Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
30 Nov -0001
19 views
VYOTE NDANI GONGA94
Issa Fofana ni moja ya Magolikipa Daraja la Kwanza Africa ✍️
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
BADO HAKIJAELEWA MSIMBAZI.
Ni Ayoub Lakred au Issa Fofana????
$ijui Simewaza nini kutaka kuachana na Mousa Pinpin Camara.Hadi Sasa kuelekea dirisha la Uhamisho la Majira ya Kiangazi Mnyama anamachaguo mawili ambayo ni Pendekezo kutoka Kwa Kijana wa Kiholanzi Mels Daelda ,Majina Mawili yaliyopendekezwa ni Issa Fofana wa Al Hilal Omdurman,Huyu Ndiye Chagua la kwanza kabisa huku Ayoub Lakred akisalia kama Second option endapo wataikosa Saini ya Issa Fofana.
Club ya Simba Tayari imeanza Mazungumzo na Uongozi wa Issa Fofana kuhitaji huduma yake Msimu ujao 🤝🤝🤝
N:B Issa Fofana ni moja ya Magolikipa Daraja la Kwanza Africa ✍️
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Mwamuzi wa mchezo wa Esparance dhidi ya Al Ahly,Issa Sy 🇸🇳
Mara baada ya filimbi ya mwisho akatoa kadi yake nyekundu,anataka kumuona mtu amfuate kuhoji maamuzi yake. Kuna afisa m...
Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja
. Kazi inaanza saa 4 kamili usiku hadi saa 12 alfajiri. Hakuna muda wa majaribio. Ukifika kazini unaanza kazi. Hivyo sik...
Issa Fofana ni moja ya Magolikipa Daraja la Kwanza Africa ✍️
BADO HAKIJAELEWA MSIMBAZI.
Ni Ayoub Lakred au Issa Fofana????
$ijui Simewaza nini kutaka kuachana na Mousa Pinpin Camara.Hadi Sasa kuelekea dirisha la Uhamisho la Majira ya Kiangazi Mnyama anamachaguo mawili ambayo ni Pendekezo kutoka Kwa Kijana wa Kiholanzi Mels Daelda ,Majina Mawili yaliyopendekezwa ni Issa Fofana wa Al Hilal Omdurman,Huyu Ndiye Chagua la kwanza kabisa huku Ayoub Lakred akisalia kama Second option endapo wataikosa Saini ya Issa Fofana.
Club ya Simba Tayari imeanza Mazungumzo na Uongozi wa Issa Fofana kuhitaji huduma yake Msimu ujao 🤝🤝🤝
N:B Issa Fofana ni moja ya Magolikipa Daraja la Kwanza Africa ✍️
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/issa-fofana-ni-moja-ya-magolikipa-daraja-la-kwanza-africa
Maoni