IN LOVE WITH ZURI* *12&13*
SONGA NAYO.......
Nilisema huku nikimkabizi ule mfuko, zuri alinitazama sana mpaka ule ujasiri wote niliokuwa nao ulianza kupotea kidogo kidogo
"Unasema..??"
Aliniuliza
"Am nimekuletea hii hapa zawadi.."
"OH my God ni yangu..??"
Aliniuliza tena huku akitabasamu, ooh nilijiona mshindi kwa kweli
"Yeah ni yako, pokea.."
Katika hali ambayo sikuitarajia kabisa Zuri alinikumbatia kwa furaha sana, nahisi alifurahi mno kila mda alikuwa anasema asante
"Asante sana kaka Frank, asante kwa kunijali.."
(ah sasa hilo kaka Frank linatoka wapi tena, me nilitaka unilte hata honey inatosha tu)
Nilijiwazia
"Usijali, harafu naomba unisamehe kwa kukukalipia muda ule.."
'Ah usijali kaka Frank, me nishakusamehe kitambo sana.."
"Sawa basi wacha nikukimbie.."
"Sawa ila asante sana Frank, ubarikiwe mno.."
Eeh binti anaonekana anapenda sana zawadi eeh anyway isiwe shida wacha nijipange pange nimletee iPhone 17
Basi tuniagana pale na mie nikaondoka zangu kurudi chumbani, nisiwe muongo jamani hii siku nilikuwa na furaha mno, kwanza nimekumbatiwa jambo ambalo sikulitarajia kabisa
Hii feeling nazani mnaijua bandugu msijifanye kama hamuelewi namaanisha nini, maana mimi hii siku nililala kwa uhuru na kuota nikiwa nimeefanya mapenzi na zuri, matokeo yake asubuhi nimeamka nimechafua boxes
Kutokuwa na mpenzi kwenye huu umri ni shida tupu, basi bwana ilinibidi niingie bafuni kuweka mwili safi baada ya hapo nikashuka seblen, na kukuta kila kitu tayari
Yani hawa wafanyakazi wanapiga sana kazi saa mbili tu breakfast imeshaiva hii kitu ndio napenda walah, sio unaamka na kukuta eti bado hawajaivisha wengine huwa tunaamka na njaa zetu
Mambo ya kuanza kusubiri me sipendi, unajua bwana me napenda nikiamka nakuta breakfast iko tayari nikifika tu ni mwendo wa kuingiza vitu huko ndani
"Ooh kaka Frank.."
Nafika zangu seblen zuri ananipokea kwa furaha
mno, jambo ambalo lilinifanya nishangae, inamaana ni zawadi tu ndio inamfanya awe
hivyo au kuna lingine ambalo mimi silijui
"Umeamkaje Zuri..??"
Nilimsalimia maana kuniita kaka Frank alikuwa anikera sana, nilikuwa natamani kumwambia ila naona kama atanichukulla poa
"Namshukuru mungu, ile nguo ilinitosha bwana asante sana frank yani hata sijui nikulipe nini.."
(eeh imetosha bwana, sasa unaongea mapaka mama na Anita wajue ??)
"Hata usijali, naona vitu vitu hapa..??"
"Yaap kaa nikuandalie.."
Yooh sikutaka maswali nilichofanya ni kukaa akachukua sahani na kunipakulia pale me namchora tu hapo, binti anaonekana. Anafuraha sio poa wakati akiendelea kunipakulia pale mama pamoja na Ethan wakawa wamefika pale
'Mh leo kuna mtu anaonekana anafuraha sana
hapa.."
Ethan kama kawaida yake
"We Ethan kwani huwezagi kukaa kimya bwana.."
Mama alimuuliza
Ah mama am sorry.."
Wakati hayo yanaendelea me wala sikujali, nilichojari kwa wakati huo ni kumuangalia Zuri basi hayo mengine hayanihusu
Basi zuri alinipakulia pale akiwa na tabasamu kama lote na kumfanya azidi kuwa mrembo zaidi, akanipatia kile chakula huku akibonyea
kidogo mie ndio kabisa moyo unazidi kupenda hapo
Mwanaume mimi ni nani nikatae chapu nikapokea kile chakula huku nikimshika mkono
wakati napokea kile chakula, nyie binti anamikono milaini acheni kabisa
"Yangu macho.."
Ethan alizungumza, mama akamuangalia tu huyu rast born wake namna ambavyo ni mbea mbea tu....
Itaendelea....
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

Maoni