akatulia 🥹nilikuwa namuonea huruma sana yule mkaka jmn 🥹
Muda huo huo wateja wakaja watatu , mimi sasa bize kuuza sambusa zangu waa waa wa 😂
“ Naah umeanza kuuza chai pia ? Mmoja wa wateja wangu wakaniuliza
“Ndiyo jmn karibuni mabosi zangu hapa ni kila mpaka kupasuka tunawazika hapahapa 😂😂😂
“Embu nipe chai na chapati nne na sambusa tatu
Aah kuna huyu mteja wangu ni fundi gereji anakula kama fuko 😂 yaan yeye anakula kama ametoka jela hahahaha
Aliagiza hiyo menu ,
Sikumshamgaa maana namjua vzr sanaaaa
Bas nikampa alivotaka huyoooo akaondoka zake
Wengne wakafunga butes zao wakaendaaa
Sasa ile
Nageuka kumpa huyu mkaka hela yake ya chai nakuta ashasinzia kwenye kiti siku miiingi sana 🥹 anaumwa maskini jmn 🥹🥹 maisha tu ndo yanamfanya ateseke hivi 😭😭😭 moyo wangu uliniuma mnoooo
Nilimtizama tu nikamuacha alale sikutaka kumsumbua kabisaaa
, pale alipolala palikuwa na jua bas nikachukua mwamvuli wangu , huwa anatembea na mwamvuli nikamfunikia kwa pembeni kidogo akapata kakivuli 🥹🥹
Nikawa nimekaa namtizama yu yule mkaka vile Mungu amemuumba bila kukosea chochote kile
He is such a cute man ever 🙌
Jmn ni msafi vibaya mnoo , kavaa zake casual lkn very classic 👌 Tshirt nyeupe na jenas ya dark blue alaf chini kavalia sleepers za wakaka zile nzuriiii
wakaka muwe mnaoga kenge nyie unakutana na mtu ananuka umbuzi asubuhiasubuhi mara hujakaa sawa unashanga harufu imebadilika imekuwa ya ubata ubata 🤮
Mara akikusemesha tu unakufankwa kukosa oxygen yaan domonlinanuka kama choo cha mabanzi aloo mikaka mingi ni michafu sana mikenge mikubwa nyie 🤣🤣🤣🤣
Bas nikiwa naendelea kutumbua macho yangu
Dakika mbili nyingi yule jamaa wa gari mteja wangu wa chapati na sambusa akajaaaaa
Alipofika tu kabla hata hajanisalimia kama ilivyo routine yake
“Vipi mwenzako anaumwa ?👀 aliuliza akiwa ametoa macho sana
“Yeah hayuko sawa , nikamjibu
“ Twendeni hospital tumpeleke hospital ,
Nilimshuhudia yule jamaa akiwa ni kama amepanick kama siyo kuchanganyikiwa mpaka nikashangaa 🤔
Ngojeni kwanza mbona sielewi
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni