Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON FOUR 145 - 150
Gonga94 · Stories

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON FOUR 145 - 150

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

:146
Nilimtazama natabasamu, nakuambia uoga mimi sina, sina kabisa maana nishajua huyu Dokta anapambania mahali ahitajiki.

Kwanza angejua raha mimi nilikuwa naipata hapa ameniharibia mimi. Si unajua unampenda mtu huwezi kumwambia halafu kumbe na yeye ana hisia na wewe ndiyo kimetokea sasa.

Kwa huyu Muanko wangu mimi wakati mzuri na tulivu kama huu ningewezaje kukataa. Hizo nguvu mimi natoa wapi. Sasa ndiyo hivyo huyu bi mzuri amekuja kuniharibia jambo langu. Angeniacha walau hata dakika kumi tu amekuwaje sijui.

Nakwambia ukimuona sasa dokta, utasema puto linataka kupasuka. Hayo macho, mikono inatoa jasho. Amechukuia, amekasirika. mr Gallen aliuliza “kwanini bila hodi, unataka nini?”

Nilimtazama dokta alishadadia ile siku, alisahau ya kuwa dunia duara na sasa imefika zamu yake mimi hapo natamani hata asingekuja.

Nilimtazama Boss, si unakumbuka alivyo sema “Relax, am here for you.” Mimi hapa ndiyo nimeambiwa hivyo eti, na Mr Serious kama ndoto vile, kama ninaota ila ndiyo ukweli wenyewe huo.

Nilimwambia kwa upole “naomba niende sasa Mr Gallen.”
Alinitazama na kusema “Nazwi wait.”
Nilijitoa mikononi, halafu nikaanza kutoka. Dokta akanisukuma na mkono mmoja nirudi ndani halafu akafunga mlango. Nakumbuka Mr Gallen alimsogelea akisema “are you stupid?”

Dokta aliuliza “Whaaaaat!!”
Mr Gallen akamuuliza tena “Why are you pushing her?”
Mimi nawatazama tu na viingereza vyao, nasema mimi nishakula busu mpapaso hapa nyie endeleeni tu.

NAKUPENDA BILA MIPAKA:147
Dokta alisema “nakusaidia, najua hawa mabinti wa uswahili wana tabia mbaya sana. Usimuendekeze Mr Gallen. She is not your Type, unajua hilo eenh.”

Anaongea anatetemeka, anatetemeka mimi namshangaa, msichana wa uswahili kwahiyo ana maanisha mimi ndiyo nimemtaka, nimetega, nimemchawia, nimemchukua sio akili zake au anajua nini kuhusu waswahili sisi.

Mr Gallen alimtazama akauliza “Who are you?”
Mimi natamani kucheka, zamu yake kuulizwa yeye ni nani, Dokta alitoa macho akauliza “Whaaat!!”

Mr Gallen alisema “Dokta please, sijaomba msaada wako, I didn’t, na wewe sio mtu wa kunipangia nini nifanye na nini nisifanye. Wewe upo hapa kwaajili ya mama, mahusiano yangu mimi na wewe ni urafiki na sio zaidi.

Tafadhali linda mipaka yako nilinde mipaka yangu. Sitaki kusikia tena una msumbua Nazwi. Nazwi hapaswi kusumbuliwa kwa vyovyote vile unanielewa. Na siku nyingine bisha hodi, uruhusiwe ndiyo unaingia.”

Nikaona hii ya leo ya moto, mimi nikatoka zangu, nilitoka mpaka chumba changu cha kubadilisha nguo. Nilipofika huko nilijikumbatia, halafu nikasherekea bila sauti ila kwa furaha.

Si mmesikia amesema Nazwi hapaswi kusumbuliwa ni kudekezwa tu mimi. Umesikia amesema Dokta awe anapiga hodi. Leo anapumulia mashine, mimi kwangu shangwe.

Natamani nipige ukunga niseme “Wanachiiiiiii eeeeeeh, watu wa duniiiiiiaaaaaaaaa hiiiiiii, amkeniiiiiiiii, amkeniiiiii nina ushuhudaaaaaaaa, nina ushuhudaaaaaaaaaaaaa, nataka kusema yale maombi yangu leo yamekuwaaaaa, sitakiii ushauriiiii we kissed, am in love.”

NAKUPENDA BILA MIPAKA:148
Najiambia mwenyewe nacheka mwenyewe nikikumbuka kuhusu dokta natamani Dorice angekuwepo hapa. Nikakumbuka hata ule mtoko sasa. Nilitumia dakika huko chumbani, ndiyo akili sasa ikarudi kumbe mama alitaka supu.

Nilijawa na furaha mimi, kumbe mimi ni mtu wa furaha sana. Unajua saizi na nguvu hata za kuwatia moyo wale masingle girl, masingle mama, single boy, single baba, masingle singular tu wewe mapenzi yamekupita nisikilize mimi. Mama mgonjwa alisema na mimi

nakwambia “haijalishi unapitia nini, siku moja, mahali fulani utakutana na mtu. Mtu huyo atakupenda sana, atakupenda kuliko ulivyo wahi kufikiria. Atakupa heshima, atakujali, atakuhudumia, atakutunza, atakupa raha na kila kitu. Amini tu.Mapenzi ni heshima, kujitoa, huruma, kuaminiana, na mazuri mengi kama haya.”
Sitaki kuamini na mimi leo nimeanza kutoa ushauri leo leo tu jamani Nazwi tulia binti.

Nilienda zangu jikoni, nilipofika huko nilimuona dada Maria kama hana raha vile. Nikamuuliza “vipi dada yangu mbona umepoa?”
Akaniambia kwa upole “mama yangu, bado hayupo sawa. Nataka tu nikamwone walau liwalo na liwe tu.”

Nilimtazama na kusema “Si ulisema umekutana na Mungu. Sasa unaogopa nini?”

Alitabasamu, halafu aliniambia “subiri sana, leo uso wako una ng’ara sana. Ni kama umekuwa mzuri sana. Nini kimetokea.”

Nikajishika uso na kusema “una ng’ara ila dada Maria.”
Akacheka akisema “ni kazuri sana unajua.”

Nilitabasamu na kusema “mama anataka supu ya kuku, unaweza nisaidia niandae hapa.”
Alitabasamu akisema “bila shaka nesi wangu.”

NAKUPENDA BILA MIPAKA:149
Alikuwa ameanza kunitolea vitu na mimi nilisema “usiogope, ukimtegemea Mungu hupaswi kuogopa kabisa.”
Alitabasamu, na aliniuliza “umeongea vizuri. Hata maandiko yake yanasema hivyohivyo.”

Nilitabasamu, ghafla nikakumbuka nilipokuwa pale hospitali nilikuwa namuomba Mungu ning’are kama yeye, uso wangu upendeze na muonekano wangu uwe mzuri wenye kuvutia.

Nikajishika uso nikisema “Kumbe kweli, lakini mbona nipo vile vile mbona sielewi.”
Wakati huo alikuwa anatoka dokta, amechukia balaa, amechukia mno.

Maria alisema “maskini huyu dokta anateseka bure. Ni bora tu aachane na mapenzi. Kaka na hapendi usumbufu kabisa.”
Nilitabasamu tu, akasema “leo ni kama una furaha.”
Nilitabasamu na kusema “nina ushuhuda.”

Alitabasamu akisema “eenh.”
Nikacheka na kusema “tupike embu, dada Maria wewe.”
Akacheka na kusema “nacheka tu hapa lakini nawaza sana kuhusu mama. Naomba tu Mungu.”
Nilimtazama na kusema “Amen, atakusaidia.”
Alinitazama na kuniuliza “nyie mmezaliwa wangapi?”
Nilimjibu, akatabasamu.

Nikawa naendelea na mambo yangu ya mapishi eemh, siku hii ndiyo siku ya kuonesha ujuzi wangu haswa kwa upande wa jikoni. Na mimi sikufanya masihara. Nikahakikisha mambo yanakuwa vizuri.

Nakumbuka wakati naendelea na kazi zangu mlango uligongwa. Dada Maria alienda kufungua. Alikutana na mgeni, sikuwa najali. Lakini baada ya muda aliingia na mifuko akisema “haya mama, nimeambiwa mzigo wako.”

Nilimtazama na kusema “wangu mimi?”
Alisema kwa upole “eemh wewe.”
Nilipokea, kutazama kuna nguo. Nilitabasamu halafu nikasema “naweza kupata na mswaki mpya. Nahitaji kuoga sasa maana tangu asubuhi nimeamkia hospitali.”

NAKUPENDA BILA MIPAKA:150
Alitabasamu na kusema “pole kipenzi, pole sana nesi. Mswaki upo, sema nini kingine unataka.”
Nilimtazama na kusema “naomba tu niangalizie hapa maana najisikia uchovu. Nikioga nitakuwa sawa.”

Alinitazama akatabasamu tu, najua ana mengi ila hawezi niuliza chochote. Mimi hapo nasema eenh nimeagiziwa na nguo muanko huko ndani kama nikamchungulie ila siwezi.

Basi wakati ndiyo naingia chumba changu na yeye anatoka ofisini anaingia chumba chake. Macho yakagongana ndi!!, ndiiiiii!!. Nilitabasamu, akatabasamu. Mimi nikicheka nikaingia chumbani na yeye pia alifanya kama mimi.

Mungu muacheni tu, Mungu huyu wa mbinguni aanh muacheni. Ana fanya mambo mpaka una muuliza “nini nimefanya kustahili haya yote, mbona unanidekeza sana eenh, mbona unanidekeza.”

Nikuambie kitu ndugu yangu, Mungu ni Mungu wa haki, Mungu wa kutenda, Mungu wa wote, hana upendeleo yeye. Ni suala la Muda tu, muda wako lazima ufike, na ukifika Mungu yeye mwenyewe lazima atakuchagua. Hapo sasa ndiyo hata hutojua useme nini kushukuru. Sasa huo muda, muda wangu huu ndiyo wenyewe.

Si nilisema tangu awali, napenda mavazi ya heshima. Hata magauni yangu yana heshima ukiniona nilivyo vaa utajua tu binti ana jiheshimu. Hata kama fupi basi sio ufupi wa utisho, hata kama mpasuo basi wa heshima, sio kushika sana mwili.

Kuna wakati nilikuwa navaa viraba hata kama sio vya gharama ila vilinipendeza. Sio kwamba mimi ni wa zamani hapana, msichana tu wa kisasa, navaa kisasa ila tu pesa ya kununulia zile za heshima zenyewe ndiyo sina lakini hapa sasa, achana na hizi Abaya kila mtu anazo tena hata tutafute jina lake tuseme tu gauni za kujisitiri eenh nacheka, mimi mama mitumba na hizo Abaya zangu za mtumbani Mungu ndiyo anajua, sasa hizo ziache, hizo sahau, hizo achana nazo kabisa.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON FOUR 145 - 150


:146
Nilimtazama natabasamu, nakuambia uoga mimi sina, sina kabisa maana nishajua huyu Dokta anapambania mahali ahitajiki.

Kwanza angejua raha mimi nilikuwa naipata hapa ameniharibia mimi. Si unajua unampenda mtu huwezi kumwambia halafu kumbe na yeye ana hisia na wewe ndiyo kimetokea sasa.

Kwa huyu Muanko wangu mimi wakati mzuri na tulivu kama huu ningewezaje kukataa. Hizo nguvu mimi natoa wapi. Sasa ndiyo hivyo huyu bi mzuri amekuja kuniharibia jambo langu. Angeniacha walau hata dakika kumi tu amekuwaje sijui.

Nakwambia ukimuona sasa dokta, utasema puto linataka kupasuka. Hayo macho, mikono inatoa jasho. Amechukuia, amekasirika. mr Gallen aliuliza “kwanini bila hodi, unataka nini?”

Nilimtazama dokta alishadadia ile...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nakupenda-bila-mipaka-season-four-145-150

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nakupenda-bila-mipaka-season-four
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 151 -- 157

NAKUPENDA BILA MIPAKA 151 -- 157

319
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON FOUR 145 - 150

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON FOUR 145 - 150

301
ZARA❤️ Sehemu ya 8 na 9

ZARA❤️ Sehemu ya 8 na 9

165
ZARA❤️ Sehemu ya 6 na 7

ZARA❤️ Sehemu ya 6 na 7

161
BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "16_17"💓

BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "16_17"💓

142
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20

102
IN LOVE WITH ZURI* *12&13*

IN LOVE WITH ZURI* *12&13*

95
*IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu ya 11*

*IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu ya 11*

70
ZARA❤️ Sehemu ya 10

ZARA❤️ Sehemu ya 10

54
Zamani kidogo nilikuwa darasa la saba siku moja mama aliongea na Mimi akanambia baba ako anarudi leo

Zamani kidogo nilikuwa darasa la saba siku moja mama aliongea na Mimi akanambia baba ako anarudi leo

33

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.06K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.74K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.92K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.7K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.14K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.05K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.88K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.73K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

****

  • NAKUPENDA BILA MIPAKA 161 -- 164 29-03-2026 00:00
Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
IN LOVE WITH ZURI* *12&13* Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* *12&13*
@mjukuu LIVE

* SONGA NAYO....... Nilisema huku nikimkabizi ule mfuko, zuri alinitazama sana mpaka ule ujasiri wote niliokuwa nao ulianza kupotea kidogo kidogo "Unasema..??" Aliniuliza "Am nimekuletea hii hapa zawadi.." "OH my God ni yangu..??" Aliniuliza tena huku akitabasamu,...

*IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu ya 11* Post Mpya
*IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu ya 11*
@mjukuu LIVE

SONGA NAYO...... Haraka haraka nilitoka nje ambako nilimkuta Ethan akiwa ananisubiri, bila kusubiri chochote niliingia kwenye gari na safari ya kurudi nyumbani ilianza, ni mida ya saa moja na nusu hivi "Dah...

ZARA❤️ Sehemu ya 10 Post Mpya
ZARA❤️ Sehemu ya 10
@mjukuu LIVE

__________ Mwandishi; LISSA WA HURU MEDIA ila sasa ni alijuwa na heshima sana na mimi, yani alijirejebisha kweli kweli , waha hakuwa annifanyia ujeuri kabisaa,yani ata kidogo hapana ,...

ZARA❤️ Sehemu ya 8 na 9 Post Mpya
ZARA❤️ Sehemu ya 8 na 9
@mjukuu LIVE

__________ Mwandishi; LISSA WA HURU MEDIA Nikasema.dady sio kuhusu mama ni kuhusu yule dereva melvin, baba aksema ahaa yule derebaa si tumeshamfukuza jamani zara nn sasa, nikasema baba mi nimemuonea huruma ,nahisi...

ZARA❤️ Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
ZARA❤️ Sehemu ya 6 na 7
@mjukuu LIVE

__________ Mwandishi; LISSA WA HURU MEDIA Khaaaaa nilichukia nikamuangalia uyu kaka kwa dharau na hasira kwli kweli, kwanza nikampandisha kisha nikamshusha , nikamuuliza eeeh umesahau nn, au unadai mshahara apa ulikuwa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 158 -- 160 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 158 -- 160
@mjukuu LIVE

:158 Aliendesha na kuniambia “nisamehe kwa kukuteka asubuhi, nisamehe maneno yalinitoka asubuhi lakini ilikuwa lazima nifanye vile. Wewe katoto ni kabishi sana. Huna hata huruma unataka mtu mzima mpaka nipige ukunga.” Nilimtazama,...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 151 -- 157 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 151 -- 157
@mjukuu LIVE

:151 Kwenye akili yako vuta picha zile Abaya za kituruki, halafu ziwe tatu, nzuriiiiiii, rangi nyeusi, rangi nyeupe, na zambarau fulani imechanganyika, halafu kuna gauni mbili za ukali, eenh, eenh sijui...

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON FOUR 145 - 150 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON FOUR 145 - 150
@mjukuu LIVE

:146 Nilimtazama natabasamu, nakuambia uoga mimi sina, sina kabisa maana nishajua huyu Dokta anapambania mahali ahitajiki. Kwanza angejua raha mimi nilikuwa naipata hapa ameniharibia mimi. Si unajua unampenda mtu huwezi kumwambia halafu...

BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "16_17"💓 Post Mpya
BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "16_17"💓
@majario LIVE

( alikuja kama muuza chai kumbe ni Billionea) Alikunywa dawa zake akatulia 🥹nilikuwa namuonea huruma sana yule mkaka jmn 🥹 Muda huo huo wateja wakaja watatu , mimi sasa bize...

Zamani kidogo nilikuwa darasa la saba siku moja mama aliongea na Mimi akanambia baba ako anarudi leo Post Mpya
Zamani kidogo nilikuwa darasa la saba siku moja mama aliongea na Mimi akanambia baba ako anarudi leo
@majario LIVE

toka safari(Hawa ni mama na baba angu wa kunizaa) mama alinambia baba akifika tuu chochote atakachokwambia kubali nikamwambia Kuna nini akanambia Nisikilize Mimi nikamwambia nakusikiliza akasema leo utalala chumbani...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20
@majario LIVE

19 Aliingia kaka yake na Glad Mimi ndio nilikuwa namalizia kupika jikoni, G nimekuletea ice-cream 🍨🍦 unayopenda nilinyamaza kimya hadi alipokuja jikoni. Glad ametoka mara moja nipo mimi peke yangu nilikuwa namalizia...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE
@majario LIVE

:141 Nikamwambia kwa ujumbe “Boss ni usiku sana, nenda nyumbani, tutaongea kesho naomba nipumzike.” Akanijibu “sitaondoka hapa mpaka uje kunisikiliza.” Nikamuonyesha Dorice, Dorice akasema “kamsikilize Labda ni muhimu.” Nikamwambia Dorice “kusema kweli mimi roho...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest